The best comedian in Tanzania ,we are proud to have such a talented man ,🔥🔥🔥🔥
@ahmedlee30222 жыл бұрын
😂😂😂
@fredfrancis1042 жыл бұрын
kaondoka majuto ametuachia huyu na msanja mkandamizaji
@abdirizackkala45932 жыл бұрын
Nishai, much more love from Kenya 🇰🇪
@jiduah16022 жыл бұрын
You've the best acting art in this industry, just keep up the good work Ndugu Andunje😜😜😜
@stn48732 жыл бұрын
Oya Mwamba nakubali💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾....Wakijaaa waduanzi kama hao hiyo ndio dawa yao.
@fahmisaliim19142 жыл бұрын
Joti umenishinda tabiaaa wallah we ni mshenzi,,first comedian wallah nakupa zangu 100000000000000000
@masumbukomaganga4382 жыл бұрын
hahaaahaaahaaaaa joti fala nyieee
@bwagizoselemani84342 жыл бұрын
Duuh nilichelewa kuitazama hii ila jot wewe daah hivi unawatoto kweli yaani unachekesha mpaka vichaa duuh my brother you are the best
@joejux13802 жыл бұрын
Joti una sifa zote za kuwa best comedian Kwa hapa kwetu TANZANIA kwani una uwezo wa kuvaa uhusika wa aina tofauti na ukawa kwenye ubora wako Ukiwa mtoto(ANDUNJE) Ukiwa msela(NISHAI) Ukiwa demu(KIBOGA) Ukiwa mpemba(AMIIII JEI) Ukiwa mzee(BABU) na kila uhusika wako unajua ujiweke vipi hilo ndio kubwa linalo kufanya uwe bora na Mashati yako ya ILALA BOMA😁😁 viatu vya KARUME😁😁😁😁 Una kila sababu za kumaliza bando langu
Jot ni mtu na nusu wazungu ni wetu wamekuletea shanga nimecheka sana kwa saut🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😹
@lewisdomician16342 жыл бұрын
Ety! Wapiii Nashoooo.. 🤣😂😀😄🤣😀😂
@jacklineaidano28082 жыл бұрын
😁😁😁joti Kama joti king of comedy
@kingzito312 жыл бұрын
Hakika Mungu amekubariki sana braza kila sehemu unafit
@KibweOnlineTv2 жыл бұрын
😂😂🤣🤣 JOTI ME SIACHI KUKUFUATILIA SABABU UNAJUWA KUNICHEKESHA ADI NIMEJAMBA MBWIIIIIII 😎😎😂😂🤣🤣
@kavisheonline24182 жыл бұрын
Itabidi tuiagize tume ya uchunguzi
@nadyailyasaa88132 жыл бұрын
@@kavisheonline2418 😅😅😅😅😅😅😅😅🙌
@zakayolazaro67012 жыл бұрын
,🤣🤣🤣
@wisperfect53202 жыл бұрын
Huna linda
@dianacharlie52832 жыл бұрын
😂😂😂
@evarnebarnabas28702 жыл бұрын
Joti umeyataka mwenyew sa ndani vip tn saut ya huyu kaka kama bordgad 😄😄😄😄😄😄😄💃💗
@bettymash61812 жыл бұрын
Mwamba you have a presence as an actor mbali na comedian, ningependa kukuona kwa movie ivi.
@awadhimataula40312 жыл бұрын
Joto Kaz nzur sema mmezingua nyumba ulio ingia na nyumb uliyo toka tofaut hahahahah
@kwalilian32762 жыл бұрын
Joti ,ur the top comedian in Tanzania ,,,tunakupenda wewe tu kwakweli endelea kitupa comedy nzur
@babudeemapete66802 жыл бұрын
Kali sana alafu wazo limenda shule big up joti
@dingoomagawa69502 жыл бұрын
best comedian in tz🇹🇿🇹🇿... shout out to u Joti
@meshackmagee44182 жыл бұрын
Nimecheka hadi kwikwi @joti daaaa mselaa we hatariiii
@markbahati65162 жыл бұрын
Ndio mana uwaganakuita king of COMEDY
@emilykadogo89312 жыл бұрын
Jot bro umenifuraisha wakata kiuno
@damarisonsabwa12932 жыл бұрын
Always on point Joti 😂😂😂😂🔥❤️
@amanigeorge98862 жыл бұрын
Bababu kubwa sana.imeisha vizuri sana
@anidebezibeautyandlifestyle2 жыл бұрын
🤣🤣😅 wazungu ni wetu! Kataa!! Katika!!🤣🤣😅 to be sincere Joti makes my day every time!!
@njunisamweli24102 жыл бұрын
nakukubali sana mkuu ongera kwa kutufulaisha
@lilianalmas59112 жыл бұрын
😂😂🤣 Nishai hata apigwe vip kofia haitoki kichwani big up bro 🙌
@marrymarco44552 жыл бұрын
Hahahah 😂😂
@bahatilufingo56022 жыл бұрын
Mwamba nakukubaligi sana safi unajua
@simonandrew14892 жыл бұрын
Dah!!! Joti fundi hatari kwenye comedy nakibali sana
@japhetkulwa55162 жыл бұрын
Hiii video nime itazama mala 10 congratulations brother jot 🙏
@eddahfrancis84782 жыл бұрын
🤣🤣 huyu joti jmn uwii nampenda bure kwakweli,maana anatuongezea siku za kuishi
@alexkamugisha35262 жыл бұрын
🤣
@lukaliwakukodiwa16172 жыл бұрын
Kama unaaamin nishai ni mkali kuliko kiboga andunje amii j na babu gonga like
@frankkitelugwa9261 Жыл бұрын
Aaaahhhh, Kiboga akiwa kwenye ubora wake ni balaaa saba
@melkizedeckmathew5908 Жыл бұрын
Babu ni noma sana
@raisimseveni19552 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣This guy mara is very amazing and talented #joti 🙏🙏away from 🇿🇦
@piscusikilembo16302 жыл бұрын
Anae fahamu hayo maduka ya kuza shanga naomba anipatie mwongozo nayafikiaje wakuu
@malakimoses61152 жыл бұрын
Joti ww hatari nimecheka mpaka mbavu zinauma aise 😂😂😂😂😂 kazi nzuri
@godfreyelkarim25862 жыл бұрын
Joti aishiwagi misala hahaaa safi sana mwanagu endelea kukaza
@iddysalim63312 жыл бұрын
Hiyo miuno ya joti sasa kama mwali aliyetoka unyagoni 🤣🤣🤣 na nyimbo yake ....wazunguuu ni wetuuu, wazunguuu ni wetuuu wametuletea shanga hadi za shingoni daaah we mwamba ni funga kazi, saluuut broooo ur no 1comedian in Tz 🔥🔥🔥
@KesheMedia2 жыл бұрын
😂😂📍
@maryhosea38452 жыл бұрын
Joti anamuogo😂😂👋jmniii khaaaa🙌
@lyrics_forum2 жыл бұрын
Kiukweli kabisa hata Mimi Siku nikimkuta Msugua Kucha anamshika Mke wangu ntaua maana kila siku nakuta Mke wangu amependeza tu Kucha ila Boya anayemsafisha simuoni. Sasa Ama zangu ama zake.
@linnetmbotto72122 жыл бұрын
Inaweza ikawa ni mwanamke
@ayshamadege79812 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌😍kitombangile kitwanga wa mikazo leo umejaa🤣🤣🤣🤣🤣👏
@hamisikijombo60442 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa anajua had anakera yan😂😂😂Top comedian
@JumaMwachindiri-ut3qi Жыл бұрын
😂😂😂😂 joti duuh wallah nilikuwa na stress Ila thank for this
@clevermngao75652 жыл бұрын
Mbavu zanguuuu 😄😁😆🤣😂🤣 joti ni hatari na nusuuu!
@salimuahmadi1261 Жыл бұрын
ay bhn jot ila uuponzi kweli??????
@sarajastiny65202 жыл бұрын
Kiukweli joti unifurahisha sana
@abdullahtiphsaidy66052 жыл бұрын
Kuna Joti mmoja tu..... nimecheka sana
@LearnwithMadamnaomi2 жыл бұрын
Huhuuu uwi ila mnamaind vitu avina mana
@iamdjgunz14142 жыл бұрын
joti msenge sana🙌🏼😂😂😂😂😂😂
@mwaijakhalfan78172 жыл бұрын
Upo vizuli mungu akuzidishie
@nitunda2 жыл бұрын
Wazungu ni wetu wametuletea shanga za kuvaa shingoni,za kuvaa kiunoni! Iyoooo fagilia wahhhhh!😂😂
@piscusikilembo16302 жыл бұрын
Habari za asubuhi naomba kujuwa maduka yenu yako maeneo gani hapa Dar na mnauza shanga za namnagani
@lugendosindi47292 жыл бұрын
Watching from Ukraine here 🔥🔥🔥
@sirkingsky1082 жыл бұрын
Ukraine ipi au ya buza
@lugendosindi47292 жыл бұрын
@@sirkingsky108 🤣🤣🤣
@mumyhendry29192 жыл бұрын
Wabongo mtaniuaaa🤣🤣🤣🤣khaa....Ucraine
@lugendosindi47292 жыл бұрын
@@mumyhendry2919 🤣🤣🤣
@mumyhendry29192 жыл бұрын
@@lugendosindi4729 I salute honey😅
@abuuashyam84172 жыл бұрын
Ha Hahahaha Mi nampenda uyu bonsa mpole mambo yake
@Showdeemo362 жыл бұрын
One of the best 😅😅😅😅
@ericka.mulamula96802 жыл бұрын
Kali Sana mxee
@wemasumari32722 жыл бұрын
Nina msiba ila daaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nacheka tu hata sijui kwanini nimekuangalia siku kama ya leo ningeacha hata siku ipite tu
@amosimalila77519 ай бұрын
Pole namsimbaaa
@roseallen71982 жыл бұрын
K hahahaha joti brother kaka
@kabambabigiraneza3722 жыл бұрын
King of comedy big up joti
@kidumo41182 жыл бұрын
Daaah hizo nguo zako znaniacha hoi
@leonardemmanuel92492 жыл бұрын
Namfurahia joti akiigiza kama Nishai ni nomaaaa,🤣🤣🤣🤣🤣
@badmanno.16502 жыл бұрын
Best character yake 😀😁
@isharafreshekid74042 жыл бұрын
Habari yako mosani vous Niko Congo
@kombakomba79222 жыл бұрын
Joti i love you!!!!! 😍😍😂😂😂
@mabenzimabenzi43482 жыл бұрын
Hivi na mafundi cherehan nao kumbe ni nyoko
@fatumaramadhani82212 жыл бұрын
Nimechekaa adi nimeliaaa joti🤣🤣🤣
@meshachtvtz58862 жыл бұрын
Eti oooh mkojan hahahaha mkojani hatapita wap kwa king comedy. Joti