Tunatoa lock.... Wenye mziki wao wamerudi sasa.....Nature Kama nakuona vile kweny fiesta....Touch
@johnmarunda77916 жыл бұрын
Wali mende mchuzi funza .. Kachumbari matango . Ugali nyani .. Mistari yako hatari sir nature .. Toa lock Mzee baba
@mastaplan836 жыл бұрын
Nature hii inakubalika hadi kenya kaka.Msitu wa vina
@feysalhemed50776 жыл бұрын
nakuelewa sana nature kiroboto
@mangiruben6 жыл бұрын
J, tulikua tumekumiss saaana, karibu tena kwa game! ngoma swaaaafi hii
@frankmalela62186 жыл бұрын
Wali mende mchuzi funza kama kalambwanda 🙌🙌👊💥💥
@magigenassor4796 жыл бұрын
Toka enzi za mtoto iddi still mpka kesho bado uko juu once shinning always light mia mia @sir nature
@johnvenasa.k.awazamansana80256 жыл бұрын
Mwenyemuziki wake amenjooo yani amekuja MZEE wamapokopoko manjari maungali wanteteboko
@marcmaxim29306 жыл бұрын
Kwel wanaojua wanajua tu daaaah nyimbo kal kuliko hit zote kwa sasa nawakubal
@accusciusanderson54666 жыл бұрын
hyo chorus ni kali xna mzee baba narudi every time kuckiliza..gonga like twende sambamba
@Harunery6 жыл бұрын
Dully katisha sanaa humu ndani,bro Nature mziki wako wa katuni hautakurudisha kwa gem,km unaimba au kuchana bas fanya kweli,si unaona Dully alivyokubeba,zingatia
@ramsonndege5896 жыл бұрын
hujui wew
@francisdetto6466 жыл бұрын
Wakubwa wa game toka kitambo! Safi sana mwendo wa kutoa lock tuu apa
@husseinmilowe69036 жыл бұрын
juma kassim Mohammed kiloboto, kiblaa matata,sir nature,juma nature,hatariiiiiiiiiiiiiiii
@mortishavida22736 жыл бұрын
Ma Legend wataendelea kuwa ma Legend tuu! Sir Nature +Dully Sykes? Hii ni 🔥 kabisa!! Kama umewaelea likes nyingi basiii jamani!!!!!?
@kaulimbiu1816 жыл бұрын
Goma pasua kichwa hilo. Hata mm nimeamua kutoa lock 🍺🍻🥂🍾🍾🍾
@beesmarttv37926 жыл бұрын
Ngoma kali!! Unaweza ombea mkopo bank
@zedonswaga13986 жыл бұрын
mmekutana wazee wa kazi, kaz nzuri sana
@hatibuhaule46996 жыл бұрын
Nawakubali wote malegentry
@hamzaseifrwambo56576 жыл бұрын
Mamaaaaaah hawa watu wamerudi ..hii si noma sasa,kwa ngomai ilivyokua Kali sijui itakuaje
@godfreytito98236 жыл бұрын
kaz nzur nature, t touch umetisha bonge la biti
@ramsonndege5896 жыл бұрын
namkubali sana nature mimi unajua broo komaa urud kwenye game unaweza kinyama
@stimaonelifetz1386 жыл бұрын
Kwaheri wazamiaji mwenye meli karudi na maneno yake huyp jmaa duhh najua kichina tu
@bonitojo6 жыл бұрын
Dullyyy... Shikamooooooo
@tonyspencer19286 жыл бұрын
Juma yuleeee ndio huyuhapa sasa msitu wa vina
@nassirmohamed86666 жыл бұрын
Nmewakubali wazee wa kazi mmeamua duuh....bonge la ngoma aisee...
@adamkomba4596 жыл бұрын
Kama umesikia SONGEA kutoka kwa dull gonga, like
@yahayaally21926 жыл бұрын
ngoma kali sana ukipata dem lazima atoe lock.
@onesmusmwalesh35906 жыл бұрын
yaaaaaaahhhh dully respek man lov the song.......nature favoryt artist lov the tune......masimba wa mavokolz mumepatana .....lov the song its a mad tune......#toaLokY
@daudijrngwenya49366 жыл бұрын
tisha mkubwa ,,,toa rock tu
@rogermwanawahunda40416 жыл бұрын
Nakubali mzee baba kazi imetulia mwendo wa kutoa lock aweee
@djamanitvonline36236 жыл бұрын
Wayaaaa dudeee laukwelii
@millotv80506 жыл бұрын
Ebanaeeeeh mwenye game kaludi
@masmojree6 жыл бұрын
Chuma kimewakaaaaaa weka like hapa kama we team @Sir_Nature
@josephngonyani3616 жыл бұрын
Masmo Jree natoa rock
@nemesapollo48466 жыл бұрын
Nakubali sana kaz
@SHININGFILMTV6 жыл бұрын
Masmo Jree mje ku subscribe channel yangu kuna vitu vipyaa
@husseinramadhan35156 жыл бұрын
Moto mchibuyu
@abdallahnapinda3196 жыл бұрын
naikubali ngoma mazeeee
@TamuzaKale6 жыл бұрын
Ngoma mumeitendea haki sawa.. Amsha-amsha mwanzo mwenga. Besti! Halafu Dully humu hujazingua kama kwenye Kadamshi... Umechana ile mbaya!
@jumachabai28746 жыл бұрын
Oyaaaaa MV nyerere ishageuka hukuuuuu
@felixochiengomondi61896 жыл бұрын
Sii utani Mimi pia natoa locky.
@ngenzipatrick96166 жыл бұрын
uaaaaaaaaaaaaaaa mzee baba
@maimboathumani33696 жыл бұрын
Mwanangu my brother kabisa nature more fire
@rostermay69626 жыл бұрын
nomaaaa sanaaa
@mwandegeplaza65046 жыл бұрын
Sawa kabisa. Sijutii kuwa shabiki wa Juma
@reubentza6 жыл бұрын
Nasemajeeeeeee!!! Sina cha kusemaaaaa🔐🔓
@geofreykadala6 жыл бұрын
Wenye nbongo fleva yao sasa wamerejea
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Ng'ombe Azeeki maini, good job Ma legendary 👍
@mohamedathuman87136 жыл бұрын
safi Mzee baba Juma kaliiiii
@jaykaris6 жыл бұрын
Hii ni balaaaaaaah kwa mtu yeyote anaeitwa juma gonga like hapa ikianzia na mimi
@kamarat36safari526 жыл бұрын
Congratulations 👏 nice song nice beat Ma Legend, Toeni lock 🔒 🔓tuwaone mmejificha sana, bado mko vizuri na bado tunawaitaji, nxt tuone Sir Nature na Inspector Haroon
Neture hujawah kuwa chini japo ulikaaga chini bila kuimbaga
@husseinkachega4146 жыл бұрын
Ngoma iko pow
@hushbtz33106 жыл бұрын
Chapaaaaaa niya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@princeuzieri45486 жыл бұрын
Kumbe ngoma Qaaaaali
@ramadhanmatelephone75236 жыл бұрын
Nakukubali sir nature
@HasirIX6 жыл бұрын
This is serious kweli....
@manisule76686 жыл бұрын
Hata chuma cha kutu kikisuguliwa hungaa yani full legends ile bongo fleva ndio iyo kachumbari ya matango wataelewa tu #toalock
@sooitslilerick79316 жыл бұрын
hawa wasee wanakuaga na sauti zingine Kali....at list uneza jua ninani bila kuulizia..rep 254
@swimmermoddy32636 жыл бұрын
Nature hujawahi kukoseea
@ernestndauka93016 жыл бұрын
Toka niko Temeke!!! Hadi sasa Mwanza bado nakufagilia kinyama!!! Nakumbuka enzi za Luxury Pub. Kazi kazi mzee baba!!!
@ibrahimmlanzi41876 жыл бұрын
Mamaaaa weeeee duuuh sasa wenye Kazi yao wameamua hatareeee sana
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Ibrahim Mlanzi ngoja tuone vumbiiii mbongo freva
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Wa kale au vijana?
@kimweriramadhani57056 жыл бұрын
duuu najikuta miaka hyoooo
@kedmondkepha77076 жыл бұрын
Ng'ombe hazeeki maini bhan big up sana nature
@ommyclassictz30986 жыл бұрын
duuuuh! mda wote ulikuwapo wap nature
@sekundemaster4606 жыл бұрын
oyaa kibraaa nomaaaa 🔥🔥🔥🔥 tunatoa rock tu shida ndo tabu yani ndo mulemule wanavyotaka wao nomaaaa
@samirnaty87746 жыл бұрын
Respect nature ngoma ya kizazi sana wacha tutoe lock
@pearltz6 жыл бұрын
hawa ndo wenye muziki huu wa bongo asantee saana nature na dully
@dagondidas69666 жыл бұрын
nawakubali xana ma,brothers mmetisha xana yani mambo ni,🔥🔥🔥🔥
@kihanda25546 жыл бұрын
Hongereni sana Wakongwe. Bado mnatia Adabu kwa Wadogo zenu. Mi naielewa sana Colabo hii
@fuadmohamed22046 жыл бұрын
Umetisha sana bro big up dully
@philiposhilingi1026 жыл бұрын
Wenye mziki wanataka nafasi zao pisheni njia wazee wazima wapite #sir nature ft dully
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Philipo Shilingi wamerudi sasa hatariiii
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Music JoJo ,big g pisheni njia
@immahfred21276 жыл бұрын
Hawa jamaa nadhan ndio wanaongoza kwa kua na collabo nyingi big up legendaries
@clementsapanjo91596 жыл бұрын
namkubali dully sykes ile mbayaaaa
@kassimrajabu78056 жыл бұрын
Nimeirudia mara 20....toka enzi za ugali aisee.mimi na ww tu sir Nature.
@hamimumlindwa32446 жыл бұрын
Wimbo mbovu kaka yngu juma muziki umeshakutupa sio lazima wote tuwe wanamuziki. Sasa ni zamu yako kuwa mshangiliaji na wewe
@patriceenos86816 жыл бұрын
Wenye mziki wao haooooo wamerudi mmhhhhhh.......#TOA LOCK
@henrytanji88746 жыл бұрын
Dah bonge la ngoma utakula miguu tu dingi yake firigisi
@dastonamichaels18546 жыл бұрын
Changaa ya alfajiri toka 254
@allymohamed78326 жыл бұрын
Ngoma Kali sana nature umefanya kazi nzur mmekutana wakongwe watupu ila dully kafanya ubaya zaid
@osmanmustafa29256 жыл бұрын
Ayaa mabishoo pisheni njia went mziki wamekuja juu
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Osman Mustafa pisheni music big g, wenye music wao haooo
@josejuma1036 жыл бұрын
Nature nakukubali tangu enzi za nini chanzo ugali ubinadamu kazi hadi saivi nipo BAR NATOA LOKI
@kassimrajabu78056 жыл бұрын
😀😀😀
@boazmtileghe91616 жыл бұрын
Oyooooooooo Kiroboto Sana mzee lete mangoma mengine bro
@suleymansalum61066 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 Hii ngoma sio ya kitoto
@MajaxiFx6 жыл бұрын
Legendary lazma awe legendary tu natoka now fire 🔥 Juma mwenye Asiliyake
@evelynejuvenary60776 жыл бұрын
Kazi iko njema sana
@singinowelnel46566 жыл бұрын
Yes ngoja nitoe lock maana koo lime,,;;;!
@shaibufadhili23326 жыл бұрын
Ngoma Kali iiiii
@nicholausmbilinyi35876 жыл бұрын
watu wanakukubali bado nature...hizo views sio ndogo..ni nyingi sana..cha msingi uje na mfululizo wa ngoma kali kama hii..hii ngoma imesimama kwelikweli
@konamiboyfool5 жыл бұрын
This song should be more famous
@browntiger48496 жыл бұрын
Kali sana
@abdulrahmankanduka19775 жыл бұрын
Ndomana ukaitwa Sr NATURE @em nipeni like twende sawa
@salehemdim5606 жыл бұрын
dulyyyyyyyyyyy umetixhaaaaaaa
@amiriramadhan77536 жыл бұрын
Maninjaaaaaaaaaa salute wazeiyaaaaaaaa
@Nickbrown1276 жыл бұрын
Duuh toa lock..yani mnamainisha wamtoe Magufuli watu wa pate raha.😂😂😂
@hamimumlindwa32446 жыл бұрын
Huu wimbo ukifikisha. View elfu 50 nawanunulia wote mo enegy
@johariabdalla33196 жыл бұрын
achilia mbali elfu 50..huu utakwenda zaidi ya hiyo,song Kali na limekwenda shule Kila idaraaa
@ramspelo92876 жыл бұрын
Chukua mziki wako nature...wadogo zako hawawezi bila kk...
@rosemaiko94056 жыл бұрын
Rams Pelo wao bila kiki hamna mziki
@ramadhankisila4526 жыл бұрын
Kirobotoooooo
@damamapasscall91376 жыл бұрын
Ndio mkuu
@dulaboy8316 жыл бұрын
Imekubalika hio juma nature na dully ngona baridi kabisa
@setyurgaolshigher14776 жыл бұрын
Nature nature!!tatu tatu
@mariamuhadi89586 жыл бұрын
Huyu hata akikisifia kijiti utamkubali tu nature anajua sana na hakuna bwege anaeweza kumkaribia