Tusisahau kumshukuru Mungu kwa uhai anaotupa, na tusisahau kumuomba pia maana pila yeye sisi hatuwezi lolote Ameen 🙏🏽🙏🏽
@leylahmsosa87934 сағат бұрын
Amina ❤❤
@MaryMichael-w1l3 сағат бұрын
🙏🙏
@Simply001-c5x5 сағат бұрын
Naitazama juakali kutoka kenya nami pia naomba likes zenyu na kusubscribe pia ❤
@leylahmsosa87936 сағат бұрын
Yaan mm 2 ndo sijawah kuomba like kwasasa najua like aziniongezei bando like zingekuwa bando yaan ningekuwa naomba mpaka mnasema
@josephnchama9895 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@ebubu-bf1oy5 сағат бұрын
Wee wasiwasi ni akili,, kunguru muoga huishi miaka mingi .. peter.., 👍
@LuvunoTungwa5 сағат бұрын
Nimepeza kucomment sababu ya awa waomba likes Aya na Mimi mnipe zangu Bila hivyo nalia Mimi ni last born 😢
@edwinelias85545 сағат бұрын
Nimechoka kujificha mimi ndio Dj niliyweka hiyo merody kwenye Jua kali nipeni like zangu nikapigie mswaki😂
@MwasitiOmmary4 сағат бұрын
😂😂😂😂
@neymahrashada7607Сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅
@zahraabdul96525 сағат бұрын
Kiporo Enzo atakipasha ila Patrick nakupenda Bure hicho chako baba mtoto mdogo kama Enzo asikunyime usingizi ila peter kaokota dodo chini ya mnazi 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉
@karembo70826 сағат бұрын
Like zangu please kwa usalama wa afya zenu by daa zuu😂😂😂😂
@SalomeAmir-g9m6 сағат бұрын
Wakwanza Leo naombrn like zangu
@Elzaberthjohn5 сағат бұрын
Naomben like hata moja tu
@happyluoga74936 сағат бұрын
Wa 4 jaman nionjeshe like zilivo tam
@YoramJoseph-x3h4 сағат бұрын
Juakali naipenda jamn inafumdisha maisha halisia kbs
@happinessmchome91018 минут бұрын
Watching from Ottawa, ontario canada. Naombeni na mimi like leo duuh😂😂
@rosemahenge90715 сағат бұрын
Peter ni mkali wa hizi mambo Grolia jipange😂😂
@Mail-z5q5 сағат бұрын
Anatafuta kufa kwa presha na Vijana wadogo
@AsiaRamadhani-pp6kg5 сағат бұрын
Tunateseka na Anna kwann anahangika na wanaume kumbe shida imeanzia Kwa mama ake😂😂😂😂 ila vya kurithi vya moto😊
@evelnjuma18345 сағат бұрын
Rejina, I thought she was too bossy, but I just live 💃🏼🇹🇿
@user-uv8gf6wl1o6 сағат бұрын
Wa 17 leo nimewahi mno, naomba like zangu
@boniphacefundisha72685 сағат бұрын
Hakuna kitu inakela kama unasoma comment unategemea utakuta watu wametoa maoni kuhusu kinachoendelea jua kali, au comment kuhusu waigizaji basi hata pongezi kwa DJ unakutana ooh nimekuwa wa kwanza naomba like mara hizo like mimi sijawahi kupata ujinga tu
@ElizabethCharles-tx1lb5 сағат бұрын
Inakera kweli yaan
@vumiliarichard93474 сағат бұрын
Me nakerekwa San aisee
@luciajohn89625 сағат бұрын
Peter ipo siku litakukuta jambo🤣🤣🤣 achana na wake za watu professor atakuua 😂😂
@ALIMOHD-bk9lr5 сағат бұрын
Huyu Peter usikute ni mutoto yake na professor 😂😂😂
@luciajohn89625 сағат бұрын
@@ALIMOHD-bk9lr yaan Ile family haieleweki kwakwel 🤣😂
@user-ny2gf6un4l3 сағат бұрын
Patrick ni bonge Moja la actor...... ni anajua Hadi anakeraa🔥🔥🔥
@rosegodlove19564 сағат бұрын
Naingia zangu kucheki juakali kabla sijaimaliza naingia kwenye comment nategemea kukuta udambwi udambwi 😥😥 mara oooh!! nakuta naomba like mara me sijawahi kupata like ni nn hiki lakin 😏😏
@anethpatrick75116 сағат бұрын
NAJUA WENGI MNAJIULIZA KWANINI WATU WANAPENDA KUOMBA LIKES SANA NI HIVI ........ ME MWENYEWE SIJUI JAMANI😂😂😂😂 NAOMBENI LIKES NA MIMI
@AmanaHussein5 сағат бұрын
😂😂😂😂
@vumiliarichard93475 сағат бұрын
😂😂😂😂nilivojitutumua kusom nikajua kit Cha maan ay bhn
@Janethjames-n5f5 сағат бұрын
Nilijua hli jambo tushalimaliza tokea jana kumbe bdo??
@FlorenceShirima-z8r5 сағат бұрын
Msenge wewe like kumayako
@anethpatrick75115 сағат бұрын
😂😂😂@@vumiliarichard9347
@evergeorge32696 сағат бұрын
Peter na mshangazi wake😂😂😂
@rosemahenge90716 сағат бұрын
Mbibi 😂mshangazi ni lika la Anna
@SylviaAthuman5 сағат бұрын
😂😂
@rosemilingi78605 сағат бұрын
😂😂😂
@faudhiamnyavi74936 сағат бұрын
Jamani Peter mashaallah😊 au nimeona pekeangu😂
@ashasalimin10335 сағат бұрын
Yaan bonge la handsome
@MkweleMalata5 сағат бұрын
Hahahhah dah
@givenbedae93425 сағат бұрын
Yaani ni bonge la kaka
@FurahaHamisi-s1x5 сағат бұрын
Yani mmi mwenyew na mpenda😂😂
@vumiliarichard93475 сағат бұрын
Toka ameanza kudate na Semen ndo nikajua peter ni handsome boy San alf yuko romantic mno😘😘🥰🥰
@beatricesway57825 сағат бұрын
Patric unajua kuigiza mashallah ❤❤❤❤❤
@PaulinaSemindu-ob3de5 сағат бұрын
Ila mama semen anaonekana ndumilakwili sana kwa rejina na mumewe nyie ngoja tuone mchezo😂
@jescasumun80345 сағат бұрын
Tuwekee na mzani wa mapenzi
@IbranationMaina5 сағат бұрын
Ahahaha kweli iddi Leo umenichekesha sana Leo nimeamini pesa ni Kila kitu
@osimanikikoti6 сағат бұрын
Npo mwenyewe na like mwenyewe
@AnastaziaViatory5 сағат бұрын
Mm naomba like moja tuu😅
@WemaCharles-j1e5 сағат бұрын
😂😂 mambo yenyewe hujambo glory 😅ila peter bhana nimecheka 😂😂
@catrinavampire85474 сағат бұрын
Njaa mbaya
@chikumuya80632 минут бұрын
😂😂😂😂
@sylvia39995 сағат бұрын
Patrick 😂😂😂😂 Enzo mtoto jamani ❤❤❤
@rosemahenge90715 сағат бұрын
Enzo nawe unayataka watu wanasema wameachana lakini bado wanaishi pamoja WEWE HUOGOPI?🤣🤣
@ButoyiHudjati3 сағат бұрын
Sasa mtu anaingiaje whatsap
@شاميمشاميم-ر9ت5 сағат бұрын
Pita mtu mzima yuwautaka huyo mnyooshe hebu 😂😂😂😂😂
@ElizabethSiwale-mv5bu5 сағат бұрын
Peter Peter Peter nimekuita mara tatu nimekaa hapa
@Atukayuni-m4l6 сағат бұрын
Mambo yanazidiii kunoga🔥🔥
@blessedme78525 сағат бұрын
Like moja nakurushia laki moja
@victoriaferdinand8854 сағат бұрын
Glory anatupa mistari kama yeye ndo mwanaume😂😂😂😂
@NeemaSway5 сағат бұрын
Nimewahi na mm Leo kuomba like zenu
@Hot_rod-lies5 сағат бұрын
Ww pitaa ufekirea jambo kabla hujafanya yatakukuta pabaya nakushaure tu uwachania nahuyo mama tamaa zetakupozaa
@bonifacekilaviri96985 сағат бұрын
Huyu mama na huyo Anna wake wote wanashida
@theodoradavid26416 сағат бұрын
Patrick tumeona weng wakali kwenye jua kali ila wamepoa utapoa tu😅
@zamdanamwenje94155 сағат бұрын
Swala la muda
@Realme-xm3sh4 сағат бұрын
@z😂😂amdanamwenje9415
@MonahAbdull4 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@WemaWaksoniKatina5 сағат бұрын
Patriki ipo sawa abilia chunga mzigo wako
@Realme-xm3sh4 сағат бұрын
Dj jmn tunaomba naiyo dosar🙏🙏
@user-wp8pr1gv5h4 сағат бұрын
sijui na niombe like😂
@mohammedabdallah63904 сағат бұрын
😂😂 ila ukichunguza kwa makini mama Semeni anakijiunafki fulani ivi😂😂
@DeborahVedastus-tn7nf4 сағат бұрын
😂😂
@givendaudi87213 сағат бұрын
Sanaaa
@Maria-bo1fy4 сағат бұрын
Idi ana ambiwa asante sana anajibu insh-allah 😂😂😂😂
@FurahaNgatena5 сағат бұрын
mm sijui hata kwann zinaombwaga
@DayanaSospeter-sy8wl5 сағат бұрын
Jua kali n raha❤❤❤tyu
@monicakiwia56495 сағат бұрын
Ila Peter Glory kwake sumu ila wake wa Iddi rafiki yake Aaaaahhh.....😂😂😂
@AminaMtalika-ju3cs5 сағат бұрын
We Dj bando la laki moja
@paskaziasholla74715 сағат бұрын
Mimi nachekwa mwili mkubwa matiti madogo mbona Regina yupo ivo
@Rahima-kv6mn5 сағат бұрын
Mama semeni yatakushinda umbea tu sasa unashangaa nini eti mpk kazini 😂😂😂😂😂😂
@LilianAchieng-bo9xo6 сағат бұрын
Enzo nenda tu lakini kiporo ntaipasha nimependa hio mafumbo,😂😂😂
@SaraaSaraa-i1j5 сағат бұрын
Like
@salmasalmarian5042 сағат бұрын
Ila Patrick 🤣😂😂 m nampenda bana😂😂
@شاميمشاميم-ر9ت5 сағат бұрын
Pita pita mshangazi yuwautaka huyo 😂😂😂😂😂😂
@Maymuna-wc8lz3 сағат бұрын
Ila Huyu Enzo Nae Kazidi Kutwa Upo Na Regina Office Haitoshi Mpk Nyumbani,, Mimi Mwanafamiliy Wa Jua Kali Patrick Mtimuwe Enzo Kama Kimbunga Halima
@NaomyPoul5 сағат бұрын
Peter unavyojifanya unaheshimu wake za watu jamani🙆 vipi kuhusu wake wa rariki yako Idd😂😂😂aisee wee kiboko🙌
@MburaMbura-t4y5 сағат бұрын
Glory si mke wa boss anaweza akapigwa risasi ya kichwa
@MeshackNelisan-vi8fj5 сағат бұрын
Pitaaaaaa ety mke wa mtu sumu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rilianwillium5 сағат бұрын
Tunao angalia kwanza tujuane ... izo likes mtatupa ikiisha 😂
@KsaVip-dw7um6 сағат бұрын
Akun mtu nanifurahishag kam pita😅😅😅
@VailethJohn-c4u5 сағат бұрын
Ila peter et hujambo groly nyie watoto wa 2000 khaa😂😂😂
@Mail-z5q5 сағат бұрын
Anamfurahisha ajione mdogo
@maninisamwel86575 сағат бұрын
😂😂😂😂
@user-tn2co6ps7q5 сағат бұрын
glory yeye mwenyew haptaki kuambiwa shikamoo wala mama