Laiti tungekuwa tuna madheheb ya kusikiliza mawaidha na kuyafanyia kazi wallh tungekuwa na jamii nzur tu duniani Shukran sheikh kwa elim Allah akueke umri mref uzid kutuelimisha na Allah atuoe wepes tuyafanyie kaz pia Maashaallah.
@bintsalim2589 жыл бұрын
Masha Allah,Mungu akubarik ama kweli tukizifuata sunnah za ndowa alizokuwanazo bwana wetu Mtume Muhammad(S.A.W)tutadumu katika ndowa zetu....
@nasrihamisi85695 жыл бұрын
Mungu akujaalie umri shekhe wetu mafunzo ni mazuri sana yatujenga kuishi kwenye misingi ya kumpendeza Allah,
@makamehaji87811 жыл бұрын
Sheikh tunaomba utukaribishe huko uliko tuje kusoma na kujipatia maarifa ya kielimu Allah akulipe kheri - Aamin
@halimohinnhalima13205 жыл бұрын
Masha Allah sheikh jazak Allahu khair, shukran for your advice, powerful dua
@armandsimbaedmond39193 жыл бұрын
mashallah
@munirsaid26953 жыл бұрын
Allah ijaziq yaarab,sheikh juma amir
@salemo1211 жыл бұрын
asalamu aleikum sheikh juma amir shukran jaziila kwa mawaida yaako mungu a kujalie kila lakheri amiin basi sheikh thulete qutba zengine mpia thuna taaka faida zengine ambao hathuzi jui thuna taka thuzi jue inshaa allaah fanya bidi sheikh asante.
@mosesgitui20477 жыл бұрын
hii namba ya whatasapp sioni vzuri namba mtu aniunge my no: 0732376680
@faridabakari85117 жыл бұрын
MASHAALLAH.......SHUKRAN KWA NASWAA NA RESALAH ...ALLAH AKUZIDISHIE UMRI AFYA INSHAALLAH
@mudykhamiss29602 жыл бұрын
Kumbe maisha ya ndoa ni mepesi mno ni vile tumemuacha bwana mtume Muhammad s.a.w
@zeinabmohammed488611 жыл бұрын
Masha Allah Allah barik ustadh kwa elm unayotupa.
@KM-jc5hl10 жыл бұрын
Masha Allah, wapo waume wengi wana matharau kwa wake wao. Amiin mola atufanye wenye kufwata mtindo ya mtume scw.
@hassansadiq56748 жыл бұрын
MashAllah MashAllah Allah karim will bless you sheik juma Amir
@rahmaabdi63468 жыл бұрын
Masha Allah my allah bless u sheikh
@slowclimbertothetop45724 жыл бұрын
Maashallah sheikh...Jazakallah khair
@fatumameyer84439 жыл бұрын
Mashallah Allah awalipe mema hapa kwenye dunia na kesho akhera
@yasminmuhdini27788 жыл бұрын
ماشاء الله. جذك الله خيرا يخفضك الله
@maryamabdalla46134 жыл бұрын
Mashallah allah akuzidishie kwa kutuelimisha
@abdallahsultanally39848 жыл бұрын
maashaallah mungu akuzidishie sheikh
@hamisimaliki94054 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe kheri akuepushe na shari
@djmakora00187 жыл бұрын
MaashaAllah Mungu akueke sheikhe letu
@radjabuntunzwenayo10616 жыл бұрын
nashukuru sana sheikh kwa mawaidha mazuli unatupatia nakuompa unifanye mwanafunzi wako kupitia internet kama vinawezekana mimi niko Bujumbura
@AminaAmina-kc6yy5 жыл бұрын
Hi
@twenyesalim10059 жыл бұрын
MAASHA ALLAH MUNGU MPE AFYA NA ELIMU ZAIDII KUTUELIMISHA
@mwanamkasihabibu99156 жыл бұрын
Mashallah mungu akujalie kila lenye kher sheikh Juma naomba namba nna swal nahtaj kufahamu.
@halimaramadhan84265 жыл бұрын
Jazakallah khayraa
@idahhassan378010 жыл бұрын
MashaAllah mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
@isshania81348 жыл бұрын
ManshaAllah uzidikutu elimisha
@asyaluay57875 жыл бұрын
Ameen
@nafesamohamed75535 жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheri
@latifaissa78557 жыл бұрын
Latifa mashallah mungu akuzidishie kheir Inshaalah.
@sere_bites6 жыл бұрын
MashAllah Shukran Sheikh
@زهرغنيه4 жыл бұрын
Am I
@abiolangaleni32425 жыл бұрын
Inshaallah mungu akupe kauli thabiti siku ya mwisho
@rizikisaid86155 жыл бұрын
Mashallah mawaidha mazry mno ustadhi
@nassorrashid95666 жыл бұрын
Shehe Mashallah Mungu akupe umri mrefu wenye manufaa
@razakimasimbo90314 жыл бұрын
Mashaallah sheikh endelea kutupatia da'awa.
@zahraalbaloochi28415 жыл бұрын
MashaAllah Mungu akupe afya Yarrab
@MohdAli-ld4fg10 жыл бұрын
Mashallah mungu ampe kauli njema kwa kila alisemalo
@umiloo62723 жыл бұрын
mashaallah jazaka allahu kheir
@rizikirashid59079 жыл бұрын
Sheikh Allah amfanyie wepesi azidi kutupa darsa
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Wallah darsa hili limebeba ujumbe mzito kama waume wote wataskilizs darsa hili Wengi wangekuwa waume Bora na sio Bora waume
Mungu akupe umri mrefu wenye kheri ili kuziendeleza harakati hizi
@abrarabgao8 жыл бұрын
MASHAALLAH TABARAKALLAH AMEEN THUMMA AMEEN
@trapkid3004 жыл бұрын
MashaAllah
@asmaafamau51396 жыл бұрын
Mashaallah mawaidha mazuri Sana
@stevenogogo96007 жыл бұрын
best although am a Christian
@athmanihaji11037 жыл бұрын
This is how Prophet Muhammad peace be upon Him used to live with His wives
@shamirahakimu32335 жыл бұрын
May Allah change u to be A Muslim
@sulaimansuleiman77715 жыл бұрын
God might lead you to proper path
@fatmah12mohamd469 жыл бұрын
mashalla!allah amzidishie "elimination fidunia was akhira nasi riskier name tufuate inshaallah.
@mirajamal37677 жыл бұрын
Sh mawaidha mazuri, pia kuna na kufurahisha
@alihusein18834 жыл бұрын
Sisi kwetu mashehe tumewaweka ndani inalilahi wainaillaih rajioun
@konayaukakasi23147 жыл бұрын
M aa Shaa Allah
@yakubingale69439 жыл бұрын
MaashAllah ...
@athumanrashid84134 жыл бұрын
Mashallahu
@38wahida10 жыл бұрын
masha allah
@yagazyagaz96147 жыл бұрын
Mashallah gud
@suleimanmohommed52097 жыл бұрын
Mashallaha Murua
@johnwaweru8249 жыл бұрын
mafunzo mazuri ya thamani.
@asyaluay57875 жыл бұрын
Masha Allah
@abughatimsalim70476 жыл бұрын
Mashallah
@abumuhidin68423 жыл бұрын
She santa sana
@idahhassan378010 жыл бұрын
Warda mm pia nataka hyo no ya sheikh juma
@chidyboy311 жыл бұрын
mashalllahu
@zahraalbaloochi28415 жыл бұрын
Yote ni kweli na yapo majumbani 100%
@omarkumba36964 жыл бұрын
Hahahahahah Maa Shaa Allah
@getsetcake93329 жыл бұрын
mashallah
@nadyahassan79245 жыл бұрын
kweli kabisa wapo badhi ya wanaume ndoa wanaipelek kidkteta san mpak unashanga yan kosa ufanye ww lkn so yy jaman haki sw kwa wote
@slowclimbertothetop45726 күн бұрын
Naamn😅
@fatuiddi25158 жыл бұрын
mashaallah
@mamiechous.m678 жыл бұрын
manshallah
@bahatikibiriti10676 жыл бұрын
Mashaalah
@chingulumanafakhil38085 жыл бұрын
Mashallah shehe kwa mawaidha mazur
@fatuiddi25158 жыл бұрын
manshaallah
@sadiaabeid75526 жыл бұрын
sikuhizi wanawake na waume hukataa kufanya kama yamtume kwasababu watoto hanaharibika
@hamidykhamis79328 жыл бұрын
mashaallh mawaidha mazuri sana
@swalehmohamed87798 жыл бұрын
samira hamidy mm siko miongoni wa wanaume wabaya
@hassanissa31345 жыл бұрын
Mashaallah allha akufanyie wepes shekhe juma
@mdasirumulokozi58759 жыл бұрын
Allah qubur
@hamza899454 жыл бұрын
Waona?? Wanawake ndio wenye kupenda kusikiza mawaidha ya uchafu na huyu Shekh ndio mawaidha yake. Chungeni wake zenu na huyu Shekh
@makamemufadhil6275 жыл бұрын
Kweli kuna watu hawali sehem
@aeshaha87709 жыл бұрын
mashaallah sheikh kwa mawaidha yako matamu ila panapo nitatiza ni kuwa hata kama mke yuko kwenye ada yake unaruhusiwa kumuingilia. Nawapo wanao pinga kauli hiyo mana mke huwa ni mchafu mume haruusiwi kumuingilia mke lazima hawe twaara. pls pls pls sheikh tufafanulie hili jamani
@nashwabrown23858 жыл бұрын
Aeshah A mke hafai kuingiliwa anapokua katika hedhi yake ila mume anaweza kufanya nae Romance hivyo ndivo Sheikh kamaanisha
@khalifaissa30457 жыл бұрын
mashallah sheikh allah akulipe kwa elimu unazozid kutupatia waislam na kwa kuweza kuzilinda ndoa zetu
@manman24903 жыл бұрын
By
@wardaomar300110 жыл бұрын
Naombeeni address ya sheikh juma amir pls pls au number yk ya simu