Hakuna wimbo niliokuwa naskiza on replay kama huu Instrumental imechezwa kwa ustadi Arrangement vilevile Sauti pia ziko Imara, Hivi injili yasonga sana ❤❤❤ Sita ogopa maana Bwana Yu nami Kwa kweli 🙏
@opapasteve70367 ай бұрын
The basss😊😊😂,,,,👍🏿🖊️ Beautiful song.
@keneeuq1747 ай бұрын
Whoa, Heaven is taking long; but at least we have a foretaste..thanks to this Ministry..
Amen 🙌 this song is full of courage ,thank You called to serve ❤
@Bisekoson7 ай бұрын
What a song, Sabato njema mbarikiwe kwa wimbo mzuri
@dribrahimchenza7 ай бұрын
Amina kabisa
@peterkariuki8937Ай бұрын
Amen and Amen
@hellenchesang.44657 ай бұрын
Amen !encouraging music! Thank you for chosing to work.for God. May the lord bless and favour your ministry. I love you all.
@phinerwilliam81377 ай бұрын
Mbarikiweee sanaaa
@JaydenFinancialservices7 ай бұрын
This song melt my heart the lord i know will never let me be ashamed
@NyabodiАй бұрын
Codes👌 Vocals❤ Arrangement is wooow ❤ Message is Amen❤❤🙏🙏
@yucabethdavis40727 ай бұрын
Sabato njema kwenu wana kwaye yetu wote. Amen for yet another blessing of this beautiful song with powerful message for all generations. Mubarikiwe sana. Watching you from Raleigh NC USA 🇺🇸
@rommelmauma58727 ай бұрын
*What an assurance! Sababu ni moja tu: KABLA. Ni furaha isiyo na kifani kuupata wimbo huu, ambao utanitia nguvu za kiroho na kunibariki kwa wakati huu mwafaka wa Ibada ya Sabato hii. Ninawapata nikiwa hapa New York. Mungu azidi kuwaongoza kuwa wabunifu, kwani "Mmeitwa Kuhudumia Kondoo wa Bwana Wetu." Amina.*
@JovineChamba7 ай бұрын
Ameeen sanaaa Barikiwa na sabato
@msafirimakanta28957 ай бұрын
Mungu awabariki sanaaaaa
@SamwelNyagaka-zw1sd7 ай бұрын
I like alto already.
@joshuanelson34467 ай бұрын
Thanks, call to save for another item's. I appreciate your services based on saving injured hearts. My God bless you all.
@LidyaLushiku7 ай бұрын
Nawapenda sana ur doing the best
@stevenbamba74897 ай бұрын
Oooh Hallelujah....Congrats C2S....Glory be to GOD
@momylaviel7 ай бұрын
Mbarikiwe sana vipenzi❤❤
@johansenbashange26287 ай бұрын
Mbarikiwe kwa huduma nzuri
@johnsonmalimaofficial7 ай бұрын
Be blessed much Brethrens 🤝🤝😊
@estheromorenda15437 ай бұрын
Amen!
@listermparusha61207 ай бұрын
Amen nice singing with strong message .God bless
@hawazakaria-kw5lh7 ай бұрын
Congratulations 👏
@qlcqlcc96487 ай бұрын
May God continue to use you for His glory, and may these blessed songs draw all to Christ!
@theserosfamily7 ай бұрын
Perfect vocals and great lyrics of hope❤❤❤
@Aaron-nu7dv6 ай бұрын
on replay....daaaaaamn
@winrosemenge80467 ай бұрын
Amen ❤❤❤
@rachaeleddy27 ай бұрын
What a beautiful blessing in song!
@viviennemayaka80507 ай бұрын
Amen. Thank you for such awesome and encouraging words through music. May The Lord bless and keep you🙏🙏
@Meshomukobrandtumaini5 ай бұрын
Nimebarikiwa sana...God bless you Team
@carolineomori10326 ай бұрын
Amen Amen. Yesu pamoja nasi.
@DavidNashon7 ай бұрын
Nyimbo tamusana hi barikiweni sana
@manalyrikali7 ай бұрын
Siogope Niko pamoja na we😊😊
@salomejohnson4557 ай бұрын
Im blessed kwa kweli
@davisnk9307 ай бұрын
Beautiful song
@simonmbwambo36607 ай бұрын
Ujumbe mzuri sana mbarikiwe
@GisichTheDesigner6 ай бұрын
nice piece
@HappinessCelestine-t2u7 ай бұрын
Dah! You know how to touch the heart of many people ❤️
@adafelix77865 ай бұрын
Amen. Post more songs
@BarakaSospeter-zd6lf7 ай бұрын
Mbarikiwe
@teresaomwenga98007 ай бұрын
Amen Amen 🙏
@LEOAMOS-nw7tv7 ай бұрын
Be blessed🙏
@jacobmwera96367 ай бұрын
SUPER
@uzimatele7 ай бұрын
Those harmonies man!
@bensonsalige59107 ай бұрын
Huu mmeutendea haki , music mtulivu ,chords tamu , sauti Zina bariki....Just marvelous Can we have an Acapella version , pleaseeeeee.. Hiyo besi. Dah ! just waoooo
@winnieraini2137 ай бұрын
Amen! ‘Siogope Niko Pamoja Na We! Looking lovely in All White ❤️
@bettyenoch26857 ай бұрын
AMEN
@kelvinogwaro29017 ай бұрын
Amen. Amen.
@barakalaizer19157 ай бұрын
Amen 🙏
@lilianmichael34027 ай бұрын
Halleluya❤
@lmStudiosV7 ай бұрын
Oh woow,this is sweet
@JoshuaOgola-df4jj7 ай бұрын
Ameeeeeen ❤
@kwandikwa87337 ай бұрын
What a song
@jacklinedavid55207 ай бұрын
Euphonious voices..❤ ..but the lady in glasses what's your name? 😊
@corretatz63357 ай бұрын
Ameen Ameen, mbarikiwe sana.
@MarthaManema29 күн бұрын
Amen. Kama si Bwana kuwa nasi tungekuwa wapi?
@esthermarkmalekana11227 ай бұрын
Amen
@EngcalebJoseph3 ай бұрын
please add lyrics of every song bcz they help us to even understand every stanza please , kutoka Rwanda 🙏
@healer75339 күн бұрын
Stanza 1: Kabla ya kuumbwa nilikujua kabla ya kuwepo nilitambua, mbona mashaka yamekuzingira ?, ni sauti ya BWANA yakuuliza ndugu. Chorus "Je si Mimi niliyekuambia usiogope Tena sifadhaike, natembea nawe utakapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti siogope Niko pamoja na wewe" Stanza 2: Furaha ile ulokuwa nayo haipo Tena huzuni naona, je ni Kesho yakutisha mwanangu?, ni sauti ya BWANA yakuuliza ndugu.
@kingsaimon61487 ай бұрын
❤
@JoshuaOgola-df4jj7 ай бұрын
Ameen
@aumamongare7 ай бұрын
🙏
@JessyC-g2eАй бұрын
Kindly add the lyrics in kiswahili ya kabla😁
@healer75339 күн бұрын
Stanza 1: Kabla ya kuumbwa nilikujua kabla ya kuwepo nilitambua, mbona mashaka yamekuzingira ?, ni sauti ya BWANA yakuuliza ndugu. Chorus "Je si Mimi niliyekuambia usiogope Tena sifadhaike, natembea nawe utakapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti siogope Niko pamoja na wewe" Stanza 2: Furaha ile ulokuwa nayo haipo Tena huzuni naona, je ni Kesho yakutisha mwanangu?, ni sauti ya BWANA yakuuliza ndugu.
@JessyC-g2e9 күн бұрын
Thank u
@DonaldDeogratius-k5q22 күн бұрын
😅😅😅😅
@MichaeliMshana-xn4yw7 ай бұрын
This song is likeWafahamu watu wawili katika Biblia na THE REMINANT HOPE FAMILY SINGERS kzbin.info/www/bejne/rXvFeoFmbZ2ciqMsi=edR8CE_kGJYmBnfH
@1sokeyo7 ай бұрын
May God continue to use you for His honor and glory, and may these blessed songs draw all to Christ!