No video

Rose Muhando: Nimedhulumiwa, nimenyanyaswa mbele ya wanangu, siyajui madawa, nampenda sana Diamond

  Рет қаралды 75,399

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Sehemu ya pili ya #ChillnaSky, Rose Muhando anaeleza kwanini licha ya kuwa na mafanikio makubwa kwenye album zake zilizopita hakuwa na hela kama wengi walivyodhani, jinsi alivyonyanyaswa mbele ya watoto wake na kilichomtoa kwenye utumwa. Kwa mara nyingine anafunguka kuhusu tuhuma za kutumia dawa za kulevya na anaeleza pia jinsi anavyompenda Diamond na kujifunza mengi toka kwake

Пікірлер: 117
@fidelisfrancis839
@fidelisfrancis839 3 жыл бұрын
Rose uko positive Sana,sikuwahi kufikiria km rose unafikiri kwa upana namna hiyo, Mungu yuko ndani yko
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaa
@gracenjeri5624
@gracenjeri5624 3 жыл бұрын
We love you rose from Kenya God bless you 🙏.
@saidahj2543
@saidahj2543 3 жыл бұрын
Our mummy...we love you mummy🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Jamani Mungu akulinde sana dadangu rose muhando, maana kuna uwezekano akakuwinda akakumaliza kabla hujamusema, ila Mungu akuzingire kwa damu ya Yesu Christo 🤲🤲🙏🙏
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 3 жыл бұрын
Ameen 🙏🙏 nami niliwaza ivyo ivyo. Mungu wa Mbinguni ampe ulinzi kwa Jina la Yesu
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
@@joycekasakisya7755 yea anaweza akamfanyia kitu kibaya kufuta ushahidi kabisa, ila tumwombee Mungu wa Israeli amuwekee ulinzi
@joycekasakisya7755
@joycekasakisya7755 3 жыл бұрын
Ameeeen.
@angermabior4164
@angermabior4164 3 жыл бұрын
One of the most inspiring person alive . God bless you for more years to continue bless us through your songs✌️.
@mayahkendi2314
@mayahkendi2314 3 жыл бұрын
Wakenya twakupenda sana Rose.
@naomisamsoni1040
@naomisamsoni1040 3 жыл бұрын
Tumeona upendo wenu kwake kwa Vitendo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Ni kweli wakenya mlionyesha upendo wa kweli kwa Rose
@janetwanjala7645
@janetwanjala7645 2 жыл бұрын
Nimeskia historia Yako imeniguza rose Mungu azidi kukuinua sana
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 3 жыл бұрын
You are always welcome 🇰🇪🇰🇪
@nancylangat5970
@nancylangat5970 3 жыл бұрын
Sister we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪God will continue to fight for you be strong 💪💪💪💪💪
@puritynjoki8882
@puritynjoki8882 3 жыл бұрын
I love your courage ... A true servant of God..
@jameskitonyi7994
@jameskitonyi7994 2 жыл бұрын
Am always following you,
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 3 жыл бұрын
Akiamungu huo wimbo na upenda sana eti jifunze kwa walio fanikiwa walioshindwa wanamaneno mengi eti wanashindana na jua kivuli kikisonga nawao wanasonga, jamani huo wimbo nausikizanga kuirudia mara mia vile, ubarikiwe sana mummy @rose muhando 🙌🙌🙌
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Жыл бұрын
NILIINGIZA PESA NYINGI LAKINI SIKUWA NA PESA... NILIKUW ANA JINA KUBWA ILA SIKUWA NA PESA KAMA WATU WALIVOKUWA WANAFIKIRIA.... Rose Muhando..
@andreaotaigo40
@andreaotaigo40 3 жыл бұрын
Mama rose kila sku ninavyokuskiliza mimi nazidi tu kukupenda mama hakika kweli umeitwa na Mungu
@condredochieng180
@condredochieng180 3 жыл бұрын
I love you deep in my heart ,when I think alot your song brings me back to normal .am so happy that you are here again
@sophiasomba2837
@sophiasomba2837 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Rose dadangu, nabarikiwa sana na nyimbo zako. Mungu na aendelee kukulinda dada.🙏🙏
@elizabethambani5896
@elizabethambani5896 3 жыл бұрын
Aki rose Mungu afungue njia iyo project ije mimi nitahuthuria
@sophiemuthoni9841
@sophiemuthoni9841 3 жыл бұрын
You are greatly loved in kenya
@kephamuro9410
@kephamuro9410 3 жыл бұрын
kati ya makosa aliyofanya Rose ni kurubuniwa na ma managers, na ndio maana watu walianza kumwita tapeli kwa sababu manager alikuwa anapokea pesa za watu za matamasha na mialiko bila kujali mwingiliano wa ratiba, na walimpangia pa kwenda na kumfundisha jinsi ya kujitetea anaposhindwa ku manage mialiko, Rose wewe ni muimbaji mzuri sana na unajielewa ila iwe fundisho kwa waimbaji na watu wengine kupenda kuachia watu kazi zenu ili hali unaona unaumia mwenyewe.
@virginiamacharia1556
@virginiamacharia1556 3 жыл бұрын
Rose my role model,I love you and mostly I love God for setting you free from sickness shine Rose for God salvation.Be blessed and come back to your second home.
@rosalesabrahams732
@rosalesabrahams732 3 жыл бұрын
Goosebumps all over when she began singing towards the end
@josephwanjala7794
@josephwanjala7794 2 жыл бұрын
Mum Rose amenifanfa nizitunge nyimbo zangu nakuzirecord chini ya uzaitizi wake Niko na wimbo Kwa uzuri wake,, mum barikiwa pakubwa mno
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 3 жыл бұрын
Wow thank you sns kwa kutuletea simba jike wa mziki wa injili🥰🥰🥰
@waltersesuru43
@waltersesuru43 3 жыл бұрын
Tyk.Dada rose mungu akuzidishie,%%
@gloriatoo22
@gloriatoo22 3 жыл бұрын
Rose...ilike your songs...love from kenya
@cuhgds4320
@cuhgds4320 3 жыл бұрын
Sis we love and i love your power Rossie
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 жыл бұрын
Kenya utarudi lini??? We love you mum 💕💞
@alicegyunda8053
@alicegyunda8053 Жыл бұрын
Daaa we Dada ubarikiwe🎉🎉❤😂😂😂
@jayblessings2492
@jayblessings2492 3 жыл бұрын
Kwa Yesu Kristo hakuna Siri nakushangaa sana ukiambia vyombo vya habari utawaeleza nyuma ya pazia waeleze ujieke huru huo uwoga hauna nguvu mbele ya damu ya thamani ya Yesu aliyetufia msalabani. Ukiogopa inamaanisha bado uko Kwa mikataba na shetani jieke guru jifungue ueleze watu na kusaidia wenye wako Kwa vifungo na hawajielewi watajiondoa vipi
@lajivukivamba9507
@lajivukivamba9507 3 жыл бұрын
Kuna jambo linamtafuna Sana huyu mama but still ana neema kubwa mbele ya Mungu, ngoja tuone nguvu ya YESU
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
💯
@belovedcarol1300
@belovedcarol1300 3 жыл бұрын
I agree with you... You just read my mind
@emeldahkwamboka8511
@emeldahkwamboka8511 3 жыл бұрын
Whatever they do for u or say I love you +your inspirational song kama ile album ya kwanza every morning is my key
@veronicahmainga3289
@veronicahmainga3289 3 жыл бұрын
Mama rose we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MyLife-tg3op
@MyLife-tg3op 3 жыл бұрын
safi rose, unajua kujieleza
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi Rose
@ruthkungu4548
@ruthkungu4548 3 жыл бұрын
Love you rose.. May got fight for you mum
@GSengo
@GSengo 3 жыл бұрын
Tamu sana..................
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Thanku Sns sky for bringing rozzzy back🌞🙏🇰🇪.
@daisykyungu3109
@daisykyungu3109 3 жыл бұрын
Matezo ya Mwenye haki ni Mengi,Rose wasamehe wote hao, nakupenda sana Rose,utakaa miaka Mingi Duniani utimize kazi ya Mungu🙏
@xkingx8041
@xkingx8041 3 жыл бұрын
Endelea kuhubiri mamaangu. Sio mpaka uwe mchungaji. Mungu akubariki my dada
@anneakinyi1524
@anneakinyi1524 3 жыл бұрын
Mm hupenda songs zake
@b.w.naliaka
@b.w.naliaka 2 жыл бұрын
This is me....I love what you just said ❤️❤️. I wish I could meet you.... I'm a gospel artist and the challenges ziko mingi saaaanaaaa ❤️👌. Naelewa depression, kujaribu kifo na mengine mengi Sanaa. I love youth sensitization and empowerment because kwa ujana wangu, niliona mengi na naamini, naezabadilisha maisha ya kijana na kumkuza katika njia za Christo
@winnieamanya1550
@winnieamanya1550 3 жыл бұрын
Wooow... Amina . happy to see you Rozzy
@markbahati6516
@markbahati6516 3 жыл бұрын
Amina Rm
@johnenoc9038
@johnenoc9038 3 жыл бұрын
Dada rose ubarikiw San
@kerubofancy1631
@kerubofancy1631 3 жыл бұрын
Rose mungu akuonekanie kwa kila JAMBO🙏
@tamaraeliz7114
@tamaraeliz7114 3 жыл бұрын
Rose Umebarikiwa. Sky unajua maswali. Umebarikiwa
@hellacredis5555
@hellacredis5555 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupeleka viwango vya juu sweetheart ,,Rozy
@rahabuhuru3041
@rahabuhuru3041 3 жыл бұрын
Dada rose nakupenda sana napenda sana ushsuli wako nabarikiwa na ww sana
@williamgeorge150
@williamgeorge150 3 жыл бұрын
Pole Sana dada Rose, nachelea kusimama upande wowote maana now tunasikia one side tu vp hao wanaotuhumiwa tunaweza kuwasikia pia then tupate chakucomment vizurii
@bethuelkonyuniofficial7930
@bethuelkonyuniofficial7930 3 жыл бұрын
Kwani wameshatajwa majina?
@Vince-kw9hu
@Vince-kw9hu 3 жыл бұрын
Rose muhando Mungu alikunusuru kutoka kwenye midomo ya simba Mungu anataka uongelee ulopitia ili sifa na utukufu zimurudie yeye Hakuna mwenye nguvu,mwenye Ulinzi kama Mungu aliye hai Mungu amekupa ulinzi wa kutosha na ameshusha malaika wake juu yako Kwa ivo huo ulinzi unaosema kama hutapata hutakuja kuyasema ulopitia Ongea mdharirishe shetani
@marymamntine1909
@marymamntine1909 3 жыл бұрын
Nimezid kukupenda Dada Rose
@amanistarz1234
@amanistarz1234 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@mpendwalove4390
@mpendwalove4390 3 жыл бұрын
yaani huyu mama kongea points sana
@scholasticakilaga125
@scholasticakilaga125 3 жыл бұрын
Kaka Bundala mshauri Rose kuwa hao maadui zake aachane nao Mungu atashughulika nao km Mungu ameshamponya basi yatosha, aendelee kumtumikia Mungu atampa mali za kwake za haki yamkini zile hela alizokuwa anapata zilikuwa sio halali
@anitakamene5073
@anitakamene5073 3 жыл бұрын
Nice
@hellacredis5555
@hellacredis5555 3 жыл бұрын
Amina,Mungu akuweke dadangu,,
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 жыл бұрын
Nakupenda mamy rose
@aoman5214
@aoman5214 3 жыл бұрын
Jaman rose pole Sana Kwa yaliyokukut
@wemamasenya9561
@wemamasenya9561 3 жыл бұрын
Mamy naomba nisaidie namba yako mama yangu nna matamanio flani nakupenda had nashindwa kujizuia hivyo nikikuona najikuta nalia sasa mimi nakuwa naumia sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 3 жыл бұрын
NIMEAMINI MUNGU HUINUA KILICHOANGUKA NAKUPENDA SANA MUNGU WANGU
@sophiacharles1196
@sophiacharles1196 3 жыл бұрын
Gifted and tallented
@pamellamigarusha7434
@pamellamigarusha7434 3 жыл бұрын
Amazing wooooou
@samniza1763
@samniza1763 3 жыл бұрын
Wanataka maisha ya luxury bila kuyatafuta.
@sautiyaushindigosplechoir1770
@sautiyaushindigosplechoir1770 3 жыл бұрын
Barikiwa mama tunabarikiwa mno
@abigailkighombe1960
@abigailkighombe1960 3 жыл бұрын
She is so real
@alextercisio5477
@alextercisio5477 3 жыл бұрын
Kenya I love u too much rose. ..
@festomnandi7573
@festomnandi7573 3 жыл бұрын
umeteleza huwezi kufananisha gospel na muziki wa dunia ,unajifunzaje kwa muziki was dunià bwana.
@antelimangonyani6760
@antelimangonyani6760 3 жыл бұрын
Pole dada😭😘😘😘
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 жыл бұрын
Pole jaman rose Mungu akuinue
@gertrudeyiapan3564
@gertrudeyiapan3564 3 жыл бұрын
Nakupenda mum
@azizawalapupu8147
@azizawalapupu8147 3 жыл бұрын
live rose 🌹
@Atieno_nyarbishop
@Atieno_nyarbishop 3 жыл бұрын
Love you so much Rose 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Something is working out for your good,, the situation has been turned around, God is at work,,He normally has the last letter about our lives,, wanadamu wameandika Sana kukuhusu,,ni wakati wa Mungu sasa kuandika🙏
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
We love u mmy Rose.. Mungu aendelee kukutunza..
@AdonisSifa
@AdonisSifa 3 жыл бұрын
#TRM Wakilisha
@dumamnyama5131
@dumamnyama5131 3 жыл бұрын
Kumilikiwa hamna💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marygaspar6429
@marygaspar6429 3 жыл бұрын
Magufuli Siro Waheshimiwa makini mpo, huyu mama ana jambo lake! na ninyi!.
@georgevicent8278
@georgevicent8278 3 жыл бұрын
Ila rose unaakili sana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Aahmen
@Swagaboysentertainment
@Swagaboysentertainment 3 жыл бұрын
SIMBA 🦁
@laurentsamilah5001
@laurentsamilah5001 3 жыл бұрын
rose muhando
@umojamedia4167
@umojamedia4167 3 жыл бұрын
Naomba sana siku umwite bahati bukuku
@alexyohana4708
@alexyohana4708 3 жыл бұрын
Kwel kabisa kaka
@gangaganga2672
@gangaganga2672 3 жыл бұрын
Lv mama
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 3 жыл бұрын
💪💪💪
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Amen Amen
@azizawalapupu8147
@azizawalapupu8147 3 жыл бұрын
mwenzi wa 4
@ritalissu1123
@ritalissu1123 3 жыл бұрын
Rozi mama tunakupenda
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 3 жыл бұрын
Am the #SNS’s Best #MVS, if you disagree with that, comment #SNS’s #MVS on all KZbin channels you watch....🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺
@kimberlystewart4138
@kimberlystewart4138 3 жыл бұрын
Wakwaza leo
@lorenzokelly5803
@lorenzokelly5803 3 жыл бұрын
#Diamondplutnums pitia huku upokee baraka.
@azizawalapupu8147
@azizawalapupu8147 3 жыл бұрын
love 🌹 💐
@ayubuhenry5426
@ayubuhenry5426 3 жыл бұрын
hahahaha diamond sininampenda hahaha, Rese mm shabik wako toka uwe macho kichwa changu kimejaa nyimbo zako na maajabu sizisikilizi et nikalili amna najikuta nimezikall bila kujua
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Wajina hapo kwa kutumikishwa nimeku penda maana usimsujudie binadamu mwenzako
@brightonsospeter5100
@brightonsospeter5100 3 жыл бұрын
Brother natamani sana nikuone ukitangaza kwenye kituo kikubwa cha habari dunian una IQ kubwa sana
@maryndeto2626
@maryndeto2626 Жыл бұрын
Nyimbo ni za kuabudu na kusifu nyimbo za dunia usifu mambo ya dunia tuu
@balancedviewpoint7418
@balancedviewpoint7418 2 жыл бұрын
Rose I know God shall pay back all those barbaric acts to you. God loves you just like Kenya 🇰🇪 loves you so much. God will punish anyone that did you wrong.
@antipascann2797
@antipascann2797 3 жыл бұрын
Diamond alicheza wimbo upi huo wa rose jamn🥺🤔🤔
@siogopi7356
@siogopi7356 3 жыл бұрын
Nibebe
@antipascann2797
@antipascann2797 3 жыл бұрын
@@siogopi7356 mwaka gani huo
@siogopi7356
@siogopi7356 3 жыл бұрын
@@antipascann2797 jana
@josephkavindi3666
@josephkavindi3666 3 жыл бұрын
Ati sheng ya Kenyan 😃😃😃
@omosh2023
@omosh2023 3 жыл бұрын
Michael Jackson....Hapo nasema Amina!
@dumamnyama5131
@dumamnyama5131 3 жыл бұрын
Siro na maguful roze anajambo lake na nyinyi
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
MUNGU akutendee na kukupatia hitaji la moyo wako.
@bestinarajabu34
@bestinarajabu34 3 жыл бұрын
7
@alextercisio5477
@alextercisio5477 3 жыл бұрын
Mum rose twabie nani alikuchoma huo mkono wako ?
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 жыл бұрын
Wale waliomfanya mtumwa😢😢😢
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Kuna yule muimbaji anaitwa nehema mwaipopo.Kwani alienda Wapi?
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 48 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 585 М.
Rose Muhando Kenya ulindwe live performance at Kayole crusade  with Kasolo.  *811*79#
5:57
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН