Sifa na utukufu ni kwa Mwenyezi Mungu aliyelizawadia kanisa kipaji cha uinjilishaji kwa njia ya nyimbo kupitia mtunzi nguli Mzee Mwarabu. Napenda sana nyimbo zake za Bikira Maria!
@davidkobero6977Ай бұрын
Mungu aendelee kukutunza Mwl.Mwarabu...mama Maria daima aendelee kukumbatia
@josephbizzy18132 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mzee Mwarabu.
@gabrielkatutu2617Ай бұрын
Nataman siku nionane na huyu mzee aniimbie ule Wimbo wa kwanza dominika ya mwisho kabla ya Christmas. Dondokeni enyi mbingu. One of my favourite song kutoka kweny hii tunu ya kanisa katoliki❤❤❤
@olsolasindila6942 ай бұрын
Ee Mungu mbariki mtumishi wako huyu.Amina.
@paterinishayo-ef4sxАй бұрын
Kila la kheri mzee wetu mwarabu mwenyez Mungu azidi kukupa maisha marefu
@alisteusarchard3656Ай бұрын
Amina babu,Mungu atutie nguvu uendelee kumtumikia ❤
@amosethantheking8815Ай бұрын
Mzee anasema hajui kupiga keyboard anaitumia kama mwongozo, ila anajua vizuri sana. Jina la Bwana libarikiwe.
@stevenkalenzo6457Ай бұрын
Mzee wetu MUNGU Mwenyezi akuzidishie Neema ktk Utume Mtakatifu wa Kumwimbia
@mathewstanslaus55672 ай бұрын
Mwenyezi na ambariki zaidi na zaidi kwa utume
@SilasKijangwa23 күн бұрын
Mzee mungu akupe Maisha marefu mzee muarabu
@benedictkombo3125Ай бұрын
Mungu azidi kumbariki....nyimbo zake zabariki sana
@ShayojjjАй бұрын
Hapa ndio pale sasa ule wimbo SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU aiseee Mzee ni tunu nzur
@cecykahunde761Ай бұрын
Hakika acha Mungu aitwe Mungu. Mwl P Mwarabu umetufundisha mengi ktk tasnia ya kwaya
@JohanithaMugangoАй бұрын
Yesu akutunze babu
@handmanserv5272 ай бұрын
Aisee huyu Mzee ni hazina sna daah ...Mungu azidi kumweka
@mwalimujerrymathew9403Ай бұрын
Huu wimbo wa Bwana ni Ngome na nguvu yangu .unapatikana SMN? Mtamu aisee..kongole mzee Mwarabu..
@mulisammy970Ай бұрын
Mungu abariki huyu mzee sana nyimbo zake nazipenda sana
@AtanasKalegaАй бұрын
TUNAWAOMBA JUGO MIDIA WATUPATIE NAMBA ZAKE NAMI NILIKUTANA NAE PALE KANISA LA Mt. JOSEPHY posta alikuwa mwalimu wa kwaya. Jimbo kama salam mama Maria sisi wanao tunakusalimu,
@alexngasa5319Ай бұрын
Huyu mzee hatar sana tume solve sana nyimbo zake pale itaga seminary
@christophershija2351Ай бұрын
Nimefurahi sana
@ChescoBarakaАй бұрын
Tumsfu yesu kristu najivunia kuwa mkatorick mungu akubariki baba
@STELLAMARCELY2 ай бұрын
MUNGU aendelee kukutunza baba....
@suzanakesmil2 ай бұрын
Barikiwa sana baba
@SubiraMasak2 ай бұрын
Hongera sana babu
@jiresmayala82292 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza babu
@josephnyamao65162 ай бұрын
Hongera sana Babu, wewe ni hazina kubwa
@VianeMakarious-lt3isАй бұрын
Sijui kama KANISA linawaenzi watu HAWA.
@mcelijahkorir14227 күн бұрын
So humbled ❤
@innocentludovick4724Ай бұрын
JUBILEI YAKE YA UIMBAJI NA HATA YA KUZALIWA AWE ANAKUMBUKWA SANA HUYU MZEE
@lajarakimaay7399Ай бұрын
Mzee Mwarabu n Tunu.. Hakika azidi kubarikiwa
@charlesbakana7146Ай бұрын
Mungu azidi kumlinda Mzee wetu
@jojigeorige1056Ай бұрын
😂😂 mwishoni kumenifurahisha sana Legendary kaomba maua yake🎉🎉🎉❤... zamani nilijua Mwarabu ni Mwarabu kweli! Hawa wazee walifanya tuipende sana siku ya jumapili kina Sindano, Syote, Fr. Kayeta, Nyundo na huyu huwa namuita Tanzania one John Mgandu. Wapumzike kwa amani ambao wameshatangulia mbele za haki.
@yustasaidi5765Ай бұрын
Hongera Sana babaangu
@mcelijahkorir14227 күн бұрын
God bless 🙏
@josehmark2 ай бұрын
Hongera gwiji wa mziki Mungu akuongezee umri mrefu
@Luhalala2 ай бұрын
Bless 🙏🙏🙏🙏 Catholic forever
@brightsmartcleaningАй бұрын
🤣🤣
@wanjalaopwora4040Ай бұрын
Mwarabu the great
@VianeMakarious-lt3isАй бұрын
UTASIKIA JUBILEI YA MIAKA KADHAA KWA MAPADRI LAKINI KWA WATU KAMA HAWA HUSIKII!!
@gidongailo71742 ай бұрын
😂😂😂 Nimempenda sana babu
@martinmsendo9591Ай бұрын
Hongera Baba, tunaomba namba yake ili niweze kumtembelea nyumbani kwake. Amefanya mengi kwenye uinjilishaji.
@njukuwanzetse8241Ай бұрын
Long live my legend
@zephaniantamamiro461028 күн бұрын
Wekeni No yake hapa angalau atakae wiwa basi amtumie hata Vocha Mkongwe huyu