Anna Paul clement ni Mke wa Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania amefunguka mengi tusioyajua kuhusu Paul clement.
Пікірлер: 56
@stephenmalilo98332 жыл бұрын
Huyu dada ni combination ya Yesu na shule......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@theosaimon6933 Жыл бұрын
Daaaaaaaaaa wewe jamaaaa bwanaaa it's very true kiukweli ila sijui kwanini comment yako imenichekesha sijui😆😆😆🙏
@pendo8082 Жыл бұрын
Kweli
@user-hb7nt7vn5y5 ай бұрын
Sio mtanzania
@georgenyakaraita6622 Жыл бұрын
High capacity of thinking is good. Mke mwema anatoka kwa bwana
@ministergraciousben2 жыл бұрын
Poul hapa umepata mke, she is very active, smart, humble and spiritual
@ministermossesmungure2 жыл бұрын
MITHALI 31:30 Upendeleo hudanganya, uzuri ni ubatili bali mwanamke amche Mungu ndie atasifiwa. Your blessed Mrs Paul. Paul wewe ni Kichwa. Ubarikiwe mno.
@floraleonard9095 Жыл бұрын
Nimekupenda sana Annah, Mungu aendelee kukupatia hekma na busara katika ndoa yako.
@anointedchild6983 Жыл бұрын
Dada una ufahamu wa Mungu na akili ya Kristo! Good interview
@upendomjema5190 Жыл бұрын
Dada Mungu azd kukutumia mana unaonekana unabeba huduma ya mume wako. Kristo azd kuwatunza na kuwatumia mzd kuchanua na kustawi ktk kusudi la Mungu. Nmejikut nakuappreciate san kupitia maneno yako nataman wengine wenye huduma kama hiyo waige mfano wenu. Kubwa kabsa May the Almighty hand of God protect you always 🙏😇
@mclawrencetvmclawrence_4233 Жыл бұрын
For the first time nimependa Interview ya Hizi online TV ni Leo, nimependa muuliza Maswali, Muulizaaji kwa maana Shemeji yetu Mrs Paul anavyojibu Vizuri, kwa Usahihi na kwa Weledi wa hali ya juu sana, lakini pia nimependa aina ya Maswali yameandaliwa vizuri mnooo. Keep it up guys..
@paziatvtz11 ай бұрын
Thank You so Much our brother
@beataselestine586 Жыл бұрын
Majibu yako yameni Inspire dada.. Ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@yohanadaniel70302 жыл бұрын
Uko vizuri mrs paul !! Unajiamin sana na unauwezo wa kujieleza pia
@roseyona95242 жыл бұрын
Dada unafaa sana kuwa mama Mchungaji
@adorablesein2 жыл бұрын
Mrs Paul Clement uko vizuri 🔥🔥🔥🔥
@emmanuelakilya20862 жыл бұрын
Uko sahihi mrs Paul,ukweli kaka paul anaimba nyimbo zenye mguso.kifupi anaimba vizuri.
@zephaniapaul5562 Жыл бұрын
Glory to God Dada umebarikiwa hakika
@ericakimei5617 Жыл бұрын
Very calm, cool, and collected.
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Big up mrs P. Uko na confidence
@emanuelisaay36972 ай бұрын
Nimekupenda saana Dada Mungu akutunze
@VeronicaFrank-lp1uv8 ай бұрын
safi sana 🙏ni mke na nusu barikiwe mtumishi wa Mungu
@ckkevinkigen496811 ай бұрын
Watching from Kenya with love and joy of the Lord
@waltermairo62582 жыл бұрын
Safi sana. Glory be to God
@abigailjoseph76202 жыл бұрын
My fav couple
@meshackntoga15662 жыл бұрын
Mungu Awabariki sana hapo.
@dororosakapinga9902 Жыл бұрын
Blessed so much Mrs Paul🙏
@barakagospelchoirbgcfpctmp59582 жыл бұрын
Yesu akuongeze hekima km hiyo zaidi
@suzanswila482 Жыл бұрын
Hakuna raha kama kuoa mke na akawa smart huna wasiwas anapoongea mbele za watu
@charlienestory2 жыл бұрын
Hello, I like the content shared. Good work! However, sorry for this comment. The video is not steady. The camera person hajatulia. My view!
@lavendawekesa503 Жыл бұрын
Wise woman ♀️😘🥰😘
@godfreywilliam44702 жыл бұрын
Paulo umeokota dodo, hongera
@gaudenciamarwa23942 жыл бұрын
Be blessed mom💞
@carolinepatsone6806 Жыл бұрын
Shikamoo Hekima ya Annah
@revelationonlinetv3798 ай бұрын
Oooya we mwamba una v maswali vya uchokozi😂😂
@lightmashauri17252 жыл бұрын
keep up pazia your good work
@aaronmichaelswai14562 жыл бұрын
Mama wa Taifa
@happinesstesha70612 жыл бұрын
Unajibu Kwa hekima
@user-hl3bi6ho6o4 ай бұрын
❤❤
@ebbyescor7614 Жыл бұрын
Saf sana
@samypiere79672 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@immanuelmwaipopo2671 Жыл бұрын
Huyu mdada lazima amewahi kushika namba moja darasani
@agnescharles9746 Жыл бұрын
Hahahahahahahaha jaman,dada Anaconfidence ya Hali ya juu.
@immanuelmwaipopo2671 Жыл бұрын
@@agnescharles9746 umeonaeee eeh
@kmotivation1130 Жыл бұрын
Hivi hawa ndo wale wake wema utoka kwa Bwana
@neydeclare2 жыл бұрын
😍😍😍
@barakagospelchoirbgcfpctmp59582 жыл бұрын
Wanawake wachache walio km wewe
@pinielalphayo41112 жыл бұрын
Pazia kuna maswali hujauliza!
@joelsamwel25802 жыл бұрын
Mtangazaji umezingua yani hujui kupangilia maswali, unauliza maswali ya kawaida sana hujajiandaa kwa maswali
@maromedia6272 Жыл бұрын
Martha Baraka Ft Bahati Bukuku & Christina Shusho Wimbo wa ndoa kzbin.info/www/bejne/j4HHo6Kfeb1-oK8