Juma Ubao King Makusa: Wanamuziki jifunzeni kupiga vyombo/Pia mjifunze kuimba LIVE na muache matus..

  Рет қаралды 7,825

MUZIKI NA WANAMUZIKI

MUZIKI NA WANAMUZIKI

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@BiliGraham-he7qo
@BiliGraham-he7qo 3 ай бұрын
Nimependa mziki huuu
@Msangasenior-lq2uo
@Msangasenior-lq2uo 8 ай бұрын
King makusa"ktk Tungo yangu Bora zaidi"
@kitoto8
@kitoto8 4 жыл бұрын
Fikra nzuri sana. Nimezipigia kelele dhana hizi miaka mingi ktk safu zangu. Uvivu wa kutotaka kujifunza vyombo au nadharia na ufundi mzima wa muziki...haupo tu Afrika Mashariki...pia baadhi ya wasanii vijana nchi zilizoendelea. Hata hivyo zimeenea zaidi kwetu kutokana na udhaifu wa tasnia ya elimu sanaa kijumla. Lakini mambo yatabadilika tu hatumaye. ....
@charleslutambi5786
@charleslutambi5786 Жыл бұрын
😅😮
@aminamwanasali1056
@aminamwanasali1056 3 жыл бұрын
Aisee!Acha kabisa Kuna watu Mwenyezi Mungu amewajaalia vipaji.Kibao kizuri Sana hiki kuanzia maneno Hadi upigaji wa vyombo.
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
Juma Ubao you will be remembered for what you have done in our music's.
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana, hongera sana bwana Adam
@johncyridion9521
@johncyridion9521 4 ай бұрын
Kingmakusa mànodibango ivorycost
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Naobamunifahamishe naipataje hiyo CD
@rashidmpumu7006
@rashidmpumu7006 3 жыл бұрын
King makusa juma ubao ongera ulisimama imara na biashara jazz
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Hatarii sana ni taaluma ya hali ya juu
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Jamani rahaaaa tunaoba utupigie wimbo wote
@jimmymakwega3872
@jimmymakwega3872 Жыл бұрын
Ndugu yangu hizi nyimbo tutazipataje, au tutazipata wapi japo tuzisikilize tuu
@kwasimutokalondon-nafreddy5278
@kwasimutokalondon-nafreddy5278 4 жыл бұрын
Mahojiano mazuri. Ila wasanii tuna jukumu la kukikuuza na kukidumisha Kiswahili. Lugha ya Kiswahili inajitosheleza yenyewe kimsamiati. Hakuna haja ya kupachika pachika maneno ya Kiingereza...bila sababu. Neno ' title' ni ' jina la kazi' ....( kiwe kitabu, wimbo, nk) na tunaweza kutumia : ' Kichwa cha maneno' , ' kichwa cha habari' ' jina ', 'kichwa cha wimbo', nk.
@MUZIKINAWANAMUZIKI
@MUZIKINAWANAMUZIKI 4 жыл бұрын
Una maana King Makusa ndio amechanganya lugha au una maana gani?
@patrickkagito3376
@patrickkagito3376 3 жыл бұрын
Tunaomba wimbo wa posa ntaleta uwekwe you tube usichanganyike na sauti nyingine za mahojiano na mtunzi wa wimbo huu.wimbo huu nifundisho kwa jamii
@abillahmohamedi5736
@abillahmohamedi5736 3 жыл бұрын
Huu ndiyo Muziki
@robertmachogu4385
@robertmachogu4385 2 жыл бұрын
Ushauri mzuri ila bwana tupatie uhondo kwa KZbin ili tuufurahie
@geofreymongi5403
@geofreymongi5403 2 жыл бұрын
Mahojiano ni mazuri maudhui mazuri ila piga wimbo wote
@mayagilokasuka2394
@mayagilokasuka2394 3 жыл бұрын
Kibao hiki kilipiwa na bendi gani
@MUZIKINAWANAMUZIKI
@MUZIKINAWANAMUZIKI 3 жыл бұрын
Biashara Jazz
@patrickkagito3376
@patrickkagito3376 3 жыл бұрын
@@MUZIKINAWANAMUZIKI powa ntaleta
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Ninaupendasana huu mwimbo nitaupataje nisaidie
@khalifasaid7695
@khalifasaid7695 2 жыл бұрын
"King Makusa" mana yake ni kwamba huyu Juma Ubao alijifundisha zana zote ili ikiwa mpigani chombo hakuja kazini basi yeye Juma Ubao anapiga chombo hicho.kwa hiyo "amekusanya" ujuzi wa vyombo ndo ikawa king makusa kwa kifupi.
@edwinmoses1897
@edwinmoses1897 2 жыл бұрын
Hatutaki story tunataka nyimbo tusikilize hayo hatuyataki
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
you need to conduct training to our people on how the music has to be undertaken using various apparatus
@edwinmoses1897
@edwinmoses1897 2 жыл бұрын
Pigeni nyimbo tusikilize
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 22 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Как не носить с собой вещи
00:31
Miracle
Рет қаралды 1,7 МЛН
Dr. Sikiru Ayinde Barrister - Adieu M.K.O.  Abiola
1:08:44
Aare Dr Sikiru Ayinde Balogun
Рет қаралды 273 М.
Juma Ubao "King Makusa" - Kipini cha dhahabu na mpunga wa kisele...
23:28
MUZIKI NA WANAMUZIKI
Рет қаралды 9 М.
Mziki wa dansi -zilipendwa -Nutta Mwandani
7:07
Eddie Nassor
Рет қаралды 3,1 М.
Ebenezer Obey- Ota Mi Dehin Lehin Mi
19:09
Olatokunbo Daramola, Jr.
Рет қаралды 3,2 МЛН
SHINA PETERS - ACE AFRO JUJU SERIES 1 (FULL VIDEOCLIP)
35:08
TTAIWO PRODUCTION
Рет қаралды 523 М.
Sikiru Ayinde Barrister - Reality
21:30
Majestic Africa TV
Рет қаралды 117 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН