No video

K.K.K.T USHARIKA WA KIJITONYAMA THE SCHOOL OF HEALING EVENING GLORY 11/08/2017

  Рет қаралды 58,748

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

7 жыл бұрын

Пікірлер: 61
@user-lm7gm6kq5z
@user-lm7gm6kq5z 5 ай бұрын
Hii ndiyo kwwli Mtumishi Mungu akubariki sana
@AnnaMartin-k9q
@AnnaMartin-k9q 10 күн бұрын
Mungu ni mwema Kwa huyo mtumishi
@dinakyoma5977
@dinakyoma5977 11 ай бұрын
Sichoki kusikiliza huu ujumbe, powerful teachings, Mungu tutunzie hawa watumishi!!! Ni baraka na tunu ya kanisa la Tanzania , Africa na Dunia. Utukufu wote kwa Bwana Yesu!!
@neemajacob418
@neemajacob418 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kusikiliza hili somo limenipa mwangaza wa kujua nini maana ya sadaka na utoaji pia. Mungu awabariki Kijitonyama kwa kutuwezesha kufuatilia masomo yenu hata baada ya miaka kadhaa mtu unapata neno na linakubariki. Kweli kila kitu kinapita lkn maneno ya Mungu ni mapya kila iitwapo leo
@grancebeuty2443
@grancebeuty2443 2 жыл бұрын
Ukisikia Mastahi ndo huyu sasa,i love u dadyy💕
@ireneleonard4739
@ireneleonard4739 6 жыл бұрын
so blessed sadaka inanguvu sana mimi nilipo pata kazii niliambiwa nipeleke sadaka mshahara wa kwanza kama mzaliwa wangu wa kwanza .nilipata shida ila nashukuru Mungu nilitoa nikapata amani moyoni mwangu.kaziii niliyonayo inavita hakuna mfano ila nina amani hadi najishangaaa .ubarikiwe sana mchungajii
@Vuvuzelaz1
@Vuvuzelaz1 4 жыл бұрын
Amen najiungamanisha na misa hii napokea Amina
@edinestermaole8915
@edinestermaole8915 4 жыл бұрын
Amen mchungaji. Nimejifunza kitu muhimu sana kutoa sadaka na hasa kipindi hili chaagonjwa ya homa ya mapafu
@ntimimbughi5972
@ntimimbughi5972 Жыл бұрын
Thank you so much Daddy Your blessing me and I Love you so much ❤️
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
Baba kwa miaka zaidi ya 5 ninajivunia,Mastai!
@al3595
@al3595 3 жыл бұрын
Napokea na naadhimisha Damu ya Yesu juu ya uchumi, afya na kibali juu yangu na familia yangu! Amen
@rachelmakule1506
@rachelmakule1506 3 жыл бұрын
Naadhimisha damu. Ya yesu juu ya uchumi wangu afya, yangu .na familia yangu
@thafacompanylimited8536
@thafacompanylimited8536 Жыл бұрын
Ahsante yesu na Ahsante kwa Mtumishi wako Rev Wilbrod Kwa kalama yake
@thafacompanylimited8536
@thafacompanylimited8536 Жыл бұрын
Naadhimisha damu ya Yesumwana wa Mungu aliye hai milele juu ya uchumi wangu , Kazi yangu , Masomo ya wa watoto wangu , Ndoa yangu , na afya ya Familia yangu naamini ktk damu ya Yesu kristo aliye hai milele
@malakikiyogela1482
@malakikiyogela1482 Жыл бұрын
Great woundeful daddy love you so much!!
@kaylamariani3142
@kaylamariani3142 3 жыл бұрын
Ubarikie mtumishi nime jifunza
@irenemsangi9885
@irenemsangi9885 6 жыл бұрын
Blessed ! Great teaching from baba Mastai
@shau78
@shau78 5 жыл бұрын
comments section iko safi kabisa. Mungu anaheshimu watumishi wake.
@magrethmboya5285
@magrethmboya5285 6 жыл бұрын
Hawa watumishi wananibariki sana MUNGU azidi kuwatunzaa
@gracemoses8324
@gracemoses8324 Жыл бұрын
Ubarkiwe sana pastor Kwa ujumbe mzuli umefka nakunivusha katka viwango vikubwa vya Imani
@evshukurulupale6959
@evshukurulupale6959 5 жыл бұрын
Amen nimepokea, Mungu azidi kumbariki Mtumishi wake
@wiza2309
@wiza2309 6 жыл бұрын
Ni kweli suala la sadaka hata mimi limekuwa linikikwaza sana, lkn ninashukuru kwa Neema ya Mungu na kwa mafundisho haya nimepata msaada sana, ninaomba Mungu aendelee kunisimamia, moyo wangu usiangalie mambo ya mwilini bali ya Rohoni. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@tulaphionampalanzi3199
@tulaphionampalanzi3199 5 жыл бұрын
Nakuelewa baba yang
@emmanuelshao3933
@emmanuelshao3933 4 жыл бұрын
Mungu akubariki nimebarikiwa
@theammari7270
@theammari7270 5 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana mtumishi mastai
@rubenruben794
@rubenruben794 6 жыл бұрын
nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi
@eliatemba5984
@eliatemba5984 6 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu
@pagekidigital
@pagekidigital 11 ай бұрын
Amen.
@ziora89
@ziora89 4 жыл бұрын
Namkumbuka kweli Matsai
@marylouis1532
@marylouis1532 7 жыл бұрын
Asante baba kwa kutufungua,Mwenyezi Mungu aendelee kuwainua watumishi wa Mungu watuondoe gizani.
@shangwerobert2938
@shangwerobert2938 5 жыл бұрын
barikiwa mtumishi Mastahi
@godlovewarwa
@godlovewarwa 5 жыл бұрын
Nmebarikiwa...amen
@wilfredmremi8274
@wilfredmremi8274 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa ujumbe
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 жыл бұрын
I miss him kwakweli
@kitalisgoodluck6034
@kitalisgoodluck6034 6 жыл бұрын
Amina Mtumishi na barikiwa sana
@monicameela3796
@monicameela3796 6 жыл бұрын
Amen Amen nabarikiwa sana na mafundisho yako. Be blessed Pastor Mastai.
@innochao9746
@innochao9746 5 жыл бұрын
nashukuru sana kwa somo nzuri hakika linatusogeza mahali jehova aendelee kuwapa nguvu
@junemarycharles8513
@junemarycharles8513 5 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Mastai....Yesu azidi kukutumia
@julianmsaki7012
@julianmsaki7012 5 жыл бұрын
napokea kwa Damu ya Yesu ndani mwanguu Ameni
@salomerobert3684
@salomerobert3684 5 жыл бұрын
Amenee
@fwill5095
@fwill5095 6 жыл бұрын
Barikiwa sana sermon nzuri👏
@halvinmwangwale9668
@halvinmwangwale9668 5 жыл бұрын
I
@dicksonbenedict9005
@dicksonbenedict9005 6 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana..
@annamarima4901
@annamarima4901 5 жыл бұрын
nakupenda sana mchungaji mastai ubarikiwe sana
@doramoshi6340
@doramoshi6340 4 жыл бұрын
Ameni
@lovenessdiva7132
@lovenessdiva7132 6 жыл бұрын
Amen
@hawaomary3115
@hawaomary3115 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@marymahumi5376
@marymahumi5376 4 жыл бұрын
I’m blessed
@wilfredmremi8274
@wilfredmremi8274 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@rabielfadhili994
@rabielfadhili994 3 жыл бұрын
Powerfull
@edwardmwambope7615
@edwardmwambope7615 7 жыл бұрын
Nimekuelewa
@mariumchima8098
@mariumchima8098 6 жыл бұрын
asante sana mchungaji Wang nimekuelewa sana ila Mimi Nina shida nawewe mchungaji
@jmsmagala3921
@jmsmagala3921 5 жыл бұрын
Safi
@gracealexander1450
@gracealexander1450 4 жыл бұрын
AMEEEEN
@cnm2976
@cnm2976 2 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 4 жыл бұрын
Swala la sadaka ni mjadala mkubwa sana 😂😂😂😂😂 .......ni lazima mtoe hela , hakuna mahubiri ya bure hapa
@evshukurulupale6959
@evshukurulupale6959 5 жыл бұрын
Amen nimepokea, Mungu azidi kumbariki Mtumishi wake
@sae3dalsaifi211
@sae3dalsaifi211 6 жыл бұрын
Amen
@neemagift3894
@neemagift3894 4 жыл бұрын
Amen
USHUHUDA WA MAISHA YA MCH. YONA MWAMBETA PART 1
1:04:49
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 80 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 45 МЛН
Padre Dkt Faustin M Kamugisha - Hatupangi Kushindwa, Tunashindwa Kupanga Morning
41:59
Family TODAY, Esther Nasuwa, Ps Wilbroad Mastai: Family & Ministry
1:12:31
Family Today Show
Рет қаралды 12 М.
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
REV ELIONA KIMARO - SHIKA SANA ULICHONACHO (OFFICIAL VIDEO)
59:45
Chapeo La Wokovu
Рет қаралды 46 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO by Innocent Morris
29:18
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 101 М.
"USITAKE HARAKA HARAKA" Rev. Dr. Eliona Kimaro
7:53
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 57 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН