Jamani ee sio shell,ni kituo cha mafuta,Shell ni kampuni na kibongo bongo sijaiona
@mhinahalfan2694 Жыл бұрын
Ilikuwepo zamani kampumi ya shell tz karibia nchi nzima ndio sababu imekuwa mazoea vituo vya mafuta baadhi ya watu wanaita Shell
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Never disappoint jotiiii 😂🤣🤣
@rehemafredrick7794 Жыл бұрын
😂😂😂😂am done with joti wallah 😅😅😅
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Nyiiiieeeh....utamkuta shelly
@swalesale2229 Жыл бұрын
Habiba,sopa,kipande warudi kazi la sivyo sita watch video yko,am frm nairobi kenya
@DeoMapessa-mg7df Жыл бұрын
I like it
@halimawendo8400 Жыл бұрын
😂😂😂nimejifunza mm kama mfanyakaz
@fatmakisanga4486 Жыл бұрын
Ulipwe kwanza ndio utoe bidhaa😅😅😅
@komlaakomlaa7465 Жыл бұрын
Joti ulikuwa wapi mbona unatuheba🤣🤣🤣
@ponsiankahesi3458 Жыл бұрын
Joti bonge la mbunifuuuuu
@qoqunura Жыл бұрын
Yan Mlewa hz scene za kudeal na wezi pamoja na matapeli anaziwezea kisawasawaa😂
@ashahassan7414 Жыл бұрын
Half nyie mnao omba like eti kama unamkubali joti sasa kama mtu hamkubali joti atakuja kufanya nn hapa toeni maoni ushauri wapi kuko sawa wp hakuko sawa ili joti aone wp anakosea wp ajitaidi na sio kukaa na kusema naomben like kama unamkubali joti sote tuko hapa tunamkubali joti na timu yake yote
@kingzito31 Жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka kinyama
@carolbenny3302 Жыл бұрын
Najiulizaga Kuna hela labda inatolewa ukiwa na likes? Isije kua napitwa
@abuu_town_tz7341 Жыл бұрын
Nomaaa 😂
@issaothmanhamis4857 Жыл бұрын
Umeuwaaa mwambaaaa jotiiiiiiiiiii
@NjokaaYalumaa Жыл бұрын
😅😅😅🇹🇿👍👍
@mwinyimustapha8951 Жыл бұрын
Namkubali sana😂😂😂😂😂
@ngosha4207 Жыл бұрын
Moja
@deboramwakyusa2842 Жыл бұрын
Hatar Sanaa😂😂
@wizzyfunny1269 Жыл бұрын
😂 joti nakukubl xn dah
@LearnwithMadamnaomi Жыл бұрын
Mchuz umepoa huu waleo😢
@Amina-xc8tl Жыл бұрын
Hahaha 🤣 joti ww balaa na nusu
@suleimanismail8414 Жыл бұрын
Sio shell Ni petrol station bhnaaa Mnatuangusha etiii
@muhammadjamady-zx1jy Жыл бұрын
Du kakimbia sheri
@amantz6508 Жыл бұрын
Mambo ya joti hayo😂😂😂
@amonpaul7359 Жыл бұрын
Wii wiki vipi jamn mbona hamna mpya
@emmysfitnessandforex9403 Жыл бұрын
Eti we ongea nao tu😂😂😂
@DenisTarimo-d6p Жыл бұрын
Malaika wa mungu kaninusuluu😂😂
@rajabusaidi6692 Жыл бұрын
Joti bhaana noma sana 😜😜😜😜
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Kwa mbali nauona msikiti wa kinondoni
@MichaelEdwrdi-jp5ve Жыл бұрын
Jamani wa pili leo naombeni like zangu
@appolinairendihokubwayo3594 Жыл бұрын
Jambazi wa mafuta sasa😂
@thelonewolf4429 Жыл бұрын
Ati full ni mafuta 😅😅😅 au fuel ⛽️
@janengowi-lt9gu Жыл бұрын
Jot anakwepa wananchi wenye asira kali
@pitammasi6743 Жыл бұрын
Anajua 🔥
@gillbethabsaloom3264 Жыл бұрын
Hahahahah hatar yaan
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Joti😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mkangaratz8640 Жыл бұрын
Alafu Ume Shoot kinondoni Bisha Ufe😂😂✌🏽
@AgnesManimba Жыл бұрын
Yaaan kaz ya sheliii jmn
@swalesale2229 Жыл бұрын
Sopa,kipande na habiba wko wpi?hao unafanya kwa sasa hawatufai joti,mlewa ako sawa ila rudisha teem yko ya awalu
@StarlonMsilu Жыл бұрын
Alivo wageuka jotii😅😅😅
@JimmyRama-oh9ld8 ай бұрын
Joti kazi😅
@jacklinejustinekomedidevel9388 Жыл бұрын
Mimi sijawahi kujutia kuntazama joti
@johanesnixon5473 Жыл бұрын
TBT ipo kwenye history yangu iyo nilikimbizwa Ila hawakunipata kipindi kile hakuna pikipiki
@salumkajala7192 Жыл бұрын
leo akuna kitu 😮
@yonamatowo Жыл бұрын
utamkuta shell 😀😀😀😀
@Team-ie4qz Жыл бұрын
Hvi joti magari huwa unatoa wap
@AminaMembi-gf2gi Жыл бұрын
Jamani namm leo wakwnz
@antarsangali4456 Жыл бұрын
Jotti mrudishe Kipande kaka
@seifbakari3219 Жыл бұрын
Much appreciate bro.
@AnithaDeusi Жыл бұрын
Yani uyu muaya
@mkengaaman406 Жыл бұрын
Hii gari imefanana na uvaaji
@PrinyoTunenchi5 ай бұрын
Kwenye vipindi vyako inabidi uwe unatumia vijigari kama hivyo,,unakuwa unavibadilisha tu