Mashaallah tabaraka llah qaswida nzri Allah akujaalie kila lakher inshaallah 🤲🤲🥰
@jumafaki169717 күн бұрын
Aamin nawewe piaa
@zakati739317 күн бұрын
@jumafaki1697 shukran lakum 🙏
@FATMASULTAN-j2p18 күн бұрын
Maashaa Allaah ladha tam km asali Allaah akuzidishie kipaj😘 cku ya haruc yang lazim nikuite inshaa Allaah nakupend san ust wang.. ❤ big up✊💯
@MabrouqkomboJuma-l5b18 күн бұрын
Aqaz haijawah kuachia kazi mbay ap tunajiandaa kwa tarehe 17 inshaallah mwez wa 1 maalim Juma akafanye makubwa kwnye harus ya mwanafunz kipenz wa AQAZ STAR
@jumafaki169717 күн бұрын
Inshaa Allah
@MabrouqkomboJuma-l5b17 күн бұрын
Maalim kun qaswida ya kadiria ulisoma ww ilkuw ni siku ya uzinduz wa ulamaa mbna you tube haipatkan @@jumafaki1697
@mzulamwadini827716 күн бұрын
Tutambeni Wana familia Tutambeni Ndoa Imekuwa Mashallah Sheikh Juma Ni Kazi Nzurii Sanaa Hii. Allah Akulinde Na Husda Za Majini Na Wanadamu Nimeenda Sanàa Kazi Yako❤❤❤❤
@Haji-yr9db18 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 mashallah mungu azid kukikuza kipaji chako insha llah
@FaudhiaJuma-r3f16 күн бұрын
Masha Allah ❤❤❤❤❤ juma fakk nakupenda sana pamoja na qswd zako wallah Allah akujaalie kher na baraka katika mwaka mpy 2025🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏
@Faidha-e7j10 күн бұрын
Mashaallah juma mngu akuweke miaka mingi inshaallah taghallah
@SabeehaSaleh-sg8qj17 күн бұрын
Mashaalla ust juma nakufatilia nipo oman hadi wtt wangu Sasa wanapenda kasida za kisw hongera umeitendea haki 👏
@jumafaki169717 күн бұрын
Asante sana
@hafidhbakari722818 күн бұрын
Ustdh juma faki inshaallah mungu akuhifadhi unatisha ila mm ntakualika kwenye harusi yangu ya mke wa nne tena kibao safi unitolee kuna watu hawataki wenza
@jumafaki169718 күн бұрын
Asante Itabidi nijipange kwelikweli
@zubedahassan495018 күн бұрын
Kaswida Nzur na Shughuli ikawa nzur pia MashaAllah,,, Allah akupe kila lenye keri na ww Mwalim juma!
@jumafaki169718 күн бұрын
Aaamin Shukran sana
@NasmaMohamed-f8z17 күн бұрын
Mashaallah sheikh Huna baya Allah akuzidishie kipaji chako inshaallah
@IdrissaHaji-x1v18 күн бұрын
Mwalimu juma kaz nzuri san❤❤❤❤kaswida nzuri san imependa hii kaswida❤❤
@CikeTanzania16 күн бұрын
MashaaAllah mmetisha sana nzuri qasida.❤❤
@SityMommed3 күн бұрын
Natamani niko n uzo harus yngu mje kuniambia kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😢😢
@jumafaki16973 күн бұрын
Karibuu
@IshaqaSaleh18 күн бұрын
NDOA NI SAFARI mashallah mwalim juma huna dogo izi njia waziwek popt dah! Ichi kipaj cha kuzaliwa kwa kwel💯
@jumafaki169718 күн бұрын
Dah mwalim hii ni yakawaida tu
@Mumewangu13 күн бұрын
Umetisha kaka
@AishaMohamed-kv2te16 күн бұрын
MashaAllah❤
@AliSaid-fi7jr18 күн бұрын
Kila cku zikienda mbele maalim juma anazd kufanya vittahh vikubwa sana Masha Allah huna mpizan mpk sasa bingwa
@jumafaki169717 күн бұрын
Asante sana Bingwa wangu Huna baya
@AliSaid-fi7jr17 күн бұрын
@jumafaki1697 shukran ila huo ndio ukwel na usio pingik rais cjui hizi qaswda haxion ila akijichanganya kuangalia cku 1 clip ndogo tu ya sek 10 ahhh amekwisha lzm uitwe ikulu Kwa chakula Cha mchana
@AjawilaKwezi17 күн бұрын
Mashaallah ♥️♥️♥️♥️ Allah akuzidishie kipaji insha'Allah 🙏
@MohDSilimaOmar-c5v18 күн бұрын
masha Allah umetisha hapa kiongoz good work ndoa io
@Othmansaid-b5x18 күн бұрын
Kazi mzuri shukrani mwalim juma uhongere sana.
@jumafaki169717 күн бұрын
Asante sana Bingwaa
@Coutinho_11217 күн бұрын
Mwalimu pokea baraka zangu za kuuanza mwaka mpya 2025🙌🔥🥺
@zuleikhakhamis330318 күн бұрын
Ndoa ni faghari ukimpata akupendae🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@rukiakassim989415 күн бұрын
Mashallah Juma Fakii ,,huna baya qaswida zako ajab mashallah ❤❤❤❤❤
@jumafaki169715 күн бұрын
Mashallah Asante sana
@mohdmbarouk811618 күн бұрын
Mashallah juma faki allah akuzidishie zaid kipaji chako
@Faidha-e7j10 күн бұрын
nawapendeni sana akaz
@ASYASULEIMAN-vs2xq18 күн бұрын
❤mashallah ustadh juma faki nitakualika harusi yangu inshaallah😂🎉🎉🎉❤
@jumafaki169718 күн бұрын
😃😃😃
@Mwanaisha-ks7kw18 күн бұрын
Mashaallah mola akuzdishie
@kimwanachangani392218 күн бұрын
Maa Shaa Allah ustadh juma faki tabaaraka llahu
@allyissa274415 күн бұрын
Mwalim jumaa ☺️☺️☺️wewee Ni nomaa
@jumafaki169715 күн бұрын
Duuh 😀😀😀 Kiongozi asante tunawaibia mambo yenu hayoo
@allyissa274415 күн бұрын
@jumafaki1697 Hhhhh maaalim wewe ndo kiongoz wetu na hodari wetu wa haya mambo
@IdrissaHaji-x1v18 күн бұрын
Umeupiga mwigi sana mwalimu juma❤❤❤
@jumafaki169717 күн бұрын
Asante sanaa
@khulaydkhamis375318 күн бұрын
Mashallah mwalim mmeninyima lkn poa tu mwalim wangu kaz ya kwenda tu ❤❤
@jumafaki169717 күн бұрын
Duh jimboni kwako hapo
@JamilaOmary-m5x16 күн бұрын
Mashallah mashallah ❤️ ♥️ ❤
@HusnaJuma-d4w17 күн бұрын
Masha Allah
@UwesuMlawa15 күн бұрын
ماااااااااااشاءالله
@seifharas52717 күн бұрын
Juma fakii.❤❤
@faudhiammary125717 күн бұрын
mashaalah
@kanaliomar741318 күн бұрын
Mashaallah kijana najiona
@Mwanasha-d9g17 күн бұрын
Maashaallah
@AbuuSwafwan4 күн бұрын
Mm nauliza ule utaratibu wakutoa Albamu mpya kila mwaka Mpya imekaaje?
@amourmussa835818 күн бұрын
Nam nam shekh
@HusnaSoud-d9f18 күн бұрын
Nakuona kanall
@MoYussuph-m1w18 күн бұрын
🔥🔥
@fatmaibrahim920918 күн бұрын
Kutungiwa kaswida bei gani
@jumafaki169717 күн бұрын
0777081815
@zumemooha650417 күн бұрын
Nakukubali wewe na FAKY
@jumafaki169717 күн бұрын
Asante sana kwa kutusapot
@saadaliy397918 күн бұрын
❤❤❤❤
@Alomatv-b2418 күн бұрын
Umeupga mwing kama young mwalimu mashallah
@jumafaki169717 күн бұрын
Duh hhhh asante mwalimu
@HappyhappyEnock20 сағат бұрын
Ongera sana kaka juma mungu azidi kukubariki
@jumafaki169719 сағат бұрын
Aamin nawewe piaa
@AliSaid-fi7jr18 күн бұрын
Maalim juma Apoo kk khulayd hajapata mkwe kweli kma japo mama wa 2 hawez kupata 😅
@jumafaki169717 күн бұрын
🤣🤣🤣
@Waziyr18 күн бұрын
Au n tumbatu jongowe
@jumafaki169718 күн бұрын
Jongoe hiyo
@KhamisOthmanjuma17 күн бұрын
Shekh tunataka marejeo au ishatok
@haidar43818 күн бұрын
Fundiiii, Fundiiiiii, Fundiiiiii 🎉🎉🎉
@AbdullahAbdullahhajji18 күн бұрын
Mbona kijana vitaa vyako vikubwa mno hatarii
@KhamisJr-g6m11 күн бұрын
Hv yale maulidi ya aqaz ya Kila mwaka yamekufa? Pia mwaka juzi nimeziona clips kuwa watatoa albam mpya mpka sasa sikuiyona je nayo vp?
@masoudrashidmohammed412418 күн бұрын
Atakae amua hii vita mm simjui ila naona hatariiiiii tupu mbele yng.