WAZEE WA QYUBA

  Рет қаралды 380,336

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Пікірлер: 549
@ibrahimnjohole1684
@ibrahimnjohole1684 2 жыл бұрын
Ngoja na mimi leo niombe like nione wanazipataje.Joti fara Sana😀
@paulokiruwa9879
@paulokiruwa9879 2 жыл бұрын
Like inakusudia nn
@ilhamsilim131
@ilhamsilim131 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@erickabel6201
@erickabel6201 2 жыл бұрын
😢😂😂😂
@sophiapaulo7859
@sophiapaulo7859 2 жыл бұрын
Umeshashiba izo like subr nikuletee na majii🤣🤣🤣🤣
@dianerditto
@dianerditto 2 жыл бұрын
Shushia na yangu
@wellbrand3415
@wellbrand3415 2 жыл бұрын
Full package ya salam 😂😂 Ila joti leo hawa wakongwe wamekinukisha sanaa
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@Kizanda_84
@Kizanda_84 2 жыл бұрын
Twendeni na huku jamani 😊😊😊😊 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@tabuhatibu6496
@tabuhatibu6496 2 жыл бұрын
ila joti nampenda sana habagui watu wa kucheza nao nimefurahi kumuona mzee muhogo mchungu❤😅😅😅
@indiansonglomanticlove8493
@indiansonglomanticlove8493 2 жыл бұрын
Mimi Leo wa 207 naombeni like kama umependa mzee anavyoigiza sauti ya mwanamke
@Thebeast_tz
@Thebeast_tz 2 жыл бұрын
Like za kiziwiii kama umemkubaliii😍😍😍😍🇹🇿🇰🇪
@shijathedon5453
@shijathedon5453 2 жыл бұрын
Mzee mbembe ndo mzee majuto aliyebaki nakumkubali mzee wangu
@mathewmangii8371
@mathewmangii8371 2 жыл бұрын
Mamae joti,muhogo mchungu kwa kweli hii ni mwaka mpya kweli I like it very much appreciated..
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 2 жыл бұрын
Sasa jamani kila mtu wa kwanza ndio nini hivyo???? Mimi wa 20 naombeni like zenu nione utamu wake 😋
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 жыл бұрын
Apo sasa😆
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@Kizanda_84
@Kizanda_84 2 жыл бұрын
Twendeni na huku jamani 😊😊😊😊 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@benhanclove5997
@benhanclove5997 2 жыл бұрын
Au sio😂😂😂
@eddababy9734
@eddababy9734 2 жыл бұрын
Izo palachichi na ndiz wametengeneza uboo awa wazee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🤣
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 жыл бұрын
😂😂😂 Wazee wasela Sana 🙌
@annastaziasteven7070
@annastaziasteven7070 2 жыл бұрын
Ndg yangu kwa style hii utapoteza mashabiki kama ni mkataba we renew tu na Ile crew ya mwaka jana
@sophiaruwa1366
@sophiaruwa1366 2 жыл бұрын
Wee!!zamani nimempesa baba yetu mhogo wa mchungu leo nimemuona ,maisha marefu kwake
@saidmo9250
@saidmo9250 2 жыл бұрын
Naumwa lakini nimefurahi asante joti🔥🔥🔥
@Kijosh854
@Kijosh854 2 жыл бұрын
Umetisha Sana braza joti kwaawa wazee wa cuba👍🙈
@salmamahawi7132
@salmamahawi7132 2 жыл бұрын
Mzee wa house keeping😂nimeleta taolo🤣🤣🤣🤣🤣
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 2 жыл бұрын
Cha kike kabisa!! Love from Burundi 🇧🇮
@emmanuelmtonyole9958
@emmanuelmtonyole9958 2 жыл бұрын
Jamani nimechelewa lakini naomba like 80 hapa Kwa joti
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 2 жыл бұрын
Muogo mchungu kashikaje yale maparachichi na ndizi, mzee mhuni hyo duh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@phillphilipo5153
@phillphilipo5153 2 жыл бұрын
"Nakuongezea na mitishamba" joti jinga sanaa 🤣🤣🤣 all in all siku yangu imeisha vizuri GOAT
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwakweli Nimecheka Sana mpaka nimepaliwa kwakweli Jotiii kiboko na wazee kweli ni wazee wa QYUBA😂😂😂😂😂
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 жыл бұрын
Bonge la comedy WALAHI UMOJA ni NGUVU ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂JOTI kama JOTI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@chamtvonline9058
@chamtvonline9058 2 жыл бұрын
Sisi tu Siyo pata like tuta acha ku agalia best comedian 😒😀
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 жыл бұрын
Hahaha mzee kanifurahisha aliyobadili sauti 🤣🤣🤣
@jennifersamwel8951
@jennifersamwel8951 2 жыл бұрын
Haahahha nmecheka huyo baba alivyosema😂 housekeeping 😂😂😂😂😂
@ibrahimmkombozi9871
@ibrahimmkombozi9871 2 жыл бұрын
Huyu sister anajua sana😂🙌
@mary2615
@mary2615 2 жыл бұрын
I love your vids 😘💕👍🏻
@iCloud_unlock_tz
@iCloud_unlock_tz 2 жыл бұрын
Nlikua nasubiri punch line ya Muogo mchungu..🤣🤣🤣 mzee jau sana ndo nn sasa kuweka matunda vile
@liiybrox5698
@liiybrox5698 2 жыл бұрын
Na wewe umeonaa
@annaki318
@annaki318 2 жыл бұрын
Hahahahahahahaha mzeeeee wa house keeping jamaniii... Nimecheka apooo... Waliokikubali iko kipande tujuane kwa like
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@herikaniugu
@herikaniugu 2 жыл бұрын
Hahah mzee sio poa
@Kizanda_84
@Kizanda_84 2 жыл бұрын
Twendeni na huku jamani 😊😊😊😊 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@MgeniTwins-hv9qc
@MgeniTwins-hv9qc Жыл бұрын
Hongra
@ednakadilana1065
@ednakadilana1065 2 жыл бұрын
House keeping 🤣 Nimeleta taaulooo😂😂😂😂
@bagulewauswaztv
@bagulewauswaztv 2 жыл бұрын
muhogo muhuni sana nimecheka kwa nguvu😁😁😁
@georgembunda9233
@georgembunda9233 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 mzee muhuni sana huyu
@mnanakhalidi1968
@mnanakhalidi1968 2 жыл бұрын
Mi muogo mchungu nikimuona najua kazi nzur
@charlesmbena9121
@charlesmbena9121 2 жыл бұрын
Nafurahi tu kwakua umewakumbuka na wazee wetu hongera kaka mkubwa
@johndenakayajn9733
@johndenakayajn9733 2 жыл бұрын
Ila joti bhana,noma sana afu wazee wamekinukisha htar Like bs wanangu wa faida
@Mikeys-m9w
@Mikeys-m9w 2 жыл бұрын
NISHAI na BLACK PASS nyieeee 🤭🤗😂 Leo njo Leo 🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂
@malakimoses6115
@malakimoses6115 2 жыл бұрын
Wazee wa qyuba hao 😂😂😂😂😂 nimecheka Sana mpaka mbavu zinauma aise
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 Жыл бұрын
Siku tuwekee saplayz nampoki tuone Kama nae mpoki anaweza au kaisha zeheka joty👐👐👐
@mansourally91
@mansourally91 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂 WAZEE WAHUNI SANA AISEE 🙌
@angelrimoy7810
@angelrimoy7810 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@maxwellkongoman781
@maxwellkongoman781 2 жыл бұрын
Uyu Nishai jamani😂😂leo yupo smart😂😂kijogoo cha mtaa
@buggaloh0201
@buggaloh0201 2 жыл бұрын
My role model 😁😁
@misungwikids563
@misungwikids563 2 жыл бұрын
Joti msenge sana😂😂😂😂 hyo inaitwa New Vs Old Generation kina muhogo wamekinukisha bala😂😂😂
@nicocredo2280
@nicocredo2280 2 жыл бұрын
Daaah Joti msenge Sanaa🤣🤣🤣
@sadikijambari6736
@sadikijambari6736 2 жыл бұрын
Sehemu ya pili tafadhali wote wazee wawe wepo
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 2 жыл бұрын
Hahahaha.mhogo in the house
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Wazee wa Quba ni WA hovyo Sana Sasa Kuna ulazima gani wa kupanga parachichi na ndizi vile😂🤣🤣🤣
@jumaraha
@jumaraha 2 жыл бұрын
Weeee hii nimecheke Sana Tu ....weeee kali ajabu.pongezi JOTI
@edwinkhisa
@edwinkhisa 2 жыл бұрын
My favourite character, Black Pass, happy to see you here. Nakupenda bure from Kenya.
@sultantz7635
@sultantz7635 2 жыл бұрын
Combination ya maana sana hii 😅😅😅😅
@liliansauwa8448
@liliansauwa8448 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kazi nzuri sanaaa 👏🏽👏🏽
@uwerauweraanicet3443
@uwerauweraanicet3443 Жыл бұрын
from burundi kwakweli joti nishida.sana.
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 2 жыл бұрын
This act aisee deserves an Oscar award, hasa huyu dada si mchezo.
@teambabz9969
@teambabz9969 2 жыл бұрын
Joti noma sana,anaweza kwa kila design💥💯mpe likes zake
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 2 жыл бұрын
Siku Yangu imeisha hvyooo Sina stress kabca 😆😂
@oscarakyoo4641
@oscarakyoo4641 2 жыл бұрын
Tuliosoma qube nana kaelewa hizo parachichi mbili na ndizi, alizoshka muogo mchungu 😜😜😜 nipeni like zangu jaman🤣🤣🤣
@xfamefatetv
@xfamefatetv 2 жыл бұрын
😂 Na NDALAAA... wapi likes zangu East Africans
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@erickkenzo2381
@erickkenzo2381 2 жыл бұрын
Nime leta taulo dawa ya meno 😂😂😂😂😂😂 like tafadhali
@evanswinston5102
@evanswinston5102 2 жыл бұрын
🤣😆🤣😆😂🤣😆eti hajakula chakula bado kipo demu mngesse sana
@veronicajulius6741
@veronicajulius6741 2 жыл бұрын
😂😂aisee Kwan mmeelewa mwshoni muhogo mchungu alivoweka Yale maparachichi na ndizi katkat hahaha kwamba korodani na nn hahahahha daaah aisee salute watoto wadogo wataangalia lkn hawaelewi ii ndo inatakiwa sio matusi waziwazi joti salute,,
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 2 жыл бұрын
wangap wameona ndizi moja na parachichi mbili rojo lake unashiba miez tisa km umeona gonga like twende sawa😁😁😁
@bongoswahilimax
@bongoswahilimax 2 жыл бұрын
Kazi Nzuri 💪💪💪
@shabanimkungura3916
@shabanimkungura3916 2 жыл бұрын
Noma snaa joti unatsha big up
@kelvinokelo7992
@kelvinokelo7992 2 жыл бұрын
Hiyo style ya kupanga msosi ndo imemchanganya Joto akaona siyo kawaida ni heri achomoke!🤣🤣🤣
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Joti we nomaaaa❤😂😂
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 2 жыл бұрын
😂😂😂wazee wa quba nimewaelewa
@upendosebastian5629
@upendosebastian5629 2 жыл бұрын
Hzo ndz parachichii wametengenezaa uboo na pumbu zakee😃😃😃😃 dadeq
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Sanaa iliyotumika hapa kuonyesha chakula atakachokula ni kutoka CUBA. Sisi tuliosomea huko tumeelewa. Ha ha ha ha... ahsante nyingi kwa DOP kwa kutuwekea picha ya ndizi na avocado kwa ukaribu mno. Frame by frame... hahaha
@veronicajulius6741
@veronicajulius6741 2 жыл бұрын
😂kumbe na ww umeona
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
@@veronicajulius6741 Noma!
@saidramadhan5961
@saidramadhan5961 2 жыл бұрын
nmependa hii joti mzee kuinclude wakongwe pamoja the king joti
@ruttajames6873
@ruttajames6873 2 жыл бұрын
😋😋😋😋😋 noma Sana tulio somea Cuba ndoo tuna jua
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 жыл бұрын
Parachch na ndiz 😂😂😂 Wazee wauni Sana
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 жыл бұрын
Never disappoint Jotiiii 🤣🤸
@salashd9729
@salashd9729 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 from 🇨🇵🇨🇵
@Lewinglovbi6699
@Lewinglovbi6699 2 жыл бұрын
Nilikuwa macho nasubiria mzee wangu joti 😂😂😂 in 3 munite
@nelootz9322
@nelootz9322 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qKrcnHajj8RlsK8
@lydiacharles5966
@lydiacharles5966 2 жыл бұрын
Joti unajua bhana duuh😂😂😂😂😂🤣🤣🤣♥️🇹🇿
@salumuseif3324
@salumuseif3324 2 жыл бұрын
Mwaka huu umekuja style mpya safi sana
@mrmangetown4323
@mrmangetown4323 2 жыл бұрын
Hata Mimi ningekimbia siyo kwa kula vitu vile🤣🤣🤣🤣🤣
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Жыл бұрын
Hawa ma Legend imependeza Sana kuwepo humu
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 2 жыл бұрын
Full package joti mpumbavu sana....hahahaaasa mjinga huyu
@MwajRama-x7w
@MwajRama-x7w 5 ай бұрын
Yani ww Bob J ndo mrithi wa marehemu Majuto una jua sn! Big up nishai
@meshackinocent4053
@meshackinocent4053 2 жыл бұрын
Daah joti much love brother
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 2 жыл бұрын
Aliemuona muhogo mchungu alivoikisha ndizi ktk mfumo wa kiume akimaanisha leo nishai atagongwa anipe like zangu.
@emmajud1237
@emmajud1237 2 жыл бұрын
Joti mshenzi sana na hao wazee wako wa Quba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khalidjafary1120
@khalidjafary1120 2 жыл бұрын
Hatariiii 😳😳😳
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 2 жыл бұрын
House keeping 😂🤣😂🤣 father noma Sanaaa 🤣
@othmanmbarouk8499
@othmanmbarouk8499 2 жыл бұрын
😀😀😀wazee qyba hyo style yao ya ulimi
@issanofal2166
@issanofal2166 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂unakimbia chakula hhhhhhh
@robertmwakyusa984
@robertmwakyusa984 2 жыл бұрын
😂😂😂😂et sijala Mara nishashiba
@djchiccotzofficialdjorigin1280
@djchiccotzofficialdjorigin1280 2 жыл бұрын
Nimechokaa sana nimeletaa Taylor😁😁😁😁
@saidjuma25
@saidjuma25 2 жыл бұрын
Joty umetishaa
@dariuskasitu4083
@dariuskasitu4083 2 жыл бұрын
Hawa wazee wahuni Sana duuh🤣🤣🤣
@lovenoor988
@lovenoor988 2 жыл бұрын
Nakukubali Mr Joti
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Cha ajabu nimeanza kucheka kabla ya kuangalia😂😂
@officialbaloteli7965
@officialbaloteli7965 2 жыл бұрын
Wakwanzaa❤❤❤
@dianerditto
@dianerditto 2 жыл бұрын
Nimependa saaana jot kuwaleta wasaanii waliotaka kwenda na maji safi hyo
@peterjanuary429
@peterjanuary429 2 жыл бұрын
Dahhh 😂🤣 wakongwe 🔥
@salmahassan1108
@salmahassan1108 2 жыл бұрын
Joti we msenge sana😁😁😁
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 2 жыл бұрын
Safi Sana Joti Kwa Kuwashirikisha Wakongwe Hii Itazd Kuongeza Views
@omaryteddy535
@omaryteddy535 2 жыл бұрын
Nime ludia bahazi ya vipande 5 nime vielewa sana 😂😂😂😂😂😂
@bosskimaro
@bosskimaro 2 жыл бұрын
Boss Joti Naomba Fursa
@nkurunzizaabou7029
@nkurunzizaabou7029 2 жыл бұрын
Muhogo weye wakuache kweli nani kaona kama mimi nilivyo oona liker kama zote
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 2 жыл бұрын
Sikutegemea kama mtapanga hivyo hayo maparachichi na ndizi🤣🤣🤣🤣🤣
@mmassadieudonnengomoya8607
@mmassadieudonnengomoya8607 2 жыл бұрын
Oooh ameanza kuskia vzr uyo pass 🤣🤣😁😁
@mariomsigwa9428
@mariomsigwa9428 2 жыл бұрын
Joti hujawahi niangusha big up
@paulinesylvester886
@paulinesylvester886 2 жыл бұрын
Jqmani kila mtu ni wa kwanza bc mm ni wa 304 naombeni like zenu
MTOTO WA SHULE
8:02
CLAM VEVO
Рет қаралды 716 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
WANATUFUATILIA
8:01
Joti TV
Рет қаралды 413 М.
SISI MADEREVA
9:09
Joti TV
Рет қаралды 397 М.
UPWIRU WA BABA
6:38
Baba Kaukwaju OG
Рет қаралды 3,7 М.
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
KALAMBA CHUCHU
11:32
Joti TV
Рет қаралды 476 М.
NAMTAKA HUYU
10:37
Joti TV
Рет қаралды 846 М.
KAZINI KWANGU KUNA KAZI
11:46
Joti TV
Рет қаралды 138 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН