Jux Afunguka Picha za Utupu kwa Mange, Kuachana na Mpenzi wake Karen, Ommy Dimpoz ndo chanzo? Part 2

  Рет қаралды 27,873

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Jux afunguka kuachana na Mpenzi wake Karen Bujulu na Tetesi za Ommy Dimpoz kuhusika kuvunja mahusiano yao!
Pia aongelea picha za utupu zilizodaiwa ni zake ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii. Part 2
Subscribe, Like, Comment & Share!

Пікірлер: 29
@JaxBoy-h5n
@JaxBoy-h5n Ай бұрын
Nakubali sana
@user-re3sv8zz2z
@user-re3sv8zz2z 5 ай бұрын
Kampa mwanamke ustaa kat**bewa na wajanja😂😂😂😂😂 kuna la kujifunza hapa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Nakubali sana African boy❤🎉
@user-kf1yr3kx2o
@user-kf1yr3kx2o 5 ай бұрын
Jux ni mtu poa sema kuna wanafiki kazaaa tu wana mdomo😂😂
@3erffeoui86
@3erffeoui86 5 ай бұрын
apo side ya Lilommy naona picha ya mzee mmoja toka kenya charles njonjo 104 year lived
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 ай бұрын
Jux ni mgeni kwenye interview au ni ushamba wa media bado?
@AlexanderNimbona-lj4ln
@AlexanderNimbona-lj4ln 4 ай бұрын
Jux Burundi Bg fizzo💪💪💪🖒🖒🖒🎧
@user-gg4kw6le3b
@user-gg4kw6le3b 5 ай бұрын
Kila kizuri kweli hakikosi kasoro jux kila k2 anacho lakini madem wanamkimbia sijui kwa hata sielewi kwa nn?!🚣
@nanaleetz
@nanaleetz 5 ай бұрын
Jux tongoxa msichana wa kiislam na oa muislam braza 😂😂😂 utateswa sana na wakristo deile you man
@juliusjustin4813
@juliusjustin4813 5 ай бұрын
Kwahiyo hao siyo watu ama ?mapokeo yamewaharibu sanaaa
@wonderstylish
@wonderstylish 5 ай бұрын
Waislamu mnajionaga ni kama mlifika mbinguni mkarudi... Nyinyi ni wanafiki sana n roho chafu mungu awasaidie
@user-pl7sd7wo8u
@user-pl7sd7wo8u 4 ай бұрын
Wao ndio wanaongoza kuwaumiza wapenzi kikubwa ampate mty sahihii kwakee na hata akiwa mkristo akiwa tayar kubdli hapana pingamiz ww unatuletea udinii
@kimah9855
@kimah9855 5 ай бұрын
Juma bro acha kuzunguka weh mtoto mislamu owa binti islamu 😂😂😂😂Umechoka
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 5 ай бұрын
Sio waislam Hawa wote,sio diamond sio hamronise sio yeyejux juma,na wengine wengi acha waabudi shetani watajua hawajui siku ya mwisho
@Jojo-lz7lq
@Jojo-lz7lq 5 ай бұрын
Acha udini ww kweny mamb ya social media😏 unachukulia social media ndio maisha au mbona don’t take too serious🚮 kwan uyo muislam akitaka kuoa mkristu wanashindwa kubadili dini au🙄 embu kwenda
@deogratiusleonard
@deogratiusleonard 5 ай бұрын
​@@omarchaijefwa729stupid _
@Mohaa4309
@Mohaa4309 5 ай бұрын
Omy huyo bana
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 5 ай бұрын
@@omarchaijefwa729fact
@Mohaa4309
@Mohaa4309 5 ай бұрын
Omy huyo
@allysunday8614
@allysunday8614 4 ай бұрын
Tafuta muislamu wenzako uoe acha kuzunguruka zunguruka
@Kibasumba02
@Kibasumba02 5 ай бұрын
Shoga jux
@Kazubassyathyvry89
@Kazubassyathyvry89 5 ай бұрын
Sio hivo, valentine ni siku imewekwa na wapagani, kwanza wewe kama mtoto wa kislamu hiyo haikuhusu.Tusiige ige manbo ya wazungu.
@deogratiusleonard
@deogratiusleonard 5 ай бұрын
acha ushamba na wewe
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Ni kwl kabisa
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 5 ай бұрын
Jamaa ana shida gani huyu?
@nanaleetz
@nanaleetz 5 ай бұрын
Bwabwa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 ай бұрын
Siyo lazima kuoa😅
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 4 ай бұрын
Mbona wewe jux Mauri kwann usioe? Wwni mtt wa kiislam
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 ай бұрын
Diamond pia hajaoa😂😂alikiba pia hana mke harmonize pia 😂
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 26 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 6 МЛН