Hali aliyopitia jux namuelewa sana hata mimi nilipitiaga iyo situeshen kumuomba mtu msamaha hadi nilichanganyikiwa kimapenzi bila kusamehewa mpaka leo..kiukwer mapenzi nikitu kibaya sana yani nimewahi kufanya nakukiri kitu ambacho sijawahi kufanya katika maisha yng hata mala moja
@salamafair11698 ай бұрын
Pole sana habibty
@hamiszali14348 ай бұрын
Ww fala sana ,,
@Mina.158 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakupa pole kama inauma naku pole 😂😂😂
@Mohaa43098 ай бұрын
Ila Karen mzuri kwakweli Maa Shaa Allah,, lazma bro aumie kweli 😢❤
@Mina.158 ай бұрын
@@hamiszali1434😂😂
@BlackKing89-l1u8 ай бұрын
Baba Jux alitwisha Mabomuu!!! Yaani msichana wa kibongo unampa hiyo power halafu mambo yawesalama ni kitu hakiwezekani
@salomewandya72578 ай бұрын
Wewe dada Mtangazaji unajua sana❤❤❤
@MzeeKigogo_8 ай бұрын
Frida yupo vizuri kwenye maswali ❤
@MoviesAde8 ай бұрын
Jux bado anampenda Karen🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@Dje-ru9wd8 ай бұрын
jux nimwanaume ambae anasitahili kuwa na mtu mtulivu mwenye akili na kiongozi wa familiy sijui anaitwaje mwanamke mwenye wanaume zaidi ya wawili sijui tunamuitaje??
@Dje-ru9wd8 ай бұрын
pretty sure hampendi wanaume tunajijua tyu
@sumaiyabakary26928 ай бұрын
Jux ni mwanaume mzuri sana na hafai kudate wanawake wa tz hatuko hvyo kama yy anavyowekeza we are selfsh na kama tukimpenda mtu sana ujue ana zaid which money sasa yy jux hajui anamapnz ya kzungu Pole sana sana Jux ila ucrudie tena kudate na caren hakufai anakujua sn na anaweza tumia vby madhaifu yako lakin you re best boyfrnd ever Pole sana
@HannahBee18912 ай бұрын
This came to pass 👏
@Babygirl7588 ай бұрын
Huyu jamaa ana trauma na ptsd, aliona after kum treat vmoney kishkaji jinsi vanessa moved on less thn 6 months akawa na rotimi and in 2 years after their breakup akazaa nae…. so kwa karen sio kwamba labda alimpenda sanaaaaaaa ila aliona mfano kwa vmapesa akaogopa mara hii pia itakua hivyo ndo kisa cha kujirekebisha na kujishusha kiasi hicho staki kuamini kwamba alimpenda karen kiasi hicho after 2 years nae while vanessa alikua nae miaka sita na kuna vitu vingi walipitia and love grows w time.. he just didn’t want to repeat the same mistakes, he was redeeming himself to a different woman
@damydee96654 ай бұрын
Unawez ukasema hvy lakn for me Jux is the Victim labd ujuw hzi ni za ndani.. Jux kuachana n Karen Ommy is 100% involved.. matter of fact he fckd karen and was given 5mill.. at first demu aligoma bcz ommy went as a nobody looking for sex and chill... chick akakubal bila kujuw whos the person behind so they booked a hotel in details ilikua Mwanza kufika kumuona its Ommy(shemej) things went on the drinks the wines mwamba akapiga afu akavujisha sex tape kwa close ppos wa Jux and boom jux akaja ziona...😂 NB it was a payback when jux took Vanessa from Ommy thats a 10 year revenge
@Babygirl7584 ай бұрын
@@damydee9665 ah 😳😲😮 haya makubwa
@Babygirl7584 ай бұрын
@@damydee9665 kha jamani jux alivyo kua anapasuka kumpeleka paris kuangalia basketball 😀 mbona million 5 ilikua sio shida, angemuomba jux angempa kwasababu sio kwa expenditures zile za kumzungusha europe
@Babygirl7584 ай бұрын
@@damydee9665 this sounds like a conspiracy theory
@einsteinmboje47308 ай бұрын
Jux Alichokosea Ni Kukubali Kuishi Kwa sheria Na Masharti Kutoka Kwa Mwanamke , Naturally Mwanamke Anatkiwa Kuwa Obidient Sio Mtunga Sheria , Na Ukiona sheria Nyingi Kutoka Kwa Mwanamke Wako Ujue Hakupendi kiivyo (anakuchukulia Poa Tu) For Granted , Jux alifumbwa Na Mapenz , Mapenz Yalimzidi, aliruhusu Mdada Awe Contoller
@jumalihumbo53148 ай бұрын
It’s True
@bintimkitosi61878 ай бұрын
Jux ndiye msanii wa kwanza kujibu swali la mziki wa Nigeria sahihi. Kabla ya 2000 for every five blacks in the world one was Nigerian. Baada ya hapo ndio wengine tumeongezeka sasa ni for every eight bkacks one is Nigerian. Halafu baada ya biafra war walianza kutoka Nigeria na wako kwa all the commercial capitals.
@sendisteve79818 ай бұрын
Jux ulikosea.Mwanamke mgombane leo kesho umkute na mwanaume mwingine halafu uendelee kumwomba msamaha kwa miezi minane😮..Hapo ulijizima tu data Jux.La kuvunda hhalina ubani..
@AzaAzamhmod8 ай бұрын
Jux still is loving caren😂😂😂pole❤❤❤❤Ila caren ataumizwa nae
@katumabiyan50908 ай бұрын
Careen kazaliwa 1994 , so she is almost 30 years
@AzaAzamhmod8 ай бұрын
Caren ka cuteeeeeee afu bado teenager . Umri huo acha kbsaaa. Jux ww unaichungulia 40 unatakiwa upate mdada aloshiba relationship 😂.mapensi mapens
@jumalihumbo53148 ай бұрын
ii situation naijua vzr sn ila nlichojifunza mwanaume hauitajik kumpa uhuru au siri zko zote mwanamke lazma ataku disappoint ata kama unampenda vipi usiruhusu kumpa simu yako kila anapotaka atakuchukulia poa hasa hawa wanaojiona wazuri kwa shape zao🙌
@MillyOwnioАй бұрын
Karen 1994 Feb 15th, she's now 30 ila huyu ulie naye sasa ni 23 mtoto mdogo sana. Kila la kheri Jux
@AzaAzamhmod8 ай бұрын
Dada uko na questions good walah😂😂😂😂😂sometimes age is a problem in love. Don't say age is like a number... Think twice
@Jowelia8 ай бұрын
Jux bado ana true love maskini May Allah grant him the best wife he deserves🙏🏼❤️
@leaherasto9298 ай бұрын
Jux bado anampenda Karen ile pisi kali sana
@bintimkitosi61878 ай бұрын
Mtu ako.palepale. anatumia WiFi ya kazi halagi ana skip ads kwa video. Nkt. Jux alijaribu sana lakini caren alijua hayuko tayari kuwa mke wa mtu tena kubadili dini.
@ElifitiaLyimo8 ай бұрын
Kwasasa mshirikishe mungu akupe mwanamke sahihi wa maisha yako ❤usiumie kwa maneno yawatu 😮
@asyakhatib79423 ай бұрын
Ameshampata prisy🎉
@njidekanathan3573Ай бұрын
Please can we get English version of this podcast
@mlyamalitv17892 ай бұрын
Jux unafeli wapi, kama alikuwa anazingua piga makofi na vibao.
@righitkileo8 ай бұрын
Jamn kama uukitaka kuenjoy maisha achana na hao mastar hawanaqa mapenzi ya kweli.tafuta mlalahoi mwenzako enjoy
@daudichoghoghwe50358 ай бұрын
Jux unajua kujieleza nakujibu nenosijui limekaapoa sana
@Siasa-k7v8 ай бұрын
Eeenh,lkn Jux banae? Yaani kudate kote haujai jua tu wanawake wakishachoka bloody Hata hiyo reason,alikupatia mzee baba... Shida unapenda sanaa,madem hupenda watu hawaeleweki kaka. Ww alikua anakuona kaa bwege flani tu vile.. Utakuja jinyonga ww kabogoro 😂😂😂
@richkaja33177 ай бұрын
Jux umepoa sanaa
@HansonShaaban8 ай бұрын
wasanii wakubwa sana bongo lakini bado mnasikitisha sana katika upande wa matumizi ya lugha ya kingereza ambayo mnaipenda kuitumia sana na nukuu "i have never do that"hivi huyu jamaa aijua kweli lugha ya watu au anaipenda kuitumia tu.jiongezeni INTERNATIONAL ARTIST SIO KWA NJIA YA KUPELEKANA PELEKANA KIBONGO BONGO
@kudadeki000078 ай бұрын
Safi sana frida unambana mtu hadi aseme kitu anachozuia tusisikie
@jamilaathumani54818 ай бұрын
Nikwer
@mtutulaclassic62078 ай бұрын
kwanza wametulia mpaka anaehojiwa anajihisi yuko huru kufunguka
@fakihichitanda28648 ай бұрын
Big up kwa frida kwa kumbana
@lucymtuka63938 ай бұрын
Nime enjoy Sana ila Frida I love you
@ChenchiKing8 ай бұрын
Frida Kwa Hili Umehuwa Kichizi Yaniii🔥✌️🔥
@EmmanuelPaulo-zf1xk8 ай бұрын
Jux Kama kasepa pw tuu mama Shazii awaridhikii hao uwa njoo R mama shazii
@bryanzeconfesor54768 ай бұрын
Jux wengi hawawezi kukuelewa lkn sisi wanyawezi wakali wa hizi kazi tunakuelewa hata Nengatronix lazima akuelewe
@catherinefrance36428 ай бұрын
Ni vile tu hizi ni stori tu, men haleluya mnajuua kuigiza muv nying ila majuto ndio mapenz yenu hushtuliwa afu , ukipimia maoenzi kijiko lazima ukome kuyajua😂
@gloryprotas10438 ай бұрын
Jux njoo kwangu ninambegu za mapacha utafurahi😂❤
@rebbywealth98698 ай бұрын
Anaehojiwa na wanaoohoji wote mmetisha... noma sana
@SelemaniAbdallah-t7r3 ай бұрын
Wewe ni falaaaaaaaaa😂😂😂
@Its_Goodluck8 ай бұрын
Tanzanian music ni worldwide now ila wasanii wapendane na wasaidiane kufika mbele
@katumabiyan50908 ай бұрын
Sikutegemea kuwa huyu dogo ni mwepesi kiasi hiki kwenye mapenzi kama nyoya.
@msakadoobongeladada-uh3sk8 ай бұрын
mapenzi shikamoo 🙌🙌 yalonikuta sisemi niliomba msamaha mwaka kwa mtu alonikosea na nisisamehewe ila nilivyomaliza kupona depression saiv naenjoy alaf jamaa hoiiiii saiv anaomba msamaha kila saa
@HawaSaid-ru4zq8 ай бұрын
Pole juma 😊
@godfreymushi69668 ай бұрын
Wasanii wa bongo ?
@monicacyprian91378 ай бұрын
Nyota yake mashuke na tabia ya mashuke si rahisi kumpenda mtu huwaga ni wazito ila wakikuamini na wakiona vile wanavyovitaka kwako huwa wanaangukaa kama trenii na inawachukua mda sana kupona na wakishakutoa moyoni huwa hawarudi nyuma 🚶🚶 anyway we are so honest
@Mohaa43098 ай бұрын
Dimpoz bana😢
@stellaMwakatulie8 ай бұрын
Jux usikate tamaa wanawake wenye upendo bada wapo utapata tu mtu sahihi
@ramseychobaliko10028 ай бұрын
I have never do that in my life 😅😅😅 na alisoma chuo china ..... I HAVE NEVER DONE THAT sio DO😅😅😅😅
@annytahadrehem38198 ай бұрын
Ukijua wewe inatosha bhana😂😂😂😂
@rebbywealth98698 ай бұрын
Mbwa kama nyie mnafanyaga nini mtandaoni.... Interview nzima umeona hicho tu? Ukijua wewe na kizazi chako inatosha
@rosejulius77568 ай бұрын
Kwani China wanafundisha kingereza??
@bintimkitosi61878 ай бұрын
China alijifunza kichina
@NtemiJoseph-v6u8 ай бұрын
China na kiingereza wapi na wapi
@SelemaniAbdallah-t7r3 ай бұрын
Jux ni falaaaaaa😂😂
@Mohaa43098 ай бұрын
Omy huyo bana wamtetea bure
@augustfive52798 ай бұрын
Kifupi uyu jux aliekewa masheria mengi magumu ili ashindwe mahusiano yaishe
@jumaorido25328 ай бұрын
Ondoa mazoea ya dem wako na watu wa industry tunza heshima yake nilijua hamtakaa sana kwa yale mazoea ya wasani na kumtumia kwenye ma promotion wasanii wanashinda nyumbani kwako . Mfiche Kama Kizz daniel
@RamazaniMulongeca8 ай бұрын
Jux?? That so cheap bro.. unasubiri demu toke kwenye mausiano ili uhingie??😂😂😂😂
@calvinmushi62408 ай бұрын
Don't forget to subscribe.
@salomewandya72578 ай бұрын
Mapenzi shikamoo
@ivosunde31603 ай бұрын
What are they saying, can someone translate pls
@chidimmachimezirim92523 ай бұрын
😅😅😂
@HannahBee18912 ай бұрын
He was speaking about what he went through in his past relationships.This interview was five months ago
@AzaAzamhmod8 ай бұрын
C uoe jux?
@seiphomary8348 ай бұрын
Ww ukiachana na mtu umpendae ujue umemuacha huru na yoyote yupo huru kumuoa au kuwa naye kimahusiano # hapo kitu cha kujifunza n faida ya ndoa kwenye jamii # 1. Ina kuweka huru na uhasama na watu kwa njia ya shetan # Muhimu jiulize je mtu ameingia kwenye mahusiano yako wakat gan awe rafk au nan katika kuharibu mahusiano yenu wakat wa ndoa au nje ya ndoa . Penda kutengeneza stress zenye uhusiano na allah jitahd kukimbia stress zenye husiano na shetan #
@zainabkazige73888 ай бұрын
Kweli kabisa 🫡
@maryamenities6533 ай бұрын
Assamalekun from u a e
@samirbenito8 ай бұрын
Jux is the problem, he lost his frame and little did he knew that, genuine desire cannot be negotiated. The price of a simp is dust.
@juliusnyerere53938 ай бұрын
Kwani lazima ulazimishe mapenzi babu. Kwani wanawake ni huyu tu wewe Mtoto wa kiume unatakiwa ujiamini sio kudandia dandiaa tu. Kuwa mtu wa kujiamini as a Man Sasa kugombania mwanamke unajidhalilisha bwana. Wacha huo utoto.