Asante sana baba Askofu. Tunaishi katika zama za kelele.
@PeterRobert-x7b2 ай бұрын
Nabarikiwa sana na homilia yako baba
@ntezilibajacob2 жыл бұрын
Homilia zako cyo za nchi hii. Nakukubali sana Baba askofu.Mungu akulinde daima.
@consolatamushi266 Жыл бұрын
Unanibariki sana na Homilia zako baba, zimejaa uwepo wa MUNGU, hakika MUNGU anakutumia ipasavyo, tusiposikia usemayo, sijui tusikie kwa nani tena. Tukiyaishi haya MUNGU atapendezwa nasi hakika. Tunakuombea baba, MUNGU azidi kukupa hekima, maariafa, afya njema na maisha marefu. Akutumie kwa kadri apendavyo, wewe ni chombo chake kiteule. Barikiwa mnoooo!!
@francismigongwa41463 ай бұрын
Atukuzwe Mungu milele
@PeterRobert-x7b2 ай бұрын
Asante baba
@deomkatoriki33712 жыл бұрын
Asante kwa neno zuri Baba, Mungu azidi kukupa Kibali cha Kuchunga Kondoo wake kwa uaminifu.
@primitivagratian34362 жыл бұрын
Homilia nzuri sana, tunabarikiwa!
@patsonkyando17322 жыл бұрын
Mungu akusaidie kuijua kweli yake siyo Dini yoyote kwani Dini zipo nyingi sana duniani na haziwezi kukufikisha mbinguni,tuache kuabudu masanamu ,Mungu ni Roho wamuabuduo imetupasa kumuabudu katika Roho na kweli,
@amedeuskimario88952 жыл бұрын
@@patsonkyando1732 cjui kinachokuumiza hapo n nn mkuu mbona Kila mtu yupo huru kufanya anachotaka we unaamin hicho unachokiamin kitakupeleka huko unakofkir acha watu waenjoy na iman zao acha machukizo bana
@emmanuelshayo47032 жыл бұрын
@@amedeuskimario8895 wanatafuta wafuasi kwa nguvu, wamehubiri majukwaani bila kupata wafuasi sasa wameamua kujenga chuki na kanisa katoliki
@emmanuelshayo47032 жыл бұрын
@@patsonkyando1732 proud to be Catholic.... Catholic forever.
@ThomasJoseph-b7i5 ай бұрын
Amina baba
@geoffreyjeff51352 жыл бұрын
Asante baba Askofu Kwa neno lako nzito Mungu akubariki
@othmarluwawilo83082 жыл бұрын
Waja wako tunamshukuru Mungu kwa kutuletea Kuhani mkuu km wewe, nimekufuatilia tangia ukiwa Dodoma, Mwanza na Sasa Dar. hakika uinjilishaji wako u juu ya kiwango. Tutabalikiwa km unavyobarikiwa. Barikiwa baba.
@patsonkyando17322 жыл бұрын
Hiyo Ni kuhani wa Dini ya Roman Catholic siyo Mungu wa mbinguni ,Mungu Hana Dini
@jonathanntare47872 жыл бұрын
Bwana paston kyando shida yako nini ?? Au umekosea channel ukajikuta upo huku kwetu.
@justinemathiasngwandu77152 жыл бұрын
@@patsonkyando1732 NAONA KAMA UNAHAHA SAANA KUSIKIA NENO KUHANI WA MUNGU, POLE HIYO NDIYO FAIDA YA UASI WENU, LAITI MSINGEASI LEO NAWE UNGEFURAHUA KUITA KUHANI, MAANA NAJUA UKIKO UNAABUDU KWENYE KANISA LA.... ILA SISI TUPO HUKU TUNAMTUMIKIA MUNGU KWA AMANI TUKIWA NA MAKUHANI NA MAHALIFA WA KRISTO, HUJACHELEWA NJOO TU WALA USIHOFU.
@emmanuelshayo47032 жыл бұрын
@@patsonkyando1732 kumbe ndio mnakuja kutafuta mahubiri na mafundisho kwenye channel za kikatoliki
@emmanuelshayo47032 жыл бұрын
@@jonathanntare4787 hajakosea, yuko kazini wameshahubiri kwenye majukwaa wamechoka bila mafanikio sasa wameamua kuingia kwenye channel za kikatoliki, hawa ndio wale wanaozunguka dunia kupoteza roho za watu
@margaretmkazawadi12902 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@deokrasisjosephat58572 жыл бұрын
Asante sana baba Askofu mkuu
@samwelmotika38032 жыл бұрын
hongera sana baba kwa homilia yako nzuri nimebarikiwa sana
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
Amina Baba tunamshukuru MUNGU Kwa uwepo wako baba
@samsongechamet5374 Жыл бұрын
Nakukumbuka Sana Askofu ulinipa kipaimara 1988 Gallapo Parish.Mungu akubbarikj sana kwani unamtendea.
@ChristinaKembe8 ай бұрын
Itakuwa 98
@paulomalema63842 жыл бұрын
Asante kwa neno ubalikiwe baba
@innocentsilvanus1328 Жыл бұрын
Tena wapo wengi sana
@paulmlasi2101 Жыл бұрын
Aminaa
@theresiakaruhanga3642 жыл бұрын
Mungu akubariki
@albertokindole44542 жыл бұрын
Senior Bishop. Thanks Bishop for your blessings
@michaelmagembe50692 жыл бұрын
Amina
@paulomalema63842 жыл бұрын
Ami na amiina
@fidelenzambimana69802 жыл бұрын
MOLTE GRAZIE ECCELLENZA.DIO LA BENEDICA.
@josevictor592 жыл бұрын
Huwa nakunali nipitwe na mengine lakini si mahubili ya Askofu mkuu hakika unatumika vyema
@patsonkyando17322 жыл бұрын
Anatumiwa na Nani?
@josevictor592 жыл бұрын
Tumsifu Yesu Kristo, nilimanisha anatumika vyema kwenye utume wake.
@patsonkyando17322 жыл бұрын
@@josevictor59 watu wengi wanaishi kwa kuzipendeza Dini zao na viongozi wa Dini zao na kufuata Sheria za Dini zao ,wakifikiri wanampendeza Mungu ,kweli Bible inasema hawajui Wala hawafahamu wanatembea gizani Zaburi 82:5
@silvanusmagwira61629 ай бұрын
@@patsonkyando1732hiyo Biblia unayojifanya kuirejea umeitoa wapi? Biblia ni mali ya Kanisa moja Takatifu na la kitume.
@serapiusmwalongo24822 жыл бұрын
Amen
@paulomalema63842 жыл бұрын
Am
@reginaldhhayuma69072 жыл бұрын
Asante sana mhashamu baba askofu Ruwaichi
@paulomalema63842 жыл бұрын
Ami na amiina
@stevennyilawila78302 жыл бұрын
steffen Ana karama ya pekee kt kuhubiri.
@gabrielshani34762 жыл бұрын
Baba mungu akupe nguvu daima katika utumishi uliotukuka mungu akupe maisha marefu