Padre Dkt Kamugisha Kuna watu wanaogopa wasichana wazuri/unaiambia nini milima yako/ ''Jipendekeze''

  Рет қаралды 65,892

Radio Mbiu

Radio Mbiu

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@josephyegella4816
@josephyegella4816 Жыл бұрын
Hongera sana Padri Kamugisha kwa kutumia kipaji chako kwa kuwasaidia wana wa Mungu.
@immaculathangalison5595
@immaculathangalison5595 2 ай бұрын
Asante baba kwakutupa chakula cha kiroho cha uwakika
@josephmwangingure3259
@josephmwangingure3259 3 жыл бұрын
You're a blessing to my soul father
@pouljames8672
@pouljames8672 3 жыл бұрын
Padir kamugisha ubarikiwa kwa mafundisho mazuri mungu ukuongezee sk zakuishi amina
@gidionkastory978
@gidionkastory978 2 ай бұрын
Natamn nije kanisani kwako faza hakika mungu akujalie afya njema❤🙏🏻🙏🏻
@AnnastellaKatunzi
@AnnastellaKatunzi 10 ай бұрын
Mungu hakubariki baba kwa mafundisho yako
@remigiuskabandwa3758
@remigiuskabandwa3758 6 күн бұрын
Hi Fr. You are the best
@teddykimario4849
@teddykimario4849 Жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda siku zote za maisha yko uendelee kutufundisha zaidina zaidi
@DeogratiusKomba
@DeogratiusKomba 7 ай бұрын
Fr kazi yako unaifanya vizuri, unawafikia watu wengi.ubarkiwe sana
@kingbrazioanticlockwise3667
@kingbrazioanticlockwise3667 Жыл бұрын
Baba wewe sio Doctor Ni Proffesor Mungu akubariki Sana
@EvaristGuzuye-bp2hb
@EvaristGuzuye-bp2hb Ай бұрын
Safi sana Dr Fr Kamugisha.
@denniswinstonemacha2310
@denniswinstonemacha2310 3 жыл бұрын
Powerful message... nimebarikiwa father. MUNGU akubariki na kukulinda father Dkt Kamugisha
@georgemarco8050
@georgemarco8050 3 жыл бұрын
Ninabarikiwa Sana na mafundisho yako father kamugisha, Mungu akuimarishe katika utume wako
@caravelyakeno
@caravelyakeno Жыл бұрын
Padre Austin kamugisha mungu akubariki kwa mafunzo yako. Mazuri.
@AthanasMahanga
@AthanasMahanga 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana Fr.kamugisha
@africamyland6425
@africamyland6425 3 жыл бұрын
Mungu akulinde Baba askofu na ubarikiwe sana. ..
@kingbrazioanticlockwise3667
@kingbrazioanticlockwise3667 Жыл бұрын
Sio askofu,🤣🤣🤣
@AnnastellaKatunzi
@AnnastellaKatunzi 10 ай бұрын
Mungu akubariki baba kwa mafundisho yako
@alexandermlokozi4736
@alexandermlokozi4736 3 жыл бұрын
Angalia Jambo jema katika kila tatizo au shida ... Hakika ubarikiwe Sanaa baba
@Eva-f4n
@Eva-f4n Ай бұрын
Amin saans
@leahmbayar1577
@leahmbayar1577 3 жыл бұрын
I miss him so much......was my father don bosco upper hill ( Nairobi) ..kindly come back
@vincentmunyao4911
@vincentmunyao4911 3 жыл бұрын
Wow...anafaa arudi tena Nairobi
@kennethopondo7969
@kennethopondo7969 3 жыл бұрын
I like the teachings and am blessed
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Huyu padri ni kama padri moja yupo mbangala jamani utakaa kanisani msaa yote huchoki Asante baba
@salomenduku1745
@salomenduku1745 Жыл бұрын
Mungu akubariki na akulinde
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 жыл бұрын
Ameeeen,🙏🙏🙏🙏🙏🙏 hallelujah tujiwazie mema ili tuchibue baraka zetu hakika SoMo limenigusa amini MUNGU sikio lake soon zito atasikia mawazo yetu
@kelvinmashimba1854
@kelvinmashimba1854 3 жыл бұрын
Padre asante sana kwa mafundisho mema..
@bugapeasant1827
@bugapeasant1827 3 жыл бұрын
Umenifafanulia vizuri Sana juu ya andiko Hilo baba nashukuru Sana ubarikiwe mno
@justusjoseph4649
@justusjoseph4649 3 жыл бұрын
Barikiwa sana Paroko bahati mbaya watumishi wa dizaini hii tunao wachache sana nowadays
@shabanrashid336
@shabanrashid336 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 жыл бұрын
OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.
@RebeccaObadia-km7kx
@RebeccaObadia-km7kx Жыл бұрын
Kweli.padry.kweli.kabisa.mafundisho.mazuri.sana.❤❤❤❤
@EvethaBurra
@EvethaBurra 8 ай бұрын
Mafundisho mazuri Father nimepata amani kweli.
@martinsimon7689
@martinsimon7689 3 жыл бұрын
Mafundisho yako ni sauti ya Mwenyenzi Mungu na ukupe maisha marefu vizazi vingi vione ukuu wa Muumba wao
@MarysianaPeter
@MarysianaPeter 6 ай бұрын
Amina mno
@davidmagundu2285
@davidmagundu2285 3 жыл бұрын
Mtumishi umenibariki sn, Mungu azidi kukuinua juu na Juu!
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 3 жыл бұрын
Safi sana mtu wa mungu
@josephmwangingure3259
@josephmwangingure3259 3 жыл бұрын
We love you Father
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 3 жыл бұрын
Uko vzur mtumishi
@espoirwatona2858
@espoirwatona2858 2 жыл бұрын
Mzee anatema madini 🙏
@edmundmugishagwi8829
@edmundmugishagwi8829 3 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu wangu wa History form one and two
@anordgodibless1361
@anordgodibless1361 3 жыл бұрын
Nimejifunza mtumishi kweli mafundisho yako yamenigusa Mungu akubariki sana
@auxiliusmathew3948
@auxiliusmathew3948 7 ай бұрын
Fr.Kamugisha nakuombea uwe Askofu Askofu kwakweli unafaa
@agathaladislaus8991
@agathaladislaus8991 3 жыл бұрын
Aminaaaaaa
@georgeondiege3319
@georgeondiege3319 3 жыл бұрын
Lazima nifaulu maishani nimeongea na mlima wangu
@barakandabunganie6585
@barakandabunganie6585 3 жыл бұрын
Huyu padre yuko vizuri BARIKIWA SANAA
@simonelias3252
@simonelias3252 Жыл бұрын
Wewe kwel n doctor
@michaelkakuja893
@michaelkakuja893 3 жыл бұрын
Amen. Thank you LORD God of Israel. Long live Servant of God in Jesus Christ's name. Amen.!!!
@lameckgunze6376
@lameckgunze6376 3 жыл бұрын
Amina mtumishi
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 3 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu Asante
@nyandukonyamwaya2657
@nyandukonyamwaya2657 3 жыл бұрын
Amen Amen
@danielmgogo8305
@danielmgogo8305 3 жыл бұрын
Ameen Ameen
@hyasintaraphael9531
@hyasintaraphael9531 Жыл бұрын
Watu waliomo ndani ya Kanisa najiis ni sisi tunomsikilza kwa njia mbali mbali wingi wakanisa sio wote wanapokea ila hao wachache ndio walioitwa Bwana
@africamyland6425
@africamyland6425 3 жыл бұрын
Neno ni tamuuu hadi laniosha moyo na masito ilio baki ndani mwangu hadi imetoweka.
@promessemuhindo6962
@promessemuhindo6962 3 жыл бұрын
Amen
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥👏👏👏
@moriskalegeleshusha2619
@moriskalegeleshusha2619 Жыл бұрын
Kwenye wasichana hapo wemwenyewe uliwakimbia ndo maana ulienda kujificha kwenye upadrii
@OlivaryPanga-yz5vp
@OlivaryPanga-yz5vp 7 ай бұрын
Baba naona mlima wa wewe kuja majimboni mwetu utupe mafundisho Yako
@barakandabunganie6585
@barakandabunganie6585 3 жыл бұрын
Kuna makanisa ya kiprotestant haya mafundisho yana wafaaa
@francisw.9575
@francisw.9575 3 жыл бұрын
Jol⁹
@hyasintaraphael9531
@hyasintaraphael9531 Жыл бұрын
Josephat Kanisa ni wewe alafu siunajua penye miti amna wajenzi
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 3 жыл бұрын
Mbona kanisa lipo bila waumini?
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
Usiwasahau walioko huku intanetini
@justageorge5036
@justageorge5036 3 жыл бұрын
Na wewe ni nani banange
@deogratiasrugangila3100
@deogratiasrugangila3100 3 жыл бұрын
Uoni au usikii hata makofi?
@avitusaudax3173
@avitusaudax3173 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana PD🙏🙏
@danielmgogo8305
@danielmgogo8305 3 жыл бұрын
Anafundisha redioni na youtube hao wachache wapo kumtia moyo
@jofrancis9928
@jofrancis9928 3 жыл бұрын
Unaiambia nini milima yako?
@AnnastellaKatunzi
@AnnastellaKatunzi 10 ай бұрын
Mungu hakubariki baba kwa mafundisho yako
@godrick.muyoti8534
@godrick.muyoti8534 3 жыл бұрын
Aminaa
@emmanuelrichard6614
@emmanuelrichard6614 3 жыл бұрын
Amina
@charlesmsukuma1300
@charlesmsukuma1300 3 жыл бұрын
.real are facts.amen🙏🙏
@mosesnkoimo4981
@mosesnkoimo4981 3 жыл бұрын
Shukrani padri,ubarikiwe sana
@AnnastellaKatunzi
@AnnastellaKatunzi 10 ай бұрын
Mungu hakubariki baba kwa mafundisho yako
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 3 жыл бұрын
Amina
@AnnastellaKatunzi
@AnnastellaKatunzi 10 ай бұрын
Mungu hakubariki baba kwa mafundisho yako
@anthonymichael8898
@anthonymichael8898 3 жыл бұрын
Amina
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
UFC 287 : Перейра VS Адесанья 2
6:02
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 486 М.
Mungu ni mwema @Blackman
2:36
Joseph Giuseppe
Рет қаралды 4,4 М.
Padre Dkt Kamugisha: Tawala Uso wako/ Nyakati 2 za kufunga mdomo
31:34