Subhanaallah mwenyezi mungu ajalie kwa kila mtu maisha yawe mepesi yaarabi ameen
@ummusalim199111 ай бұрын
Nakupenda my dear kwa Juhudi zko😊 Mola azidi kukupa afya na kukuhifadhi
@aminamsimbe-en6rp10 ай бұрын
Asante kwa kutujuza sitamani kabisaa maisha ya huko
@abdulqadirissa253520 күн бұрын
Shukran sana Okhti jamila maneno yako sawa ni ukweli sana👍
@ummusalim199111 ай бұрын
Shukran jazila dear 😊 Mungu akupe afya Jamilaa😊
@husnabachubachu937810 ай бұрын
Asalaam Hali yako nasika raha Jamila dadangu shukraan jazakallahu kheir mpenzi kwa kutujuisha maisha ya merikani,mtu nikungangana..
@missindependent1893Ай бұрын
SHUKRAN JAZZAKKALLAHU KHEIR INSHA ALLAH
@nabeelaali777 ай бұрын
So very true wallah.. even here in Europe
@Saaid-yv6bg11 ай бұрын
Shukran sana dada yetu Allah azidi kukupa afya njema na mwisho Inshallah Tunakusikiliza tukiwa south africa cape town
@jkizondoswahilibites43411 ай бұрын
Alhamdulillah kwa dua ya Kheir kama hii dua niiombayo daima kwa wenzangu na Mie leo Allah kanirudishia kwangu kupitia wewe kakangu, TaqabalaAllah in Shaa Allah. Na Mie nakutakia Kheir na mafanikio leo mpaka kesho mbele ya Allah Ameen. Shukran sana ❤️❤️
@AnwarAli-vs9mp10 ай бұрын
ASALAM ALIEKUM simba walai ww allah atakupa subra na mafanikio mema yenye baraka neema telee amin
@shabanmaulana859410 ай бұрын
Waaleykum mussalam warahma tull lahi wabarakatull shuqran, na wewe pia Mungu akufanyie wepesi katika yako inshah Allah. Msalimie jombaaaazi sanaaaa kitambo nime wapeza.. kutoka niache Facebook sija kusikia wewe na jombaaaazi. ❤😂😂😂 .
@user-bz1wl4si8j11 ай бұрын
Shukran...dada Allah akuneemeshe huko uliko inshaallah
@jkizondoswahilibites43411 ай бұрын
Ameen yaa rabb, Hakuna kitu cha thamani kama dua njema kwa mwenzio, shukran sana. Nimefurahi sana leo kwa hii dua.. Alhamdulillah
@saidomar5674 ай бұрын
Mashaallah dadaangu
@zenaahmedi885711 ай бұрын
Subha Allah bora Oman
@jkizondoswahilibites43411 ай бұрын
Alhamdulillah kwa kila Uhai na mipango yake Allah alotujaalia nayo
@mwajumamwajuma5510 ай бұрын
Kumbe😢
@utaani110 ай бұрын
Karibu Pemba
@hassanabdalla968811 ай бұрын
Mungu akubariki.ameen.afyq umri. Ameen.
@citykibonge299910 ай бұрын
Maa Shaa Allah, Tabaraka Allah... shukran daa...Allah akufanyie wepesi ktka maisha yako na abariki kaz ya mikono yako❤
@King_Of_Everything2 ай бұрын
👊👍✌️.
@FatumaMuya11 ай бұрын
Ni kweli kabisa Dada usemayo Allah tu atuepushe na Shari za hapa USA
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Ameen ni zaidi ya masikitiko
@Sweetie-im2jd10 ай бұрын
May the almighty Allah bless you always 🙏
@muhsinsalim572410 ай бұрын
Shukran nakuelewa
@ukhutfatumah115410 ай бұрын
Aleykum salam warhamatullah wabarakatuh Shukran sna dada Jamila maisha ya hapa USA daaaa EEE m/mungu atunusuru wallah
@user-vq6dc4nr5p10 ай бұрын
Shukran kwa elimu
@husseinjongo758814 күн бұрын
Hahaha Michapati minne na maharagee😂😂😂
@MuhamadAbdalla-bt3dr2 ай бұрын
A alykmu vip hl Yako
@allymwinyi97010 ай бұрын
Wa alaykumu ssalaam warahmatuLlah wabarakaatuh. Jamila nimefurahi kukuona dada. Tukikuwa wote IUIU japo ulituzidi mwaka mmoja. Mimi natoka TZ but I feel blessed to have seen u at one more time Maashallah.
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Awww MashaAllah milima haikutani ila binadamu Alhamdulillah. Shukran sana kakangu
@jumakapilima729511 ай бұрын
The truth shall set you free!!
@jumamohamed480810 ай бұрын
Mashaallah
@fauzishabani262210 ай бұрын
mmmh Kazi kazi
@mwajumamwajuma5510 ай бұрын
Asante my sister ❤kwa ukweli wako
@aligmoha901510 ай бұрын
Maa sha allah dada
@ashahassan212010 ай бұрын
Asante dada mrembo
@salojaanbaloch14 күн бұрын
Sawa has Canada
@madhuru255410 ай бұрын
Kweli kabisa maneno yako
@ruthmukami75735 ай бұрын
Asante dada.. ila si kila mtu anateseka usa. Get an education in a specialty like nursing, banking etc. Ni hali ya kujipanga tu with lengo unataka nini. Educate yourself. Mateso yapo but with end goal in mind you will be fine. Just like any other country you need to work hard and know what you want.
@jkizondoswahilibites4345 ай бұрын
Dadangu Neno Kuteseka umelitumia wewe. Mimi nimesema ni nchi ya KUMENYEKA. Kisha sio kila mwenye education ya shule ndio hutoboa in life, someone like Ingvar Kamprad ( the owner of IKEA) never saw the door to school yet he is rich with furniture stores World wide, kama huna uwezo wa kuspeacilize na Hiyo nursing or banking aliyobahatika nayo mwenzako ufanyeje? Hii Dunia ni shule Tosha kwa kila mwanadamu kujifunza na kujiendeleza nayo. Kumenyeka na kuteseka ni vitu 2 tofauti, maelezo yangu ya hii video hayajataja unachoeleza wewe. Na kitambo ufikie uwezo wa kujielimisha ki shule anza na kujielimisha ki ubunifu na kuwa kazi yoyote ni kazi bora iwe halal na yenye kukukidhi shida zako. Marekani ni inchi ya uchumi wa juu zaidi kama sio kweli iweje kujae homeless people kila kina yake. Mimi sija specialize in any of what you said and am surviving coz nimebuni kazi yangu, sitaki kuajiriwa naajiri Alhamdulillah. Natumai mbali ya video yangu inavyoeleza hapa pia takua umenielewa.
@ruthmukami75735 ай бұрын
Thanks dada. It's just the way you describe it, it gives someone a bad impression of the country. In every country there's ups and downs but I truly believe this is a land of opportunity and it depends how you yourself grab that opportunity.
@jkizondoswahilibites4345 ай бұрын
@@ruthmukami7573 labda useme Kiswahili ni kigumu kwako, na iweje wewe pekee upate meaning tofauti na hawa wote waliosikiza meaning huelewi kisemwacho. Chengine nilieleza sababu ya mimi kuongea nilivyoongea kwasababu wengi walio Nje au nyumbani assume life is easy abroad, if it is to you basi ni bahati yako ila kwangu ni tofauti, Naona umeguswa na nchi ya wenyewe saying am giving a wrong impression please elewa kiini cha mazungumzo dada sio kudhania tofauti.
@EdiOmar-vo6kb4 ай бұрын
Minaona anasumbuka tu anajifrahisha kimtindo tu huyo kashaombwa Masada na ndugu anajinasua
@aminahasan263010 ай бұрын
Ni kweli
@MariamAlly-hk7io10 ай бұрын
Allwah afanya wepesi tufarahie miji yetu
@fatmakhanii167610 ай бұрын
Wallahi uko sahihi mpaka unajiuliza hizi pesa zangu zimejitumia wenyewe 😢 na kama huna kodi unalala nje
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Ndio homeless inazidi kila uchao marekani wameshindwa kujimudu ki maisha na uchumi maskini
@salimafakhi942511 ай бұрын
Waambie wajuwe.
@zainabdadu266710 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@salojaanbaloch10 ай бұрын
Wewe wa Sama Sawa sister
@agustinohizza139510 ай бұрын
Ondoka nenda falme za kialabu unatoka kwenu unaenda kuoshea vyombo USA hovyooo
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Tofauti iko wapi ya kuosha vyombo arabuni na kuvioshea marekani? Ni sabuni au kwa maji? 😂 tumbiri akinyimwa buyu husema lichungu.. 😂😂 elewa maana ya ndani na ovyo zako
@user-sn2ef2qt8r10 ай бұрын
😅Jamani
@MrMahmud88810 ай бұрын
sirahisi❕❗naamini
@abdulwahababdulkadir996510 ай бұрын
Ni kawaida sana kwa marekani na nchi za ulaya maana mfumo wao ni wa kibepari na unafanya unyonyaji kwa wavuja jasho then wanatumia mabwanyenye,ingawaje na upande wa mafanikio pia upo na pesa inapatikana ikiwa utatoka magetoni
@sukaynaalyraza39739 ай бұрын
Wha
@JosephSimiyu10 ай бұрын
Dada hujambo
@jay29jay7811 ай бұрын
Maisha North America ni magumu...yanikumubusha ile movie ya eddie Murphy ," coming to America"...Eddie Murphy alisema in America " its free to succeed and free to fail"...it's a choice everyone gets to make....nawambia saa zote Hawa young Africans wanaokuja huku Wende wakasome college ama university to improve the chance to get better employement sio kubeba ma box warehouse...get trained for a skilled job hata kama ni plumbing or carpentry...Allah atusitiri
@bigboys01610 ай бұрын
How about a bachelor degree holder as a teacher from east africa is eligible to come there
@Selina-jh1wq28 күн бұрын
Dadaa nataka kuongea na wewe jaman
@halimakatundu3 ай бұрын
M ndo napambana nakuja hukohuko
@salojaanbaloch10 ай бұрын
Mimi Niko Canada
@agrivaluefarm335310 ай бұрын
Dada naomba niwatembelee huko, mimi nipo mji wa San francisco California. natokea mwambao wa Mombasa - Tanga
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Karibu sana ndugu!! Ugeni tunaupenda tu Maana ni baraka Shaa
@agrivaluefarm335310 ай бұрын
Alhamdullilah, nashukuru kwa mualiko. inshAllah mungu akipenda tutaonana@@jkizondoswahilibites434
@user-lz3cc1pe6x10 ай бұрын
basi rudi mombasa ukapumzike
@user-cj2kl7cd9k10 ай бұрын
Katwambia kweli maisha ya marekani si mchezo
@EdiOmar-vo6kb4 ай бұрын
Rudi kwenu kwani umeitwa us waache wenyewe na mila zao
@jkizondoswahilibites4344 ай бұрын
Huku pia ni kwetu kama wewe una kwenu kumoja basi pole yako
@issahassan85158 ай бұрын
Sasa dada mbona haurudi nyumbani umekubali kuteseka?
@jkizondoswahilibites4348 ай бұрын
Soma comments utaelewa maelezo yanhu
@mukahigiroverene432410 ай бұрын
Mbona hamutoki?
@mohaisha9 ай бұрын
Basi hivi nlitaka nianze green card lottery 😊
@jkizondoswahilibites4349 ай бұрын
Agiza tu kila mmoja na nyota yake huenda ukaipenda marekani au ukastahamili ufanikiwe
@husnasalim961410 ай бұрын
Dah nipo amerka
@dauddaud-xm2wc10 ай бұрын
Kwahivo unatushaur tusije ulaya bora tubak makwetu
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Nimesimulia maisha halisi ya ulaya, huenda ikawa tofauti kwako wewe ila pia uwe tayari kwa lolote lile litakalo kukabili maishani kama mgeni
@dauddaud-xm2wc10 ай бұрын
@@jkizondoswahilibites434 shukran sana
@mukahigiroverene432410 ай бұрын
kwani popote kunakura bira kazi?
@simeonmangi760210 ай бұрын
Wambie waelewe dada na waache kuomba pesa wajishulishe
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
Kabisaa wajisaidie kivyao !! Kisha kuna wengine wanakuja na matusi failing to understand what point am putting across!!
@jay29jay7810 ай бұрын
Sister ...Kuna hii swahili village restaurant wanashtakiwa kuibia wafanyi kazi wao pesa...iko huko Maryland....I think you can do a better job than them...i have seen their menu...wanachafua jina la kiswahili Bure bure
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
😂😂😂 kumbe umeona!! Watu wamo na wao wamo… Hakuna hata moja la USwahilini walipikalo
@jay29jay7810 ай бұрын
@jkizondoswahilibites434 sister kweli unavyosema....naona mapishi yako ni ya kimombasa kabisaa....I have full confidence in you that you can succeed if you go mainstream na mapishi yako...nishaona vitumbua na mikate ya sinia unavyo pika.....you are an excellent cook and I mean it......tujulishe kama waja Toronto...na kama utafanya cooking....will gladly attend the event
@jkizondoswahilibites43410 ай бұрын
@@jay29jay78 watu hutumia jina Swahili kama pambo au mtego wa kunasa wengine kibiashara bila kujua thamani ya neno Swahili na matumizi yake. Wanatuharibia sana mapishi na maadili yetu ya USwahilini kama ina kera jamani. In Shaa Allah nitakuja canada some day shukran sana ndugu