No video

HII NDIO HISTORIA YA WAZARAMO NA UTAWALA WA MACHIEF WA KIZARAMO

  Рет қаралды 2,821

Tricod Media

Tricod Media

Күн бұрын

HII NDIO HISTORIA YA WAZARAMO NA UTAWALA WA MACHIEF WA KIZARAMO
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills

Пікірлер: 11
@SaidiMbala
@SaidiMbala 11 ай бұрын
15:09
@hamisikitwana7957
@hamisikitwana7957 2 жыл бұрын
SAFI MAOMBA MAWASILIANO YAKO MORE MZARAMO NANAJUA MAMBO MENGI YA KUONGEZEA NI
@AbdallahKawambwa-lk4pl
@AbdallahKawambwa-lk4pl 3 ай бұрын
Bro hueleweki
@SaidiMbala
@SaidiMbala 11 ай бұрын
Kawambwa
@bakarikihonga5717
@bakarikihonga5717 3 жыл бұрын
Wazaramo asili yao ni Morogoro, baadae walihama kuelekea maeneo ya pwani kwenye kutafuta masoko ya mazao yao, na ardhi nzuri ya kulima mda huo wakija pwani waliwakuta wenyeji wao Wandengereko. Mda huo mndengereko tayari amesha anza kufanya biashara na muarabu akitokea Oman, Yemen via Zanzibar. Wazaramo walipenda pwani sababu kulikua tayari kumechangamka na wakileta mazao yao mara moja yana uzika sababu pwani yote ya bahari ya Hindi ikiwemo dar es salaam ndio ilikua kitovu cha biashara au kwa kiswahili (kindengereko) wanaita Gulio. Baadhi ya wazaro walikua wanakuja na biashara wakimaliza wanaondoka lakini wengine waliona uvivu waka anzisha makazi ya muda pwani ya Dsm na baadae kugeuka makazi ya kudumu. Mzaramo alivokuja pwani akupata kipingamizi kwasababu alikubali kufuata mila za kindengereko ikiwemo kuwa muislamu na kusoma quraan ambayo ndio ilikua msisitizo mkubwa waliopewa hii ni baada ya mndengereko kuwa tayari msomi wa kiarabu na dini ya kiislamu. Ili uweze kushirikiana na mndengereko sharti lazima uwe muislamu, dhana hii imekuja kuondoka hivi karibuni hata sisi tumeikuta. Haya yote mzaramo aliweza kuyafanya na ndio maana wakaweza kuoleana mpaka hii leo huwezi kutofautisha mzaramo na mndengereko. Mzaramo wakati anasogea maeaneo ya pwani alikuta tayari kiswahili kinaongelewa baina ya wageni wakiarabu na wandengereko, Mzaramo hakuwa na budi pia kujumuika na kujifunza kiswahili sababu ndio ilikua lugha pekee yenye fursa kwa mda huo. Kitu kingine ni kwamba Mzaramo alivokuja pwani alikuwa anapewa mashamba na mndengereko ili alime kwa muda na ayalinde yasichukuliwe, kumbuka Mndengereko ni kabila kubwa ila wana asili ya uvivu hawapendi kulima ila wana hodhi mapori makubwa akitokea mtu anapewa alime kwa muda na alinde hayo mashamba. Mwsho wa siku mashamba yakawa chini ya wazaramo baada wandengereko kuya tekeleza.
@khadijarajab8383
@khadijarajab8383 3 жыл бұрын
🤝🤝umejua kuelezea hadi raha.
@RehemaMillasi
@RehemaMillasi 6 ай бұрын
Wow
@Omaromar-oj5lp
@Omaromar-oj5lp 3 жыл бұрын
naipenda asiri yangu

@abdallahmaftah6469
@abdallahmaftah6469 2 жыл бұрын
Mimi ndio mjukuu wa Pazi kilama😂
@rgtanzania4350
@rgtanzania4350 3 жыл бұрын
Nina rafiki mzaramo😀
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
HII NDIO HISTORIA YA WAZARAMO NA UTAWALA WA MACHIEF WA KIZARAMO
21:26
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 56 М.
🔴 IFAHAMU HISTORIA YA KABILA LA WAMATENGO
9:25
RUVUMA TV
Рет қаралды 3,3 М.
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН