JUDITH WAMBURA (LADY JAYDEE) AKIMSIFU MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI KANISANI

  Рет қаралды 174,087

RUMAFRICA

RUMAFRICA

2 жыл бұрын

JUDITH WAMBURA (LADY JAYDEE) AKIMSIFU MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI KANISANI SIKU YA JUMAPILI 24.07.2022 KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Пікірлер: 237
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 жыл бұрын
Judith wambura nampenda sanaaaa yeye siyo msanii wa mitandaoni ana tabia nzuri sanaaaa
@nasmamponde5737
@nasmamponde5737 Жыл бұрын
Sanaa
@afualusigi923
@afualusigi923 Жыл бұрын
Kwakweli
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mwanangu sauti yako nzuri sana,ubarikiwe Judith Wambura
@rosenyato8729
@rosenyato8729 Жыл бұрын
Watu kunyosheana vidole tu. Kwa nini usifurahi ukiona anamtukuza Mungu? Wewe uko safi una uhakika? Hongera Sana Judith
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 Жыл бұрын
Nyato umechafukwaaaa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Hata vilivyowazi wakae kimya??
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 Жыл бұрын
Kwa Yesu ni kituo cha mwisho cha kushukia hakuna tena kingine baada ya hicho.so Jesus is ever thin in life.congrat Lady jay D kwa kuja kwa Yesu.
@derickkatto9944
@derickkatto9944 Жыл бұрын
Ameokoka?
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Dada Jide Safi sana Mungu ndio tegemezi letu💛
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 Жыл бұрын
Jaydee Msabato huyu,, Hizo swaga kwake katumia usanii tu,, haziwezagi Alizoea kuimba masauti yajuu kbl
@Elishashayomueo-cd5qp
@Elishashayomueo-cd5qp Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kila wakati natazama hii video
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Mungu akupe hitaji la moyo wako dada angu (mtoto)
@nyemosawasawa901
@nyemosawasawa901 Жыл бұрын
Mungu ana kusudi na kila mmoja wetu. Ikishafika siku ya kuimba kwa Mungu hakuna atakaye mbembeleza yeye mwenyewe tu ataanza kuimba. Ana vocal ya maana sana. She is talented woman.
@labanitobkala620
@labanitobkala620 Жыл бұрын
Jay dee is praising God is such a joy and amazing
@rosemgeni2221
@rosemgeni2221 Жыл бұрын
Aliimba kwaya ya kanisa La wasabato huyu dada very classic voice,love u mom nakupenda tangu enz hizo....
@jessymbughi7263
@jessymbughi7263 Жыл бұрын
Kwaya gan hiyo ya kisabato
@rosemgeni2221
@rosemgeni2221 Жыл бұрын
@@jessymbughi7263 kwaya ya kanisa la magomeni mwembe chai kanisa la wasabato magimeni aliimba kwaya kuu ya kanisa hilo
@jessymbughi7263
@jessymbughi7263 Жыл бұрын
@@rosemgeni2221 sawaa ndg yangu ubarikiwe
@augustinecassian1242
@augustinecassian1242 Жыл бұрын
Ila kwa mavazi hayo! tuzidi kumuombea mana ameshindwa kuelewa hapo ni stejini au madhabahu
@jemimap.ndejembi8981
@jemimap.ndejembi8981 Жыл бұрын
Hongera sana dada yetu Judith MUNGU akubariki na kukuinua katika viwango vya juu sana as a Gospel singer well done beautiful watching you singing praising GOD 👏🏾👏🏾👏🏾
@rachellaiza7779
@rachellaiza7779 Жыл бұрын
Nampenda lady jaydee ulete tamasha arusha mm ni shabiki wako sana najua siku moja ataimba kwa ajili ya Jehovah sharma Mungu wetuu
@mwakasagule
@mwakasagule Жыл бұрын
Kati ya maombi yangu ni pale siku Lady Jyd amempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake. Nampenda sana huyu dada.
@dannyrich7739
@dannyrich7739 Жыл бұрын
Kabisa sio huyo tu na wengine wengi tu Pastor!!!
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 Жыл бұрын
Mungu mwema, inawezekana kabisa mimi nilikua cret ya bia namaliza lkn Mungu kaniokoa, miracle inawezekana kwa yeyote.
@mwakasagule
@mwakasagule Жыл бұрын
@@mariakibwana3700 Amina. Tuendelee kuwaombea, maana vipawa hivi vinapaswa kumtukuza MUNGU
@amiriforjesus8689
@amiriforjesus8689 Жыл бұрын
Dada yangu nakushauri kwa utukufu wake MUNGU okoka niwakati wako sahihi kwabwana wewe kuokoka okoka dada siku zimeisha
@anthonwawa1940
@anthonwawa1940 Жыл бұрын
Nimiaka kadhaa imepita mm ni mshabiki mkubwa wa lady jd Ila maombi yangu siku zote kwa mungu na ushauri wangu kwa lady jd ni kwamba sauti nakipaji chake ni wa ajili y kumsifu mungu aimbe nyimbo za kusifu na kuabudu kwa mungu kuna faida
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Tuzidi kumuombea
@enockmanyenye6230
@enockmanyenye6230 Жыл бұрын
Lady jd Mungu anakupenda Rudi kwa Bwans
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 Жыл бұрын
Amina kubwa mnooooo jide okoka saaa ni Sasa babe
@evelynmumia5246
@evelynmumia5246 Жыл бұрын
Always my legend,pick up my sister ,love your music,joto hasira ,njiwa and etc.frm🇰🇪
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 Жыл бұрын
Judith Wambura God love you alot Amekupa sauti nzuri ya kumsifu na kumwabudu yeye . Bless you your a beautiful lady
@sarahphilip3965
@sarahphilip3965 Жыл бұрын
Hio nguo sio ya madhabahuni,, mbona Mungu wetu ni wa utaratibu Bora ubakie njia kuu kuliko uvuguvugu
@tusubilegemtafya5532
@tusubilegemtafya5532 Жыл бұрын
Mwenyewe imenipa wasiwasi kuwa wahudumu wameshindwa kumpa hata kitenge lakini nikawaza yamkini bado hajamjua Mungu maskini ko anahisi ni sahihi any way Mungu amsaidie...kwa sababu na Yesu anawatafta wenye dhambi sio watakatifu
@jinomoko5510
@jinomoko5510 Жыл бұрын
Yesu anasema msiponiimbia mawe yataniimbia Hilo ni jiwe linaimba ipo siku litaokoka mkishangaa
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 Жыл бұрын
Jide,no one can stop me from loving you.Mungu akubariki sana
@engineerkulisha1326
@engineerkulisha1326 Жыл бұрын
Nataman ungeendelea kuimba gospel daima.... Naipnda sana sauti yako ktk bwana.
@johnnyarara7425
@johnnyarara7425 Жыл бұрын
Natamani JD kwa karama ya sauti safi na nzuri sana uliyopewa MUNGU ukatunge nyimbo za kumsifu OUR LORD!!! . MUNGU akubariki sn
@selestinsongola2787
@selestinsongola2787 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana lady jide hiyo sauti hakika Ni ya kumcf bwana ludi kwa bwana
@jfineisaac6219
@jfineisaac6219 Жыл бұрын
Samahani kama nitawakwaza jamani kuna wale mnakaaga viti vya mbele alafu mnafika ibaada imeanza mnasalimiana mnakumbatiana ni kweli ni upendo ila mnatupoteza tunashindwa kusikiliza madhabahuni tunaanza kuwatazama watu ni vizuri kusalimiana baada ya ibada kuisha ili kulinda attention ya wengine
@navury9345
@navury9345 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni kweli
@zakazitanzania1565
@zakazitanzania1565 Жыл бұрын
WaooooooMungu Atukuzwe sanaa Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA
@TheMtandao
@TheMtandao Жыл бұрын
Tafuteni mixer za digital ku boost sound kwa ajili ya live broadcast, ili mixing iwe imeshiba
@amiriforjesus8689
@amiriforjesus8689 Жыл бұрын
Niheri uokoke hicho kipawa aricho kubariki MUNGU cha uimbaji MUNGU arikupa iri umtumikie yeye okoka dada yangu naitwa merry mwimbaji wa nyimbo za injiri barikiwa
@terryjohnartist7555
@terryjohnartist7555 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana......naomba mualiko mmoja tu..kama itawezekana naomba jibu tafadhali.... Nko Kenya
@monicandengo4680
@monicandengo4680 Жыл бұрын
yaaaan huyu Dada nimtumishi wa Mungu kabisa
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Жыл бұрын
Yes alkua SDA mwana PF mzuri tu
@prophetmlokozi4633
@prophetmlokozi4633 Жыл бұрын
Jamani saaaaaaaaaaaauti iyoooòooooooooooo Haleluya, nakuombea kwa mda mlefu saaaana uwimbe nyimbo za kumsifu MUNGU atimae imekua , nakwalika NJOMBE kwenye dhaabu ya kijani
@joycelufunda8230
@joycelufunda8230 Жыл бұрын
Umependeza dada yetu lakn nguo uliovaa inakunyima uhuru jitahid kuvaa nguo ya heshima lakin umeimba vzr Mungu akubarik
@asnathmasegenya9890
@asnathmasegenya9890 Жыл бұрын
Amina Bwana akubariki
@hosianamsemwa8895
@hosianamsemwa8895 Жыл бұрын
Gud dada yangu... Niwakati wa kumsifu MUNGU
@derickkatto9944
@derickkatto9944 Жыл бұрын
Tubadilike Watumishi wa MUNGU shida sio kuwa na sauti nzuri n Mimi mwenyewe Nilikuwa naimba nyimbo za kidunia na Nilikuwa na mpango wakuwav inaimba bongoflava na gospel lakini MUNGU alinikatalia nisingekuwa na haha ya kuokoka na watu naona wanashangilia jehanamu ya moto huo ndo ujumbe wangu.
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Haleluuya, Haleluuya kweli sifa na utukufu ni kwake Yesu 🙏 Ubarikiwe binti mzuri 👍
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 Жыл бұрын
Amina nifurahi hiyo sauti kwa kumtukuza Mungu wetu Mungu awe pamoja na wewe
@hamisichaliki4822
@hamisichaliki4822 Жыл бұрын
Mungu amejibu maombi yangu kama ni Lady jaydee anamsifu mungu . glory to God
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 Жыл бұрын
Ahimidiwe Jah.
@rehemaludege5371
@rehemaludege5371 Жыл бұрын
Amina
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Жыл бұрын
@@hamisichaliki4822 huyu alkua anamtukuza Mungu akabadili tu njia zake
@adammjomba7112
@adammjomba7112 Жыл бұрын
Niafadhali dda ulivyo mrejea Yehova alie hai na kumuimbia ubarikiwe sana kwakuacha musk wa kidunia na kumuimbia YESU KIRISTO alie hai hakuna alie mrejea YESU KIRISTO alie hai akapata Aibu
@ayubumani4613
@ayubumani4613 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Judithi Wambaru Mimi Ni mmoja Mungu amekubadilisha hongera
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 Жыл бұрын
Sister umeimba vizuri ila nguo duh jamani sijabarikiwa
@geofbeka1669
@geofbeka1669 Жыл бұрын
Kila kitu kina hatua, ukataka asubuhi iwe na jua kali
@claudiomwanzale5152
@claudiomwanzale5152 Жыл бұрын
Good sana Jesus bless you
@fridasanga2494
@fridasanga2494 Жыл бұрын
Dada kaimba vizur sana lakini Madhabahu ya Mungu mahala anapoketisha jina lake sio pamchezo mchezo asinge panda hali patakatifu pa( Shekem) palipowekwa wakfu
@noriahmuthusi4659
@noriahmuthusi4659 Жыл бұрын
Rudi kanisani Dada umtumikie Mungu💗💗💗
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 Жыл бұрын
Umeonaeh zilitumwa picha zake za utotoni pindi anamtumikia Mungu SDA
@paulinemathenge514
@paulinemathenge514 Жыл бұрын
Praise God for lady jaydee
@dennisevarist
@dennisevarist Жыл бұрын
Kiukweli kabisa mimi Jide nampenda sana katika nyimbo zake, na nimefurahi kuisikia sauti yake ikimuimbia Yesu Kristo ila tatizo ni moja tuu ambalo walokole wengi hawapendi kulisikia likisemwa nalo ni UVAAJI MBAYA NYUMBANI MWA MUNGU, HII IMEENDA MBALI KABISA YAANI HADI MADHABAHUNI tunaruhusu mtu kuingia uchi. Najua Yesu alikuja kwaajili ya waliopotea lakini hakuwaingiza hekaluni kabla ya kuwaweka sawa. Hili linawatafuna walokole wengi sana na wanajua kujitetea kweli wana kauli yao moja hivi ya Mungu haangalii mavazi ila moyo na wanasahau kuwa ni Mungu huyohuyo aliwatengenezea mavazi Adam na Eva walipojitambua kuwa wapo uchi. Hili ni tatizo kubwa sana la makanisa ya kipentekoste
@anitasamson7850
@anitasamson7850 Жыл бұрын
Na kila mwenye pumzi na amsifu Mungu.
@georginajohn8456
@georginajohn8456 Жыл бұрын
Amina
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Judith barikiwe sana kweli wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza
@jenifabalianga231
@jenifabalianga231 Жыл бұрын
Umevaaaa nusu uchiiii , mungu unamzihaki jidee
@janethtimba8420
@janethtimba8420 Жыл бұрын
Amina dada yake mungu akubariki sana
@edinaclement7714
@edinaclement7714 Жыл бұрын
Amina amina,hareluya hosana
@rosekigombola7737
@rosekigombola7737 Жыл бұрын
Hallelujah.. Ubarikiwe Mtumishi Lady JD Kwa Maana Sifa na Utukufu Ni Kwa YESU Kristo Aliye Hai 🔥
@faithmusembe7399
@faithmusembe7399 Жыл бұрын
Rudi upande huu ladyjaydee Unafaaa kumtumikia MUNGU ( yesu ) sio Dunia sikia na uamini
@happymacha9053
@happymacha9053 Жыл бұрын
JD nakupenda sanaa,unajitambua
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni Жыл бұрын
Dada JD sauti bado ipo hongera sana
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 Жыл бұрын
Zaburi 100: 1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; 2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba; 3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba... 4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; 5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi. *TWENDE MBELE ZA MUNGU WETU KWA SIFA NA SHUKRANI!! KAMA SIO YEYE HATUNGEFIKA HAPA TULIPO, HALELUYA!!!*
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Жыл бұрын
UKISIKIA MUNGU ANASIFIWA NA WOTE WENYE PUMZI NDIO HII UBARIKIWE DADA JUDITH. USHAURI WANGU ISIWE MARA YA MWISHO KUIMBA SIFA ZA MUNGU
@angelamarlow4834
@angelamarlow4834 Жыл бұрын
Amina ubarikiwe dada angu Mungu akulinde
@FELIXMBWANJI
@FELIXMBWANJI Жыл бұрын
Maombi yangu kwa Mungu amesikia huyu dada kuja kumtukuzuka Mungu. Hii sauti inafaa kabisa kumtukuza Mungu wetu
@irenenyauhule6017
@irenenyauhule6017 Жыл бұрын
Safi sana mtu wa mungu
@alfredmhana235
@alfredmhana235 Жыл бұрын
Fantastic
@MOJAZAIDI.
@MOJAZAIDI. Жыл бұрын
Magnificent
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni Жыл бұрын
Amina🙏
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Mungu mwema Kila wakati hachelewi wala hawai
@prophetmlokozi4633
@prophetmlokozi4633 Жыл бұрын
Unanibriki saaana jd saana to okoka to Mama ujui km nakupenda Bwana
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 Жыл бұрын
Kavaa vibaya huyo jd
@momylaviel
@momylaviel Жыл бұрын
Aminaaaaa
@janegeogre3234
@janegeogre3234 Жыл бұрын
Ni kweli saa ishatimia ambapo Yesu anarud soon kulichukua kanisa!...
@Jenny20005
@Jenny20005 Жыл бұрын
Awesome
@fostinenangila1680
@fostinenangila1680 Жыл бұрын
Lovely
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 Жыл бұрын
Hongera sana Madame ndivyo ifaavyo
@josephchimbunga4886
@josephchimbunga4886 Жыл бұрын
Duh! Siku hizi watu wachache
@alicemdee9697
@alicemdee9697 Жыл бұрын
Glory to God 🙏🥰
@emmanuelnyandindi6430
@emmanuelnyandindi6430 Жыл бұрын
Kila mwenye pumzi na amsifu bwana🙏🙏
@tusubilegemtafya5532
@tusubilegemtafya5532 Жыл бұрын
Mungu akusaidie umtumikie yeye...
@Kenyan_Duke
@Kenyan_Duke Жыл бұрын
Oh Mungu!!!
@kulwacharles8400
@kulwacharles8400 Жыл бұрын
God bless 🙏🙏🙏
@bishopkuhani5054
@bishopkuhani5054 Жыл бұрын
Mimi Nina ujumbe juu ya lady jaidy kutoka Kwa bwana Ila sikufanikiwaka kumupata maana Niko inje ya inchi naomba namba zake jamani Yesu anamupenda
@luthmwandinde8930
@luthmwandinde8930 Жыл бұрын
Nakukubari sana j
@leahsamson9354
@leahsamson9354 Жыл бұрын
Uko vzr sana
@happinessmillanga982
@happinessmillanga982 Жыл бұрын
Nimemuona diwani ah ah ah
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Big up Jide
@restidaabeid1556
@restidaabeid1556 Жыл бұрын
Namuona qeen wa JB 💕
@joycekisonga7121
@joycekisonga7121 Жыл бұрын
Ulikulia kwenye malezi ya Mungu ulikuwa mwana pf kumbuka urudi Yesu anakuhitaji wewe
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 Жыл бұрын
Hongera judth kumpokea yesu
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Жыл бұрын
Wapiga vyombo kama wadogo zake Mandonga.. ila Mungu awatie nguvu
@pendoshimo6314
@pendoshimo6314 Жыл бұрын
Love you jide
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Jide ana sauti nzuri sana
@siyamyovela4356
@siyamyovela4356 Жыл бұрын
Safi saana
@derickkatto9944
@derickkatto9944 Жыл бұрын
MUNGU apendi michanganyo huku anaimba za Dunia na anasimama kuimba injili lazima aokoke kwanza huo ndo ushauri wangu
@perpetuambizo1518
@perpetuambizo1518 Жыл бұрын
Hiki kitu Mungu akitimilize kwake Aminaa
@joycesanga4378
@joycesanga4378 Жыл бұрын
Hiyo nguo hapana tafuta nguo za kuvaa kanisan
@juniorgabriel236
@juniorgabriel236 Жыл бұрын
Waooooh
@stellamwasha1409
@stellamwasha1409 Жыл бұрын
Waooooooo
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
👏👏👏👏
@mayalapaul5658
@mayalapaul5658 Жыл бұрын
Mungu anawajua wali wake
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 Жыл бұрын
Sauti nzur sana
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 Жыл бұрын
Huyu Dada mhhhhh
@kilelechaimani.8956
@kilelechaimani.8956 Жыл бұрын
Mikocheni kwa maigizo huwez kushindana nao.
@benardntunuye9032
@benardntunuye9032 Жыл бұрын
Sauti ya kimungu pia
@enockyona154
@enockyona154 Жыл бұрын
KUNA KITU NIMEJIFUNZA LEO KUPITIA HILI TUKIO WENGI WA WEZA KUSHANGAA LAKINI YESU HANA MIPAKA KAMA SISI WANADAMU TUWAZAVYO
@mbalukatv
@mbalukatv Жыл бұрын
Wambura ni jina ipo huku Kenya sana. Lady Jaydee inaezakua ako na ukoo Kenya ama Bantu
@noelngowitechnicalsolution
@noelngowitechnicalsolution Жыл бұрын
Wakurya?
@marrynaftali7969
@marrynaftali7969 Жыл бұрын
Sauti yako inafaa Sana kumtukuza Mungu,naamin wakati umefika
@racheljoseph6071
@racheljoseph6071 Жыл бұрын
Kabisa inafaa kumtukuza Mungu
@hannahsanga5647
@hannahsanga5647 Жыл бұрын
Yaani huyu kama Nandy tu Yaani sijui kwanini amwimbii Mungu Yaani sauti yake yafaakumwimbia Mungu tu aisee ilasema wakati wa Mungu ni wakati sahii nampenda sana huyu dada anajielewa 💕💕💕
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Жыл бұрын
Nakupenda sana.🥰🥰...Mungu zaidi kukuinua na kukubariki mpendwa
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН
Angalia show Nzima ya Miaka 20 ya Lady Jaydee Part 1
35:42
LadyJaydee
Рет қаралды 19 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 15 МЛН
Heartwarming moment as priest rescues ceremony with kindness #shorts
00:33
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 13 МЛН
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 902 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
ENGAGEMENT RING (PETE YA UCHUMBA): 13/02/2022
1:02:26
Iringa Central Church
Рет қаралды 4 М.
MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
43:52
Global TV Online
Рет қаралды 409 М.
MBOTO AWAVUNJA MBAVU WASANII WENZAKE "MMETUROGA"
8:36
Bongo5
Рет қаралды 281 М.