Рет қаралды 31,810
Swala la Jux kupata mtoto limekua stori kubwa pia kwa Msanii wa RNB Jux African Boy, katika interview hii, Jux amemaliza utata wa swali la kwanini hakuwa kupata mtoto na Ex zake wote, Jackie, Vanessa Mdee wala Karen!
Tazama full interview ya Jux hapa
Subscribe, Like, Comment & Share