July 26, 2023

  Рет қаралды 673

SITIFANA GLORIOUS SINGERS

SITIFANA GLORIOUS SINGERS

Жыл бұрын

Mpendwa sana mtazamaji wetu, karibu sana sana kwenye channel hii pendwa ya SITIFANA GLORIOUS SINGERS. Channel maalum kwa ajili ya muziki mtakatifu toka kwa wana SITIFANA.
Karibu tuinjilishe pamoja mpendwa.
Wimbo; Sala ni nini?
Waimbaji; sitifana family (Baba na Mama SITIFANA)
Usisahau;
Ku subscribe
Ku like
Ku share na
Ku coment kwenye channel yetu hii maridhawa kwani kwa kufanya hivyo unaungana nasi kuweza kua wa kwanza kabisa kupata kazi zetu kila zitakaporushwa hapa rasmi.
Karibu sana sana sana kwa kionjo hiki ambacho full song itakujia hivi karibuni.
Kaa mkao wa kula 😃
Usisahau tu kusubscribe uwe wa kwanza kupokea mzigo mpya utaporushwa.
KARIBU SANA WANA 🙏🙏🙏🙏🙏

Пікірлер: 11
@danielmathias6327
@danielmathias6327 11 ай бұрын
Fantastic singers MUNGU awabariki dana
@felistashao8972
@felistashao8972 7 ай бұрын
🎼💕🥰💕🎼
@meshmusyoka6449
@meshmusyoka6449 9 ай бұрын
Amazing song 🎵 ♥️
@mrpcm_tz4307
@mrpcm_tz4307 Жыл бұрын
Ebhana eeh tunaitaka hii isichelewe❤❤🔥
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS Жыл бұрын
Asante sana mkuu inakuja hivi karibuni tu kiongoz 🙏
@raymondlissu4649
@raymondlissu4649 Жыл бұрын
Hongera sana mkuu
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS Жыл бұрын
Karibu sana kaka Lissu!! 😅
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Hatari na robo kabisa TUNASUBIRI.
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS Жыл бұрын
😅Amina amina Boss wa HMP
@anthonywoisso1636
@anthonywoisso1636 11 ай бұрын
Mwalimu tunaomba uachie full jmn plz
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS
@SITIFANAGLORIOUSSINGERS 11 ай бұрын
😂 ijumaa hii mzigo uko hewani kakaaa😃
SALA NI NINI? - (Official Music Video)
11:19
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 7 М.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋😋😋😋🎹🎶🥰🙏
1:01
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 727
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,1 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 51 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 63 МЛН
Top U.S. & World Headlines - July 26, 2023
12:34
Democracy Now!
Рет қаралды 194 М.
Our Son's First Day Back to SCHOOL! ft/ Salish Matter
12:49
The Royalty Family
Рет қаралды 30 МЛН
EE BWANA NAKUINULIA NAFSI YANGU | JOHN MGANDU | TECHNICS GN9 FOR SALE
2:08
Music Store Kenya
Рет қаралды 1,2 М.
niishi pendo lako Bwana siku zote!!
1:00
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 349
UOVU UMENITENDA - Innocent Fundisha - SITIFANA FAMILY
7:43
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 3,3 М.
NAITIKIA WITO WAKO - (Official Music Video)
7:54
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 4,2 М.
June 3, 2024
1:00
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 336
MBELE YA MIUNGU - Mtunzi: Filbert Thoy: Artist: CHRISTINA DEUS ( SITIFANA SINGERS )
5:17
blessings from sala ni nini song 🔥🔥🔥
1:00
SITIFANA GLORIOUS SINGERS
Рет қаралды 408
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,1 МЛН