K2ga - BADO (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,068,780

K2ga

K2ga

Күн бұрын

Music Video by K2ga performing Bado (Official Release) (C)2020 exclusively licensed under Kings Music Records,The Music Video was shot in Dar es Salaam, Tanzania Directed by Khalfani.
Stream/Download:linktr.ee/K2ga
Listen to K2ga on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / k2ga
Boomplay:www.boomplay.c...
KZbin: / k2gatz
Spotify:open.spotify.c...
Follow K2ga on Social media:
Instagram: / k2ga_tz
Facebook: / ​
Audiomack:audiomack.com/...
Twitter: / k2ga_
+For More Information Booking K2GA:
Contact:Kapastareal@gmail.com
©2020 Kings Music Records.All rights reserved.
#K2ga #Bado

Пікірлер: 3 900
@nasrikiba3778
@nasrikiba3778 4 жыл бұрын
Wewe ni mwana wa mfalme unajua sana🔥🔥
@phinnanyoni8381
@phinnanyoni8381 4 жыл бұрын
Kings music nyingi kweli ma king ,,, tuga unaimba sanaaaaaaaaaaaaaaa,,,,, good
@fatumaabass7226
@fatumaabass7226 4 жыл бұрын
Nomaaaa xnaaaa kijana wangu mm bado np naww umo unapokuja ndio kuna soko lako mzee🔥🔥🔥
@namuwayaaminah2859
@namuwayaaminah2859 4 жыл бұрын
👑🙏Huyu mtoto huyu mm Nilijua tu kua ataeza💗💗💗
@auntfontheyn7469
@auntfontheyn7469 4 жыл бұрын
Waaah mm naona tayari mbn mana voicee duuh km Alley
@saumuomariahmad9540
@saumuomariahmad9540 4 жыл бұрын
Bro umeweza akiii
@alphaxardjubeckwa-ndahibha8725
@alphaxardjubeckwa-ndahibha8725 4 жыл бұрын
K2ga nakuelewa leo watakomae
@hamedmohammed8912
@hamedmohammed8912 4 жыл бұрын
Wallah ww unafata nyayo za king. Utafika kaza ww mkali.
@harunayussuf6866
@harunayussuf6866 4 жыл бұрын
Nawaona wanangu wa ukonga madafu one love wanangu✌🏿✌🏿.
@riphatmashaka7147
@riphatmashaka7147 4 жыл бұрын
K2ga mnyamaaaaaa shusha like zake5 hapaaaa
@abubakarabdulqadeer4756
@abubakarabdulqadeer4756 4 жыл бұрын
Kings music haijawahi kufeli salute sana mzee baba aisee ni bonge la ngoma lazima kuna watu wanateseka na hili jiwe
@ALLY_K61
@ALLY_K61 4 жыл бұрын
Kings music ikaanzakuvuma nikapata najina tenamolaa naombaa nisijembelekuyumbaa ninavituukubwasanaa 💥🔥💥🔥💥💥💥💥💥🔥🔥
@muagulejr1989
@muagulejr1989 4 жыл бұрын
MUSISIC USHAKUCHAKUWA KI2GA KUWA WEW NDIO KING AFTER KIBAAAA
@POGMESSITV
@POGMESSITV 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mpzcfoCmpbOZg9U Bado lyrics
@faryboytz8859
@faryboytz8859 4 жыл бұрын
Kukubal san wew pmj na king music
@jijistrong9631
@jijistrong9631 4 жыл бұрын
Wanaoskia saouti ya k2ga inafanana niya Kiba tujuane
@griphinzacharia1179
@griphinzacharia1179 4 жыл бұрын
tena molaaa naombaa🔥🔥🔥✊
@chillahwany7335
@chillahwany7335 4 жыл бұрын
Daah ngoma kal saan nakubal xaan mchzi wetu UK🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hildahtemu2336
@hildahtemu2336 4 жыл бұрын
Woyooooo pga kelele ya moja kwa king music weyeee
@tygamk8278
@tygamk8278 4 жыл бұрын
Ngoma Kali sana inspiration kwa wote wa tafutaji
@dohaqatar7595
@dohaqatar7595 4 жыл бұрын
Mdogo wangu nilikukubali kitambo Sana . Sauti unayo mashallah mola kakujalia. Pongezi Sana Kwa zawadi ya leo.🔥🔥🔥🔥
@nkendaharusi1330
@nkendaharusi1330 4 жыл бұрын
Woooooooow Em nataman nisikie ngoma moja ukiw umeimba wew na Ali kiba
@israelwatugala7687
@israelwatugala7687 4 жыл бұрын
Bro unajua saana, sema unamisa utunzi,punguza swag nyingi kwa wimbo ila ujumbe usikike kwa wingi
@innocentsafari9159
@innocentsafari9159 4 жыл бұрын
Mungu akujalie uje kuwa kama king Alikiba naamini unachokiomba mungu yuko na ww nakukubali sana kaka 💯💯💥💥🙏🙏 najisifu kitaani kwangu kuwa shabiki wa king's music inshaallah nitakuona siku moja nipo U.S.A kaka💥💥
@princelucang4317
@princelucang4317 4 жыл бұрын
Itabid nikafute ile comment fb ngoma kali sana k2ga
@husseinally7052
@husseinally7052 4 жыл бұрын
Kesho tunagusa namba moja
@johnnicholaus6856
@johnnicholaus6856 4 жыл бұрын
2ga kama 2ga .... mimi bado 🕊️🕊️🇹🇿🇹🇿🎼🎼
@makwayasalim675
@makwayasalim675 4 жыл бұрын
MCHIZ WA UK 🙌🙌🙌
@hadsonsangala3083
@hadsonsangala3083 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma,walikuja kwa niaba ya kiba tujuane👏👏
@phinnanyoni8381
@phinnanyoni8381 4 жыл бұрын
Uko vizuri 2ga,,, good music and video
@Jxcjs
@Jxcjs 4 жыл бұрын
🍁🍁🍁 mwanamfalme yeeaap
@salehekimambasalehe5534
@salehekimambasalehe5534 4 жыл бұрын
Oya eeeeeee ayeee uuuuyaaa ewemola naomba name nisaidie naunyonge niliyo nawo
@goodlife6725
@goodlife6725 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma jomon maana nimerudia mara 59 mpaka saa hiz
@milingwaseni665
@milingwaseni665 4 жыл бұрын
King music noma by maiko kiba salut yaap yeeaaaaaah
@mudyrashid9161
@mudyrashid9161 4 жыл бұрын
💥💥💥Hawawezi mabomu yetu hao!!!!
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 4 жыл бұрын
HONGERA DAMU YANGU BONGE,LA DUNDO, Teem kibaa MKWAPI, njooni niwaone apa
@harrismalone2316
@harrismalone2316 4 жыл бұрын
Mzee wa uk nakubal knoma,kpande chako cha ewe moola mii mnyonge.kipo poa..wanangu wa Kings music
@kanalmohammedgaddafi2390
@kanalmohammedgaddafi2390 4 жыл бұрын
Mziki unasiri sana kama umempata ki2ga video Kali ,melody Kali dah🙌🙌🙌🙌🙌💕💕💕
@hassanmuhammad2842
@hassanmuhammad2842 4 жыл бұрын
Mpka tuingie 1 trending
@emmanueldrc864
@emmanueldrc864 4 жыл бұрын
K2ga ni handson
@essaujonathan7567
@essaujonathan7567 4 жыл бұрын
Aseeeee huyuuu jamaaa Ni hatareeeeh Sana 🙌🙌🙌🙌
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 жыл бұрын
Mjini kumekucha 🔥🔥🔥🔥
@sebastianjohn8274
@sebastianjohn8274 4 жыл бұрын
Ntakuwa na comment to
@manasederama8813
@manasederama8813 4 жыл бұрын
King's music ikaanza kuvuma nikapata mavumbaa 🔥
@thomasmasesa4827
@thomasmasesa4827 4 жыл бұрын
Mchizi wa uk 🔥🔥🔥🔥
@wilfredjulius5214
@wilfredjulius5214 4 жыл бұрын
Jamaaa anajua Sana sema King kashindwa kumpaisha dogo akipaishwa nmuona mbal sana
@chaliwamombasatv605
@chaliwamombasatv605 4 жыл бұрын
Mapenzi ya Mbasa na Joho niwe king kama Kiba yeeeaaap 🔥 🔥 🔥
@Victor-ix4ml
@Victor-ix4ml 4 жыл бұрын
2ga kama 2ga niwe King kama Aliy ✌✌👊👊👊
@mnyamahandsome9297
@mnyamahandsome9297 4 жыл бұрын
Dully vulu ukwapi mwambaaaaaaa
@jeniphajoseph5032
@jeniphajoseph5032 4 жыл бұрын
Yani hi nyimbo kila muda nakuza kuitazama ilivo nzuri sana
@yonathanyona2926
@yonathanyona2926 4 жыл бұрын
Tupo pamojaaaaa hahahahaha kaka we yaporomoshe tu si tupo kuview
@sebastianjohn8274
@sebastianjohn8274 4 жыл бұрын
Yebabaa mzee wakazi nakukubali sana
@rajjwaalabama6666
@rajjwaalabama6666 4 жыл бұрын
Huyu dogo yaani ata cjui nsemeje, yaani ameweza hatari
@josephineilomo5750
@josephineilomo5750 4 жыл бұрын
kaimba vzr atr
@mabatinitv1442
@mabatinitv1442 4 жыл бұрын
Ameen utapata bro,
@roserisasi5441
@roserisasi5441 4 жыл бұрын
Nakupenda tu masauti wangu💝💝💝🙋🙋🙋🙋🙌🙌🙌🙌
@ajoomusic3860
@ajoomusic3860 4 жыл бұрын
Wapi king kiba hiii chuma tuipeleke treding ya moto sana
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@jaytheboy2393
@jaytheboy2393 4 жыл бұрын
Hii ndiyo sababu naipenda KING'S MUSIC hawakoseagi
@jameswaihangacjutiikuwatim6768
@jameswaihangacjutiikuwatim6768 4 жыл бұрын
bado
@Johnmzava2006
@Johnmzava2006 4 жыл бұрын
nakubali sana king kiba kuwapa mkono wadogo zako
@lazaromtizi8933
@lazaromtizi8933 4 жыл бұрын
Bnafis napenda music muzuli Kama huu unanitoa mawazo
@shausijumanne1583
@shausijumanne1583 4 жыл бұрын
aaaa we jamaa ni habari nyingineee
@shaabanminhaji8041
@shaabanminhaji8041 4 жыл бұрын
Yebaaa boge la nyimboo
@hamzamnyawami6894
@hamzamnyawami6894 4 жыл бұрын
Dogo unajua sana na Umepga vzr ,,, team kiba amsheni popo dah tunafail sana
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 жыл бұрын
Tugaaaaaaaa Kama tugaaaaaaaa collabale lako litakuja kuuwa Sana mwanang,,,,acha tuishi humu kwenye good music
@shebyrostam6816
@shebyrostam6816 4 жыл бұрын
Ngoma tamuu 🔥🔥🔥
@deekiwonyi4395
@deekiwonyi4395 4 жыл бұрын
Hilo dances la humo komeshaaa 💥💥💥
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Ni moto 💥💥💥💥
@phinnanyoni8381
@phinnanyoni8381 4 жыл бұрын
Hii ngoma ya moto sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,, salute
@wizkiba2408
@wizkiba2408 4 жыл бұрын
Kama kiba vile yani like bs hongera k2ga
@muusmile4419
@muusmile4419 4 жыл бұрын
Mchz wang kchz umetishaa asee song kaliii wanaokupnga watasubili sanaaaaa kwa chupa kaliii🔥🔥🔥
@josephineilomo5750
@josephineilomo5750 4 жыл бұрын
wakafie mbele wanaompinga
@brianmhina3808
@brianmhina3808 4 жыл бұрын
Mwana mfalme
@elraysugarboymasb9535
@elraysugarboymasb9535 4 жыл бұрын
Ukipiga tatu kamaizi uasajiliwa kwenye top list direct
@superwhitetz3258
@superwhitetz3258 4 жыл бұрын
Piga keleleeeeeee team kiba tumeingia trending no.27 oyoooooo congrats Kaka k2ga wakazie usiache pengo Kaka, k2ga mtoto wa Mfalme
@laureenakinyi5829
@laureenakinyi5829 2 жыл бұрын
Aaah yeees sir.. Mchizi wa uK lotsa love from kenya
@phinnanyoni8381
@phinnanyoni8381 4 жыл бұрын
Tumpeleke trending jamani,,, k2ga unajua imba mziki bila matusi na unaenjoy sanaaaaaaaaaa safi 2ga
@lameckmtegetu4034
@lameckmtegetu4034 4 жыл бұрын
K2g ngoma kali sana nimeielewa
@musty2025
@musty2025 4 жыл бұрын
Wakwanzaaa nipeni like team kiba love from 🇰🇪
@ramaburhandambwe4871
@ramaburhandambwe4871 4 жыл бұрын
Nimecheka"sana"wanawamesepa"wameona"vidali
@bakarimatola2968
@bakarimatola2968 4 жыл бұрын
Bado veep mchiz wakat #zuchu wa juz tuu kakukalisha kistaa Lebel yako ndo bado bhana
@zainabubakari3630
@zainabubakari3630 4 жыл бұрын
K2ga kikubwa ni nia ya dhati pia usiache kumwomba ALLAH insharah utakuwa km KIBA
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 жыл бұрын
Oya @K2ga tuimprove tu mavideo mzee,, maquality yawe ya kutisha Kama ile #hawataki au #unaniona
@diamondplatinumz4714
@diamondplatinumz4714 4 жыл бұрын
Good try dancing styles ngoma Kali kijana young king kazi love k2ga
@erickgulayi2089
@erickgulayi2089 4 жыл бұрын
Oyoooooo! amken amken amken! KZbin sasa kumenoga baada ya ukimya wa kipindi kifupi kilichopita🤗
@janviernizeyimana8352
@janviernizeyimana8352 4 жыл бұрын
Huo ndio music bola saana umenifurahisha mno ngoma kali saana❤️❤️❤️❤️❤️🇦🇺
@peterkasimba3841
@peterkasimba3841 4 жыл бұрын
mchiz wa uk
@albashirkombo8328
@albashirkombo8328 4 жыл бұрын
ka wamkubali K2ga tia like yko mwanangu
@gipsonrobert8292
@gipsonrobert8292 4 жыл бұрын
Wakulungwa tulipambanie kombe ngoma nzuri sana trending muhimu
@mropetv7765
@mropetv7765 4 жыл бұрын
Twendeni tuipeleke ngoma kwenye trending, yes we can
@masoudhamad1280
@masoudhamad1280 4 жыл бұрын
Umetisha yang kingi
@yohanangariapus8271
@yohanangariapus8271 4 жыл бұрын
Twende sawa mpaka ishike number one on Trending
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@essaujonathan7567
@essaujonathan7567 4 жыл бұрын
Tuendelee kutazama mpaka Trending no#1 mashabiki......
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Pamoja sana
@mohamedykhatibu8909
@mohamedykhatibu8909 4 жыл бұрын
Ewe mola naomba nami nijalie cna maneno kwa unyonge nilio nao cjui umeckiliza vzur hii sauti tamu
@sf9476
@sf9476 4 жыл бұрын
Burundi tupo wangapi jaman 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jeromenishoboye9068
@jeromenishoboye9068 4 жыл бұрын
Tupo wengi tuuu
@POGMESSITV
@POGMESSITV 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mpzcfoCmpbOZg9U Kwa wale hawaelewi maneno ya K2GA, nimefanya Lyrics Video pamoja na Lisa ndo ujue ngoma Kali.... Siri ya nyimbo nzuri ni lyrics.
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Tupoooo💃💃💃💃
@clementsadiki6788
@clementsadiki6788 4 жыл бұрын
Tuko apa kabisa
@veerdhaheer7288
@veerdhaheer7288 4 жыл бұрын
asanteeee, song nzur melody iko bomba sana,
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Ni moto
@oookkk3965
@oookkk3965 4 жыл бұрын
Kaza kaka upo vizur Allah Abariki kazi ya mikono yako Ewe Mollah tujalie Na K2 kitu iko bomba
@nuhuaugustino4109
@nuhuaugustino4109 4 жыл бұрын
Mchiziiiii wa Uk_is ANOTHER LEVEL
@lomuria6785
@lomuria6785 4 жыл бұрын
From 254🇰🇪tuko nawe K2GA👑 .wapi likes za kenya🔥🔥🔥🔥🔥
@goddito3836
@goddito3836 4 жыл бұрын
Sijawai kuonaga kazi mbovu kwako daaaah nakubali sana MCHIZI WA 👏👏👏
@phinnanyoni8381
@phinnanyoni8381 4 жыл бұрын
11#trending now,,, 2ga Leo umetrend mafanikio makubwa kwako Na as tuko pamoja nawewe
@asinatjuma8088
@asinatjuma8088 4 жыл бұрын
Tukaze buti team kiba ifike 1 trendng
@simonijoseph6032
@simonijoseph6032 4 жыл бұрын
K2ga fundi mwaka huu mpaka flash yako itajaa nyimbo za king music
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 4 жыл бұрын
Kaza buti dogo... Mambo mazuri hayataki haraka...
@essaujonathan7567
@essaujonathan7567 4 жыл бұрын
K2gA for lifeee......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@peterkasimba3841
@peterkasimba3841 4 жыл бұрын
nataman niwe kama joho wa mombasa,pia kama king kiba yooooohooooo......!!! hahaha ni 1 kati ya mashair #k2ga aliyoimba na kuandika like zake nyingi 🙏🙏
@hidayaking3383
@hidayaking3383 4 жыл бұрын
Team kiba twwzetu tuviwes jamani
@gidionkajuna9134
@gidionkajuna9134 4 жыл бұрын
Team kiba mnaxnziaa xnaaa
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 4 жыл бұрын
Kings music forever love
K2ga - Rangi Rangi (Official Music Video)
3:43
K2ga
Рет қаралды 1,3 МЛН
K2ga - Unaniona (Official Music Video)
2:50
K2ga
Рет қаралды 1,7 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 39 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,8 МЛН
Зу-зу Күлпаш 2. Бригадир.
43:03
ASTANATV Movie
Рет қаралды 694 М.
Professor Jay feat Alikiba - CALLING (Official Music Video)
4:26
ProfessorJay
Рет қаралды 496 М.
K2ga - Hawataki (Official Music Video)
3:17
K2ga
Рет қаралды 2,5 МЛН
Abdukiba feat Ruby | Ayayaa | Official Music Video
3:58
Abdukiba
Рет қаралды 1,9 МЛН
K2ga - Goma {Track No.3}
3:22
K2ga
Рет қаралды 339 М.
Menina Ft. K2ga - Sijiwezi (Official Video)
3:26
Menina Alegria
Рет қаралды 248 М.
K2ga - Lisambela (Official Music Video)
3:01
K2ga
Рет қаралды 689 М.
Mshumaa
2:58
Alikiba
Рет қаралды 190 М.
Meja Kunta Feat D Voice - Madanga ya Mke Wangu (Official  Video)
6:04
K2ga - LEO (Official Music Video)
2:54
K2ga
Рет қаралды 236 М.
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 39 МЛН