Wewe ni mtumishi wa MUNGU unatambua wito wako. Ubarikiwe sana binafsi napenda nyimbo yako
@neemakayanda58602 жыл бұрын
Joel unamjua Mungu unaemuabudu.....na unayemtumikia.....its level.....unajua kama haumuelew Mungu upendo wake kwa watu wake .....unabaki kumuishia kwenye ufahamu tu
@lorettahamaro90652 жыл бұрын
This man Joel Lwaga is an intellect,right answers to all the questions,much love from 🇰🇪🇰🇪
@evamwinga9212 жыл бұрын
Waimbaji wa injili wanafuatiliwa sana na adui, sababu wanaokoa roho za watu sanaaa, ndo maana wanapitia majaribu sana, but ashukuriwe Mungu huwa anawavusha na imani zao kuwa imara zaidi ya zaidi
@marionciano85192 жыл бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽Love love his response he is doing it for the KINGDOM OF GOD AND NOT FOR THE WORLD.. he DOES NOT CONDEMN secular musicians he uses his gift from God to DRAW THEM to God…when you KNOW your calling you will not fall into temptation hongera kaka mdogo 👌🏽🇰🇪
@JacquelineJanuary-ll8oz5 ай бұрын
Joel.. Mungu amekupa hekima sana yaan. Umejibu vzr sana kwa hii interview. Mungu akuongoze daima.
@juliethsanga61512 жыл бұрын
Amen mwanangu kwa majibu ya hekima huwezi kujilinganisha na na nyimbo za Dunia Barnaba yuko njiani kumtumikia Mungu Mia kwa Mia lwaga its holy name.
@Ayo_Entertainment_Tv2 жыл бұрын
Daaaah. My brother umeongea mambo makubwaaa sanaaa aiseee nmejifunzaaa sanaaa ubarikiwe my mentor 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@noelmarapachi18082 жыл бұрын
Joel Yesu Akushike kwa utukufu wake, Mungu Amekupa hekima sana
@leahmtamba74042 жыл бұрын
WOW nimeipenda hii, "doing for the kingdom of God" love it!😍😍
@user-oi5tw8zi2f Жыл бұрын
Barikiwa Mungu akinipa mtoto wa kiume nitamwita Joel
@rashidakimaro74072 жыл бұрын
Kuimba injili ni huduma cyo business umejimu vema kabisa Joel🥰👍
@yusuphfutte69792 жыл бұрын
My brother, may God lift you on higher dimension.
@rogatendosi68262 жыл бұрын
Joel may the Almighty God Bless and protect you and your family. May He take you to next level.
@modeemojombo56622 жыл бұрын
Joel ! You provide answers perfectly. I love your understanding.
@pharesmitarya4892 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Bro,nimependa ulivyosema wewe unaimba kwa ajili ya Mungu,na si kwa ajili yako kama waimbaji wa kidunia
@beataselestine5862 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa Hekima zaidi mtumishi wa Mungu,nimependa majibu yako..neema ya Mungu izidi kukutegemeza Sana katika huduma yako na ndoa yako.🙏🙏🙏
@pendomlay96742 жыл бұрын
Ishi sawasawa na jinsi Mungu anavyotaka Mtumishi inatosha.Barikiwa.
@estherphinehasi68172 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa majibu yanayojjitosheleza ishi maisha yako.
@joycelaura4611 Жыл бұрын
Yes uko sahihi kaka binadamu haturidhiki tunapenda kuchimbua vya wenzetu cha kushangaza vizuri huwa hatuvioni tunatafuta vibaya na tusipoviona vibaya tunavitengeneza.kaka Joel uko vizuri
@jeremiahobed222 жыл бұрын
Bro Mungu ni mwema kwako... Ur blessed
@angupeter34392 жыл бұрын
Go go Joel....I love what you are doing bro...blessings!😍😍😍
@emilymdoe6192 жыл бұрын
Asante sana,umejibu vema,uko vizuri mtumishi wa Bwana. Ninaipenda huduma yako. Barikiwa sana ,Endeleeni mbele. Bwana akiwa upande wenu ni nani Alie juu yenu.?
@euniceanthony45762 жыл бұрын
Kwa kweli umekua spiritually, majibu mazurii mnoo na sahihi , utumiwe zaidi na Mungu aisee.. na hiyo ndio sababu ya kuishi kwetu.
@joycelaura4611 Жыл бұрын
Nakukubali sana kaka Mungu akutunze
@cuprumkimwaga65002 жыл бұрын
Nakukubal mnoooooooooo unajielewa sana kaka God bless you Joel
@bahatimmependezamwanginda52022 жыл бұрын
Nakukubali sana my bro from the green city Mbeya boy, unanifurahishaga sana, point zako pambe
@gwaluganomwalusamba10932 жыл бұрын
Joel wewe ni mkomavu, nimependa majibu yako na maelezo yako. Mungu azidi kukuinua
@agapetouch9032 жыл бұрын
I just Love this Guy.. GOD BLESS YOU SO MUCH.
@rachelmpimbe13312 жыл бұрын
Wanyakyusa wanaakili aisee
@violetsinibagiye4123 Жыл бұрын
Ongera baba Mungu akulinde unaelewa unacyo kifanya.
@martinmadimilo8593 Жыл бұрын
Bro your more than a gosple artist,what a complete ministration 🙏❤
@naomiwangari47942 жыл бұрын
He is after Gods heart and purpose. May God establish his will
@jkilogrammedia2 жыл бұрын
Nice interview. I liked the Wisdom the Man of God had in answering all the questions. In everything To God be the Glory.
@ebbyescor76142 жыл бұрын
Very perfect ideas in Spirit
@bspgra-ustv41192 жыл бұрын
Ombi langu kwa Mungu, ni akuwezeshe kufika mbali zaidi.
@katherinyohana18912 жыл бұрын
Joel I love you ❤️❤️ nimekuelewa mpaka nimekuelewa tena Mungu aendelee kukutunza
@asheknazisillahwearetogeth75742 жыл бұрын
Nimependa majibu yako shujaa wa Bwana Congratulations 👏👏👏
@farajaonesmo1712 жыл бұрын
Naweza kupata tafsiri ya hizo pete mikono miwili tofauti?
@ney_nation25442 жыл бұрын
The song feels different for sure..i love it
@enosseth38992 жыл бұрын
MUNGU akuinue kaka
@roseluvanda17372 жыл бұрын
He is blessed😇🔥
@bitecastory21372 жыл бұрын
Point sana bro usiweke wazi Kira maisha unayo ishi ya kifamilia so watu cyo wazur
@florencenjeri16982 жыл бұрын
Thanks Joel for saying it's all for God's kingdom
@DavidLwagagospel22 күн бұрын
Yeeeeeeeeeeeeeeeees🙏
@namsamson34432 жыл бұрын
Be you na usimruhusu binadamu akakujurge let God judge you. Yaani Joel wewe endelea kueneza neno la Mungu. Hata Mungu walimsema alipokuwa anajichanganya na watu ambao binadamu waliwaona hawafai ila kwa Mungu walikuwa wanafaaa na ndio maana alijichanganya nao
@neemaneema99692 жыл бұрын
Joel ni Handsome boy Mashallah
@olicej78372 жыл бұрын
😂😂
@tulibakokyoma11322 жыл бұрын
Yesu hakuwa na ubaguzi ndio maana alimponya mwanamke kahaba kwenye kisimani..Songa mbele Joel. .PANDA MBEGU KWAO.
@robertamas73382 жыл бұрын
I am blessed
@edifyomtafyaggfeddy30262 жыл бұрын
What a wise response ✨🥰
@mnyakyusambunifu1432 жыл бұрын
Lwaga Nakukubari saana Ndugu yangu Unayajibu Maswali kiufasaa Wenye Vidomodomo wamepata Dozi yao Nakitu Chakujifunza kwako
@alinanusweemanuely49072 жыл бұрын
nmejifunza ktu kkubwa, barikiwa
@Shalvah192 жыл бұрын
That’s right no 17 song has change my life, it’s a prophetic song that has described everything that I have been through, I don’t listen to secular music but I was drawn to that song Sayini. Thank you for your obidience Joel and God bless you
@gracemataba4652 Жыл бұрын
Joel lwaga your talented ,Just think of making collabo with Abbychams,u will make a powerful gospal song as Sayuni
@princebuingo6172 жыл бұрын
Amazing
@adorateurandremwati25192 жыл бұрын
Vraiment
@makitivo2462 жыл бұрын
Joel my son l love ❤️ you and be happy with your family
@zachariaglory96252 жыл бұрын
Aki si nimekupenda bure Bro
@rithersospeterkati3355 Жыл бұрын
Amen Amen Joel.
@BerthaModestАй бұрын
Mtangazaj ni shabiki wa mondi😂😂sijawai sikiliz interview ajamtaj
@alexaugustino32302 жыл бұрын
Proud of you brother Joel
@eunicembwambo Жыл бұрын
Uko vizur, Kaka joell, please naomba no zako tuwasiliane watsup Nina taka unisaidie Jambo kuhusu uimbajii, asantee
@bishopheryngonyani19042 жыл бұрын
Joel Lwaga you are talented, you sing very well. God bless you very much, I listened to your interview very well. but I want to advise you only one thing through the word of God 2 Cor 6:14 KJV Do not be yoked together with unbelievers, in a way that is not right; for what friendship is there between righteousness and rebellion? What is the relationship between light and darkness? We are the Light of the World May Our light shine on people, so that they may see our good deeds; glorify Our Father who is in heaven.
@Mr.Tanzanite2 жыл бұрын
Dada suzzet nakufurahia
@mr.yahzadochuno79142 жыл бұрын
Blessed 😇
@modeemojombo56622 жыл бұрын
Good job Suzzet! Keep glowing 😍😍
@mosesmwailenge51922 жыл бұрын
Watu kama Hawa ndyo huwa tuna waita Harf cest waimani hamna wokovu nimichanganyo tuu 😭😭😲
@florabernard20562 жыл бұрын
Romans 5:8 Fanya kazi mtumishi, mwanadamu hatosheki kwa lolote. Jaa Roho Mt. Ongozwa na Roho Tii Neno That's all More than that "Tunajua Mungu alitupenda tungali bado wenye dhambi"I like TULIOKOLEWA HATUKUJIOKOA. 👍
@scollantandu62782 жыл бұрын
MUNGU akutunze zaidi 🙏
@upendodavid30812 жыл бұрын
Nimeenda iyo wanachukua nafas ya mungu afu wanakasilika Yan hao tunao makanisan Sana Wana kela wanajiona wao wamemmeza mungu walokole wa agano la kale badiliken
@Werema37602 жыл бұрын
Mungu ni yey yule wa jana leo na hata milele habadilishwi na habadilishwi na mazingira au utandawaz. Be careful
@shangwerobert56392 жыл бұрын
Hatulii akijibu maswali
@lauradeogratias30552 жыл бұрын
I love it ❤️is for the kingdom of God it is a ministry not industry
@charityanthony302 жыл бұрын
Unakitu kikubwa sana ndani yako...sjui nisemeje in short wewe ni madhabahu ya Mungu
@abigailjoseph76202 жыл бұрын
I respect him
@atanasicosmas66782 жыл бұрын
Appreciated
@samsonmkisi92722 жыл бұрын
I'M BLESSED WITH THIS INTERVIEW...GOD I GREAT. THERE'S IMMATURITY IN IT
@elizabethsimon64472 жыл бұрын
Correction. Did you meant maturity I think there is typing error there Mr @ Samson Mkisi
@Mandugudigitalify Жыл бұрын
Maturity @samson Mkisi
@devothamwakyumba76282 жыл бұрын
Akili kubwaaa, hakunaga mnyakyusa fala
@klaussteiner942 жыл бұрын
devo aiseeee daaah😂😂🙌🙌🙌🙌
@Yustina-q7x Жыл бұрын
Umeonaee
@jukaelyelisha63112 жыл бұрын
Be blessed mnoo broo joel
@wilfredlukowo94762 жыл бұрын
Safi Songa mbele
@neemajohn61422 жыл бұрын
Alipitia changamoto / mambo hayo yapo / watu hawapendi watu wawili wakipemdana/ bado uamini hayo mambo -umesema nn na unakataa nini?? Any way kama uamini MUNGU yuko na shetani yuko , yalishanitokea mm kwa ndoa yangu na nina miaka 27 sasa ya ndoa nakiri ni shida mnooo yote all tje best na maombi ndio siraha tu
@tausipaschel1552 жыл бұрын
Hayo ni mapito kwa kuwa umefanikiwa simama na maombi mdogo wangu ndoa yenye mafanikio ina Vita sana.
@hebrew1214 Жыл бұрын
-Wala msiifuatishe namba ya Dunia hii Warumi 12:2. -Msifungwe nira na pamoja na wasioamini kwa namna isivyo sawasawa 2Kor 6:14-18. -Uasherati usitajwe kwenu kamwe Efeso 5:3-4.
@maggiekelimishajamiishow66702 жыл бұрын
The guy fits me alot he has what I own
@minaelnathanael18462 жыл бұрын
Huyu Joel huyu anahitaji maombi ya Kitaifa huyu. N a huyu mtanfazaji Interview nzima Diamond ooh Barbaba
@pharesmitarya4892 Жыл бұрын
Mtangazaji ana mahaba na Diamond,interview ya Joel,lakini maswali sehemu kubwa Diamond
@njiayakwelinauzima Жыл бұрын
Sijacheki hadi mwisho, lakini Joel, unamjua Mungu unayemtumikia, hata nyimbo zako zinaakisi hilo. Lakini msisahau kujiombea, ilinde sana nafsi yako usikutane na changamoto iliyomkuta Rose. Joel unaimba, una sauti nzuri sana. Usikubali habari za label baba, zina siri nyingi sana ndani yake hasa hizi secular, Rose aliangushwa na Sony, keep doing what you doing, Yesu awe label yako. Mungu aendelee kukuimarisha.
@alinemfurakazi2872 жыл бұрын
I love this man 👨 ❤️❤️
@WakupereeWakutelezaa6 ай бұрын
🕸️uishi miLeLe mbarikiwaa
@luthmwandinde89302 жыл бұрын
Point wanapo furahi wawili wengine Wana chukia ndivyo ilivyo
@careenwasonga2 жыл бұрын
Ahsanteeeeeeeeeee🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@juliethsanga61512 жыл бұрын
It's not your battle mti wenye matunda mara nyingi unappopolea tulia tu Yesu anakupigania usiogope.
@gabriemanoti21462 жыл бұрын
Tafuta unyenyekevu brother
@esterisaya95602 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@aoman52142 жыл бұрын
Huyu Joel namkubali Sana tena Sana
@michaelgodfrey98382 жыл бұрын
Mtangazaji mbon kama unabishana 😝
@gloriousfamilytanzania29812 жыл бұрын
Nasubili na ninaomba pia natamani barnaba aokoke et
@olivermfinanga93872 жыл бұрын
Namkubal sana joel
@tumpeernest96902 жыл бұрын
Ko we we kila kitu ni uwongo 😏
@elizabethvenans36722 жыл бұрын
Uongo ngap kafanya
@juliethsanga61512 жыл бұрын
Hekima don't strain your self yesu anakupigania na anampigania mkeo watches was emergency yesu uliyenaye atawajibu kwa kishindo waombee kusema sio ulinzi wa mkeo tulia mwanangu mpendwa.
@naomilukani22792 жыл бұрын
Kidhungu kidhungu not kiswahili
@leaherasto9292 жыл бұрын
Watu hawaridhiki kwakweli
@roberttagaya90982 жыл бұрын
Huyu demu nae. Yani kila mtu anae mfanyia mahojiano basi lazima amtake awe kama diamond. Sijuwi yeye huyo mtu ndio anamuona mfalme?