kazi nzur kaka mkubwa kama unakubaliana na mm kazi ni nzur gonga like twende swa
@josephmussa28756 жыл бұрын
nice song
@kapolesyaba31336 жыл бұрын
Sir nature, kiroboto... mwili mwembamba akili mlima kilimanjaro.tulikumisi mzee baba.. GONGA likes nyingi kama unamkubali nature kama mimi.#jumanature!!!
@lutherking36666 жыл бұрын
Kazi xfi
@dmbwoy81146 жыл бұрын
Kama unakubali mziki mzuri bila Kiki gonga like hapa🔥🔥🔥
@jacksonomary24646 жыл бұрын
nakubali mkuu
@almasmanal83826 жыл бұрын
Nakubali
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
dm bwoy yes salute sana mkuu
@jumaayo6 жыл бұрын
dm bwoy yap
@yohanayohana28326 жыл бұрын
nature noma
@bonitojo6 жыл бұрын
Hongera, komaa. Channel you tube ndo mpango na social media zingine
@bobramaso8256 жыл бұрын
KAZI IMEPENYA KILE KIMYA KINGI UMEKITENDEA HAKI KIMEKUJA NA MSHINDO MKUBWA,DUDE LIKO BOMBA HUYU NDIO NATURE TUNAEMJUA...BIG UP KIROBOTO JUMA MWENYE NATURE YAKE
@ThadeoKiondo6 жыл бұрын
miss mukupa ame play part yake vizuri sana salute kwake, juma nature sina wasi wasi umeua kama kawaida yako....
@issaissa80476 жыл бұрын
uwo ndo msitu Wa vina watapata tabu sana kumjua .
@donaldsinkamba48676 жыл бұрын
Big up brother yangu ugali mpaka sass Ulevi,upo vizuri
@seurisanare80156 жыл бұрын
Eroo Juma Nature elaa kakee ,,tumekumiss sana aki lai acha kupotea Brother kuja lete vitu ,,, tunakuombea hata kama uchumi ukiyumba jaribu kubalance ili uwexe kutupa hai kaka May God bless you job,, huu ni mwaka mpya kwako sasa hakuna kushuka ni kupanda na kusimama kwa miguu miwili wala sio moja ,,,,,hakunaa kuyumba tena ...gonga like Mafans and say Juma Nature,,,,
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
Sire nature nakuelewa mbaba since day one, flavor kama hizi wana kitaa walizimisi kinyama sana salute japo media zingine ndo ivo ila mungu ndo mkuu wetu nimependa pia kuiyona Chanel yako ukitoa kitu tuletee huku KZbin tutapakua na ku watch mwambie q chief nae asilie lie na media aachie ngoma Kama hivi salute kwako sire nature!?
@Dr.zaidi46 жыл бұрын
Juma nature na msanii chikuzee wa Mombasa wanakaa mapacha kabisa.Wengetafutana watufanyia kitu
@dabofrash84226 жыл бұрын
juma Nature kiroboto nipo Dubai na kupata mzee baba bonge langoma mkali wangu wa siku zote
@ismailchivihi70946 жыл бұрын
Jamani huu ndio wa veuwz million kwa bro nature au mnaonaje
@robertmassive53356 жыл бұрын
I have always been a fan of Juma Nature ever since I was a kid... Super underrated artist... He needs to chuck more tracks like this...just like the old days with TMK... Love from Nairobi. KENYA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
Robert Massive I appreciate it, together bro!
@mariamuhadi89586 жыл бұрын
Juma huyu Dada umemtoa wap yupo vzr
@markdonaldmomanyi80616 жыл бұрын
Nature mwenyewe ±971 locked in bonge La ngoma bro big up rep 254
@rogermwanawahunda40416 жыл бұрын
Nakubari mzee baba sasa jiwe juu ya jiwe
@brandysatoki26246 жыл бұрын
xjui kiswahili vizuri lakni ngoma kali sana...kutoka China👍
@singinowelnel46566 жыл бұрын
Rudi kundini mzee wa ugal bado uko fit nanilii akasome
@kalapinamadath11306 жыл бұрын
Duuuuuuh ngoma kali chupa kaliiii hongera sanaaaa
@masterngao55386 жыл бұрын
Kibla ni noumaaaa
@kitulatvonline38546 жыл бұрын
Asante Baba Nature Kwa Kurudi Kwenye Game yaani Ww ndo Unanifanya Nipende Mziki wa Bongo Freiver Nakukubali Sana Na Hii Ngoma naona Haitoshi Achia Nyingine Baba La Baba Naona Wa Nyumba Karudi Kwahyo Wapangaji Wajipange.
Mtalaka haregewi hurudi mwenyewe Nature msitu wa vina
@frankjamesmugaya75006 жыл бұрын
minafurahi tuunikiona #radha zetu zakitambo zina rudi tushakuwa watuwazima som time w do remember 2003 salute juma ngoma kali mpaka wazulu na wasutu wanaimba huku South Africa na hawajui kishwahili
@petermim6 жыл бұрын
Sawa baba kibra#😀🙌🙌🙌
@naimaneema22796 жыл бұрын
wow nature we simbaaaaa
@MrMtulivu6 жыл бұрын
Hahahahaha wacha zako weweeeee juma nature wajifanya umemuimbia mbambu hahaha hiii umejiimbia wewe haya wachapombe sasa nimechekasana sana sana
@kassimrajabu78056 жыл бұрын
Legendary is back again...NATURE toka niko mdogo mm na ww tuu....
@petersichela17246 жыл бұрын
Nimepigwa sana kisa nature pamoja sana mkubwa nakubali mpaka kesho
@dastonamichaels18546 жыл бұрын
Kiroboto nakupata vema toka pande za mombasa ferry
@saitotisaitoti67346 жыл бұрын
Nilimis hii radha jamani daah booonge la song
@deorichard99466 жыл бұрын
Mwenye muziki ameludi good San bro
@dogogaga88046 жыл бұрын
Wakali wa hizi kazi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fikirinidominick29846 жыл бұрын
Nature mstu wa vina, kaz nzur sana
@amaniramadhani38676 жыл бұрын
Kitu kimesimama brohh..... Safi sana
@fyfh95006 жыл бұрын
Team Kiroboto till I die
@maulidrehani6 жыл бұрын
Mkali wa hizi kazi sir nature
@frankmluanda94576 жыл бұрын
we ndo jiwe lililosimama chini limebeba wengine alafu wanaleta dharau kama huyu msenge chege chupa kali ngoma kali
@emanuelgaville60676 жыл бұрын
Hatar sana staili zile2 nabado upo online brother
@abdulrahmanomar69636 жыл бұрын
The legend big ups bro all the way from Qatar +974 to bongo land +255
@hamishselemani77996 жыл бұрын
Msitu wa vina ujumbe ndani ya vina
@gama31916 жыл бұрын
bonge la ngoma..keep the fire burning kiroboto
@kherryserera94516 жыл бұрын
am proud of u my Brother Juma.. Bonge la pini hili..... Allah akusimamie daima
@ankalmzito25454 жыл бұрын
weee juma umemuenjoi huyo dada yani umemfunika kabisaaaa...jamaa kama umeona hebuu gonga like hapo
@juliusmkwiji2836 жыл бұрын
Afadhali umefungua channel yako mwamba! Nilikuwa naona nakudhulumu nikiangalia nyimbo zako kwenye channel ya tofauti 👏🏾👏🏾
@deogratiaskiondo49006 жыл бұрын
Kaka juma nature ngoma imesimama kamanda wanguu
@officialamris79546 жыл бұрын
Usiempenda kaja 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥wataelewa tu maana bora mtu mzima
@imujarokiplimo6 жыл бұрын
Big up brother Mr Nature. Big up once again...KABOOM! Tangu enzi za MUGAMBO hadi wa leo bado uko top.
@zahabujoseph65846 жыл бұрын
verse ya pili umeua kibla,mwanzo mzuri jitahidi kutoa mfululizo cc mashabiki zako tume Ku miss sana.
@shabbyofficial_6 жыл бұрын
Am so sorrrryyyy baibeeey hehe nature balaa
@sekundemaster4606 жыл бұрын
Shabby theezaddy hahahaha oyaaa hadi wewe hapo nature umemdelee ahhahaha nature nomaaaa🔥🔥🔥
@bukurunestory35406 жыл бұрын
Tangu mwaka 2010 baada ya bongo flava kuchafuliwa na miziki yenye kelele zisizo na maana( noisy meaningless bongoflava) niliachana na miziki ya bongo mazima. Nilibaki na sweety soup of potatoe high voltage reggae sounds. Kwa sasa Mzee baba lao J/nature ananirudisha muziki wa homeland. Big Up sana Nature.
@Basagamp46 жыл бұрын
Kajuma kenyewe ndio Haka😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@philljombs11516 жыл бұрын
Naaam legend
@jonasamos5556 жыл бұрын
Peleka wasafii hi kazi mkongwe
@donmwessa53956 жыл бұрын
Umetisha sana #ChorusKiller #Nature 💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SUPREMEDIGITAL6 жыл бұрын
Mkongwe wa Kazi,Hakika Msitu wa Vinaaaaaaaaaa Gonga like kama unamkubali Nature alafu pitia picha kushoto kwangu Gusa na subscribe
@mandelanelson53005 жыл бұрын
Habari Tv nature anajua sana .
@astantmwakisale96516 жыл бұрын
Ngoma nzito iko sawaaa
@imamumponda2766 жыл бұрын
Mzee baba achana na hizo mambo tena umri ushaenda huo tumrudia muumba
@asherypeter1993 жыл бұрын
Hakika
@labaniwilliam40126 жыл бұрын
hatar sna huyu ndo mfalme wakweli
@mariamuhadi89586 жыл бұрын
Chege anatakiwa aendelee kumuheshimu nature coz ndio mwalimu wake
@kassimrajabu78056 жыл бұрын
Mariamu Hadi true
@NewMan-ei9cf6 жыл бұрын
Mariamu Hadi for-real. Kweli unajua kusikiliza.
@mamuhadi56644 жыл бұрын
Yaan huyu m2 namsikiliza mpaka hv leo maaana ndiyo m2 anaejua kupangalia saut mpaka mashair
@Southafricapolitics6 жыл бұрын
Huyu Manzi anafanana na Nazizi!
@williamalex47926 жыл бұрын
From South Africa mwenywe nilijua amenyoa rasta
@joshuaduya97556 жыл бұрын
From South Africa kiroboto ndo babs lao kwenye gem
@starvista8236 жыл бұрын
Pamoja sana juma nature mazee sherti wote tuendelee kudownload kwa kwenda mbele
@hemedihamisi71706 жыл бұрын
fundii fundii tuu,,👊shida ndo tabu😂
@Me-bv4gc3 жыл бұрын
He still is rocking and looks even much younger sana yaani kama vile ameanza kuimba jana
@fuzildofuzildo53683 жыл бұрын
cina neno faza juma ni noma jamani🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@bigboy85086 жыл бұрын
Huyu Dada amewakilisha!
@legendary.music16 жыл бұрын
Kitu safi sana Kama kalambwanda
@starvista8236 жыл бұрын
Tumechoka kuckia Maigizo ya kutoka kwa rais wa WCB izi ndo kazi sasa
@zureamajuto29496 жыл бұрын
starvstar official kweli iyo
@AbdushakuuAbdushakuu6 жыл бұрын
starvstar official san
@bukurunestory35406 жыл бұрын
Huu ndio mziki sasa, naona nashindwa kusimama na mgu mmoja...hahahaaaa nature huyu.
@yohanayohana28326 жыл бұрын
kiloboto
@vimbele15906 жыл бұрын
Really Bongo is this
@sampaconnector28454 жыл бұрын
Bonge la ngoma!!! Salute mwanangu nature
@petermweri11006 жыл бұрын
haya ndo magomaa bwana, kazi za kikwetu, si kuiga mambo ya ulaya ukisahau soko lako kubwa liko tu hapa east africa, gud job mr
@merryn48916 жыл бұрын
nzur
@lashymreal65556 жыл бұрын
Vitu adimu tulikua tumekumis
@mariamuhadi89586 жыл бұрын
Huyu ndio bingwa wa sauti ktk bongo flava
@tevintevin18846 жыл бұрын
Tz music ...am happy now
@taborastreettv48416 жыл бұрын
Nyota yangu Juma nature umetisha Kaka wewe ndio King nature welcome again
@shabanimdugi68136 жыл бұрын
ulevi huo! aminia nature
@yohanabundala91622 жыл бұрын
Unajua sana we dada, Nature hajakosea kukuweka hapo big Up
@allykassim112010 ай бұрын
big up juma ww ni atali mungu afanye wepesi Mzee bb
@TamuzaKale6 жыл бұрын
Sasa kaka hizo sauti za mwisho umevuta utamu kinoma. Ngoja nafikiria kuindika katika Wikipedia. Hapa nishapata taarifa za msingi ambazo zitasaidia kuiandikia. Kazi nzuri sana, bro!
@Southafricapolitics6 жыл бұрын
Safi sana nyie ndo wadau wa kweli mnaotakiwa kuwapo
@TamuzaKale6 жыл бұрын
From South Africa pamoja sana!
@TamuzaKale6 жыл бұрын
Nishawahi kumcheki siku moja Nature kanijibu shit balaa. Ila nini ujue, nilijua tu haiwezekani kwa sababu wasanii wanasema tu tunawapenda mafans wetu lakini hali halisi hawana lolote. Sisi mafans ndio tunawapenda wasanii wetu ndio maana tunatunga makala chungumzima kuhusu wao. Nimeandika karibia makala 500 za muziki wa Tanzania katika Wikipedia ya Kiswahili. Sasa hivi nishaanza kuandika katika Wikipedia ya Kiingereza..
@Southafricapolitics6 жыл бұрын
Dah! Aisee Pole Sana Hawa Wasanii kinachowaponza ni Dharau! ndo maana wengi wanaanguka na kupotea kabisa! Mzee naonaga sana juhudi zako kujitahidi kuwatangaza tena hasa wasanii waliohit miaka ya mwisho wa 90 na 2000 hapa KZbin, ila Jamaa wenyewe Wanadharau kila mtu! Mfano kipindi hiki Juma Anahitaji Msaada sana hasa kwenye Social Media Kama Hizi, Sasa Ukiwa Na Dharau nani tena atakuwa rafiki!
@TamuzaKale6 жыл бұрын
Kaka we acha tu.. Hawajui nguvu ya maandishi. Kuna vitabu nasoma tangu 1880 huko. Akina W. E. B. Du Bois nimesoma vitabu vyake hatari tupu. Kama maandishi yasingekuwepo, nisingemjua Malcolm X, Martin Luther, Bob Marley na wasanii wengine kibao. Watu waliandika, waliwafuatilia na kuzungumza nao. Wao wanadhani kuimba tu bila taarifa zako kuwepo sehemu ni jambo la msingi. Lazima taarifa zitunze. Aidha kwa kitabu au katika maandishi yoyote yale yenye uhakika wa kudumu japo miaka 100 ndio ulimwengu utakujua..
@amirmotors97356 жыл бұрын
Huyu dada amechana kama msanii mkubwa vile had raha
@lusajo6 жыл бұрын
Amir Mpenike mtaani kuna wasanii wakubwa wengi sana,tatizo ni promo tatizo ni promo
@snawtasnota67086 жыл бұрын
Ni msanii mkubwa ni mbongo Anaishi Denmark huko wazungu wanamfahamu saaaaana
@raymassbusybrainz42986 жыл бұрын
WEST HAM UNITED is well represented here!
@toshort22966 жыл бұрын
Bonge LA ngoma mixer ujumbe salute kiroboto mzee WA rudi nyumbani
@ntawurusigajaphet53356 жыл бұрын
From +257, Burundi kama unamkubali Legend Juma Nature gonga like
@alihijiiddi89776 жыл бұрын
EBWA WEWE HEBU IMBA NA KING LA MABISHOO DUDEJENGINE HAMORAPA TUNAKUMISINI WEWE NA G KING HAMORAPA KUBWA KING LA MABISHOO 😂😂😂😂😂😂😂😰😰😰😰😰😰😰😰❤️
@alvinechacha71916 жыл бұрын
kila niki view natamani kucoment
@rahimajuma6886 жыл бұрын
kokwa 😂😂 la nini la embe ama kazi nzuri baba
@bulletstunnerz40526 жыл бұрын
yani bro hii nimeikubali sana akuna kama wewe kaka hii kubwaaaaa
@PapaTheKingKenya4 жыл бұрын
kutoka kenya napenda juma nature naomba kufanya nae kazi one day hata kama ni verse
@johnkihiyo60906 жыл бұрын
usompenda kaja!! nadhani mwenye mziki kaja wale wabana pua na mashoga pisheni njia tu
@SadickKapasiАй бұрын
Mwamba namkubali tangu nazariwa
@salumdimoso10275 жыл бұрын
Juma hakuna mtu anaejua kutengeneza muziki tz km juma ukita kujua hili ckiliza albamu zake jinsi alivyopangilia uimbaji hongera juma nature fundiiiiiii
@johnvenasa.k.awazamansana80256 жыл бұрын
Mia mia MZEE baba
@fyfh95006 жыл бұрын
Juma nature ni sawa Na Yanga Simba kwani ana mashabiki was maisha daah Mkono wa Sokwe
@dottoalex99186 жыл бұрын
Msitu wa vina unatakiwa kuwa hivyo aina shidah nature mashabiki bado tupo pamoja nawewe yani umetisha sir natureeeeee
@muhidinisuleimani27866 жыл бұрын
kama kalambwanda dingi Yake ........leteee tupeteee kichupa kimetuliaaa