Kama kweli we ni mwana family wa Crown media gonga like yako
@MkoiTvTzАй бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE WA KUMZAA😭😭 kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu atuma kundi la wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake. Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@zakayomgaya2758Ай бұрын
Wachonganishi sana Hawa
@bakanga1410Ай бұрын
Kwan ww lazima uww kocha wa simba? kama unajua timu ziko nyingi huko nje nikiona umepata timu nje hata kama ni ya kawaida ntakupigia salute
@sikapendinakapenda4170Ай бұрын
Julio ni mtu wa kupenda kujisifu, lakini kivitendo ni 0... Anabebwa na Media, huwa anajipendekeza kwenye media, hata enzi ya uchezaji wake hakuwa mzuri kihivyo alikuwa butuabutua nilimuona kwa macho sio kuambiwa. Kifupi ni Chawa tu !
@JuniorMk-y4uАй бұрын
Well
@JuniorMk-y4uАй бұрын
Crown fm
@mckwayu5699Ай бұрын
Tunza maneno yako Julio hamchelewi kubadilisha maneno.
@stationerykinondoni7241Ай бұрын
Sasa nimegundua kuwa makocha wasaidizi wa kibongo ndio wanafanyaga makocha wageni wqnafukuza kwa kung'ang'ania kulazimisha kuwapangia kikosi, ndio maana nashangaa pale Simba kwanini Kapombe na Mzamilu wao wanaanza kila mechi japo kiwango chao kimeshuka
@mbwanarajabu3930Ай бұрын
🔥🔥🔥💪
@PhilkevinFelixАй бұрын
Kweli ishi kwingi uone mengi. Watu wanaompinga Julio nimegundua hata wakijisikiliza wanayoyasema watagundua hata kwenye masikio yao hayaingii kwa kukosa mantiki .
@bakanga1410Ай бұрын
Julio una mawazo ya zaman sana..sema wabongo mnapenda sifa na mnataka ajira
@SamsonSimba-k4lАй бұрын
Simba bingwa 🏆🏆🦁💪💪💪💪💪
@NasriMohammed-yw7lpАй бұрын
Wanamchonganisha nani
@MashakaMagesaАй бұрын
Weee uogopi
@Sampovoice8088Ай бұрын
Julio ni mtu na nusu
@Leonardherman-ng1qtАй бұрын
Unajua Mpira unatimu ndomaana taifa tunafngwa
@KarimMirajiАй бұрын
Julio ni mkweli,hakuna ubishi,Mimi namuelewa
@DafiMohamed-dz8xkАй бұрын
Julio Alberto pereira 😂😂
@mckwayu5699Ай бұрын
Kama nyie ni makocha wazuri si mngefanya vizuri kwenye timu mnazofubdisha? Wewe ulikua Namungo juzi tu ulifanya nini? Kama mpira una njia zake mbona haufundishi hizo mbinu huko kwenye timu zenu? Nyie mnaongelea Simba tu
@gilbertngemela6752Ай бұрын
Kwani kila scout amecheza mpira?kufanya scouting sio mpaka umecheza mpira
@nadulabudodi1816Ай бұрын
Tulia wewe ndo maana hujawahi fanikiwa kwenye kukoch,kwenye maneno aaah
@shukranionesphoro7744Ай бұрын
Hili jinga , kwan walio cheza tabora na foteni sio Bora na walisajiliwa kuwa sub au,
@YusuphMohamed-i4eАй бұрын
Julio maneno uwa sikitu
@RamsomoviereviewАй бұрын
KWAHIYO APR NAO HAWAKUKAMILIKA?
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Kumbe wewe hujielewi.Kaangalie Ile timu ya Tabora au Fountain gate iliyocheza na Namungo kama inatofauti yoyote ..Kumbe wewe roporopo tu
@ErastoChilanzaАй бұрын
Hapana fountain gate ilikuwa na under 20 sita mkiludiana kwa sasa simba itakula chuma hicho
@AllenKilewellaАй бұрын
Julio kaongea point Sana Sasa mnaomshutumu mnatumia kigezo gani?
@MchungajiNzelaniАй бұрын
Hamna usidanganye simba hiyo imeifunga apr azam wakafungwa na apr mbona husemi unashusha moyo wachezaji
@mujunvicta6379Ай бұрын
Nilichogundua humu utopolo wanamshambulia julio
@jdanny497Ай бұрын
Tabia nyingine unaficha tulia Acha mdomo
@EdwinAdAstraАй бұрын
Anaongea kama bin Kazumari
@ewaldambrose6136Ай бұрын
Kumbe wewe ndiye unagomeshaga wachezaji? Dah..Tutaona mengi
@danielykasebele4402Ай бұрын
Julio hana jipya, siku zote hajawahi kusema maneno yenye tija, ila mnampenda kumtumia sana kwenye midia, na kujiona yeye ni bora kuliko wengine,lakini hajawai fundisha timu ikawa bora, mimi binafsi simkubali hata kidogo
@GodfreyJames-zt6ig19 күн бұрын
Wwe nikuma na aliahli ntimpol nao WALIKUWA awajasajili au acha usenge wwe Kuma la mama yako
@MaximillianJuliusАй бұрын
TFF Fanyeni mpango Taifa Stars makocha Watanzania kina Julio mgunda na wengine wote wazalendo sio hao wa kulipwa wanakula hela za bule tu
@frbm1729Ай бұрын
Kumbe nyie makocha wazawa ndo mnachoma makocha wa kigeni Kwa kuku batia wachezaji wenu wabovu
@anithawidambe7543Ай бұрын
MKWALA NI BORA SANA MASHABIKI TUWE WAVUMILIVU. TUKIWASEMA VIBAYA TUNAWAKATISHA TAMAA NA WANAONDOKA NA WANACHUKULIWA NA TIMU NYINGINE. TUWE WAVUMILIVU TUSIWE MASHABIKI WAKUWAFUATA HAO WANAO LALAMIKIA WACHEZAJI WA SIMBA.
@JoshuaFrank-u9vАй бұрын
julio ninyi kinawasumbua ni wivu tu dhidi ya makocha wa kigeni mkubali wao ni bora kuliko ninyi.wazawa sababu ni kuwa ninyi hamna akili ya kujiendeleza kimbinu.Halafu leo umekuwa muwazi kumbe ninyi ndo huwa mnawapa kiburi wachezaji wazawa kuonesha dharau kwa makocha wao.hata hizo coment zako zimejaa chuki na hila tuuuuu.
@edsonruhasha2003Ай бұрын
Hata APR hawakusajili vizuri ndiyo maana aligungwa na Simba 2 bila akaenda kusajiri akamfunga Azam. Julio punguza maneno mpira una maswala mengi ya kuzingatia ndiyo maana unatakiwa ukubali matokeo maana mpira haudanganyi.
@DianaBright-r2hАй бұрын
Mjinga kweli waliocheza pale ndo walewale waliocheza na azam walisajili siku nyingi sana embu peleka ushabiki uko
@Sanjey-vp1fmАй бұрын
Acha ushabiki wa kijinga Apr walimaliza usajili na wachezaji waliocheza cku ya simba ndio waliocheza cku ya azam. Kwenda zako uko.
@edsonruhasha2003Ай бұрын
Mbona Yanga ilimfunga Simba 5 lakini ikafungwa na Iyefu, unamaanisha Yanga haikuwa timamu ilipofungwa..... Mpira huwa uko hivyo