Wadada mnajua kukimbilia ndoa lkn kujua kupika ndio shida..😂😂 Mjiandae kupoteza ndoa kila siku
Пікірлер: 709
@nitunda Жыл бұрын
Duh;Wapo wengi sana hao kwenye maisha yetu na ukichunguza vizuri historia zao nyuma ni uvivu kila kitu mpaka wafanyiwe🇨🇩🇹🇿🇰🇪🇧🇮🔥
@mohamedshah1700 Жыл бұрын
Mitoto aifanyi kazi kila kitu mdada wa kazi
@nasramsomalizulkhan4741 Жыл бұрын
Bonyeza 👇 kzbin.info/www/bejne/aX62pIqdiLurg5Y
@meshaki-rt4gn2 ай бұрын
😅
@malakimoses6115 Жыл бұрын
😂😂😂😂 nimecheka Sana mpaka mbavu zinauma aise joti next level kwenye comedy
@gerysongratian Жыл бұрын
Leo ndo nmeona walaka wa Aman uliowafanya wayahd washindwe kula na kunywa wakati ule😂😂
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@chameleoncorpesprit2986 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@wakembetajaphary6006 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 in bahat bukuku voice
@annamlawa Жыл бұрын
Nyie kunawatu mnamaneno😂😂🙌
@JoyceMaimu-if4sj Жыл бұрын
Hahaha jamani
@ericajoseph548124 күн бұрын
Nimeingia kwenye ndoa sababu ya mapenzi tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@veronicapascal1485 Жыл бұрын
Joti unajua sana na hawa unaoekti nao wapewe tuzo pia maana wanajua kuvaa huusika hadi Raha👏
@wardamarungu2478 Жыл бұрын
Kama hyo mjombaa na mama mkwe aiseee nomaaa
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Nawaza tu ile tuzo yetu ilifata nini kuleee kwa Mr mwanya 🤣🤣🤣😂😂 huyu mwamba ni komedy wa miaka yote kwangu
@kawanga0073 Жыл бұрын
Alichomzid Macho labda yale ya kulegea 😂😂😂😂
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
@@kawanga0073 🤣🤣
@aishabakari7362 Жыл бұрын
Masikini huyu kaka anajitaidi kweli Joti ww ndio best comedy
@rashidimrang3463 Жыл бұрын
Leo nimekuwa wa kwanz jaman naombeni laiki zenu tunao mkubali joti 😂😂na nawatkieni ijumaa lmubaraka kwa wote🙏🙏
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@angelimbisee1735 Жыл бұрын
Waoooo
@anithamwambola9292 Жыл бұрын
Suzy nimempenda yuko serious na kufundisha
@Sokomoko13 Жыл бұрын
ila joti bwana eti ni mjomba au kenge 🙌🏾😃
@michaelrambo6207 Жыл бұрын
Fridge tena wakat mwanzon umesema umeme akuna😂😂😂
@jskconceptscreativity1575 Жыл бұрын
Fridge halipozii
@thengejunior8180 Жыл бұрын
Kiboga hii ni story ya kweli kuna mtu uku kwetu kenya 🇰🇪 mambo yake ni kama haya 🤣🤣🤣 Gonga like tukienda
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@onesmolwambano9349 Жыл бұрын
Wakenya hawajuagi kupika kila nikija napata shida ya chakula sana
@olicej7837 Жыл бұрын
@@onesmolwambano9349 z😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zenaycechanzinho6702 Жыл бұрын
Sio kenya tuu ni all over the world
@user-kj9bo9jv1gАй бұрын
Makanya yote kpika hayajui
@witnessobadia3076 Жыл бұрын
Duh;Wapo wengi sana hao kwenye maisha yetu na ukichunguza vizuri historia zao nyuma ni uvivu kila kitu mpaka wafanyiwe
@lucykapinga369 Жыл бұрын
Haswaa0
@csato9415 Жыл бұрын
Watu wa aina hiyo wazazi wanahusika sana.
@witnessobadia3076 Жыл бұрын
@@csato9415 Kulea watoto kimayai kila mpaka wafanyiwe na Dada wa kazi hayo ndo madhara yake;Joti anafikisha ujumbe japokuwa wasioelewa wataishia kuburudika tu
@makwayasamweli8338 Жыл бұрын
The best comedian in TZ
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@justinegilayo224 Жыл бұрын
🙌🙌best comedian Tanzania..mkuu subir tuzo zako tu🙏
@episonfelician7670 Жыл бұрын
Umeona e👍
@episonfelician7670 Жыл бұрын
Jot we ni comedian namba moja hakuna mpigamizi 📌🔨
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kombe la Dunia nimetolewaa. Ndoa imejipa Jotiii kibokoo🙌🏼🙌🏼😂😂😂
@nasramsomalizulkhan4741 Жыл бұрын
Bonyeza 👇 kzbin.info/www/bejne/aX62pIqdiLurg5Y
@ericajoseph548124 күн бұрын
Kiboga nimfano wa kuigwa kwa uvivu🤣🤣🤣🤣
@ibrahimsaidy130 Жыл бұрын
🙌 Best comedian ever
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@neemamzande8547 Жыл бұрын
Sawa huo mda wote unaomuelekeza si alikua ashapika tayari 😂😂😂😂😂😂jotiiiiii mambo vp
@LughanoSaid2 ай бұрын
Eti nilikuwa nimejipanga Kila idara😂😂😂😂😂😂😂😂
@SalmaMohamed-ck3og Жыл бұрын
Toka saa kumi na mbili nairudia hadi saiii..Jotiii🙌🙌🙌🙌🙌
@ruthkasumba7739 Жыл бұрын
Km mim🤣🤣🤣
@paulalove1223 Жыл бұрын
Ila joti🤣🤣🤣ahadi ya bibi 🤣🙌kombe la Dunia nimetolewa
@rizikifalidy8495 Жыл бұрын
Nyie katika watu wa comedy joti namba One Nampenda ❤️❤️
@emeldaraymond2085 Жыл бұрын
Nimecheka sana 😂😂😂
@tumainimsuya_3301 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 yaani Joti hushikiki funzo la hali ya juu
@hamadiabdallah3906 Жыл бұрын
Unajua wote wanaoingia ktk Ndoa Wana Akili 😂😆😆😅😃😄😃😅🤣😂
@paulshibhiti9584 Жыл бұрын
Jot aseee mbna mi nachelewa every time kulike jomon niungen mkono
@MKUCHU24Tz3 ай бұрын
Mungu akubaliki
@MKUCHU24Tz3 ай бұрын
Mungu akibaki
@habbyhalawa5266 Жыл бұрын
Nimependa jot alivyopiga magoti 😍
@alfredjohn5693 Жыл бұрын
Et ushajua hisia zangu zilipo ntashindwa kuongea 😂😂😂
@DonMooSTUDIO_Express Жыл бұрын
Bonyeza 👇 kzbin.info/www/bejne/aX62pIqdiLurg5Y
@VeronicaJoseph-pc1ii2 ай бұрын
Ila huyu kaka😂😂😂
@rebecatangson3621 Жыл бұрын
mama mkwe kapikiwa waraka wa amani ulio wafanya wayahudi washindww kula n kunywa wakati ulee😄😄😄😄😄
@anithamwambola9292 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@alimamct3403 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣walahi
@vailetlugendo1778 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@aronpaul2331 Жыл бұрын
Nimecheka sanaaaa jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ericajoseph548124 күн бұрын
Nampenda sana jot💞💞💞💞💞💞💞💞
@marcansayo7110Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jotiiìiiiiiii
@farhatfarrid Жыл бұрын
i just love the whole team of Joti TV🥰🙌♥️… mnajua keep it up 👍 😊
@stevewanga957 Жыл бұрын
mbwa mzee hafundishiki....much love from🇶🇦🇶🇦 😂😂
@AsmaAsma-gd3mv Жыл бұрын
Mambo bro Steve
@stevewanga957 Жыл бұрын
@@AsmaAsma-gd3mv nko poa kabisa..vp pande hizo?
@cedricmaina4523 Жыл бұрын
Tangu lini mbwa mzee akakubali mafunzo 🤣🤣🤣🤣
@KaziloLulabhiАй бұрын
Wizo alivyo itwa ss 🤣🤣🤣
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Nilikua bado cjacheka vizuri tangu mwanzo,lkn baada ya kuona jopo la wageni getini afu nikimuwaza mpishi kiboga haahahahaaaa,nimebaki hoiii kwa cheki,uwiii hahahaaaa.
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Cheko.
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Thank you so much Mr Joti!! Love from Burundi 🇧🇮
@vanessamathias8767 Жыл бұрын
😂😂😂
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
Kiboga wewe jamani 🤣🤣🤣 saruti kwako sana.Hili ni funzo kubwa kwa kina Mama siye tujitahidi kuwafundisha watoto wetu kupika leo kimekuwa kichekesho lakini ni maisha halisi haya 🙏🧎😘
@shabanmohammed8235 Жыл бұрын
Huyu ni mjomba au ni kengeee😂😂😂😂😂
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Nimeona aibu mimi badala ya kumuonea aibu kiboga.🙈🙈🙈🙈😄
@butondodavid2105 Жыл бұрын
Hahaaaa
@josephaugustino646 Жыл бұрын
Uso wangu unaongea ila moyo wangu unaaga madhindano 😄 🤣 😂 😆
Wengine tunaingia kwenye ndoa atuna ata akili 🤣🤣🤣🤣
@baloz8974 Жыл бұрын
Wapo wengi
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
@@baloz8974 apana joti kiboko
@sarahmumanyi35023 ай бұрын
Kiboga mke wanguu abeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ladayidermonelenge1291 Жыл бұрын
Omg 😂😂😂😂😂 that would have been me 2 years ago but baby baby baby, now try my food u can not combeya combeya 😂😂
@edwinosoro80782 ай бұрын
Mungu pea huyu comedian maisha marefu
@Zaitoon722 ай бұрын
Joti kiboko ila suzy nimempenda bure 😂😂😂 Huyu jamaa anajua ila reality yapo makwetu watu wanatak ndoa kupika hawajui aibu tupu😅
@azarajsalum2117 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kiboga nmecheka wadada tujifunze sio tunajua kueka mikucha tu
@dayanaelvinamos9474 Жыл бұрын
Huyu ni mjomba au kenge😁😁🙈🙈🙈
@simonandrew1489 Жыл бұрын
The Best Comedian
@lameckmathias1188 Жыл бұрын
Ukichambua ndani yake kuna ujumbe mzito pamoja na kuwa ni kichekesho.kuna somo kubwa Sana hapo
@azizally5283 Жыл бұрын
Jombaa wee ni nomaa🇹🇿😂😂😂🤣🤣
@tonyboss6556 Жыл бұрын
SawA ila nafasi za SOPA, mama DAME na KIPANDE mdahalo mezani!! KANYINYI mtu na nusu, MLEWA hakui.
@khadijashabaninimba7890 Жыл бұрын
Tangu lini mbwa mzee hakakubali mafunzo 😂😂😂😂😂🤣🤣joti
@dogomkalimani Жыл бұрын
Big love from 🇰🇪🇰🇪🔥
@veronicakalondji2375 Жыл бұрын
Joti never disappoint 😂😂😂
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@nurumohamed5830 Жыл бұрын
Joti ukiacti mwanamke ndio unapatia
@asiabakar9624 Жыл бұрын
Jmn nampenda Sana hyu kiboga
@ansilashirima6357 Жыл бұрын
Lovely👏👏👏
@praisesteven7774 Жыл бұрын
yaaan uyo mim kabsaaaaa cjui kupika 😂😂😂ila apo joti katudanganyaa ssa juice ya barid si umeme haupo 😂😂😂
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Kama kaagiza je?
@martamustini6946 Жыл бұрын
Moyo wangu unasema naaga mashindano hiii part imenimaliza😂😂😂😂😂😂😂
@shabani_Osee_Ngena Жыл бұрын
Uyu jamaa anajua mpaka anajua tena✌️👍😂😂
@alisterlexter1115 Жыл бұрын
Leo umenikosha🤣🤣🤣🤣🤣👏👏
@justinegilayo224 Жыл бұрын
Kama umeilewa hii gonga Like twende sawa
@omarmsuya2459 Жыл бұрын
Wanaopenda iphone 14 dongo lenu kucha kubwa
@omarmsuya2459 Жыл бұрын
Kiboga watake radhi wa dada
@thomasnyingo727211 ай бұрын
Mkaa au msitu 😂😂😂
@daud405 Жыл бұрын
watching from Singapore , much love Joti. kazi nzur san
@burundibujumbura2078 Жыл бұрын
Aca shobo wey, singapore ya Iringa?
@daud405 Жыл бұрын
@ Burundi, akili yako ipo saw kweli. unaona mimi ni wa Iringa. Nipo Singapore wewe.unanijua???
@selinaemanuel1877 Жыл бұрын
Tanzania huludii au🤣🤣🤣
@daud405 Жыл бұрын
@ Celina, nipo kikazi. Tz ndo home nitakosaje kuludi?
@dominicknondo7681 Жыл бұрын
Yani huyu bro ananifariji sana nikimiss mzee majuto 😁😁😁 eti mzaa chema🥰😁😁😁
@sulaymanwaziri4455 Жыл бұрын
Huyo mziwanda nimekubali sana😂
@japhetlust5050 Жыл бұрын
Moja+ kucheka ila uyu jot🙌
@ptstore7918 Жыл бұрын
Huyu mjomba au kengeee😂😂😂
@mohamedslh5478 Жыл бұрын
Kanichekesha kinoma bwege uyu
@neemanyimbi2355 Жыл бұрын
Sijui kwann tunaojua kupika hatuolewi
@ahmadsaid4878 Жыл бұрын
Toka lin mbwa mzee akaelewa somo😀😀😀😀😀joti bhna ....alafu hyo shep jot dah ziwq kubwaaa kiuno kma. mbu dah😀😀😀
@ashnaom2270 Жыл бұрын
Ivi kwel umri huo ajui pika yupo, mana mwanaume anapenda ale ashibe, asipo shiba shoo amna yauhakika
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
nawapata kutokea Rorya, Ror Bin Kamageta hahahhahaha
@fidesbernard4835 Жыл бұрын
Kamageta makanye
@dianaprojest320 Жыл бұрын
Kanyinyi na mlewa kama wanafanana sanaa
@michaelkauki4607 Жыл бұрын
kanyinyi mwanzo kasema hakuna umeme badae kasema uweke juis kwny fliji ametupiga na kitu kizito
@ummyirembe6145 Жыл бұрын
Nyie huyu mkaka kanyinyi namuelewa sana akicheza na kiboga anajua SANAA KUIGIZA NIMECHEKA😂😂 Eti kiboga ukishajua hisia zangu zilipo kazi nzuri joti
@heyumi2340 Жыл бұрын
yaani joti umefanya kma ulivyoelekezwa 😄🤣😂😆😄hata bila kuvipika umechanganya na kuvifunika nima sana 😄🤣😂😆😄🤣😂😆😄🤣
@tumainicharo4207 Жыл бұрын
Nawakubali Kipande na Sopa
@rizzy4604 Жыл бұрын
Kiboga nakupenda bure,,,, 💜 from kenya
@pukboy2066 Жыл бұрын
Kanyinyi nimuongo katokakuwaambia wageni waishie nje ndani joto umeme hamna alafu baadae Tena anamwambia kiboga aweke juice kwenye frege ili ipate baridi😁
@jaffarymwaduga5983 Жыл бұрын
Daaah nimecheka vibaya sana yani joti Hapana 😂😂😂
@jacklinerenson1708 Жыл бұрын
Its a beautiful friday🤣🤣🤣ndoa imejipa
@Kizanda_84 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kzbin.info/www/bejne/jX3EamqklrJsgK8
@jrfunyvideosmastory7872 Жыл бұрын
respect broh Joti unajua
@user-uj8ge7zk4pАй бұрын
Malezi ya wtt kuwalea matakon mpk wanaolewa awajui kupika 😂😂😂😂😂kisa wasomi walikuwa bzee na shule hawa ndio moja ya hasara kama hz za kiboga
@ruthkasumba7739 Жыл бұрын
Nime angalia mala mbili kwa kwel🤣🙌
@mwanaishamkindi7763 Жыл бұрын
Dera la kibogaaa nimelielewa🤣🤣🤣
@bernardjoseph8907 Жыл бұрын
Yeboyebo sasa daaaaah 😅😅😅😅🙌 kiboga bhanaa.
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
Uyu mjomba au kenge joti Wewe nyoko
@jrsaid4270 Жыл бұрын
Mwaka una ijumaa 52 na Kila ijumaa Joti anaupdate.kama unamfuatilia tokea mwaka uanze na Leo ijumaa ya mwisho ya 2022.Nipitie
@victoriakyando4307 Жыл бұрын
Wa kwanza leo mnipe like zangu😊
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Joti🤣🤣🤣🤣🤣
@bravo_man Жыл бұрын
Umetupa tukukamatie❓️
@ramadhankanoun3007 Жыл бұрын
Wa kwanza leo kiboga on🔥🔥🔥🔥
@clementinapaul9219 Жыл бұрын
hii sio kichekesho ni funzo mamen akili kichwan 🤣
@JULIANABJM11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ndoa imejipa iyo kiboga,umeweza
@salehdaud6400 Жыл бұрын
Mbwa mzee hafundishiki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Carolbenny10 ай бұрын
Eti ila mtafurai😂😂😂😂
@KhalidNa-bn4gp3 ай бұрын
Wallahi nmecheka mpaka nmehis homa
@azibossladykenny2455 Жыл бұрын
Ivi kweli kwenye iyi dunia kuna wadada wasio jua kupika kam kiboga kweli🤦♀️🤦♀️🥺🥺🤣🤣🤣🤣