JUMA DUNI: NIMEENDA KUMUONA MBOWE/ ANAKULA KUKU/ "UTATOKA TU"

  Рет қаралды 38,915

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 3 жыл бұрын
Sisi wazanzibar tuna wanaume big up bab duni
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 ай бұрын
Uko sahihi sana mzee wetu
@allyhassan7169
@allyhassan7169 3 жыл бұрын
Babu hii nchi inawenyewe na wenyewe ni baadhi ya koo za kifalme wafalme weupe wameondoka wapo wafalme weusi sasa hao ni hatari kama juja Wa majuja wananjaa hao hatari hawashibi wanamitumbo na miwowo hatari kama transfoma
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 3 жыл бұрын
Mzee wangu Duni , Mbowe aombewe msamaha kamkosea nana? mashehe wa uamusho,walomba msamaha Mbowe atatoka tuuu wakati ukifika muda utaongea
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 жыл бұрын
Eti "Magufuli Mungu amrehemu" Mungu gani amrehemu mshenzi yule???
@suleimanibachani318
@suleimanibachani318 3 жыл бұрын
Babu duni kaongea point tupu serikali hii hata ikosee vp haiwezi kukubali makosa
@bekabakari7394
@bekabakari7394 3 жыл бұрын
Sio Tanzania tu Bali ni dunia nzima Ni serikali gani hiyo Iliyo tamka imekosea
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 жыл бұрын
Duni ni mkongwe anajua siasa ya Tanzania,maneno yake ni busara hasa kukubali makosa. Mungu akupe imani ya kumaliza mipango yako ya kujenga shule kwa yatima.
@salimsaid3292
@salimsaid3292 3 жыл бұрын
Kaka duni hayo ni sawa lakin hawayataki na hatuna nguvu ya kuwalazimisha.. Ni kumuachia Mungu bas
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 жыл бұрын
Wape neno baba mzee wetu ulobaki
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 3 жыл бұрын
Mzee yupo vizuri, hongera zake!
@a.856
@a.856 2 жыл бұрын
Babu🙏
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 3 жыл бұрын
Ameongea vizuri sana...
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 3 жыл бұрын
Dabu.nduni next maalim seif
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Khamis babu duni hayati maalim sefu wote wanyamwezi hao watumwa
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 3 жыл бұрын
@@margarethpolepole7438 I'm sorry don't understand what you mean
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Dar 24 jitahidini muwe na updates news kama SNS.Hawa wanakuja Kwa kasi na habari yeyote inayotoka ndani na nje ya nchi wanaitoa haraka.Siku hizi ni ushindani
@lenniefei6710
@lenniefei6710 2 жыл бұрын
Na bado sana.....Mapinduzi yalikua ni kuzulumu wenyeji tu hamna cha waarabu,masultani wala ushuzi...LAZIMA DAMU YA MAZULUMIWA ITALIPWA HATA IWE MIAKA 100
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 3 жыл бұрын
Nchi ya wananchi ni kweli kabisa na tukabidhiwe kombe letu.Mpaka viongozi wa siasa mtatutambua
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 3 жыл бұрын
Juma Duu acha udhaifu sisi hatuhitaji kupiga magoti kwa waovu! Huo udhaifu wa uongozi wenu bado Watanzania tunaumizwa usituambukize udhaifu wako
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 3 жыл бұрын
Pengine mzee hujaangalia kwa undani madhara ya msamaha wa aina hii au na wewe kama kiongozi wa ACT ungekuwa na maslah na huo msamaha sasa mzee mbona unachanganya mambo? nolle proscue si ndio serikali kusema imekosea? kusema tunaifuta kesi eidha hakuna ushahidi wa kutosha au kwa maslah ya nchi,njia zote hizo si ndio serikali kusema imekosea mzee wetu? kwa hili ukiacha ushabiki au umaslah,chadema wameona mbali sana,nyie ACT mliwatega vibaya sana chadema bahati nzuli wamejinasua,wangekubali tu ingeonekana ni chama cha kigaid na hata familia ya mbowe ingeonekana ni ya kigaidi,Hongereni ACT kwa kutega mtego mzuri na hongereni chadema kwa kuutegua,Alamsik.
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 3 жыл бұрын
Hahahaaa duni bana,chumba Cha 10,I like that
@emmanuelnjebele2226
@emmanuelnjebele2226 3 жыл бұрын
Duu ccm naichukia Kila kitu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Babu Duni una mawazo kama yangu, Viongozi ni sisi sisi yanatokeaje haya. Kuhusu mfumo wa Bunge ni chombo DHAIFU hajifai hata kujadiliwa.
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 жыл бұрын
Basi mlifurahi walipouliwa warabu Allah atawalipia
@saidmohd7240
@saidmohd7240 3 жыл бұрын
Sema babu Duni! Japo watawala wa CCM hawataki!!!
@abdullamussa3627
@abdullamussa3627 2 жыл бұрын
Bab duni ww ni kiongoz Bora sn
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Na kwa vijana wa Leo historian hawajui kabisaaaa ni mziki na mademu tu bassss
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 3 жыл бұрын
Tumebaki na maneno tu.
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 3 жыл бұрын
Watu 1000 au 2000 na familia zao ndio wanaofaidika na nchi hii.Wakulima na wakwezi bila kusahau wafanyakazi(takriban milioni50 au 60)yetu macho😘😘😘😘
@fr.edgarngowiosa6599
@fr.edgarngowiosa6599 3 жыл бұрын
You have said it in a bold sense!!
@mwenem8130
@mwenem8130 3 жыл бұрын
MIHIMILI 3 (BUNGE, EXECUTIVE, JUDICIAL) inatakiwa Rais hana mamlaka na Bunge wala mahakama. Hivyo ni vyombo vinavyoweza kumtoa madarakani. RAIS HATAKIWI KUWA JUU YA BUNGE au MAHAKAMA!!!! KATIBA inahitaji marekebisho!!!!!
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 3 жыл бұрын
Tatizo hii nchi Babu hakuwaza mbali maana taifa hili ukitizama dola ni ccm je kwanini?
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 3 жыл бұрын
Hahahahahaa ni waaminifu na wanajua kuhubiri hadi "waumini" wananchi tunakubali
@vanemmy6043
@vanemmy6043 3 жыл бұрын
Nyiye WA zanzibari mmekuwa amumpendi JPM...... izo propaganda za deni kwa JPM mnazi promoted kwasasa ili mumuaribiye Jina tu... mxm
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 3 жыл бұрын
Haya maneno yanatia uchungu sana .
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 3 жыл бұрын
Hili linasemwa na mwana mzalendo kweli?
@ds7891
@ds7891 3 жыл бұрын
Hao mnowasema Warabu hawakufanya maovu kama haya mnayoyafanya nyiyi sasa hivi. Allah anawatieni adabu kwa dhulma mlizo zifanya fimbo ya Allah inafanya kazi yake msitafute nini. Kiza cha dhulma na damu mlozimwaga. Wakati walivyokuwa waarabu Jamii yote ya wazanzibri ilikuwa katika neema. Karume sio Mzanzibari kashirikiana na wanyamwezi wenziwe kina nyerere kupokonya Wazanzibari nchi yao.
@abuuammary1549
@abuuammary1549 3 жыл бұрын
Nchi ya wananchi
@Zumitv-c1g
@Zumitv-c1g 3 жыл бұрын
Usihadithie maana tushahadithiwa....huna kosa duni babu yangu.
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 жыл бұрын
Mungu amrehemu magufuli? what?
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 жыл бұрын
Babu wafundishe Wabara siyasa Lissu hajuwi siyasa
@fantsonmpango7502
@fantsonmpango7502 3 жыл бұрын
Huyu mzee kaongea kipumbavu sana, na kwa misemo hii act ni ccm. Msimamo wa chadema na Mbowe mwenyewe Nchi nzima hawahitaji msamaha ktk muhiimili wa mahakama bali wanataka haki. Sasa Kama kila siku unasema serikali haikosei hivi huyu ni mpinzani kweli!!??
@sadih5333
@sadih5333 3 жыл бұрын
Kama kaongea upumbavu, hajashinda upumbavu wa wazazi wako kukuzaa wewe.
@sadih5333
@sadih5333 3 жыл бұрын
Halafu wewe shoga hukuelewa kilicho semwa au itakua umejifunza kiswahili ukubwani,
@urbandigitaltz
@urbandigitaltz 3 жыл бұрын
Kupata video za kocha wanungwi gusa picha yangu
@mwigaali1942
@mwigaali1942 3 жыл бұрын
Watapikie weee.........
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Atapike nini mwiga
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hapo ndipo alipokosea siri lazima iwepo ndani ya nyumba
@suleimansaid7486
@suleimansaid7486 3 жыл бұрын
Halbadiri ya mbayana
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 жыл бұрын
Unakubali mspinduzi yalikuwa mabaya kuua watu hasa waarabu, waliua sio wazee wenu?
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 жыл бұрын
Mambo yamebadilika Mzee yote hayo kapuni
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 жыл бұрын
Mzee elezea ulichokiona lazima ukweli usemwe wazee nyinyi mnakwenda atakuja kuelezea nani I kama sio nyinyi wazee wetu
@nyafumohamed-gz8qu
@nyafumohamed-gz8qu Жыл бұрын
P p Jo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Kama anakula kuku akae tu kwanza Watoke wale wanaoteseka
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 жыл бұрын
Wape baba maneno matamu
@johnmakubi190
@johnmakubi190 3 жыл бұрын
wewe mzee umechoka achana nambowe
@jumajuma6782
@jumajuma6782 3 жыл бұрын
Kuweni.na.Adabu.huyu.mzee.nisawana.kakaako.au.babaako.au.babu.kwaiyo.usijifanye.wewe.uko.vizuri.heshima ni.bure.sawa.hatupendi.udini.nyinyi.ni.wabinafsi.sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Udini na ukabila umekataliwa na mwl nyerere tunaoana kama kawaida acha ubaguzi wa dini
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Kwani wewe wataka mtawaliwe na warabu kweli mmezoea utumwa sasa wewe kabila gani haswa mnyamwezi au msukuma maana hao ndiyo walikuwa watumwa wa warabu maana nyie hamna lugha zidi ya kiswahili
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Were Israel’s Actions in the Gaza War Justified? Eylon Levy vs. Mehdi Hasan
1:06:50
CABDULLAHI MAXAMED NUUR: WAREYSI BUUXA  SHIRQOONKI SHAQADA
3:47:53
HANOOLAATO
Рет қаралды 1,2 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19