Joramu Nkumbi - Fanya “Ima fa Ima” kumbatia Ufahamu

  Рет қаралды 8,702

Joramu Nkumbi

Joramu Nkumbi

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@Samrumanyika
@Samrumanyika 3 ай бұрын
Ninakukubali sana Joram. Usiuache utamaduni huu adhimu abadan. Ulumbi wako hauchachi.
@joramunkumbi
@joramunkumbi 2 жыл бұрын
Hidaya ya uzima
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 2 жыл бұрын
Hidaya maana yake ni BAHATI kama sijakosea
@bashirmrisho8491
@bashirmrisho8491 3 ай бұрын
Bwana mdogo...umewafanya vijana waanze kukipenda kiswahili
@jkayombo_jr858
@jkayombo_jr858 2 жыл бұрын
Hongera sana Mr Joram Nkumbi tunajifunza mengi kupitia kazi zako.
@gwishtztz8784
@gwishtztz8784 Жыл бұрын
Kaka nakufuatilia sanaaa actually unamambo mpaka nakuhusudu sanaaa
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 2 жыл бұрын
Huyu ni mhadhiri wangu anayenielimisha kwa lugha hii adhimu ya Kiswahili.
@jmat82012
@jmat82012 Жыл бұрын
Joram is an irreplaceable asset
@Giliad-eab
@Giliad-eab 7 ай бұрын
😂 , his children or grandchildren will replace him .
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Mungu akushike MKONO ...
@jkayombo_jr858
@jkayombo_jr858 2 жыл бұрын
He who learn teaching and he who read write hapa umenikamata najifunza nafundisha lskini nikisoma siandiki hapa ndipo nafeli.
@leonardmwasame2242
@leonardmwasame2242 2 жыл бұрын
Kuntu kabisa swahib! Mengi makubwa ila kumithilisha fimbo ya Musa na slaha ya kuupiga umaskini na hali zinazotuzonga bila shaka uvumbuzi wa kiroho.
@Giliad-eab
@Giliad-eab 7 ай бұрын
Natamani nipate namba yako ya simu 🎉❤❤🎉😂
@DavidTanu-rh9be
@DavidTanu-rh9be Жыл бұрын
Jamaniiiiiiiii mkuu naomba nisaidiwe maana ya neno kimombo
@KingiSudi
@KingiSudi Жыл бұрын
Kimombo ni lugha ya kiingereza
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution 6 ай бұрын
Wanaelimisha umayamaya
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Жыл бұрын
😂😂 siku hizi nchi inauzwa na wazee wenyewe
@dicksonkarithi5637
@dicksonkarithi5637 Жыл бұрын
Pongezi
Зачем Путин сменил главу «Роскосмоса»?
25:32
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 10 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Joramu Nkumbi- “Nilipoona Mwangaza” “The inner transformation”
13:34
Episode 23 with Jorum Nkumbi: Mtaalamu (Mlumbi) wa lugha ya Kiswahili.
1:30:48
Joramu Nkumbi = Mentorship, How do we manage criticism
10:59
Joramu Nkumbi
Рет қаралды 6 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН