Asnt san ustadh juma fakih hii kaswid siku nying wallah naitaman nikiisach sion allah akuengezee kher brooh umefany jambo la busar san kutuekea youtube
@fatmadamasi6880Ай бұрын
Mashaallah barakallah fiykum❤❤
@ukhtyshunuu77232 ай бұрын
Asante kwa kutukumbushia enzi zile❤❤ kaka JFO.....
@Othmansaid-b5x2 ай бұрын
Kwa hima tumswalie mtume wetu nabia shukran.
@AishaFaraji-de9el2 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@IbweJunior2 ай бұрын
Oooh qaswida hii nliikua naitafta kwa hamu😂pendya shaanaa iiiii😂😂❤❤❤
@khamismachano54632 ай бұрын
Watu wa 90,s tulifaidi sana, Ma shaa Allah. AQAZ mnaifanyia haki sana tasnia ya Qaswida Zanzibar na ukanda wa Africa
@HidayaOmar-l4k2 ай бұрын
Uko vizuri sana wewe fakih una sauti nzuri sana kama juma fakih mkikaa pamoja mnapendeza sana kwa sababu sauti zenu ni boraaa sana na zinavutia sana ni sauti za almasi mashaallah mashaallah ❤❤❤❤
@jumashaali12682 ай бұрын
Allah awabariki
@binamubinamu11512 ай бұрын
kijana asaiv unajuwa kutushika wanao maana huku ndio home skiliza kinanda na sauty ya almost iyoo mashallah enzi zile ❤❤❤ kwa AQAZ