JUICE YA KUSAFISHA NA KUONGEZA DAMU. juice nzuri sana kwa afya.

  Рет қаралды 34,327

Glow Charls

Glow Charls

Күн бұрын

Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi.
JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA KUONGEZA DAMU
Nadhani wengi wenu mtaupenda.
Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangali.
Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini
Nifollow katika mitandao mingine
Instagram: @glow_ch1
Tik tok: glow_ch
Product nilizotumia
--------------------------------------------
Labda kuna mtu atataka kujua:
Camera ninayotumia : Canon 80D
Software ya kueditia video : imovie
Taa ninayo tumia : Ring light
Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs
Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: g.mtei54@gmail.com
Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe.
Wenu,
Gloria

Пікірлер: 36
@elizabethndimbwa5470
@elizabethndimbwa5470 28 күн бұрын
Ni nzuri sana ahsante sana
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 4 жыл бұрын
Naona leo mambo ya gesundheit , ni nzuri sana nimesikia ila sikujua kama ziko nyingi . Nzitooo kwakweli nice video dear
@Kenchiyh
@Kenchiyh 4 жыл бұрын
I love the taste of this plant 😋
@Kenchiyh
@Kenchiyh 4 жыл бұрын
I can't believe I missed all these videos, catching up apa
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 жыл бұрын
Ni nzuri sana ila nilikuwa sijui kama kuna aina nyingi.
@GlowCharls
@GlowCharls 4 жыл бұрын
Bariki Karoli zipo nyingi dear ❤️❤️
@MaryRuta-z2f
@MaryRuta-z2f Жыл бұрын
Ni matunda Gani msaada
@SayimcheleSayimche-mq5wv
@SayimcheleSayimche-mq5wv Жыл бұрын
Inatumika hata Kwa watoto wachanga katika kuogeza damu
@kibouttv7148
@kibouttv7148 4 жыл бұрын
Juice nzito vizuriiii is it possible to send it to me please??😂😂😂 au naishia kuona kwa macho tu? Inaonekana ni tamuuu 😋😋
@GlowCharls
@GlowCharls 4 жыл бұрын
😂😂😂😂natamani ningeweza kukutumia Sema ndo hivyo itamwagika njiani 🤣😂😂😂
@kibouttv7148
@kibouttv7148 4 жыл бұрын
Glow Charls 🤣🤣🤣🤣
@mubasharamubashara4078
@mubasharamubashara4078 3 жыл бұрын
Safi,watoto wanakunywa
@kwisaclinic9922
@kwisaclinic9922 2 жыл бұрын
ndiyo wanakunywa mwanangu piya nampa
@africanbellatherealtalk
@africanbellatherealtalk 4 жыл бұрын
Hii juice inaita jina langu😋
@GlowCharls
@GlowCharls 4 жыл бұрын
Karibu ❤️😍❤️
@africanbellatherealtalk
@africanbellatherealtalk 4 жыл бұрын
Inasaidia pia kama mtu ana tatizo la kupata choo.
@GlowCharls
@GlowCharls 4 жыл бұрын
Asante boo kwa kunijulisha nilikuwa sijui hii 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽
@gladyzqueenmatandu4067
@gladyzqueenmatandu4067 3 жыл бұрын
Mtu anaweza blend na tunda lingine bila kuchemsha beetroot kwanza?
@graceheryson3006
@graceheryson3006 2 жыл бұрын
Hayo matunda umeyachemsha au mabichi
@klystry1234
@klystry1234 3 жыл бұрын
Lazima kutoa maganda
@augustinalyimo1677
@augustinalyimo1677 3 жыл бұрын
Kabala hujaliandaa ilo tundaa unalichemsaha kwanza????? Au unafanyaje
@GlowCharls
@GlowCharls 3 жыл бұрын
Hili nililotumia linechemshwa kabla
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 3 жыл бұрын
@@GlowCharls kwa hiyo kuna lazima ya kulichesha
@youngnigarrecord
@youngnigarrecord 4 ай бұрын
​@@duhrurhhddhheud8575sio lazima kuchemsha
@faytinahassan2319
@faytinahassan2319 3 жыл бұрын
Me nna upungufu wa damu lakini silijui hilo tunda
@GlowCharls
@GlowCharls 3 жыл бұрын
yapo yamejaa mengi sana sokoni. wanauza kama mboga sio tunda
@mohamedkazema6381
@mohamedkazema6381 3 жыл бұрын
@@GlowCharls soko lipi??
@MaryRuta-z2f
@MaryRuta-z2f Жыл бұрын
​@@GlowCharlsyanaitwaje
@happysproduct4391
@happysproduct4391 Жыл бұрын
@@MaryRuta-z2fbeet root
@hawasuka3386
@hawasuka3386 3 жыл бұрын
Sina damu mdogo wako halafu ni mjamzito
@kwisaclinic9922
@kwisaclinic9922 2 жыл бұрын
tumiya hiyo ninzuri,lakini piya kunywa juice yatembele usilipike ukisha liosha na maji yabaridi lipitishe kidogo kwenye majiyamoto halafu saga kunywa hiyo juice unaweza kuweka nachumvi kidogo kupata radha;mm ilinisaidiya sana kwenye ujauzito wa mtotowangu yani inaongeza Damu fasta
@rosemarymnzeru7590
@rosemarymnzeru7590 2 жыл бұрын
Tumia tembele kwa wing dr
@mariummichael6045
@mariummichael6045 3 жыл бұрын
Linaitwaaje?haya kiswahili
@mariamhaji6996
@mariamhaji6996 3 жыл бұрын
Viazi vyekundu
@ElinaSalama-u4u
@ElinaSalama-u4u 15 күн бұрын
Beeetroot
Drinking Carrot Beetroot Juice will do this to your body.
5:14
Cooking With Claudy
Рет қаралды 323 М.
How to Make Beetroot Pineapple Juice | Super Healthy Beet Juice
5:30
Yummieliciouz Food Recipes
Рет қаралды 644 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 12 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 25 МЛН
JINSI YAKUTENGENEZA JUISI YA ROZELA | HOW TO MAKE ROSELLA JUICE
9:18
Cooking With Tina
Рет қаралды 16 М.
JUISI MIX AINA 4.. 4 SUMMER JUICES  @FoodloversTz
5:31
Foodlovers Tz
Рет қаралды 83 М.
MWONGOZO WA JUICE//A GUIDE TO A SUCCESSFUL JUICE BUSSINESS
14:23
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН