Acha madhabahu za uongo ziendelee kuwepo wakati utafika zitafutika,kazi ya wana wa Mungu wa kweli ni kuendelea kuliombea kanisa lake.
@OlgaAtanasioOlgaAtanasio21 күн бұрын
Mungu nipate yela nijengue yumba apa palma lua Jina lá yesu amen
@OmegaGraphix4 ай бұрын
Kiongozi wa dini au kwa lugha nyingine mtumishi wa Mungu hatafuti umaharufu. Sio kazi walioitiwa mkuu
@Usalamawave4 ай бұрын
Twende mbele turudi nyuma, Makonda is another person 🔥 🔥
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Wakomeshe hawa madhabeli hawa ndiyo ndiyo ndiyo Fanya kazi makonda tuko nyuma Yako Yesu akiwa kiongozi ❤❤❤❤
@zakariamakumba50424 ай бұрын
Madhabahu Yako inatumika kutukana watumishi wa Mungu,
@thomasmallya29724 ай бұрын
Makonda unasaau kitu kimoja kuna vitu vilifanyika kwa sababu na aviitafanyika tena kwa iyo acha kutupotosha viongoz wadini wanatakiwa kuonya na kukemea pia
@EstherJerald-tc6ct4 ай бұрын
Amina Ubarikiwe mtu wa Mungu Mwenye masikio na asikie na ageuke kumwoomba Mungu juu ya nchi yetu Tanzania Mungu ingilia kati ktk nchi yetu Tz
@apostleemmanuelmabuga81484 ай бұрын
MAKONDA SIO NEBKADNEZA ni FARAO
@JumaThomas-f1z4 ай бұрын
Kama huna D 2 huwezi elewa Makonda safi sana
@Martindavid-g5x2 ай бұрын
Makonda kweli mungu wako ni mkubwa ubarikiwe sana
@OmegaGraphix4 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu wa kweli anayehubiri kweli hawezi kuwa rafiki wa serikali yeyote duniani. The bible proves that
@AkswaZo4 ай бұрын
I am a Muslim but I have agreed it
@TM-zs3rm4 ай бұрын
Makonda unapitosha umma kupitia kanisa. Huna Mungu wala baraka za Mungu. Na aliyekuteau , chura hana Mungu. Utakuwaje chura na kuwageuka wananchi. Ni utapeli mtupu. Sasa unatumia baadhi ya matapeli wa Mungu kujipa ukubwa. Hata Mwamposa hatumii Mungu. Hana Mungu. Msimkufuru Mungu. Mwamposa hawezi kupora pesa za wanaohangaika kujipa utajiri akasema anamtumikia Mungu kwa kumtumia Yesu aliyekuwa hana pesa, magari, mahoteli. Yesu ashuke sasa hivi, Mwamposa hatauona ufalme wa Mungu. Yfalme wake kishajipatia hapa duniani. Makonda usimkufuru Mungu. Jiimbee kwa kweli. Kwa waliotekwa, uawa, teswa kupitia mikono yenu hamko wasafi. Mnaipeleka nchi kubaya zaidi. Mnatetea watekaji, wauaji na kuwahukumu wanaoteswa. Una bifu binafsi na Mbowe sababu kasimama kidete kumwindia huyo mama yako Samia na kumrudisha Pemba. Watanganyika tumechoka na manyanyasi. Mnaweza kumfuata Zanzibar mkakujenge huko naye lakini tuachieni nchi yetu, bsndari zetu, viwanja vya ndege, madini yetu, ardhi za Ngiringori, Serengeti , misitu yetubya njombe na mbeta yetu. Mmeuteka uchumi mkuu wetu wite nchini nchini na ufisadi mkuu . Tanganyika ni ya watanganyika. Umemgeuka Magufuli atakukaba yeye mwenyewe kwa kumuuza kwa huyu mama ambaye alimwamini. Tuitie Ccm sasa. Na manabii wao wote wauongo. Mungu wapige kofi wewe mwenyewe. Wanakuchafua. Basi acha siasa jiunge na huyo Mwamposa sasa. Usichanganye ushenzi wa matapeli kanisani na siasa kuteka na kuua watu, na kupora mali zao. Hatuna wachungaji, hatuna serikali.
@AngelMazola4 ай бұрын
Sio kwamakasiliko ayo kwaiyo we kimekukwaza nini apo kwasababu yupo na mwamposa si ndio
@NkwabiMasanja4 ай бұрын
Huu ujumb nahis umeeuadika huku moyon unamaumivu kww pamja xana
@davidmalisa80434 ай бұрын
We ni fala tu
@DanielLetina-j9v4 ай бұрын
Ndugu yangu Mokondo umesema Biblia inasema katika Mathayo 7:15.,16.,17.,18.,19.,20.,21.,22.,23. 15. Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. 16. Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? 17. Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. 18. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. 19. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. 20. Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua. 21. Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22. Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? 23. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. hatakama mtu ni maarufu namna gani, kufanya miujiza minga,kuponya wagonjwa sana Yesu alisema wengi watakuja siku hiyo watasema hatujatoa pepo kwajina lako ,hatujafanya miujiza Yesu atawaambia siwajui ninyi watenda dhambi kuponya sio vibaya kufanya miujiza sio vibaya lakini mwamposa sio kwasababu ni maarufu ndiyo tuna musema katika mahubiri yake ni kuponya tu na utajiri lakini hawambii watu warudie MUNGU na analiongeza jina la Yesu Kwa maji,mafuta,udongo Amefanya jina la Yesu haliwezi kuponya pasipo maji kwanini?
@hadjiMbugi-iu4eg4 ай бұрын
Jamaangu umeandika paragraph kubwa wakati cc dini yenyewe tumeletewa 😂😂😂
@toshackmadege55074 ай бұрын
Nimekuelewa sana Mheshimiwa mkuu wa mkoa, kuna viongozi wa dini wamegeuka chawa wa siasa za hovyo za kuharibu amani na umoja wa nchi yetu wakati wao kazi yao ni kuponya roho
@Jackson-n2c4 ай бұрын
Makonda nampenda sana 😊..... Lkn makonda usibebe ishu hii inayoendelea sahivi.... MUNGU hapendi umwagaji wa damu
@ThomasfrancisMvella4 ай бұрын
Comrade tuko pamoja paka sir god atakaposema enough....we believe in u
@PaskaziaVidastus4 ай бұрын
Hakika makonda unafaa kuwa mtumish wa Mungu
@Jane-l5z4 ай бұрын
Wewe kila kitu kinafaa.hayo ni matumizi mabaya ya ubongo
@lindajohansen92204 ай бұрын
Aarusha msidanganyike Mungu wetu sio mwanadamu hata aseme uongo! Hao wenye mikono yenye damu watupishe kwanza. Mwamposa Mungu anakuona eti, achana na watu wauaji fanya kazi ya Mungu mtume. Usikubali huduma yako ichafuliwe!
@miriamwinston99084 ай бұрын
Hajasema MUNGU ni mwanadam embu kuweni na akili ya kutanuka hata shuhuda za mwamposa anasema MUNGU ndie mponyaji sio yeye mwamposa kaa kwa kutulia
@zakariamakumba50424 ай бұрын
Tamaa mbaya Mwamposa
@EstharDaniel-s5g3 ай бұрын
Maombezi ya leo
@zawadjose54404 ай бұрын
Mmmhh hapa hakuna Mungu ni siasa tu 😢😢😢😢
@ProphetIsayakihingi4 ай бұрын
Mungu wa mbingu nachi akubaliki makonda kiongozi anaye ongea mungu juu ya nchi yetu na kanisa
@blandinajoseph12914 ай бұрын
Ma prophet wa siku hizi😎 na hili nalo alilolifanya makonda ni lakusifia kweli???Anatamba kwa sababu madhabahu yenyewe inamtambua na inamkubali,angekwenda kwenye madhabahu zenye moto aone km angesimama hata dakika moja😏
@kabujeasukile54624 ай бұрын
Huyu MAKONDA mungu amemupa vipawa vingi ubarikiwe sana
@prospermsemwa14334 ай бұрын
Hakuna kitu hapo
@daviddsouza7354 ай бұрын
Kipawa chako binafsi kipo wapi ili nawe utambue ishara za nyakati?
@SkendoTV4 ай бұрын
Makonda ni Mweu anahitaji kuombewa 😂😂😂😂
@chimpayejohn61574 ай бұрын
Barikiwa Sana makonda nakuelewa saaana baba
@Tg.7_74 ай бұрын
Aisee hayo maandiko yalivyochanganywa, duh😢 Mfalme Nebukadnezer then Yusuph dah!😢
@WemaMhema4 ай бұрын
Ubarikiwe makonda
@barakakitomary29364 ай бұрын
Nikweli kaka makonda nakuelewa brooh wangu
@Franciskiongozi4 ай бұрын
Unamuelewa kwenye Kipi? Ni kweli Viongozi Wa dini hawapaswi kuuliza Maswali Kwa viongozi Wa Dunia lkn Kuna sehemu Mkuu amepuyanga Nebkadreza Ni mfalme Wa babeli Ambae ndoto Zake alimtafsiria Daniel Yusuph alitafsiri ndoto za farau mfalme Wa Misiri Na Kingine Kwani Amefanya Tathimini Gani kuwa Apostle Yu Wa Mungu Kweli Kweli? Hekima Ni Bora na Huu Ni Wakati Wa Utulivu Kuliko marumbano
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Tena hajawahi kusoma kwamba Yesu mwenyewe alisema hao atawakana siku ya mwisho. ... Siku hiyo wataniambia Mwalimu sisi tuliponya wagonjwa kwa jina lako na kutoa pepo kwa Jina lako. Nitawajibu siwajui nyinyi mtokapo. Watu hatuna uwezo wa kujisomea maandiko na kutafakari. Uelewa huo mdogo ni sehemu ya uovu wa mauaji tunayoyashudia, mtu ambaye anaamini na mwenye kiu kubwa ya miujiza anashindwa nini kuamini kwamba viungo vya binadamu vinaleta utajiri, cheo au mafanikio mengine. Kisa cha sodoma na Gomorrah kinaweza kutumika kuelezea taifa letu. Wingi wa watenda miuujiza huu. Kwa nini haya yanayotusibu?. Kuparamia waliopakwa mafuta sio sawa. Hatujafika bado. Kile kitabu cha wimbo wa Lawino, mshairi alitwambia kwamba, mashehe, mapadri na wachungaji wote hawa ni mashujaa. Tujichunge na watu hasa waliojitoa sadaka hata kama hatukubaliani nao. Watu karibu walimsema Musa kuoa mwanamke nje ya kabila la Israel, bible inaelezea kilitokea nini. Ni wapakwa mafuta wa bwana, wakiandika wameandika . Waraka, tamko ya Mtu aliyewekwa wakfu ni Sala na Maelekezo ya Mungu kwa binadamu.
@LightnessMushi-d4k29 күн бұрын
Umesema ucchokijua pole mkuu
@FilbertHabashi-zn1qu4 ай бұрын
Kila kiongozi aliyevaa kofia ya dini na hajaitwa na mungu, namfuta kwa jina la yesu . Mwamposa ameshtuka sana kusikia hayo maneno ya makonda kidogo ajikojoleee.
@esthersissamo11204 ай бұрын
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@charlesmwambinga43554 ай бұрын
Mpaka sasa nafiria nashindwa kupata majibu
@HappyMsuha4 ай бұрын
@@charlesmwambinga4355unachelewa sana hao wamesoma wote na akiwa na mda anasali kawe yeye ,chalamila wengine wengi wapo kawe anafikisha ujumbe kwa watumishi wengine wakisimama wamuongelee Mungu kama afanyavyo mwamposa sio wao kila wakisamama ni kumsema mtu sio sawa na wakishindwa wanaenda serikalin sasa nao serikali wapate majibu wap kama wao watumishi hawafany kaz yao vyema Simple summary sikiliza utaelewa
@clintonarnold62914 ай бұрын
Siasa🔥🔥
@pastorbarakangata6064 ай бұрын
acha kudanganya watu kundi hilo likipotea kwa kupotea kwao unamchango kama mnakosea kwanini msibadilike mnahitaji maombi ndio maombi na kuandika waraka pamoja na kukemea uovu wanaonya ni waganga njaa
@nkombejonathan28584 ай бұрын
Mungu akubariki RC Makonda, tukupate wapi mtu kama wewe ambaye anasema Neno la Kweli ya Mungu kuliko hao wanaojiita wenyewe?
@GodfreyOsward4 ай бұрын
@@nkombejonathan2858 kwenye ukweli ni lazima awemo kweli mwenyewe. Hapa ukweli huu yupo shetani Kujigeuza kuwa malaika wa Nuru. Walio wake Mungu hawapingani. Jambo la Hekima wanalikuza, mpumbavu anadharau na kubedha.
@charlesmwambinga43554 ай бұрын
Hivi umesikiliza yote au na wewe husomi bibilia ? Mungu Dictator ? Hana democrasia ? Elia sio Nabii ...vichaa nchi hii ni wengi sana😂😂😂😂😂😂
@zakariamakumba50424 ай бұрын
Mwamposa,omba rehema umeaibisha Mungu na huduma yako,hata neno hajui ,umefanya jambo la aibu
@MariaStephano-k1s4 ай бұрын
Sema baba barikiwa sana
@Boniphaceshayo54 ай бұрын
Watanzania bwana acha nicheke tu😂😂😂😂 nasubiri maoni yenu juu ya hutuba ya makonda
@hanifa91534 ай бұрын
Makonda we silim tu hakna Dini 2 duniani dini ni 1 na Mungu God Allah ni 1 tu sasa wew jitoe ufaham wakati una tangaza injili inayobadilishwa maneno kila leo karibu kwenye uislam makonda wetu💞💞💞
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Hata na huko kumebadilika tu. Tujisomee
@hanifa91534 ай бұрын
@@GodfreyOsward kwenda ukoo qurian haijawai kubadilila ata mtoto mdogo ana hifadhi kitabu cha Allah hatudanganyiki na Allah ameshaweka ahadi ata wakakaa kuandika hawawezi kuongeza coz tumehifadhi mioyoni mwetu wadogo tu tukiwa madrasa na wakijarb kuongeza ata herufi moja waislam wa dunia yote tunajaga na dakika . Jiongeze😂
@GodfreyOsward4 ай бұрын
@@hanifa9153 Hapana watu wengi hatupendi kuingilia Imani za wenzetu kwa sababu mbinguni ni ya Mungu. Haya mambo ni Imani tu.
@MajariwaLukas4 ай бұрын
ACHA UJINGA UWISILAMU SIYO DINI YAMUNGU UISLAM NI DININI YA MAJINI NAWAGANGA
@erickevarst95894 ай бұрын
Uko sawa@MajariwaLukas
@Wilbroad-m2u4 ай бұрын
Kiongozi umeongea vizuri sana.ila bado ni unafiki tu. Hata siku moja sijawahi sikia mnazungumzia makosa ya rais. Mnayakaria kimya
@kwisa48994 ай бұрын
Mbona hawamzungumzii Daudi
@songombingo1084 ай бұрын
Matapeli wanaotumia jina la Mungu. Hamna kitu hapo.
sa nyie mritaka amutukane samia uyo baba si ni raisi razima amusemehe mazuri jamani
@meshackthomas13414 ай бұрын
Hata msemeje makonda. Anafaa sana tu kuwa kiongozi mkubwa Tanzania. Anavyo vigezo. Hivyo. Tukiacha fitina na chuki binafisi. Kigezo mojawapo nikwamba anafaida kubwa kiutumishi kuliko hasala nk 👁️👁️
@AllyMasterKitali3 ай бұрын
Mweshimiwa mkuu wa mko tunakupenda sana mwamposa nitaperi anapiga ramli chonganishi anadanganya watu na udongo pia sabuni mafuta huu nitaperi mkuu
@gerevasliyunga98314 ай бұрын
😂😂😂Tanzania inaanza kua na ubaguz wa kidin hii ni balaaa
@jeremiahsimon90434 ай бұрын
Watumishi wangapi wameshatoa ushauri kwa serikali lkn haufanyiwi kazi! Je! Kuonya si moja katika wito wa Watumishi? Je! Yohana hakumwonya Herode?? NDUGU.....
@uziasinkamba73804 ай бұрын
Kilichotokea umekifuatilia, nikama alienda haraka bwana yohana.mpaka akamuona Yesu Kua Hana huduma maana alitarajia kwamba angeenda kumufariji kule gerezani.
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Hata nabii Amosi na akambilia milimani. Siku hizi ukijikusanyia washirikina wa miuujiza unaweza kusema chochote.
@stephanokanyika63214 ай бұрын
Hapo umenena man of God
@majjidrajabu26224 ай бұрын
Na mtumishi asiyesimamia haki bali ‘ uchawa’ hafai kumtumikia Mungu, kwani Mungu ni upendo na pasipo haki upendo hausomeki na amani hutoweka😮😊
@abdalaalmas25354 ай бұрын
Nimekukubali sana Makonda
@deovisual4 ай бұрын
Nabkadresa au Yusufu? 😢😢😢
@ebenezermachange-zp4es4 ай бұрын
Amen ..Glory to God
@daviddsouza7354 ай бұрын
Mfalme nani na Yusufu? Watumishi huwa hawana sana majibu. Huwa wanakuja kuonya na kukanya. Chomoka baba upate kujifunza mengi.
@ponsianomnyaru91404 ай бұрын
Makonda hapo unaharibu future
@PauloAlfayo-qi1gn4 ай бұрын
Cheza na mengine sio utumishi wa mungu
@kwisa48994 ай бұрын
Huyu ndie mlipendekeza kuwa Rais wetu😂😂😂😂😂
@emmanuelmwandu.31264 ай бұрын
😂... Hata Mimi nawaza au kavaa kava siyo Makonda boy Mzee wa spana😊
@talentshow20244 ай бұрын
😢
@BraveMajaliwa-gf7ru4 ай бұрын
@@emmanuelmwandu.3126makonda ameanza kufanya siasa za kipumbavu 😂😂😂 eti mwamposa anatumia nguvu za MUNGU
@miriamwinston99084 ай бұрын
Tulieni kila mtu atakua rais😂shwain
@lihumbolihumbo13304 ай бұрын
Yaani Makonda unatakataa viongozi wa dini wasihoji kuhusu utawala wenu!?🤣 Kwani nyie sio watu wa Mungu!?😅😅
@ericktesha16684 ай бұрын
Rev.Desmond Tutu Rev Martin Luther Jr Rev Jesse Jackson...and so on and on
@johnmatiko11084 ай бұрын
Desmond tutu Tena? 😂From south Africa
@MgayaBen4 ай бұрын
Wewe ni chawa wa wazi
@fiziakayombo52434 ай бұрын
Nilikupenda sana lakini hili Bwana yesu akurehemu
@MymunaUlaya4 ай бұрын
Hiki chuma kikiondoka tanzania itapooza sana mungu ampe maisha marefu hyu mwamba
@nabimanyafesto50144 ай бұрын
Kipofu akiongoza kipofu wote hudumbukia shimoni.
@samwelkadege84964 ай бұрын
Nebokaderza na yusufu 😅😅😅amevamia kazi za watu,, Eliya alikuwa Nabii,
@evelynkamuzora44624 ай бұрын
Tanzania ni ya YESU anaipigania anaisaidia hakuna lisilo na mwisho YESU tu ndiye hana mwisho. Hakuna usiku usiokucha kila kitu ipo siku macho ya watu na fahamu zao zitafunguliwa nao wataujua ukweli wa neno la Mungu na madhabahu ya Mungu iliyo sahihi.
@yamungungendu48394 ай бұрын
Hapa Hamna Kitu....Simwamini tena Makonda!!!
@LightnessTimotheo4 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosaa maarifa neno la Mungu tunalo ila wengi hawasomi nakuelewa anachotaka MUNGU!!nakuomba eeh MUNGU baba utuhurumie tu
@mbikamtanganaki4 ай бұрын
Wape spana kaka nawaona jinsi watekaji wanavyotoa mapovu we uogopi😂😂😂😂😂😂
@zachariamakoba83684 ай бұрын
Mwanposa anapewa za uso live, na mtaalamu mkuu wa mkoa
@godfredkimaro32924 ай бұрын
Unashusha Cv watanzania wa sasa siyo wa miaka ya 90.
@Neemav-c5i4 ай бұрын
Mwamposa mwenyewe ni mla fedha za watu wenye unyonge.
@MathewsSikazwe-up4qd4 ай бұрын
kaka mwamposa, uwe makini na ao Wana siasa wata kuaribia uduma Yako, wanatumia mikusanyiko Yako kupiga kampeni ya ccm uwe makini.
@AugustineChizubo4 ай бұрын
Cjakulewa kabisa Rc
@ElizabethFumbuka4 ай бұрын
Pamoja na neno sawa ,lakn Kuna km kusaka kura hivi😂
@eleonorashirima16044 ай бұрын
Hongera makonda
@ponsianomnyaru91404 ай бұрын
Mbona uovu wa serikali husemi
@ForgiveCheyo4 ай бұрын
Uko super makonda
@devothaignatius52564 ай бұрын
Mm nitafia kwenye dheebu niliko batizwa nawazazi wangu cio nikiona vipi bora niamie kwenye uwisilamu lkn cio chumvi mafuta nakeki Mungu nisaidie apa hakna kitu ni siasa kama zingine 😜😜😜
@khamisjohn76394 ай бұрын
Unatumia nguvu lkn hata neno la Mungu hujui ndiyo maana unatapika tuuuuu maneno. Eti Nebukadineza aliota ndoto Yusuf akatafsiri. Acha uongo
@simbeyekingsministrytv90354 ай бұрын
Sasa hii ndiyo siasa na dini ... Yani ulichofanya hapo ndiyo umefanya siasa.. Nakushauri tu mkuu wa mkoa acha kujichanganya...
@seneu.21284 ай бұрын
RC Makonda umeamua kuwashambulia maaskofu wa kanisa katoliki, Lutheran pamoja na katibu mkuu wa CCM kwa hilo hautafanikiwa
@BahatiMohamedi-h9v3 ай бұрын
Pamoja
@EmmyMwashimanga4 ай бұрын
Kweli Mungu hayupo Tanzania. Na ukiweka siasa na neno la Mungu ni shida. Ila Mungu awape macho ya kuona bado cjaona kitu hapo ila kwakuwa mungu yupo ataonekana tu
@MkoiTvTz4 ай бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..! kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@MkoiTvTz4 ай бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..! kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@nswilahebronhans95504 ай бұрын
Tiini mamlaka zilizopo duniani maana mamlaka zote zinatoka kwa Mungu 😂😂😂 we puuza serikali yako
@ConfusedChicken-ze9fz4 ай бұрын
Wewe acha kuongea ujinga kwani ukiwa mwana siasa apaswi kuzungumzia siasa? Je unamjua mfalme Yehoshafati au wewe usomi Biblia
Makonda unakosea sana huna siku mingi ukwe ukohivi watumishi wanaanza kumuonya, kisha wanakukaripia baada ya napo shindikana ndio wanalipeleka kwa Mungu
@josephlorri4314 ай бұрын
Makonda hapana hapana hapana... hapo anawananga Katoliki kwa kuhoji watu wanaopotea/kufa,wamasaai wa ngorongoro. Makonda umefika mwisho wa fikra..JPM naye alipambana na akina Archbishop Ruwaichi.. sambamba na kuhubiri neno la Mungu, Katoliki walitoa huduma za afya,elimu,maji maeneo yasiyofikika kirahisi tangu kabla ya uhuru
@GodfreyOsward4 ай бұрын
Neno la Mungu Lina ujuzi wake. Hapa kunakosa utambuzi. Hajatafakari kitabu cha KUTOKA. Musa na Haruni walimkabiri Farao uso kwa Uso. Bible ni ngumu sana hata anayejidai kuielewa anadanganya. Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe. Siku ile waniambia Mwalimu sisi tuliponya wagonjwa kwa jina lako na Tulitoa pepo kwa Jina lako. Nitawajibu siwajui nyinyi mtokapo. Yesu aliulizwa kwamba ndini nzuri ni ipi?. Majibu yake yako kwenye bible. Shetani ana tabia ya Kujigeuza kuwa malaika wa Nuru. Mmmmm
@yordanyona12344 ай бұрын
Makonda hapa anakosea ,,kwamba watu wasihoji siasa ndio inapojichanganya na dini
@thomasmallya29724 ай бұрын
Makonda apa amehama kwenye rell atakama ana mapenz na mwampoza ajitaid kuzuia miemko apo kajikanyaga
@scholarmawala14034 ай бұрын
Chomoka hukoooo ofisini Mzee njoo huku tupige Neno
@edmundnkarangu1344 ай бұрын
Fake yenyewe ndo hiyohiyo ipo inatakatishwa.God heal the world😭😭😭🙏
@ErickCharles-m5x4 ай бұрын
Makonda unaingizia siasa kwenye neno la mungu
@LucasKaik-xt8qe4 ай бұрын
Wenye D mbili tumeelewa
@gervaslukaya4 ай бұрын
Uyu mwamba uraisi unamjia na huu ujumbe kama haukumuelewa na hauwezi kumuelewa
@shadraachshadinho4 ай бұрын
Makonda nae vp tena jaman mbona kama si yule tuliemzoea
@BivanyTV4 ай бұрын
Gwajima ndo anasemwa
@salvatorymushi20384 ай бұрын
Kiboko Yako Gwajima bna
@samwelsimon73924 ай бұрын
gwajima hana uwezo huo kama unavyofikili wewe makonda level nyingine
@cosptersingogo40284 ай бұрын
I'm getting you from Zambia be blessed
@MirajiKhasani4 ай бұрын
Saf Sana mungu akubalik makonda
@RamadhaniKitala-gx6wc4 ай бұрын
Japo Mimi sio mkristo ila sijamuelewa kabisa huwezi kufananidha binadamu na serikali
@ElisonguoShayo-hb2gs4 ай бұрын
Kusifia sio tatizo ila ukitoa kasoro ndipo tatizo linaanza. Lakini hakuna jipya duniani maana hata huko miaka ya nyuma kabla ya Kristo ni wafalme wachache sana walio_admit mistakes zao pale Mungu alipotuma prophet kuwaambia makosa yao. Wengi wao aliishia to arrest them na kuwatia jela.
@bernadopaul54944 ай бұрын
Ni kweli yusufu alitafsiri ndoto ya Nebukadreza? La hasha ni la pharaoh
@protasmligo40324 ай бұрын
Hapo kachapia,siyo kweli yusufu alitafsir ndoto ya farao
@josephjohn21144 ай бұрын
Huyu makonda ni muongo sana ila wengi hawajui anatumia maneno ya MUNGU kupotosha watu na kutafuta huruma ya watu.
@PamelaMollel-v6v4 ай бұрын
Da sijaelewa tunakoelekea
@Musallaizar3 ай бұрын
Jamani unaongea ukweli SEMA hawaoni Ila kanyagia iyo his baba
@moshiwasua57494 ай бұрын
Safi sana ,,,,, hiyo ni nzuri , ila. ( 1 ). Nabii Nathani alimwambia Mfallme Daudi. Kosa alilofanya kwa URIA MHITI , ( 2) DANIEL. ,SHADRAC na ABEDNEG Walimwambia Mfallme Nebukadneza ,,,,,,,,,,,,,,,,,, ( 3). Mzee Joseph Sinde Warioba amesema tunapo alikuwa kwenye majukwaa ya ki dini tusiingize Siasa hata kidogo. Amesema siku hizi baadhi ya watu wakipewa nafasi ya kizungumza ,,, wakimbilia kutaja jina fulani. ,,,,hayo aliongea Mzee Warioba. Siyo mimi.