JOSEPH KIJANA ALIEMTOA KAFARA MTOTO WAKE AKAPATA MILIONI 30/NAJUTIA MTOTO HUWA ANANITOKEA USIKU

  Рет қаралды 15,609

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@leahlucas479
@leahlucas479 Жыл бұрын
Davista uwe unaliza mwaka wa Matokeo please
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Жыл бұрын
Subhanaallah huyo sio mwisilam kabisa kesho atayaona kama yeye ni mwisilam kwanini aolewe katika familia hio huyo ni binafsi wa tabia💔💔💔💔
@khadijamohanani6476
@khadijamohanani6476 Жыл бұрын
Hapo kwa imani bro sio kwaajili ya dini huyo mke wa mjomba wako yy mwenyewe ako na roho chafu
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Tena kamzidi shetani roho chafu kweli
@athumansaumu1680
@athumansaumu1680 Жыл бұрын
Kuhusu imani hiyo si sahihi kumtenga mtu mwingine eti kwa Sababu dini yake n nyingine Mi kitu chenye naona upande wangu ni kwamba Inategemea n mtu mwenyewe roho yake iko aje but si wote wenye wananyanyasa wengie kwa sababu ya imani
@petermwaibofu7580
@petermwaibofu7580 Жыл бұрын
Hata walokole wanakawaida kama hiyo kuwatenga wengine wasiofanana nao!
@athumansaumu1680
@athumansaumu1680 Жыл бұрын
@@petermwaibofu7580 n makosa kufanya hvyo
@fxtrader407
@fxtrader407 Жыл бұрын
Kama mali zakiafrika huwa ndivyo zinavopatikana manake Africa akuna mzima tena.
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
wengi wao siri za kutisha
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
❤tamuu
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Жыл бұрын
WaTanzania wengi tu wamepuuza elimu ndio maana wanaendekesha ushirikina eti kujikimu kimaisha.....Bure kabisa !
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Ndio
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
🔥🔥
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy 16 күн бұрын
Nathani huyo mtu alikuwa Muslim jina. Alikuwa hajuwi maana ya Muslim pole sana kaka yangu
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 Жыл бұрын
Watanzania wanapenda shortcut sana hampendi kujituma
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Nawewe upo
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
😂😂😂
@stellajohn5647
@stellajohn5647 Жыл бұрын
​@@HamixBreshiBane 😂😂😂
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Kwahiyo ni watanzania Tu au waafrika
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 Жыл бұрын
@@shuwehaharuna6309 most of them
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
hivi Davistar ukiwa wafanya kipindi kama hivi Adhana akipigwa ukistopisha kidogo wapungua wapi aisee hii sio mara 1 wala mara 2
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Huyo mkristo hatambui
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 Жыл бұрын
Acha upuuzi, azana ndio nn ??
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Mkristu na adhana wapi na wapi
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Ndo nyie mnbagua watu kuwaita makafir ,Sasa hiyo Adhana Yeye inamhusu Nini ,inakuhusu Wewe ambae unajua Maana yake
@I_lift_you_higher
@I_lift_you_higher Жыл бұрын
Sio muislamu, hiyo haimhusu inakuhusu ww na dini yako
@ramadhanishabani2743
@ramadhanishabani2743 Жыл бұрын
Professor, tunajua ku upload hizi season ni gharama sana ia tusaidie sisi walaji walau EP 2 @Each day mkuu. Appreciate!
@aziza9093
@aziza9093 Жыл бұрын
Hizonitamaa zakipato chaharak chuki Ameazisha mamayako
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Yani hao marafiki zako walikua marafiki wa dhati sana
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Shida ni huyo mamako alidhamini mume kukuliko wewe pole sana
@rasjamal9854
@rasjamal9854 Жыл бұрын
Chambo ni nyungu nyungu ina patikatika chini ya aridhi ktk unyevu nyevu Davister mata
@salimjoram1025
@salimjoram1025 Жыл бұрын
Muongo uyu sini mambuzi wa kitangili sokoni ajawai ata kua na mtoto wala kushika laki tano tutafutie wakweli bwana sio flesh kbisa yan uongo mtupu ata shule ajasoma uyuuu😭😭😭
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Uyu n mambuz alikua konda apa polc kirumba
@Ramadhanhasan49
@Ramadhanhasan49 4 ай бұрын
😊😊
@bashiruhassani1017
@bashiruhassani1017 Жыл бұрын
Uyu si mambuz wa usoro
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Жыл бұрын
So mambo ya kucheka mtu kuitwa kafir ww unacheka?
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
🔥🔥
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Calm Wind: Listen To This Music When You Miss The Forest
3:08:19
Soothing Relaxation
Рет қаралды 12 МЛН