Juma Ubao "King Makusa" - Kipini cha dhahabu na mpunga wa kisele...

  Рет қаралды 9,452

MUZIKI NA WANAMUZIKI

MUZIKI NA WANAMUZIKI

Күн бұрын

MUZIKI NA WANAMUZIKI ni chaneli inayokupa habari za muziki na wanamuziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kwanza subscribe hapa / @muzikinawanamuziki ili usipitwe na habari yoyote tutakayoitundika hapa. Pia tembelea hapa www.freshjumbe.com kwa video zaidi. Tofauti na chaneli nyingine zinazokupa habari za aina moja tu ya muziki au wanamuziki, MUZIKI NA WANAMUZIKI inakupa habari za muziki wa Kiswahili wa aina tezo na wanamuziki wa aina zote. Kuanzia MUZIKI WA DANSI, Taarab, Bongo Fleva, Singeli na hata ngoma za utamaduni pamoja na habari za wanamuziki wa miziki hiyo. Ndiyo maana tunaitwa MUZIKI NA WANAMUZIKI. Hatuchagui, hatubagui. Ni matumaini yetu kwamba utaburudika na kuelimika vya kutosha. Jisikie huru ku-Subscribe, ku-like na kutoa maoni au maombi yangu. Nasi tunakuahidi kuwa tutasoma kila ujumbe, maoni na maombi ya wote ambayo yatahitajika kujibiwa.
Ili uweze kupata kila habari tunayoiweka hapa pamoja nyingine muhimu, tafadhali tembelea links zetu hizi hapa chini:
MUZIKI NA WANAMUZIKI:
/ @muzikinawanamuziki
Kwa habari zaidi za muziki wa Dansi:
Fresh Jumbe KZbin
/ freshjmw
Adam Zuberi Facebook
www.facebook.c....
Fresh Jumbe Facebook
/ akida.mtwana
Website
freshjumbe.com/

Пікірлер: 10
@MwajanjaPaul
@MwajanjaPaul Ай бұрын
ujumbe kamili
@friminershayo5325
@friminershayo5325 2 жыл бұрын
Very good memorie Good 👍 massage
@AliAli-lf4rq
@AliAli-lf4rq Жыл бұрын
Mim napendekeza zamani nyimbo jibu nimuokoe nani
@MwajanjaPaul
@MwajanjaPaul Ай бұрын
nimependa sana
@ramadhanichibongo3403
@ramadhanichibongo3403 3 жыл бұрын
Vizuri saana wazee wetu
@ajubaoenter10
@ajubaoenter10 Жыл бұрын
I miss u dad Allah akupe kaul thabeet inshaallah 😢😢
@phillipmakwinje9525
@phillipmakwinje9525 3 жыл бұрын
ba. akina gaston kabata wa kwetu huyu rip
@CalmCricket-bg6se
@CalmCricket-bg6se 6 ай бұрын
Ulikuwa wp. Wkt huo.?
@fredylucas2484
@fredylucas2484 4 ай бұрын
Umeshakula mpunga wa kisele weye
@mayazamzam7274
@mayazamzam7274 3 жыл бұрын
Jimmy Wood uko wapi?
Monrovia, Liberia in 2024
20:35
Liberian TV Network
Рет қаралды 1,3 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 131 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 73 МЛН
Juma Mrisho & Urafiki Jazz Band - Kwa Mjomba
6:39
Power Nguzo
Рет қаралды 77 М.
Mwana DSM
12:31
African Stars Band - Topic
Рет қаралды 28 М.
Wimbo 'ASHA BORA' wa Sikinde I Mtunzi asema ilikuwa ni Stori ya kweli
19:24
MUZIKI NA WANAMUZIKI
Рет қаралды 6 М.
SEVEN SURVIVOR : NYUMBA YA URITHI
10:25
MNANDA NON STOP
Рет қаралды 11 М.
Rangi ya Chungwa
9:11
Bongo Records
Рет қаралды 83 М.
Dr. Sikiru Ayinde Barrister - Adieu M.K.O.  Abiola
1:08:44
Aare Dr Sikiru Ayinde Balogun
Рет қаралды 273 М.
MASOUD MASOUD : NGURUMO HAKUWA VILE / WATANGAZAJI HAWASOMI
23:15
Gangana Info Channel
Рет қаралды 86 М.
DDC Mlimani Park - Hapendeki
7:30
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 53 М.
akimmmich & bimo - QAITADAN BASTAMA| lyric video
2:38
akimmmich
Рет қаралды 540 М.
Bones - White Boy Rick (DIEEZ & MANNONOV REMIX)
7:13
Dj Valka
Рет қаралды 1,4 МЛН
JENNIE - Mantra (Official Music Video)
2:28
JENNIE
Рет қаралды 60 МЛН
Jaloliddin Ahmadaliyev - Shunday o'tib ketmasmiz (audio 2024)
2:51
Jaloliddin Ahmadaliyev
Рет қаралды 10 МЛН
Bagalau
3:29
Әсет Есжан - Topic
Рет қаралды 323 М.
Betsy, Мария Янковская - Сигма Бой (official Audio)
2:15
Amre - Күзгі қайың
3:00
Amre Official
Рет қаралды 341 М.