HAKUNA NDOA

  Рет қаралды 393,204

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Пікірлер: 513
@KisomoKedia
@KisomoKedia 5 ай бұрын
Mhhh yaan uyo dada aiseee kweli mungu aliwatengeneza watu kwa maarifa ya juu.Amen
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 5 ай бұрын
Wangapi tumependa. Uyo demu alivotikisa Tako apo getini🤣🤣🔥🔥💯💯💯
@djsonalee
@djsonalee 5 ай бұрын
😅😅
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 5 ай бұрын
Dah nilijua nimeona peke yangu 😂
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 5 ай бұрын
Sasa mbona walikosea kumuacha pekeakee😢😢jamanii
@yusuphabubakary2030
@yusuphabubakary2030 5 ай бұрын
ila camera man alkua na roho mbaya😅😅😅
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 5 ай бұрын
Hatariii mkuu mamb hayoo
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 5 ай бұрын
Tulikuwa tunasubili sana joti aigize kama mpemba 💯💯🔥🔥
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 5 ай бұрын
Doris Doris Doris unautumia vizur uumbaji wa mungu 😂😂😂hapo getini umeweza mama
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 5 ай бұрын
Waomba like wangekuwa wanamwomba Mungu kwa nguvu hiyo hiyo wangekuwa mbali vibaya mno, haya naomba like😂😂😂
@estherpaul3864
@estherpaul3864 5 ай бұрын
😂😂😂
@SophyMurre
@SophyMurre 5 ай бұрын
😂😂😂
@MwanasityAlly
@MwanasityAlly 5 ай бұрын
😂😂😂nawashangaaa
@HamisiChipotele-fl8xo
@HamisiChipotele-fl8xo 5 ай бұрын
Majemeni mbona nyie wenzangu mnapata likes me sipati 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HANDSOMEDIA_bukavu
@HANDSOMEDIA_bukavu 5 ай бұрын
bibi arusi sasa😄😄😄😄
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 5 ай бұрын
Majameni😂
@Abdul_Rashidkibet
@Abdul_Rashidkibet 5 ай бұрын
Iko Sawa... Ndoa zifanywe kwa mujib wa dini... Mambo ya Mila Mila nyingi na mambo mengi yanafanya vijana kuogopa kuoa.
@bibiswalehemwanyere5493
@bibiswalehemwanyere5493 5 ай бұрын
Kweli tena, Mambo mengine Yanaskitisha na ni ya ajabu sana, Joti ametufunza kwa kweli
@Abdul_Rashidkibet
@Abdul_Rashidkibet 5 ай бұрын
@@bibiswalehemwanyere5493 Kuna Maisha baada ya hio siku ya ndoa... Me siwezi gharamika Sana hadi niingie kwa madeni mkubwa ili tu nifurahishe watu siku moja na niishi kwa madeni na ndoa zenyewe za siku hizi hakuna uhakika wa kufika hata miaka 5
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
​ 💯%🤝
@YassinGofrey
@YassinGofrey 5 ай бұрын
😂😂😂pole sana ndugu yangu, waulize wazaz wako walipata vipi ndo uongee​@@bibiswalehemwanyere5493
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 5 ай бұрын
..uislam haufundishi hivyo ni haram kabisa na uzushi sasa kazi kwenu kaka zetu kuoa wanawake na familia zinazofata dini na sio Mila ..
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 5 ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo
@Mariamubakari-e3u
@Mariamubakari-e3u 27 күн бұрын
Mambo
@Kijosh854
@Kijosh854 5 ай бұрын
Dada Asha Boko Allah akujalie afya njema InshaAllah
@olicej7837
@olicej7837 5 ай бұрын
Na mimi nimefrah kumuona
@jacksonlyimo1491
@jacksonlyimo1491 5 ай бұрын
Amina Bwana Yesu akamponye awe mzima tenaa
@Ciza-ferouz1
@Ciza-ferouz1 5 ай бұрын
Allahuma amiin
@Bintiali-kg3xe
@Bintiali-kg3xe 5 ай бұрын
Aamin
@azizayassin3623
@azizayassin3623 5 ай бұрын
Ameen
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 5 ай бұрын
Wapemba nawapendaga hapo tuu, Wana majibu mawili "NO"na "YES"wamemaliza 😂😂😂😂
@mheheoriginal9712
@mheheoriginal9712 5 ай бұрын
Joti TV NDOO comedy namba moja Tanzania nawa penda SANA from America 🙏🙏💪😁
@godfreymsemwa
@godfreymsemwa 5 ай бұрын
Mhehe mwenzetu
@kalubisubira7182
@kalubisubira7182 5 ай бұрын
Mhehe america wap na wap
@BIGbone.9422
@BIGbone.9422 5 ай бұрын
​@@kalubisubira7182🤣🤣
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 5 ай бұрын
​@@kalubisubira7182😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
Kabisa yn❤🎉
@innocentjohn2142
@innocentjohn2142 5 ай бұрын
joti mwamba kweli kweli nakubali kazi zake❤️❤️❤️
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 5 ай бұрын
Yaani bwana harusi unaachwa NJE ndugu na wapambe wanaingia ndani😂😂😂😂 si joti tuu hata Mimi hapo siowi kama Mila NI Bora wakae na mtoto wao😂😂😂😂
@besteva499
@besteva499 5 ай бұрын
Yoo mama shereh bure kumbe ndoa hakuna joti bwana😂😂 wangapi mumeipenda hii❤
@nemesisumbe6840
@nemesisumbe6840 5 ай бұрын
Nimefurahi kumuona Dada mwene😊
@HawaAkida
@HawaAkida 5 ай бұрын
1 nipen like zanguuu joti kaua tunaosubir saa12:00 tulike hapa❤
@msolekaonlinemedia
@msolekaonlinemedia 5 ай бұрын
sema hiyo mishangazi ya Joti ina balaa😋😋😋😋😋😋
@allybaru
@allybaru 5 ай бұрын
Ni uhalisia ambao upo kabisa kweny Jamiii zetu ndoa nying hasa za kiislam huu mtindo upo
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 5 ай бұрын
Hizo ni Mila wala sio uislam..uislam haufundishi hivyo ni haram kabisa na uzushi sasa kazi kwenu kaka zetu kuoa wanawake na familia zinazofata dini na sio Mila ..
@RahmaRadjabu
@RahmaRadjabu 5 ай бұрын
Wao yenyew wamesema Mila nasio dini
@thetrailerzone2791
@thetrailerzone2791 5 ай бұрын
Hapana hta za kikristo huingii ukumbini mpka utoe mpunga nje
@allybaru
@allybaru 5 ай бұрын
@@thetrailerzone2791 hii mambo inakela isee
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 5 ай бұрын
​@@salhawaziri1668sasa mbona wamevaa kiislamu?
@saidmo9250
@saidmo9250 5 ай бұрын
Joti talented Kam unaamini like hapa❤
@HassanAbdulrehman-w1o
@HassanAbdulrehman-w1o 5 ай бұрын
Wakina dada wa kihindi nao Wana tabia ya taka pesa kwa bwanaharusi Mila na desturi kama kawa wahindi Wana hatari mpaka milioni Wadai uroho wakuta pesa 🥰🥳🎺🎷📯🥁
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 4 ай бұрын
Eeeh kumbe na wao wako hivo
@petrochengula9480
@petrochengula9480 5 ай бұрын
Ndio dawa yao mahali ushalipa halafu mambo ya mila na desturi tena nikuacha tu.
@arifalwi5579
@arifalwi5579 5 ай бұрын
Joti upo juu na mungu awazidishie kila la kheir..
@official_Nanga
@official_Nanga 5 ай бұрын
MUNGU TULINDIE HUYU MZEE NI HAZINA YA TAIFA MPE MAISHA MAREFU
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 ай бұрын
Hee joti kawa mzee mara hii? Khaaa jamani
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
😂😂😂ila nanga
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 5 ай бұрын
Sema joti ni bongo moja la comedian sioo hao wapiga kelele wakina mkojanii
@AbdulnasriHamisi
@AbdulnasriHamisi 5 ай бұрын
Mkojn nae fundi
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 5 ай бұрын
Hamna kitu kelele tu​@@AbdulnasriHamisi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
​@@AbdulnasriHamisiKabisa yn
@ziggyhendrixx7445
@ziggyhendrixx7445 4 ай бұрын
@@AbdulnasriHamisihamuezi Joti huyu ni Legend mkojani anauza samaki huyu jamaa ashaingia kwenye game
@Shadia544
@Shadia544 5 ай бұрын
Leo nimekuwa wa 75 😂😂😂😂😂Harusi tunayoooo 😂😂😂mara HAKUNA HARUSI BIARUSI MWENYEWE MWANA😂😂😂😂
@tatoo0098
@tatoo0098 5 ай бұрын
NYIEEEEEE bibiharusi sasa 😂😂😂😂😂😂
@HildaChard-vl1jb
@HildaChard-vl1jb 4 ай бұрын
Waliotizama mwez wa nane gonga like apa
@BundalaShija-yb4vo
@BundalaShija-yb4vo 5 ай бұрын
😂😂 kanyinyi, zitto na Nanga hii shooo imewafaaa😊
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 5 ай бұрын
Familia zamabiharus mmeshapata somo😂😂 ole msubutu mtawaowa wenyewe joti umeuwa🎉❤❤❤
@Dullyman_Classic
@Dullyman_Classic 5 ай бұрын
Wa kwanza leo nipeni Like zangu😂😂. Joti hatar sana
@muddytv1513
@muddytv1513 5 ай бұрын
Mm hii nimeipenda JOTI umetisha.....izi mambo za kudai dai ela ni ujinga xana
@QUEENBEEOG
@QUEENBEEOG 5 ай бұрын
Laki mbili si mahali iyo😂😂😂 ndo pesa ya binadam kuzuia mlango kumuona mwali sasa 😂😂
@danlinetz2959
@danlinetz2959 5 ай бұрын
Nimeumia kidole sijui ni hiki au hiki joti🙌🙌🙌😁
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 5 ай бұрын
si tushatoa mahali😂😂
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 5 ай бұрын
Thank you Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
@gervasdenis7286
@gervasdenis7286 5 ай бұрын
daah haya mambohuwa hayana maana kabisa hatamimi ilinitokea nilikelekwa sanakiukweli
@haldinkiope9753
@haldinkiope9753 4 ай бұрын
Jaman wadau mwenyew hii video anitumie hapa kwenye kigoma hatar na nusu🤗🤗🤗🤗
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 5 ай бұрын
😂😂 joti hayo mambo kwetu hakuna,, na harusi hakuna😂
@sadakombo-li7yi
@sadakombo-li7yi 5 ай бұрын
Nimewahi jmn nipeni like yngu pendwa from pemba kama wapo wenzangu nawapa hi
@mswadikinamambo2276
@mswadikinamambo2276 5 ай бұрын
Tupo hapa pamoja
@ZackDaniella-wi5ur
@ZackDaniella-wi5ur 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@yassirmasoud5784
@yassirmasoud5784 5 ай бұрын
🎉🎉
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 5 ай бұрын
Wanaume mnaomba like eb jaribun kuniangalia tena ndani ya suruali yawezekan mambo hamna tena
@ahz6907
@ahz6907 5 ай бұрын
hata wanawake ...ni uendawazimu kuomba likes
@PolycarpeMulumba-ef5if
@PolycarpeMulumba-ef5if 5 ай бұрын
Nakukubali sana bro you are 💪
@chadrackrunogeza3302
@chadrackrunogeza3302 5 ай бұрын
Toka drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu 🎉🎉😂😂😂❤❤
@OmarSongoro-bp9pn
@OmarSongoro-bp9pn 5 ай бұрын
Kalemie ndani ya soko la katrekwee avenue ngambo ya lukuga
@SeverinoDaniel-g8p
@SeverinoDaniel-g8p 5 ай бұрын
Patrão Joti, nós cá em Moçambique gostamos do seu trabalho. És muito talentoso. Deus abençoe o seu trabalho 🙏
@mossesngalomba9961
@mossesngalomba9961 5 ай бұрын
Ami J alikuwa anatafuta sababu Tu 😂😂😂😂
@TALLUBOY
@TALLUBOY 4 ай бұрын
Na Zanzibar kwa vespa NA MIMI HAPO NDIYO SIOWI KABISAAAAAAAAAA KUMAMMAE HELLA ZAMASHEMEJI
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 5 ай бұрын
Nimeipenda ya leo hasa hilo vanga limeungurumishwa balaaa❤❤❤❤
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 5 ай бұрын
Joti nimekumis uigizee kiboga napendaga sana yani party hileeee ❤❤❤
@thadeogodwin6479
@thadeogodwin6479 5 ай бұрын
Wa 20 jmn leo like 10 zanitoshs
@BisawaBashiru
@BisawaBashiru 5 ай бұрын
Napenda sana kuangalia comedi ya joti namkubali sana hana baya
@panchobway3245
@panchobway3245 5 ай бұрын
Ila uyo mke inasemekana ni ndoa ya mkeka maana si kwa kutafuta sababu iy ili usiow t
@jordankikoti1045
@jordankikoti1045 5 ай бұрын
Joti nomaaa
@NTM9320
@NTM9320 5 ай бұрын
zito anavyocheza kama ndio mjombaa mwali😄
@abuu_town_tz7341
@abuu_town_tz7341 5 ай бұрын
nanga kagoma kufungua geti kabisaa😂😂
@neayer
@neayer 5 ай бұрын
Ila joti kukupenda ndo hatuachagi ila crip yako imetuchekesha mmi na mama yangu jamani😂😂😂😂😂😂😂
@jacksonfungo9613
@jacksonfungo9613 5 ай бұрын
Nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu
@fatmahaji7661
@fatmahaji7661 5 ай бұрын
Hizi like watu wanavoomba zinafaida gn, uckute mnapewaga Hela na hamsemi
@tumainidaima9879
@tumainidaima9879 5 ай бұрын
Hatariii sio hatariii😂
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 5 ай бұрын
Hii ni tamaduni tu nakufarahia na unaotoa chochote hata buku fresh barida tu 😂😂😂japokuwa sikuhizi imekuwa karaha sanaa mpk kero kwa bwana harusi
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 5 ай бұрын
Nimekuwa wa 26. Naomba likes zangu please, Lakini huyu joti anajua jamani tumpe maua yake tu 🎉🎉🎉🎉😂😂😂😅😅😅❤❤❤
@muduboy726
@muduboy726 5 ай бұрын
Boss niuzie channel
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 5 ай бұрын
Tafuta pesa wewe 😅
@khadijanurdin3163
@khadijanurdin3163 5 ай бұрын
Km zako c uchukue tu mpaka iombe?
@mwajayhaxxan5507
@mwajayhaxxan5507 5 ай бұрын
Mnaomba omba likes,,, kuoga aaaah😂😂😂😂
@allyway999
@allyway999 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Bintiali-kg3xe
@Bintiali-kg3xe 5 ай бұрын
Msemo wangu huo😂😂😂😊
@mwajayhaxxan5507
@mwajayhaxxan5507 5 ай бұрын
@@Bintiali-kg3xe wangu bwana nimewahi
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 5 ай бұрын
Hivi joti Kuna mengine unakuwa umelenga stori ya mtu au yote maigizo😂😂😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 5 ай бұрын
Namuona damwene na mzee mbembe raha sana 😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 ай бұрын
Nakubali sana joti legend😂😂😂
@liliansauwa8448
@liliansauwa8448 5 ай бұрын
Mjomba alivyosisitiza “laki mbili taslimu, laki mbili taslimu” 🤣🤣🤣🤣 mie hoi 😆
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Asha boko na bb harusi❤❤❤🎉🎉🎉
@h.akarim
@h.akarim 5 ай бұрын
Kazi Kubwa ☝️🇨🇩
@milimaproductions1565
@milimaproductions1565 5 ай бұрын
Laki mbili 😮😂
@renatusmwaitege2667
@renatusmwaitege2667 5 ай бұрын
Anaetaka like aje geto ntampa idadi anazozitaka😂
@jaqlinemanyama
@jaqlinemanyama 5 ай бұрын
mweneeee tu mimi
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 5 ай бұрын
Mimi hua nachukia basi tu mtu et naomba like nimekua wakwanza 😂😂😂
@Marym-iw2wr
@Marym-iw2wr 5 ай бұрын
Mm siku zote nakuliza kwa nn huwa mnaomba like wakt hamumpi joti mwenyew angalau 7k like
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 5 ай бұрын
Babahhh mlewa sheweleeeee 😊😂😂😂🔥🔥💯💯💯
@farajaalfayo8649
@farajaalfayo8649 5 ай бұрын
Jot mwehu sana...unafit sana kwenye Jot kwenye uchekeshaji uko juu😂😂😂
@mustafampande173
@mustafampande173 5 ай бұрын
ila Mlewa 😂😂me binafsi ananifurahisha sanaa hatumii nguvu 🙌🙌
@PrinceAmos-y8t
@PrinceAmos-y8t 5 ай бұрын
Nakubali sana master ❤😂🎉😢😮😅😊
@KhadijasallehKhadijasalleh
@KhadijasallehKhadijasalleh 3 ай бұрын
Hilo vanga limenikumbusha mbali sana si unajuaaa tena kwetu kibada
@abdoolshakuruswalehe546
@abdoolshakuruswalehe546 5 ай бұрын
Ila hiyo sio Vespa, hiyo ni click kwa huku kwetu Zanzibar 😅😅😅😅😅
@TantineZuzu
@TantineZuzu 5 ай бұрын
Joti wewe wanibamba San 😂😂😂😂😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮
@neemanyimbi2355
@neemanyimbi2355 5 ай бұрын
Kuna watu wanaweza kukuharibia ndoa jamn tuwe makini mim ujinga huo wa mila wasinifanyie
@allysudi4429
@allysudi4429 5 ай бұрын
😂😂😂 umetisha Ami Jay. M mwenyewe izo mila za njaa zinaniboaga kinoma
@ShafiiSoud-b3w
@ShafiiSoud-b3w 5 ай бұрын
shughuli ina watu kweli, nawek pending nitaichek usku nikitulia...😂😂😂
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 5 ай бұрын
HAKUNA NDOA HAPA 😂😂 ina maana amuelewii😂
@OmaryZuberi-o3b
@OmaryZuberi-o3b 5 ай бұрын
Kwan like mnapewa zinakazi gan nyie watu
@gynaa2314
@gynaa2314 5 ай бұрын
yaaaan au likes zinaleta hela jamn tuambiane mapema kila mtu likes😢
@vigezo
@vigezo 5 ай бұрын
Hata mi sielewi mtu unakuta analilia likes
@ibrahimhashim-m8j
@ibrahimhashim-m8j 5 ай бұрын
Wez zjua
@OmaryZuberi-o3b
@OmaryZuberi-o3b 5 ай бұрын
@@vigezo 🤣🤣🤣😃
@IluMshana-ni8xf
@IluMshana-ni8xf 5 ай бұрын
​@@vigezohalafu unakuta ni mwanaume sasa😂
@jumakhaji1620
@jumakhaji1620 5 ай бұрын
kazi ya Uhakika Mollah hawabariki wausika wote 😂🎉❤
@4bod801
@4bod801 5 ай бұрын
You are the best 👌
@salumchande2702
@salumchande2702 5 ай бұрын
Hizi like huwa mnazifanyia nini mukishapewa 😂
@gloriamwenda
@gloriamwenda 5 ай бұрын
😮😮😮
@HudhaifaMakungu
@HudhaifaMakungu 5 ай бұрын
Mbavu zangu😂😂😂❤
@therezapaul1523
@therezapaul1523 4 ай бұрын
anaenda kujipaka mafuta ya papa mwili mzima😅😅😅
@liylahahmed829
@liylahahmed829 5 ай бұрын
Mmmh kwaiyo Zanzibar ndo hawafichui au mmmh
@CholoFaizaan
@CholoFaizaan 5 ай бұрын
Niutani😂 tu Tz hatugombani kwautani wala hatugombani kuhusu makabila
@Delux698
@Delux698 5 ай бұрын
KUNA hili li shangazi lifupi limevaa kijora cha njan0, mwenye namba please😂😂🙏🙏
@SebastianDaniel-mb4nl
@SebastianDaniel-mb4nl 5 ай бұрын
From kumamoto japan naomba like😀😀
@Petitejollie
@Petitejollie 5 ай бұрын
Huyo bibi harusi hapo mwisho kanichekesha sana 😂😂😂😂
@hassansammy1076
@hassansammy1076 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 joti never disamppoint 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 nakubali wata mleta nyumbani😂😂😂😂😂
@Jobiso
@Jobiso 5 ай бұрын
Utanikuta bandari
@makawan_Bway5478
@makawan_Bway5478 5 ай бұрын
Hilo meno ndo lakujibu Sasa Mimi Sio Muoaji 😂 🙌
@NayraTz
@NayraTz 4 ай бұрын
Ndugu zangu popote mlipo mimi sitaki hiz habari mume wangu apite tuu anichkue 😅
@AraphaCheki
@AraphaCheki 5 ай бұрын
Nimewahi Leo kidg khaa😂 nilijua wa kwanza mm
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 5 ай бұрын
Joti kawaweza leo 😅😅
@hilalihamisi
@hilalihamisi 5 ай бұрын
Mjomba kama Mjomba😂😂😂
@allykassim1120
@allykassim1120 5 ай бұрын
joti ww noma😂😂😂
@Shadadihamis25
@Shadadihamis25 5 ай бұрын
Huwa wanazingua sana na hizo tamaduni zao 😅😂😂nimependa hamiiiiiii
NACHATI NA MWARABU
10:31
Joti TV
Рет қаралды 238 М.
SINGO MAZA
8:29
Joti TV
Рет қаралды 349 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 38 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 47 МЛН
KING WA MADEM |15|
18:44
BHAILAM
Рет қаралды 6 М.
KILA WIKI NGOMANI
11:03
Joti TV
Рет қаралды 736 М.
MAJUNGU PLESI
10:19
Joti TV
Рет қаралды 330 М.
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 24 МЛН
Mazuzu Comedy Show Masawe | Kiwewe Wakutana
4:05
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 137 М.
UMASKINI WANGU
40:03
BabaJoan
Рет қаралды 103 М.
SIFA ZA KIJINGA
9:57
Joti TV
Рет қаралды 369 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 38 МЛН