Karibu uungane nasi kila Jumapili katika adhimishoni la Misa takatifu Kanisa Kuu la Mt Anthony wa Padua Jimbo Kuu la Mbeye. Tunawapenda. #johnpaulmbeyachoir
Пікірлер: 15
@raymondkapwa6966 Жыл бұрын
Yesu Asnte Sana, Hongereni sana waimbaji wa Mt. Yohane Paulo wa Pili Mbeya mjini,
@kanisiusnyakaselula5285 Жыл бұрын
Miongoni mwa vitu ninavyomiss ni kuiona JMC ikiimba. Nawamiss sana JMC