Allah amjazie kila lakheri Sh.Mpendwa Athiumani Maalim Mimi naitwa Alhadji Amani Mageza Ni mkaazi wa hapa Nchini Rwanda Nampenda saaaana Sheikh Athoumani maalim
@binbaya9233 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@mamiyjadida81286 жыл бұрын
Allah amjalie uzima na afya njema
@SalmaSalma-zv1bh2 жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallah,Allah akuhifadhi in shaa Allah na umri wa afya akujaalie tupate kuelimika pamoja na vizaz vyetu in shaa Allah
@khuzeimaabdul42757 жыл бұрын
ALLAH BARIQ MWENYEZI MUNGU AKUWEKE UENDELEE KUTUELIMISHA
Mashaalha mawaidha yameniweka kwenye furaha shukurani
@omarionaabubakar24548 жыл бұрын
nakupenda maalim Athman kwa ajili ya ALLAH
@sakinamohd81015 жыл бұрын
Allah akupe umri twawila (mrefu) ya rabbi
@jadidajadida91547 жыл бұрын
Allah akujalie mwisho mwema
@ramadhannzaro38816 жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu sheikh uzidi kutupa daawa inshaallah
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
MashaAllah Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah akup kizaz chema, na pepo iwe makz yak.
@fatmaswaleh54204 жыл бұрын
maa xhaa allah kila la kher shekh. maalim
@mohdnassor51944 жыл бұрын
Mungu atuwekee shekh wetu
@halimakalendi75335 жыл бұрын
Mungu akupe umri Sheikh Othman Maalim
@issaahjuma41517 жыл бұрын
mashaallah tuna nufaika sana mungu akulipe badala
@djuninhoramisos24535 жыл бұрын
Mashallah jazaakallahu khayran yaa imam
@omarybakari23798 жыл бұрын
Alla ampe maisha marefu othoman maalimu
@rossamengo72114 жыл бұрын
Shekh huyu ALLAH akujalie umri
@ledon73359 жыл бұрын
Shukran Maalim, jazakallahu kheir
@mimamkassy65637 жыл бұрын
MashaaLLAH jazakallahu kheir ALLAH akulipe kheir
@سعدهسعده-ت7غ7 жыл бұрын
mashallh allh hakuzidishiy kwa mawaidha
@rahmmagirl249010 жыл бұрын
Mashaalla sheikh, it's our turn 2 change behaviour in marriage inshallaa ,how do a person get our number, nimeslim mwaka wa 2011 bt since then sijawai kusikiza mawaidha kiasi hiki I hv been following on KZbin many of your videos the truth nimefarijika kiisilamu haswa video ya ''subra''.Allah akuzidishie. Rahmma from Saudi Arabia.
@rahmmagirl249010 жыл бұрын
Okay thanks
@harusikwanza42747 жыл бұрын
allah akuzidishie
@feiirfan3067 жыл бұрын
Takbirr Allah Akbar Mashallah Mwenyezi Mungu Akulinde Inshallah
@mohammedr.k68456 жыл бұрын
Rahmma Girl bless up
@zouzou28494 жыл бұрын
Mansha allah
@aishaiddi52463 жыл бұрын
Mashaallahusheikh
@aminajabir98438 жыл бұрын
shukuran jaazakallah khaira
@سعدالمنجي5 жыл бұрын
Shukran kwa mawaidha na tumewaidhika shukran
@khamisjumazume84774 жыл бұрын
Elmisha baba lakin Hawa watu wagumuuu,hatari sanaaa wallwh.
@sadammatsawili75589 жыл бұрын
MashaAllah. Nashauri mawaidha yote ya sheikh Othman Maalim yatengenezewe Mobile App, na iwekwe kwenye Play Store ili watu waweze kuyapata kwa urahisi zaidi.
@AKASHA.P9 жыл бұрын
Sadam Matsawili EBU FANYA NASI TUIGE
@AKASHA.P9 жыл бұрын
Sadam Matsawili EBU FANYA NASI TUIGE
@katungukitambala45619 жыл бұрын
+AKASHA DAAWAH vipofu wa roho hamuoni huyu jamaa akichora satanic mark na wala sio hii video pekee. Mungu yupi munaye omba kawaruhu ku chora 666 wakati munahubiri. Hizo ni nguvu za giza. Kwakua hamuna Yesu ndani yenu ndio maana Shatani amewafunga macho na mioyo yenu ilimusipokeye neema ya Yesu kristo. Mukisoma bibilia muombe Mungu awaoneshe njia ya kweli. kama umefurahishwa na neno la Mungu basi nifuate katika Google plus. Mungu awe nanyi.
@kebbyrogers59159 жыл бұрын
we kweli choko...
@kebbyrogers59159 жыл бұрын
we kweli choko...
@سعدالمنجي5 жыл бұрын
Allah akulipe kheri inshaallah
@emmanueldavidy3238 жыл бұрын
tupe darasa othman maalim maashaallah
@didaabu60749 жыл бұрын
jazakumullahul kher
@jumasungura79453 жыл бұрын
Tumtegemee Allah
@abdiboru32594 жыл бұрын
Asalamualeikum Allah akupe shifa
@aishaabdalah62896 жыл бұрын
Mashallah othman maalim
@zouzou28494 жыл бұрын
Jazakallahu kheri
@hafidhramadhan39428 жыл бұрын
MAshaaAllah..........
@boykaaledjoz54228 жыл бұрын
Sheikh Nakufatilia sana Mawaidha yako yooooote
@ali1906 жыл бұрын
mashaalah
@destiny4life4396 жыл бұрын
jazakallahu l kheyr
@ismailabdallah67207 жыл бұрын
shukrani maalim
@hassansheria89377 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@mikekhalifaali75102 жыл бұрын
Mambo ya Maulid nayo ni uzushi wenye kupotosha
@lionsofia88845 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah
@saumumahu26088 жыл бұрын
االسلام عليكم.شيخ عثمان معلم شكرا جزيلا الله يعطيك العافيه ويطوّل عمرك انشاء الله lkn nauliza hkn tabia za wanaume wabaya?
@faridafarida32807 жыл бұрын
Saumu Mahu SHUKLAN
@saumumahu26087 жыл бұрын
عفوا
@rashidmohamed40517 жыл бұрын
+Farida Farida hata we pia shukuran
@rumeysamohamedkhamis71946 жыл бұрын
Saumu Mahu kivipi?
@saidiikonde55235 жыл бұрын
Alla amuhidhi
@thefarati99777 жыл бұрын
Masha Allah
@omarsalim63305 жыл бұрын
MAA shaa Allah
@ganettsofa70155 жыл бұрын
MashaAllah
@suleimanbadi6458 жыл бұрын
mashallah
@alizahranmohd40954 жыл бұрын
shekh nyund anasem tupige mizinga kwel kwel
@bilalisurasa81999 жыл бұрын
true
@bashirali80968 жыл бұрын
vry intrstng sheikh
@athumanchato32177 жыл бұрын
swadakta
@rafanasadiki318 жыл бұрын
kweli shekha ila na wanaume wengine nao mkigombana kidogo tu bas ntakupa talaka
@is.haakahamza19886 жыл бұрын
Maashaallah jazaka llah kherii
@luhengohamisi22755 жыл бұрын
asalaam aleykum mzee shekhe samahani ilikua naomba kisa cha saidi ibn jubeiri na yule jamaa alie kamuua samahani nimesahau kidogo nipo mozambique n+258866615853 ikibidi nitumie kwenye whatsapp tazali
@yazidumakeo84375 жыл бұрын
Ayo maisha sheehe wangu maashaa alaa
@yazidumakeo84375 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maisha malefe
@samiribrahim51815 жыл бұрын
Allah naye aku lipe sheikh
@saidymtawa11689 жыл бұрын
umenigusa sana
@aishamamo79187 жыл бұрын
mashaa Allah
@dadadadaas59588 жыл бұрын
UNAZO????
@ummymuya.20608 жыл бұрын
What the hell 666 mark you are talking about? Imani za kijini? Hivi yupo kipofu zaidi ya yule anayehusisha ibada yake na kiumbe kama yeye? Hivi unamjua YESU kweli? Hivi yupo mwanadam anaeweza kumpa neema mwanadamu mwenzake? Usiwe kipofu wa dunia coz utakuwa kipofu zaidi siku ya hukumu... Let me give you simple knowledge that doesn't need anyone to attend the class, just use yr mind kujua ukweli! M/Mungu ametuumba na anatufahamu in and out. Alijua miongoni mwa mambo ambayo tutayajengea hoja tukiwa juu ya mgongo wa ardhi (katika kumtambua yeye) ni uumbaji wa mwanadamu. kw hiyo aliumba katika hali zote nne ili isiwepo hoja juu ya hilo ila vipofu kama wewe bado hamlioni. 1) M/Mungu ameumba mwanadam asie na baba wala mama... Baba yetu ADAM 2) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba pekee bila ya mama ... Mama yetu Hawaa (Eva) 3) M/Mungu ameumba mwanadam alie na mama pekee bila ya baba... Issa bin Maryam (Yesu) 4) M/Mungu ameumba mwanadam alie na baba ba mama... wanadamu wooote tuliobakia ukiwemo wewe. Hapo uungu au umwana wa mungu (wa Yesu) unatokea wapi mpaka yeye awe ndio mtoa neema? Fungua macho ndugu yangu usije kupata yakini wakati usiostahiki maana hakuna ataeondoka dunia hii bila kujua ukweli juu ya imani yake, tatizo it will be too late! Tafakari!