JUSTINE KESSY |SIMBA TAFUTENI KOCHA| PACOME NI ZAIDI YA CHAMA|ACHENI PROPAGANDA WACHEZAJI WAMECHOKA

  Рет қаралды 75,317

HOME MEDIA

HOME MEDIA

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SIMU MUDA HUU
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
0753393036
0625466848
0679393030
ZOTE ZINAPATIKANA WHATSAPP
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
INSTA; Homemediatz
TIKTOK; homemediatz
FACEBOOK; homemediatz

Пікірлер: 68
@relaxstarman
@relaxstarman 10 ай бұрын
Mimi shabiki wa simba ila pakome hatari ndio katuuwa
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 10 ай бұрын
YANGA FITNESS YAO IPO JUUU SAANA.....
@josephatn5040
@josephatn5040 10 ай бұрын
Duh jamaa ni hatari. Miezi miwili iliyopita alisema kocha wa Simba hafikishi Desemba, na kweli leo trh 7 Novemba kafukuzwa!!. Duh!!
@elibarikitallas9680
@elibarikitallas9680 10 ай бұрын
Braza upo vzr kk big up sn
@DUL69
@DUL69 10 ай бұрын
SIMBA tatizo siyo KOCHA tatizo WACHEZAJI. Wamechoka na wanajirudia walewale kila Mechi.
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 10 ай бұрын
Kuna BAADHI ya wachezaji WA Simba SC.. WAMESHACHOKA MNOOO.. PIA KUNA WENGINE HAWAPO SIRIOUS SANA.. INONGA AJITATHIMINI..
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 10 ай бұрын
hayo maneno mbona hujasema kabla ya mechi nyie wachambuz wa baada y mechi inafaa mupuuzwe kwa masirah y club ye2. SIMBA NGUVU MOJA ❤️❤️❤️
@nasraniko-mr2lv
@nasraniko-mr2lv 10 ай бұрын
Hapana huyu baba alifanya interview mwezi wa kumi na alisema kwamba simba ata kufa siku ya November5 ipo hiyo we itafuta utaiyona SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 10 ай бұрын
Hujamfatilia ndo maana unasema hivyo alishaongea mda tu hapo anaongelea mchezo
@DenisiSanga
@DenisiSanga 10 ай бұрын
Alisema miezi miwili iliyopita kubwa robatn
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 10 ай бұрын
Umri kaka simba inawazee inaamini wazee wanaweza yanga inaamini kwenye vijana. Robertinho si kocha wa kisasa mbinu zake za kizamani. Matege yake mazito sana.
@maase2023
@maase2023 10 ай бұрын
Kufungwa 5 si ajabu kwa mpira acheni ushamba! Barca alifungwa 5 na hata brazil ilipigwa 7 na ujerumani ni mpira kuzidiwa tu ni jambo la kawaoda
@user-hk2om2ef7m
@user-hk2om2ef7m 10 ай бұрын
Huyu mwamba yuko sahihi
@bihogorakaroli9691
@bihogorakaroli9691 10 ай бұрын
kaka unajua mpira sana umeongea pointi sana
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 10 ай бұрын
Yanga wanakocha Hakurupuki kumpanga MCHEZAJI.....
@amaniomar1755
@amaniomar1755 10 ай бұрын
Hataki kumharibia mchezaji career yake ndio maana Skudu anacheza kama 15 - 20 minutes.
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 10 ай бұрын
Mi naona Simba ina wachezaji wazee ni majina tu tena no. Mhimu sana
@williamkabulwa9106
@williamkabulwa9106 10 ай бұрын
Duu! Timu zote ni bora ila Gamondi kawazidi mbinu za kiufundi ndio maana yanga imeshinda hizo goli zote tano.
@vaxminja9053
@vaxminja9053 10 ай бұрын
Simba walijiamini kupita maelezo
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 10 ай бұрын
Umetembea juu ya maneno yako Bro,Robertinho ameshatupiwa virago Leo tar 07/11/2023
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 10 ай бұрын
Jamaa anaongea kama anasoma mahali fulani!
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 10 ай бұрын
😂😂 Mpaka Mseme Kama kweli Mumesajili kwa BIL.3 au ............. CAF pia walidhihirisha juzi tu Ipi timu bora... Kwenye nchi ya Mama......
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 10 ай бұрын
Ni shabiki kama alivyo shabiki mwengine yoyote wavijiweni hakuna mchambuzi hapo
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 10 ай бұрын
🔥🔥🔥
@beatusmtui507
@beatusmtui507 10 ай бұрын
Bro kessy nataka kujua ni kessy ya wapiiiiii maana umenifanya nicheke haswaaaa. Aika mbee kanyi
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 10 ай бұрын
EAST AFRICA RADIO
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
wee wasifie kila kitu leo siku wakifungwa tu utawaponda hao hao
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 10 ай бұрын
SIMBA NGUVU MOJA ❤❤
@MwajumaJohn-my6gt
@MwajumaJohn-my6gt 9 ай бұрын
😂😂😂
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 10 ай бұрын
Brother tatizo liko kwa wachezaji,kwanza asilimia kubwa muda wao wa kucheza uliishaisha,na wanaokaa bench wengi wamesajiliwa magarasa,sasa mnamtaka Robertinho afanye nini ? Hata hakija huyo Mugunda mnaomlilia,au kocha huyo mpya huyo wa kusadikikika akija kwa wachezaji hawa wa Simba,ataendelea kufungwa.Ushauri wangu sajilini wachezaji,wanaoeleweka,wanaojua moira lakini,bado hakuna kocha asifungwa
@athuman7480
@athuman7480 10 ай бұрын
We nawe unakalili kwaiyo kwaiyo simba hajwai kuchukua ubingwa akiwa kafungwa na yanga
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
2012 simba 5 yanga 0
@conjestarsamwel
@conjestarsamwel 10 ай бұрын
Simba kiukweli tuombe Mungu atupatie viongozi waaminifu,
@sospetershijah5619
@sospetershijah5619 10 ай бұрын
Jamaa akiongea vitu vinakuwa hivyo 😂 na ni kweli Yanga yupo top 5 timu bora Africa duh 😂
@hanifamziray277
@hanifamziray277 10 ай бұрын
Yanga ina vijana wana pumzi kubwa na mbio sio simba wamejaza wazee
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 10 ай бұрын
Mama anajuwa ndiyo maana anawaga ndege wananchi
@michaelmsambusi9287
@michaelmsambusi9287 10 ай бұрын
Kijani oyeeeeeeeeeeeeeeee
@katushabedotto2883
@katushabedotto2883 10 ай бұрын
🖐️🖐️🖐️💚💛💚
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 10 ай бұрын
😂😂😂😂 mchambuzi wa mchongo msimu jana yanga alipigwa na simba na akawa bingwa
@amanafi1288
@amanafi1288 10 ай бұрын
Aliyesikia Gamond pale kikosi cha Yanga kaja kufanya nywiii...
@masukuziramadhani9341
@masukuziramadhani9341 10 ай бұрын
Sio lisaa ni saa moja
@jceematrix9340
@jceematrix9340 10 ай бұрын
😁😁😁😁😁 Pacome mwamba Zouzoua
@kaisarimbisso5011
@kaisarimbisso5011 10 ай бұрын
Huyu jamaa anajua football
@rajabumwarabu9092
@rajabumwarabu9092 10 ай бұрын
Tatizo ni mfumo wa kocha mbovu Simba ni Bora chama ni Bora kuloko yoyote
@DakiaNzunda
@DakiaNzunda 10 ай бұрын
Simba badala ya kusajili wachezaji inasajili waganga.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
BABU YAKO YULE MWANGA KASAJILIWA PIA
@MaryJohn-bt5fe
@MaryJohn-bt5fe 10 ай бұрын
🤣😂🤣😅😅🤣
@SaidRJohn
@SaidRJohn 10 ай бұрын
Wambie simba wasikie waache zalau
@shefatiakeleye897
@shefatiakeleye897 10 ай бұрын
Wewe jamaa kiboko unaujua mpira.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 10 ай бұрын
Mbona mnatwambie hivi sasa yuko wa Tatu kumbe uongo mtupu
@samwelthomas-n7n
@samwelthomas-n7n 6 ай бұрын
Nafuatilia mazungumzo yako au uchambuzi wako sindano ya ukweli
@user-vw2pr7wm8u
@user-vw2pr7wm8u 10 ай бұрын
Msituingize huko kocha ni mzuri
@josephatn5040
@josephatn5040 10 ай бұрын
Haya sasa kocha kafukuzwa!!!
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 10 ай бұрын
Huyu kibakuli anaongea nini?wewe k tu hujui lolote wakati tunazifunga hizo timu zenu mbona ulikaa kmya mjinga wewe hujitambui
@josephatn5040
@josephatn5040 10 ай бұрын
Haya sasa kocha kafukuzwa bado ni mjinga?!!!!!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
​@@josephatn5040KWANI COCHA NDIO ANAECHEZA??
@josephatn5040
@josephatn5040 10 ай бұрын
@@salimmalaka256 Kwanini timu zina makocha?. Makocha wanafundisha mbinu za mchezo kabla ya kuingia uwanjani na wakati mchezo unachezwa. Kama kocha hawezi kufundisha mbinu mpya kulingana na wakati, siye kocha mzuri.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
@@josephatn5040 KUFUNGWA TIMU NI KAWAIDA TU LAKINI HUWEZI MFUKUZA COCHA KWA KUKOSA MATOKEO YA MECHI MOJA TU.
@abdallahsued9266
@abdallahsued9266 10 ай бұрын
We ni mwehu
@BenidiusMuganyizi
@BenidiusMuganyizi 10 ай бұрын
Alisema top 5 ukasema mweu sasa ya 4
@BINRESAMUSTAFA-kg2hr
@BINRESAMUSTAFA-kg2hr 10 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅
@RashidiWhite
@RashidiWhite 10 ай бұрын
Mjingaa huyoo Koch's stoked utamlipa wewe huyu na huyoo
@telkilo1240
@telkilo1240 10 ай бұрын
nabado amja sema
@habibahalidi7597
@habibahalidi7597 10 ай бұрын
Licha ya kuchambua vizr lkn wewe unaonyesha ni shabiki wa yanga😂
@MaryJohn-bt5fe
@MaryJohn-bt5fe 10 ай бұрын
Huyu ni yanga kabisa
@rashidnagasangula2032
@rashidnagasangula2032 10 ай бұрын
Na Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye washabiki wa team mbili tu hivyo huwezi kumpata shabiki ambae sio Simba wala Yanga.
@gwakisamwakambulwe2491
@gwakisamwakambulwe2491 10 ай бұрын
The way anavyoongea inaonesha ni shabiki wa Yanga
@MaryJohn-bt5fe
@MaryJohn-bt5fe 10 ай бұрын
Ni yanga
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 14 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,9 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /38/ #love
26:23
BabaJoan
Рет қаралды 61 М.