Alhamdulillah,Allah akujaalie kila LA kheri na akuepushe na kila la shari Shekh wetu.
@mamapelyekelye97993 жыл бұрын
Barakallah.... Ninajifunza sana. Mafunzo yako yanaeleweka vizuri sanaaaa.. Allah akulipe
@swalehahmed53385 жыл бұрын
Shukran ya shekh Mungu akubariki akuhifadhi akupe kila la khery hapa na kesho akhera inashaaalllah Amin!
@chikumohamed32642 жыл бұрын
Mashallah Allah akujaze kwa kutufunza kuswali maana watu wengi tunaswali lakini hatuelewi hasa vipengele vya swala sheikhe
@kausarsaleh7085 жыл бұрын
Alhamdulilah Darsa nzuri sana
@zabibunduwimana46125 жыл бұрын
Jazakallah Allah akufanyiye wepesi kwenye kazi zako
@malususiri48895 жыл бұрын
Darasa nzuri maashaalah
@bakarimwayaga10032 жыл бұрын
Ameen
@adijahmdosi5863 Жыл бұрын
Jazzaka Allaah kheri 🤲
@frankie-lh9xo3 жыл бұрын
Jazakallah
@LigileShaabani27 күн бұрын
Mashaallah Allah akupe maisha marefu
@tatuatut75425 жыл бұрын
Shukram Allah bariki
@yassinijumanne17632 жыл бұрын
Alhamndulillah shekh Allah akuhifadhi
@mishibakarikanwa30554 жыл бұрын
Alhamdulillah nashkuru najifunza mengi kutoka kwako shekh ..Allah akulipe
@mariamtumwebaze3893 жыл бұрын
Mashallah nimejifunza mengi kutoa kwako
@musitemusite43163 жыл бұрын
Maashaallah
@nusralilobwa47527 жыл бұрын
Jazzakallahu kheri
@zaidumohd31254 жыл бұрын
Shukran
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Amin yarabi
@sarahmohamed3375 жыл бұрын
Shukran Sheikh.
@taabohosain38497 жыл бұрын
Jazzakallah khayr
@suleimanhemed92345 жыл бұрын
جزاك اللهُ
@shabanisaidi88275 жыл бұрын
Mashaalh
@saudajulias2157 жыл бұрын
Jazzakumllah khery
@anjunurdin23924 жыл бұрын
Kweli kabisa.marufuku kwenda kula msibani wafiwa wao wanaangaika na mambo ya msiba.sio waangaike na kuwapa wanaokuja chakula jani kuleni kwenu.nendeni mkazike tu.watu wanashinda huko.pengine hawanahela je? Inatakiwa mpeleke chakula nyie wao hawaruhusiwi kupika
@malususiri20amalnikotayar335 жыл бұрын
Shukuran
@omani10785 жыл бұрын
Masha Allah
@fatmaswaleh14625 жыл бұрын
Nauliza.... hapo kwenye sidja yafaa usome dua zako, sasa katika kusoma, wasoma kiarabu ama na lugha yyte.
@anjunurdin23925 жыл бұрын
Kweli kabisa mtu kafiwa wanajazana watu mfiwa aangaike kuwaandalia jamani simajanga haya? Hebu rekebisheni hizi taratibu za kula kwenye misiba.mfiwa aletewe chakula sio nyie mnategemea chakula
@mwashumunassor3184 жыл бұрын
Tungekuona sheikh
@mwashumunassor3184 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujalie kwa kila lilo nakheri
@estamelejomah5725 жыл бұрын
Shukurani
@jalaalchotile79564 жыл бұрын
Kwenye kusujudu, wengine husema pua nayo yahusika. Je ni vipi hapo?
@gdjdhdbd59857 жыл бұрын
SHEKH mimi nina swali naomba niulize..nikiwa nishafunga salah mtu katokea kuniita yafa nipige makofi ili ajuwe nasali ama kupiga makofi kwenye salah aifai.naomba jibu.
@rumaiyaramadhani52365 жыл бұрын
Naomba nikujibu instead of sheikh haifai kupiga makofi Wala ishara yeyote ya kumuonyesha mtu kwamba unaswali maana pale unapofanya hivyo itapelekea ubatwili swala yako maana hamna fundisho hilo kwa maana unapofunga swala unakuwa karibu sana na mola wako hutakiwi kufanya kitu chochote tofauti na yale ambayo yamefundishwa na mtume katika swala ahsante
@rehemahusseni49366 жыл бұрын
shukran Akhiy
@makameibrahim84217 жыл бұрын
Aslm alaykum,jee! yafaa kutia udhu ukiwa bafuni kabla ya kuvaa nguo?(uchi)
@rumaiyaramadhani52365 жыл бұрын
Naomba nikujibu japokuwa Sina elimu kubwa hyo inafaa kwani hutia zile sehemu ambazo zimewekwa maalumu kwa kutiliwa udhu lkn kama unataka kuheshimu udhu bhas vaa nguo zako then tia udhu ahsante
@rumaiyaramadhani52365 жыл бұрын
Lkn hakikisha Bismillah usiisemee chooni kwani hutakiwi kumtaja Allah chooni unasema Bismillah inje then unaingia chooni unatia udhu ahsante
@jamilalihassan11255 жыл бұрын
Je kama mgonjwa ni WA kuvishwa pampers na akishikwa na haja hasemi yeye yuwaendelea kufanya haja zake. Hukumu yake vp Noted ni mama mzee akili za kuingia na kutoka.
@fumoshee25242 жыл бұрын
Shaikh with all due respect...mbona kiswa hichi wakitowa tafautitafauti??????mara mamake bb hrc alitoa sadaka ya pesa za harusi maaaara mamake bwn hrc alitoa chakula cha bwn hrc...tujueje?