Samahani Kaka na Mh. Mavunde. Mimi Ni familia ya Mavunde lakini Ni wenyejibwa Morogoro. babu yangu anaitwa Mohamed Mavunde, ila alizaa watoto wengi kidogo. Ila Kuna ndugu ambaye kwangu Ni baba Mkubwa anaitwa Antony Mavunde. Historia Ni ndefu. Je Kuna waluguru ambao Ni ndugu na waliitwa Akina Mavunde?