Heche,mwanasiasa bora sana Tanzania.Hongera sana sichoki kukusikiliza ht siku moja.
@husseynzooh19796 ай бұрын
Akil kubwa HECHE mabadiliko n sasa✌️
@kungukira58686 ай бұрын
The Best politicians in TZ I love listening to Heche
@AbdallahHussein-of7wdАй бұрын
Kwel mh heche unaongea point Sana Allah atufanyie wepes katika harakat zetu
@dottosagi71166 ай бұрын
Tanzania needs more Kurya babies
@ChidebweTimoth6 ай бұрын
Bongo 39 . Kaa kimya maisha yako magumu
@PaulMauld-qb5fh4 ай бұрын
Jhon uko sawa
@barackymgenimgeni73326 ай бұрын
Nkweli kabisa viongozi chadema
@tobiaspaul92036 ай бұрын
Jonh heche ni hazina kwa taifa
@AbnerKennedy6 ай бұрын
Mwendawazim pekee ndio awezi kukuelewa.
@Ushauri2356 ай бұрын
Nakuelewa sana heche tusaidie kiongozi kutuelimisha
@donatusdaniel37226 ай бұрын
Mheshiwa John Heche piga kazi....Tarime kijijini tunakusubiri utusaidie.
@PhilipoMwita-ge2oj4 ай бұрын
Jaman kwann wananchi tufunguke akili Zetu Hawa ccm wametupiga sana
@user-nd4tq6nd8s4 ай бұрын
Kila kitu kina mwanzo na mwisho,, tuendelee kupambana
@bukurunestory35406 ай бұрын
Mwamba Heche Songa mbele......ukombozi unakaribia
@user-dp1mq6tr2t5 ай бұрын
Umetuacha wana tarime vijijini boss lakini pambana
@King_Of_Everything6 ай бұрын
✌️👊👍.
@asteripius4176 ай бұрын
Usielekeze camera kwenye podium peke yake, onyesha na hadhira pia.
@tobiaspaul92036 ай бұрын
Sawa kiongozi
@Carolinesommy-kq3tf6 ай бұрын
Ww ni nani ambaye utafanya uchaguzi usifanyike? Kama uchaguzi hautofanyika niite mbwa nimekaa pale.
@FrankasamisyeMwaiswasu2 ай бұрын
Ccm watuachie nchi yetu wameiharibu hatufai kabisa hatuitaji vingozi wezi
@AlfredAlfred-yd2mgАй бұрын
Ccm hawana dini dhulma tupu
@zachariamashala93019 күн бұрын
Mwaka huu napiga kura
@FrankasamisyeMwaiswasu2 ай бұрын
Ccm majambazi
@jumannentimizi90006 ай бұрын
ONGEA BABA MUNGU AKUPE NGUVU HATA HIVYO NINAWAOMBA WATANZANIA TUBADILIKE HIVI INAWEZEKANAJE ETI MH RAIS TUNAKUSHUKURU KUTUPA PESA HII NI HATARI KWANI YEYE ANATOA WAPI HIZO PESA.JAMANI TUKATAE UJINGA HUU TUNAOAMBUKIZWA NA WACHACHE TU
@mashimbazephania35116 ай бұрын
Wanaokuangalia wanakushangaa cjuwi uko msibani, jpm hayupo ongelea Sera zako huna jipya LA kumuongelea jpm.
@bongo396 ай бұрын
Siku zoote mlikuwa wapi uchaguzi ndio mnaanza kuonekana sasa watanzania tujue hawa watu wapo kwa ajili ya matumbo yao
@tobiaspaul92036 ай бұрын
Wewe ndiye hukuwepo tz wao walikuwepo mtaa kwa mtaaa
@donatusdaniel37226 ай бұрын
Tulikuwepo inawezekana wewe ni mgeni wa Tanzania
@jeremiahngoka49806 ай бұрын
Maswali ya majitu mazwazwa
@boniphacewambura14276 ай бұрын
Huyu jamaa anaonekana siyo mtanzania au ni mtanzania leo ndio anafatilia siasa Mikutano ya imeruhusiwa tarehe 20/03/2023 na wamepiga kazi vibaya mno kama ulikuwa umelala amka dada angu