JUMA LOKOLE:Zuchu Ni BIKRA/Lava Lava Mzigo WCB/Paula Ana Mimba/Angela Hana Show/Nandy na Bilnas

  Рет қаралды 20,869

A DIGITAL TZ

A DIGITAL TZ

Күн бұрын

Sikiliza AFM RADIO 92.9Mh.z Dodoma.
Online tunasikika kupitia Tunein
.Tufuatilie Kwenye Mitandao Yetu Ya Kijamii.
Instagram @afmradiotz @Adigitaltz
KZbin:A DIGITAL TZ / @adigitaltz

Пікірлер: 65
@lulukaaya5102
@lulukaaya5102 3 жыл бұрын
Dhu! Kuwa rafiki na Juma inahitaji moyo ase 😂 mnafki kinoma
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
Juma mrongo; dakika moja Paula ana mimba ya miezi miwili, mara hana mimba
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😆
@salmaumazi1332
@salmaumazi1332 3 жыл бұрын
Juma we mbea namba one sijui kama ushapata certificate.....#@kenya
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 жыл бұрын
😁😁
@aimahmed7149
@aimahmed7149 3 жыл бұрын
Asema aenda na upepo haha akili Zake azijua mwenyewe 😂 😂 😂
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Team ya wasabi ina Kiki nyingi sana ambazo hazipo hapo kabisa na hatuvioni Team kubwa ya Konde Gang inaweza ata nyimbo zao ziko sawa hazina matusi # Kenya Team Jeshi
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Kumbuka huyo alitoka wcb
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Wasafi mnatuangusha na kitu moja tu ata majuu hawajisifu ivyo bana Africa sijui shida iko wapi kweli kitubkidogo adi mtu kununua Boxer lazima namboe watu bro iyo sio sawa banaHii leo siamini kama Simba ni yule wa Mbagalaa!!!
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Saizi nimeona umeachilia Audio moja nzuri sana izo ndio nyimbo watu wengi wanataka na pia apunguze matusi kwa nyimbo zake mm ni shabiki wake mkubwa sana sio kua simpendi ila saa zingine anakosea
@elizabethfaustine3114
@elizabethfaustine3114 3 жыл бұрын
Matusi mnayajua?
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Sio matusi ila nyimbo zao bana ni Team kubwa but wanatatiza imani za watu saa zingine
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 3 жыл бұрын
Mshenzi huyu sns kasema vyengine mimba miezi miwili mara ohooo hana mimba😂😂😂😂😂😂😂😂
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
Kama ishatolewa jee
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 3 жыл бұрын
Juma muokope mwenyezimungu usimcheke mwenzie kilema unaeza kushangaa ukapata ajali jicho likangoka , chizi mkubwa 😔
@gres1182
@gres1182 3 жыл бұрын
Aki juma ww😂😂😂😂😂
@asifiwewisayi1263
@asifiwewisayi1263 3 жыл бұрын
💪💪Jumaaa namkubali saaan
@gorretagatha6267
@gorretagatha6267 3 жыл бұрын
Jumaa we ni mnafik
@salmaabduli700
@salmaabduli700 3 жыл бұрын
Jaman hat mm Juma nampend nakinacho nifany nipend miuno nafikili par kwer anakuaje sianakup raha adi una zimiy 🙄🙄🙄
@mahidatatang521
@mahidatatang521 3 жыл бұрын
Na kweli bikira maria🤣🤣🤣🤣🤣
@baronandrew3875
@baronandrew3875 3 жыл бұрын
Juma msimuulize maswali hayo nyiny huyo jamaa hana koo😂🤣🤣
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 3 жыл бұрын
Juma umejuwa aje kama zuchu ni bikra ao ulimuombaga akukunyima
@kngshassan5202
@kngshassan5202 3 жыл бұрын
Huyu si mbeya hili senge
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 3 жыл бұрын
Juma
@margaretbirenge4081
@margaretbirenge4081 3 жыл бұрын
I luv u lokole 🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰
@kngshassan5202
@kngshassan5202 3 жыл бұрын
Zuchu bikra ww nani nyumauko mbwa mbwa
@aa-bk3ej
@aa-bk3ej 3 жыл бұрын
😂😂😂juma unamambo eti bikra zuchu
@nasaraoman5489
@nasaraoman5489 3 жыл бұрын
Juma Hana akili vooo eti bikra maria
@hadijatambwe9194
@hadijatambwe9194 3 жыл бұрын
Bikra ulimtia dole ukajuwa
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
Juma muongo akuna helicopter unaweza lipa 10. Thou dollars 😂😂😂 my birthday nililipa dollar mia tatu 30 minutes watanzania wamekuwa. Wamekuwa Maasai kudaganywa na lokole 😂😂😂😂😂
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 3 жыл бұрын
Kumbe una juwa bei ya kukodi ndege bora hivo ume tuambia tulikuwa tumesha danganywa.
@elizabethfaustine3114
@elizabethfaustine3114 3 жыл бұрын
@@daynesakulu3169 Kwahiyo nawew umekubali kama kweli basi atuwekee ht picha hapa tuone
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
@@daynesakulu3169 ukweli kabisa nilikodisha birthday yagu 30 minutes dollar Mia mbili, aki Kwani nini watu udaganya???
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
TEMBO IKO JUU
@ashaali7154
@ashaali7154 3 жыл бұрын
Huyu mpaka wamvunje meno awe kibogoyo binti fala eti babu weee mwanaume gani anaongea hivyo stupid njaa itakuuwa tu wewe.
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 3 жыл бұрын
Huyu anaongea maongezi ya kijinga sana
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Punguzeni uongo bana iwapo ningekua pesa kweli Rich Mavoko asingetoka pale Rich ni mfanyi biashara na anapiga kazi kweli sio kubaatisha tu
@maxozone3762
@maxozone3762 3 жыл бұрын
Mavoko haja ka miaka mingi wcb
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Ndio hajakaa sana ila iliona uongozi wa wcb kwake haiendani kama alivyo tarajia
@وردهالحارثي-ز5ه
@وردهالحارثي-ز5ه 3 жыл бұрын
Yule demu sijuwi kapenda nn huyu juma lokole maana Mh nishida wallah mapenzi kiboko
@kngshassan5202
@kngshassan5202 3 жыл бұрын
Mnajua kwanini mama mond anampenda huyu kwa sababu anajua kinacho endelea baina ya mond na hili lokole punga la mond
@kngshassan5202
@kngshassan5202 3 жыл бұрын
Na nyie waandishi hamna kazi kulihoji hili punga la mond lanini
@kngshassan5202
@kngshassan5202 3 жыл бұрын
Ww senge zuchu usimfananishe na Nandy
@annwanja1621
@annwanja1621 3 жыл бұрын
Uyu jamaa mwongo sana ..mara Paula Ana mimba ya miezi mbili mara hana mimba .. uyu hajui anachokisema uyu 🤮
@Mamyalley6666
@Mamyalley6666 3 жыл бұрын
Juma mmmmmh mara mimba ipo mara hamnaaaa
@madinisilasofficial7831
@madinisilasofficial7831 3 жыл бұрын
Waliavya mimba
@shamalhabsi3563
@shamalhabsi3563 3 жыл бұрын
Doo juma manshallah umeshinda kwa uwongo do mara Paula anamimba miezi mara hana mimba umbea umeushinda
@aajeath6146
@aajeath6146 3 жыл бұрын
Hujafa hujaumbika kaka usimshtumu ddaako juu ana ugonjwa
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Ya lukamba hapo ulinifurahisha sana alijitamba lukamba sana watu wamemgongea hahahha
@salmaabduli700
@salmaabduli700 3 жыл бұрын
Bwabwaju bwabwaaa 🤣🤣🤣
@winnieumanzi5572
@winnieumanzi5572 3 жыл бұрын
😜😜😜😜😜😜😜chukua hiyo juma mwenyewe😝😝😝😝😝
@winnieumanzi5572
@winnieumanzi5572 3 жыл бұрын
Zuchu Mariah 😜😜😜😜😜😜😜
@eysheryusuph625
@eysheryusuph625 3 жыл бұрын
Kumbe had kiburugwa unapajua
@zenabibie5033
@zenabibie5033 3 жыл бұрын
😀😃😄bikira makubwa
@sedaswai8306
@sedaswai8306 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 tunahelaaa
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 жыл бұрын
Waaaambieeee haaaaòooooo
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Et BiKR
@amodaneissaamir2830
@amodaneissaamir2830 3 жыл бұрын
Juma lokoo
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
Unamtukana anjela eti ana miguu?? Mugu amekusikia
@elizabethfaustine3114
@elizabethfaustine3114 3 жыл бұрын
Wanadamu kuelewa sasa hapo kamtukanaje wakati yeye kasema kama angekua na hizo dollar alizonunua cheni kwa nini asingeenda India kutibisha mguu wake hapo tusi liko wapi?
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 3 жыл бұрын
@@elizabethfaustine3114 mnajua aje sio zawadi unadhani agekuwa na pesa agekweda kutegeneza Kwani chain ni how much ?
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 3 жыл бұрын
Mguu hakuomba muache anjela wawatu
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 132 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 70 МЛН
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:52:36
"THERE IS NO ARTISTE THAT CAN MATCH ME"
36:28
De CRITICAL Studio🎙
Рет қаралды 183
HUKUMU YA KESI YA NYUNDO NA WENZAKE KUTOLEWA SEPTEMBER 30.
7:00
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 11 МЛН