Hongereni sana Wana wa Bunda. Nakuona dada Jane na Mwalimu mahiri wa kwaya Mr. Daniel Simbira
@ExcitedDrumKit-et1sf2 ай бұрын
umbo mtam sanaa ❤🎉🎉
@jomiresovoicestz2 ай бұрын
Amen
@daddybenny7 ай бұрын
Kama wimbo mtamu gonga like hapa😊
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@MiriamAbner-pk6ne7 ай бұрын
Nyimbo zenu zinanipa matumani katika maisha
@issamugisha42277 ай бұрын
My choir nawapenda sana nawafuata niko bujumbura burundi🎉❤
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@Joshua-k7p9yАй бұрын
Listening at Nairobi School and we are blessed by all your songs
@jomiresovoicestzАй бұрын
Amen
@ERM-hope7 ай бұрын
Good work may God bless you🙏
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Thanks a lot
@sabatojacob96207 ай бұрын
My team, kazi nzuri mbarikiwe sana pro eph, pro mtalika mwalimu majogoro God bless you all
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina sana
@momylaviel7 ай бұрын
Nawapenda sana hakika nawaombea mfike mbaliiii Mungu awabarikiii
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@BettyNangi7 ай бұрын
You really bless me Jomireso members each day 🙏🙏 be blessed forever❤❤
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@johnsonmalimaofficial7 ай бұрын
Alooh!!! alooh!!! Mbarikiwe sana rafiki zangu, natamani nijiunge nanyi soon kwa kazi tuliyoitiwa kufanya 🤝🤝Tuko pamoja sana ndugu zangu 😊😊😊
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina sana !! Karibu sana
@freedriwa70507 ай бұрын
Leo wakati natoka kazini, nilipata notification ya wimbo mpya kutoka jomireso. Moyo wangu ulilipuka kwa furaha. Nilisema ni saa ngapi nitafika nyumbani ili niusikilize. Sasa nausikiliza na kwakweli moyo wangu unaburudika
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina unarikiwe sana mtu wa Mungu
@shevshamoniche83776 ай бұрын
Naurudia nikirudia wimbo mtamu wa kutupa tumaini na furaha ya kuzidi kusonga mbele
@jomiresovoicestz6 ай бұрын
Amen
@mwitamakenge33187 ай бұрын
Nice voice from you all ❤ and God is good 🙏🙏
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@KelvinKoyaro7 ай бұрын
Keep it up mubarikiwee zaidii🙏
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina barikiwa zaidi
@AcousticBrothers-pz5zu7 ай бұрын
Eeee bwana wee nime chelewa ku view..... Kumbe ka song ni katamu hiv.... Mfike mbali wakuuu 🎉🎉🎉
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina ubarikiwe
@AnnaMrombo6 ай бұрын
Duuuh!! Kwakwelii Mungu awabariki sana mana Mimi hua sichoki kuskiliza nyimbo zenuu nabarikiwa San
@jomiresovoicestz6 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@Sarai_f72857 ай бұрын
Mbarikiwe sana,ila izo gauni za wanawake ningependa kujua nani mshonaji wa izo maan nimezipenda mno.
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
+255 762 822 825 Beatrice walwa ::
@AmosChacha-k2x4 ай бұрын
Wapendwa Mungu Azidi kuwatumia ,wimbo huu umenikuza sana.
@Kazunguwumwiyahuzi7 ай бұрын
Ni nzizabambe ndabakunda cyane
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen!! ❤️❤️
@winfridapaul18327 ай бұрын
Stay blessed guys🙏❤️
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen be blessed
@AmospropheteNdayishimiye7 ай бұрын
Les amis cette chanson crée de plus les sentiments de franchir dans les palais construits par Jésus lui même. Nous prions pour vos succès dans ce travail. Seulement la tenu était très bonne mais la coiffure est à corriger. Soit béni.
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen et puisses-tu être béni
@michaelmanyangu79235 ай бұрын
Am speechless Mungu awabariki sana.. bt huyo lead singer ana hatari sana Mungu ambariki sana sana na afike mbali.
@jomiresovoicestz5 ай бұрын
Amen
@simonbundala63827 ай бұрын
kazi nzuri. Mungu azidi kuwabariki kwa kuendelea kuhubiri kwa nija ya uimbaji.
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen 🙏
@amosvuvuya61286 ай бұрын
Woooo wimbo mtamu sana ❤❤❤ tatizo nimfupi 🥰
@jomiresovoicestz6 ай бұрын
Amina barikiwa
@jaajmedia21187 ай бұрын
Amen, My Choir doing the best 🙏 I love your music guys ❤️
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen be blessed
@VERYNICETHOMAS6 ай бұрын
Am blessed
@brightonjonas697 ай бұрын
Am happy to see Irene is ministering 🥰
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@joshuasebastian62107 ай бұрын
We Love❤ each other thus why we share each other...! Ninyi mfano wa Mungu Mbarikiwe Sana.. 🎉
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina ubarikiwe zaidi
@bikorimanajean10017 ай бұрын
Tunawaombea muzidi kusonga mbele ,zaidi.ujumbe huu unaleta wengi sana kumugeukia Mola. Lakini Sarah na Asmani , na Kijana yule ,walikuwa wapi?
@qalibratedsystems4 ай бұрын
Eiiish this team I love you big time😄😘😘
@jomiresovoicestz4 ай бұрын
❤️
@simonmbwambo36607 ай бұрын
Huwa nakubali kazi zetu nawapenda❤
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@JacklineB7 ай бұрын
😊 vocal ya huyo dada🔥 nice song ❤
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@AmospropheteNdayishimiye7 ай бұрын
Na mimi Dada huu amenifulahisha sana kuzidi Asmani na Sarah ambao siwaoni
@isamaxisaacmax29057 ай бұрын
Kazi nzuri ila sauti zenu hazijai. Mubarikiwe
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@frankmapera675 ай бұрын
Duh nimejaribu kuurudia tena mmmh Jesca nakuona mbali
@johnsonmalimaofficial7 ай бұрын
Ticha Majogoro unaupiga mwingi kwakweli 🤝🤝🤝 Mungu akutangulie ktk mambo yako
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina
@nifferyjoseph73997 ай бұрын
Irene lango😂 anyway mbarikiwe kazi njema Sana 🥰
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
🙏🙏
@EmmanuelSimion-d3e4 ай бұрын
Wimbo uko vzr, lkn sasa anaye solo ameonewa 🤪
@atholeresulphine35217 ай бұрын
Amen may God continue blessing you
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen be blessed too
@ZawadiGasana7 ай бұрын
Amen mungu awabariki.
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@YefthaKornelio7 ай бұрын
Wimbo huu nimtam sana kupita maelezo❤
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
🙏🙏
@hawazakaria-kw5lh7 ай бұрын
Sijawai acha kuwapenda na kuwasikiliza hongera kubwa kwenu
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amina barikiwa sana
@AlexMathias-l6q4 ай бұрын
Mungu awabariki Sana
@jomiresovoicestz4 ай бұрын
Amina
@AlexMathias-l6q4 ай бұрын
@@jomiresovoicestz natamani Sana kuimba hapo
@sebastianmbazi28117 ай бұрын
😊😊 Jomireso your blessing me alot,may God Bless you 🙌🙌
@jomiresovoicestz7 ай бұрын
Amen
@a-gi7mw7 ай бұрын
i love you and i'll appreciate to warship with you from Rwanda sda!!!!!!!!!!!!