Kabla ya kuanza UUMBAJI,MUNGU alikuwa ANAFANYA NINI?kabla hajaumba MBINGU alikuwa WAPI?

  Рет қаралды 182,806

BONGO FASTA

BONGO FASTA

Күн бұрын

kama ujuavyo binadamu anahitaji kujua kila kitu,hivyo asingeweza kupuuza maswali aliyonayo kichwani kuhusu uumbai wake na dunia kiujumla,na moja ya maswali hayo,ni je ikiwa Mungu ni wa milele alikuwepo tangu na tangu,kabla ya kuanza uumbaji alikuwa anafanya shughuli gani?na pia ikiwa inaaminika Mungu anaishi mbinguni,je alikuwa wapi wakati anaumba mbingu nannchi?

Пікірлер: 244
@micamathew2595
@micamathew2595 3 жыл бұрын
Mungu ni Mungu tu!!! Hawezi kufanana wala kufananishwa na kitu chochote. Alikuwepo enzi na enzi mpaka hii leo na hata milele.
@ekaiamoja3155
@ekaiamoja3155 2 жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@jonathanmunga
@jonathanmunga Жыл бұрын
gud
@heriabudu3207
@heriabudu3207 Жыл бұрын
👏👏Then why do other believers say there's 3 god's? where did they get this 4rm? please pass the great knowledge to those who don't understand ✍️✍️👍
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
@@heriabudu3207 hawataki tu kuelewa
@Wamburus
@Wamburus Жыл бұрын
Amen
@soccerwide6958
@soccerwide6958 3 жыл бұрын
Binafsi ninavyo fikiria ni kwamba, Mungu baada ya kumuumba mwanadamu alimuwekea mipaka ya kufikilia na utambuzi juu yake, kwahiyo pamoja na uchunguzi woooote hakuna binadamu yeyote anayeweza kutambua chochote kuhusu Mungu na itabaki kuwa hivo maana hatuwezi kuvuka alipoweka mpaka wake ktk akili zetu.
@soccerwide6958
@soccerwide6958 3 жыл бұрын
Na bado tutasema sana kuwa ilikuwa hivi mala vile kwa jinsi tunavyo amini, na jibu tunalo kabisa kuwa hatuna jibu halisi, ndo tutatambua kuwa kuna mpaka Mungu alotuwekea ili tusijue zaidi kuhusu yeye japo naamili lipo jambo ambalo hakuna mwanadamu anayeweza akalitambua.
@aronnkini9314
@aronnkini9314 3 жыл бұрын
Sana broo umetisha✍️✍️
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Upo sahihi Hata me nililiona ilo Nafikiri baada ya kujiuliza maswali mengi juu yake
@jacklinepatrick6679
@jacklinepatrick6679 2 жыл бұрын
Kweli kbs
@yolenimocheng8745
@yolenimocheng8745 Жыл бұрын
Siku moja nkikaa kwa kutulia kufikiria juu ya suala hili ...nilihisi kuchanganyikiwa nikaliacha Kama lilivo nkagundua Mungu hachunguziki
@Ibrah287
@Ibrah287 3 жыл бұрын
Aiseeh! Mejifunza kituu, ubarikiwe bro..
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 2 жыл бұрын
PURE METAPHYSICS Asante sana umeeleza vizuri. God is unlimited, Omnipotent, Omnicient, etc. He is not limited by space neither is He limited by time. "God Is" "Supernatural Being" and so Being Is.
@abray9808
@abray9808 3 жыл бұрын
Kwako back to back na hujawahi kufeli,amazing xna mzeewngu keep up bro
@dullahmihuri
@dullahmihuri 3 жыл бұрын
Kaka nakukubali sana... ila kwa mada km hi ntaomba usilete tena. Mungu hafanani na chochote kwaiyo utawazonga tu watu
@khatybzuber9744
@khatybzuber9744 3 жыл бұрын
Asizungumze mambo asiyo elmu nayo
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 2 жыл бұрын
kivipi hana elimu nayo wakat kajibu vyema
@dansonmketi4827
@dansonmketi4827 2 жыл бұрын
@@harrisonsamwel3112 hawajui wanayoyanena,,kazi yao ni malalamiko tu
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo 2 жыл бұрын
Mungu ni muweza wa kila kitu...
@footballnews414
@footballnews414 3 жыл бұрын
Clever Man I like it😍
@andrewshustle1331
@andrewshustle1331 3 жыл бұрын
I like it GOD is Unthinkable! 🌀
@juniorcarlos-sk1rr
@juniorcarlos-sk1rr Жыл бұрын
Good
@joshuatai40
@joshuatai40 2 жыл бұрын
Safi sanaa tunapenda kazi zako
@victormbekomize8154
@victormbekomize8154 2 жыл бұрын
Nimependa ulivomalizia na hivo ndo jibu ya maswali yote yanayomtatiza mwanadamu.Hakuna zaidi ya hapo,ukichimba sana watakuokota huna nguo mwache aitwe JEHOVAH TU.Akili yetu ni ndogo kuyachunguza yote ya Mwenye enzi MUNGU.
@RichardEvarist-ht4ih
@RichardEvarist-ht4ih Жыл бұрын
God bless you.
@sincyweiny6326
@sincyweiny6326 2 жыл бұрын
Appreciate so much 🙏 majbu mengine tunayo wenyewe kam kila k2 kingejiumba bila MUNGU.bas kila m2 angeumba anachokijua yeye .Appreciate so much bro .I like the way ulvo explain
@sammulhat9400
@sammulhat9400 3 жыл бұрын
Qur-an Ambbiyai 21:30"Do the disbelievers not realize that the heavens and earth were ˹once˺ one mass then We split them apart? And We created from water every living thing. Will they not then believe? "Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini? Ilo Bing Bang Mwenye enzi Mungu ameshaliongelea miaka 1400 ilopta tyr . Na kinachoshangaza zaid waloleta iyo theory ya ilo Bing Bang n wa2 ambao hawaamn uwepo wa Mungu(Athiest). Apo kuna utabiri wa aina ya wa2 walokusudiwa pm1 na fact.
@lugwerasta3083
@lugwerasta3083 2 жыл бұрын
Once one mass then(WE) split them apart,,,who and who,,,that is where jesus christ comes in now
@sammulhat9400
@sammulhat9400 2 жыл бұрын
@@lugwerasta3083 That Royal "we" all the semetic Languages use that. It's not the we of many. Learn languages
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
"Damu ya Yesu ikufunike wewe na familia yako!!! Umeeleza vizuri sana
@saidony9492
@saidony9492 2 жыл бұрын
Mungu hatathiminiki kwa namna yoyote Ile vinavyo tathimika ni mambo aliyo yafanya, Ndipo tuna pata neno linalo sema Mungu hafananishwi na jambo lolote kwa sababu hayupo katika mithiri ya alivyo vifanya ikiwapo viumbe, vitu,vimerea nk. Mungu ni uwepo ulio kuwepo pasina kinacho ishi kuwepo, Mungu Yuko wapi? Mungu yupo huko alipo yeye na alipo yeye hakuna kiumbe kinaishi huko kwasababu yeye si mwenye makao na viumbe vyake, Jadi yetu KZbin kwa anataka kujua zaidi kuhusu Mungu na aliyo yafanya, Asante
@zenarashidi4611
@zenarashidi4611 2 жыл бұрын
Mungu ndiye king of any thing
@togetherchristiansmedia3437
@togetherchristiansmedia3437 3 жыл бұрын
Unanishangaza justinshed kwa tuma videos kwa mfururizo keep going brother I watch every video you put here in Bongo Fasta nice videos keep up brother
@gilbertaochi9950
@gilbertaochi9950 3 жыл бұрын
Nice ubarikiwe Mr James
@thomasalchannel1135
@thomasalchannel1135 2 жыл бұрын
I like how you have Explained it . Hallelujah 🙏
@roselinenjau6417
@roselinenjau6417 3 жыл бұрын
MUNGU NI ZAIDI YA YALIOANDIKWA! AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI MILELE! ATABAKI MUUMBAJ MILELE!!
@raston4gkalonda821
@raston4gkalonda821 11 ай бұрын
Yaliyoandikwa mengi Tulipigwa parefu mno
@josephdeodatus2893
@josephdeodatus2893 2 жыл бұрын
Safi Sana kaka na Mungu akubariki Sana umeongea vizuri Sana
@jumannetg3071
@jumannetg3071 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa
@badrumbarouk3377
@badrumbarouk3377 2 жыл бұрын
Allahu ahadu walamyakullahu kufuan ahadu Mungu ni mmoja wala hakufanana na kitu chochote
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 жыл бұрын
Yani sijakubaliana na jibu hata moja hapo, maana yote yaliyosemwa yametoka kwenye ubongo wa mwanadam
@allanothuman2941
@allanothuman2941 3 жыл бұрын
Big up 👏👏👏👏
@mwlngilangwatheheavennetwo9050
@mwlngilangwatheheavennetwo9050 2 жыл бұрын
I understand, thanks Justin
@saldonichalisi2219
@saldonichalisi2219 3 жыл бұрын
Soma Mika 1:2 -3 MUNGU BABA alikuwa mahali panaitwa mahali pake,hanayejua zaidi ya hapo ni MUNGU BABA mwenyewe.
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 Жыл бұрын
This is my all time favorite video
@JadonNsabimana-ow1vo
@JadonNsabimana-ow1vo Жыл бұрын
Asante kwa hilo jambo kabla Mungu kuumba dunia alikua in his groly
@shadidumabote9262
@shadidumabote9262 Жыл бұрын
Namna yakujadili uwepo wa mungu ni shirki yani utamshirikisha na chochote au yeyote, haipaswi kujadili juu ya uwepo wake, pia faham yeye kaumba Kisha akapangilia mambo yake, vile vile ukitaka kujirithisha juu ya taratibu za mungu Soma Qur'an, sijakwambia ubadili dini Soma uislam,
@wartv730
@wartv730 Ай бұрын
Mungu ni Mungu
@MUSTAFAMKUFYA
@MUSTAFAMKUFYA 6 ай бұрын
unazunguka sana brooh kweny maelez yako,,go straight
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 2 жыл бұрын
Mungu Ni Mungu Tu Hatuta Weza Kumfananisha Ama Kumtafiti Kwama Anasema Katika Kitabu Cha Bibilia Isaya 55:8 Kwamana Mawazo Yangu Sio Yenu Na Njia Zangu Sio Zenu Ndio Kwamana Mungu Ni Mungu Tu
@shabanJuma-fe6wf
@shabanJuma-fe6wf 11 ай бұрын
Mungu hafananishi na chochote kile .
@frankbella4271
@frankbella4271 Жыл бұрын
Mungu hachunguziki
@Jairosi-g6n
@Jairosi-g6n 14 күн бұрын
Mungu atupe kujua kwasehem jinsi alivyo umba vyote
@bestebest3380
@bestebest3380 2 жыл бұрын
Amen Mungu nimwema
@happyness577
@happyness577 Жыл бұрын
Amen Mungu ni mweza wa vyote
@queenWitynes
@queenWitynes Жыл бұрын
Mungu hafikiliki nawala hatathiminiki. Me Kuna mda Huwa nawaza mpaka nachoka 😂 anyway ilove you god wewe ndokila kitu kwenye maisha yangu sikuoni kimwili ila nakupenda 🥰
@clementinepaskaziya5636
@clementinepaskaziya5636 2 жыл бұрын
Akili za Mungu hazichunguzikiii eh
@HemedAmourHemed-jk3nm
@HemedAmourHemed-jk3nm 11 ай бұрын
Ahsante Justin shedy umeongea pwenty kaka big up sana broo
@zickmalik4901
@zickmalik4901 Жыл бұрын
Muulize shekh yoyote mwenye elimu atakujibu kabla hata ujamaliza kikombe cha kaawa
@mesatagirassane4853
@mesatagirassane4853 3 жыл бұрын
Mungu ni wa Milele
@kibayasadickson4105
@kibayasadickson4105 2 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa mwachen mungu aitwe mungu
@princegerard4704
@princegerard4704 3 жыл бұрын
Wakwanza Kuview Shout-out kwa Justine Shedy sasa twende kazi
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 3 жыл бұрын
Sasa twende kazi 💪 Justin
@biabaroger9360
@biabaroger9360 3 жыл бұрын
Mungu akupe mguvu nfugu yangu akupe nguvu yeye muweza wa yote Amen
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 Жыл бұрын
Amen
@alikhamis6326
@alikhamis6326 2 жыл бұрын
Allah ni wa kipekee hakuna anaefanana nae hata mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Жыл бұрын
Huyo Mungu ambae afanani ni Mungu Allah WA waislam na anamipaka Hana uwezo wa kufanana na kitu, ILA Mungu WA kweli ni Yule mwenye mwana,
@rorotv4872
@rorotv4872 3 жыл бұрын
Hii n kufuru wadau
@salmadhiab2693
@salmadhiab2693 3 жыл бұрын
Sana mambo mengine mpaka wanakufuru astakhfirullah jamani
@imadwaheed4317
@imadwaheed4317 3 жыл бұрын
kweli kabisa
@goodnews5845
@goodnews5845 3 жыл бұрын
Asante kwa jibu zuri
@dioudonnesumaili7901
@dioudonnesumaili7901 3 жыл бұрын
Tuma nyingi I like your video
@merycianavedasto6012
@merycianavedasto6012 Жыл бұрын
kwa kwel hata mimi hua najiulza swal hlo mungu kaletwa na nan alitokea wap lakin namwamini sana
@rickrosee2260
@rickrosee2260 3 жыл бұрын
Safi sana bro
@Hamidakatitibu
@Hamidakatitibu Жыл бұрын
Mungu ni neno
@bonifacewanjala2380
@bonifacewanjala2380 Жыл бұрын
God 🥀🙏
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Mungu yuko popote pale ndo mana watu waki saidiwa wana sema mungu awe nawe sababu mungu yuko apo ulipo na apa nilipo na kujua mungu ylalikuwa wapi b4 uumbaji atuwezi jua ila mungu ali kuwako toka Enzi na anzi kwa muhujibu wa biblia mungu yy ndio mwanzo na ni mmoja tu yah yahana 3,3 mungu ni mwanzo yani mwanzo ndo mungu
@habonajeanwillon3336
@habonajeanwillon3336 5 күн бұрын
Please wadau nawaomba kwajina kuu la mwenye nzimungu wacheni kuingilia Sana mambo yamunguu
@Mussajohn99
@Mussajohn99 4 ай бұрын
Kumbukumbu la Torati 29:29 [29]Mambo ya siri ni ya BWANA, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii. kuna vitu vingine havina haja ya kuongelea hivyo ni vya MUNGU mwenyewe vya silini
@allenbonventure3528
@allenbonventure3528 2 жыл бұрын
Cha ajabu uyo jamaa aliyesema kwamba hakuna Mungu nae alikufa,sasa na yeye alienda wapi baada ya kufa? Ila tukumbuke kwamba yeye ni ALFA na OMEGA
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
🙏🙏 Nimepat majibu maan huw najiuliz sana hay maswali 👌
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 2 жыл бұрын
Sauti nzuri sana
@dennisisrael2187
@dennisisrael2187 3 жыл бұрын
At least tunaweza enda pamoja muda ulitengenezwa ili tuweze kupanga matukio lakini cio upo milele
@japhetnduti9102
@japhetnduti9102 Жыл бұрын
Barikiwa sana Justinshed🙏
@liobadeogratius7247
@liobadeogratius7247 2 жыл бұрын
Wengi mnalala mika sana mala kakufuru na mala nidhambi ulishajiuliza kama bible iliandikwa na watu basi watu waho waliongeza vitu kadhaa
@aronnkini9314
@aronnkini9314 3 жыл бұрын
Aseeee umenijubu majibu nimeyaelewa na nimeridhika kwa maswal yangu meng nikuwa najiuliza siku nyingi
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 2 жыл бұрын
story zako nzuri bro ila iyi ukitaka kujua sehem gani Mungu alikua kabla yaku umba kila kitu uliza waisilamu wata kwambia maana Mung yuko outside time outsdie the univers, He has on his throne his throne is above everything and he was alone, yeye na utukufu wake na sisi tulikua tupo kabla yaku umbwa ila sio ki bin adam lakini katika ujuzi wa Mungu ni sawa sawa na bin adam kabla yaku jenga nyumba iyo nyumba iko katika fikra zako utakavio ijenga na vitu utakavio pamba naku weka ndani iyo ni simple exemple ila kwa Mungu it's above our imaginations na tuki taka kujua zaidi kuhusu Mungu haito wezekana maana akili na fikra zetu bin adam zina limit tulio pewa na Mungu kwa sisi waislam Mungu ni umoja tu na tuna sema kwa kiarabu ( Allah hua samiu Laalim) Mungu yeye ni mwenye ku skia na mwenye hikima na ilmu ya juuu
@dansonmketi4827
@dansonmketi4827 2 жыл бұрын
Kwa hvyo waislamu ndio wanafahamu zaidi kumhusu mungu sio?
@tawhidislam4418
@tawhidislam4418 2 жыл бұрын
Waislam wanjua Mungu moja tu muumba ardhi na mbingu
@kobelotv
@kobelotv 2 жыл бұрын
nje ya ufahamu wetu,
@zqtvtz
@zqtvtz 2 жыл бұрын
@@dansonmketi4827 ndiyo Wanamjua jpo sio san ila n tofaut na ambae c muislam (hakun mkristo anaemjua zaid mungu muumba kuliko muislam)
@zqtvtz
@zqtvtz 2 жыл бұрын
@@R.Dickon tayr nshajua na ishaniweka huru Na kila muislam anaejua ukwel yupo huru, ndo mana muislam ukimuelezea habar za sayans hakushangai san, mfano ukimwmbia mtu fulan kaunda chombo kinachotembea kw speed ya km 200 kw saa hakushangai kw7bu Allah tayr kaumba viumbe tofaut (wanaadam na wanyama) vyny speed kuliko hicho cha mzungu
@amenipasanga9865
@amenipasanga9865 3 жыл бұрын
Mungu Ni wa ajabu
@wigomwenyeflevazake7913
@wigomwenyeflevazake7913 3 жыл бұрын
asnte wazeee nimekukubali sana
@usumanezana1775
@usumanezana1775 Жыл бұрын
Nakubali kazi
@kelvimetusi
@kelvimetusi 3 жыл бұрын
We jamaa upo vzur asee... Umenifumbua macho sanaa
@tineymichael
@tineymichael 3 жыл бұрын
🚶🚶🚶
@b2kdjmix87
@b2kdjmix87 3 жыл бұрын
Baba is papa
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 3 жыл бұрын
Mie Sitaki kuyajua sana ya Mungu ila Nachojua Mimi Kumuomba kwenye Shida na Raha Ayo Mengine unaweza jikuta Una Book lako zima limejaa Dhambi za Dunia Adi kwake Ume Muingilia kutaka kumjua yeye ni nani na Amefanya nini kutuumba sisi No Siwezi Unajikuta Ukifa upati Ata Lawyer Wa Kukusimamia Case yako ya Duniani ulio kua una yafanya😂
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Fact man
@juliusmakongoro4152
@juliusmakongoro4152 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana kaka
@abray9808
@abray9808 3 жыл бұрын
Inashangaza sana sidhani kma kuna mtu anaweza kupingana na hili
@FistonWilly
@FistonWilly 7 ай бұрын
Atukuzwe Yehova Siku Zote Za maisha yetu ,
@wabombajosephwangina5096
@wabombajosephwangina5096 2 жыл бұрын
thanks 4teaching
@wabombajosephwangina5096
@wabombajosephwangina5096 2 жыл бұрын
nimeelewa mafundisho ubarikiwe
@mofatnyingi9352
@mofatnyingi9352 3 жыл бұрын
Aty alikua amesimama wapi akiumba,,, kwani we haukusoma geography? Universe ni vacuum na ndo kubwa kuliko solar system na solar system ni mchanganyiko wa jua ,dunia na sayari zingine ambazo zote zimeumbwa na mungu na hii universe ambayo ni vacuum haikuumbwa na mungu,,,,na kama mapepo yana uwezo wa kutembea na kusimama hewani je mungu?? So mungu alikua tu amesimama tu kwa hii universe ambayo ni vacuum akiumba dunia na sayari zingine na the same way ndo alikua anasimama na kutembea kwa hii universe ambayo ni vacuum b4 kuumba dunia na sayari zingine,,,, remember God is a spirit.
@aronnkini9314
@aronnkini9314 3 жыл бұрын
Kisayansi umejibu vyema mnoo nakubali💪💪
@harrisonsamwel3112
@harrisonsamwel3112 2 жыл бұрын
mungu yuko nje ya hii vacume yuko nje ya uumbaji yani unavyo viona na usivyo viona yeye yupo nje ya hivyo vitu hata hii vacuume kaiumba yeye kumbuka hakukuwa na chchote na wala hakusimam katika chchote
@bk.intertainmentsandfunnys3263
@bk.intertainmentsandfunnys3263 2 жыл бұрын
The beyond thinking about god creation before universe will make u craizy or die into sin
@bk.intertainmentsandfunnys3263
@bk.intertainmentsandfunnys3263 2 жыл бұрын
The beyond thinking about god creation before universe will make u craizy or die into sin
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 2 жыл бұрын
@@bk.intertainmentsandfunnys3263 🤝🤝🤝🤝true
@Revelation1412.
@Revelation1412. 2 ай бұрын
MUNGU ni Mmoja hafananishwi
@roi2554
@roi2554 3 жыл бұрын
Lilikuwa swali ambalo linanisumbua sana tangu mda mrefu ila saivi nashukuru nmepata jibu
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Жыл бұрын
Mungu akupenda kuwishi peke yake ndio mana akaumba Dunia ili apate kuitadhama na mengine yaka fuata humbaji enderevu
@martinngenzi6276
@martinngenzi6276 2 жыл бұрын
Ni kama kuwaza kabla aujazaliwa ulikua unafanya nn
@farajajoseph2971
@farajajoseph2971 3 жыл бұрын
Sasa twende kazi
@aronnkini9314
@aronnkini9314 3 жыл бұрын
Broo hata kama unakaa nakupitia lakin automatical your a genies
@achymedia
@achymedia 3 жыл бұрын
Leo nimekuwa wakwanza ku viewer 💡
@shabanimrindoko-yl9xx
@shabanimrindoko-yl9xx Жыл бұрын
Wala mandiko mataktif hayasemi kua umbaji ulikua dunia tu soma vizur
@josephsomba1752
@josephsomba1752 2 жыл бұрын
Kazi njema kaka
@AlfanedaziadaZiadaalfane
@AlfanedaziadaZiadaalfane Жыл бұрын
@samwelmkondo10
@samwelmkondo10 3 жыл бұрын
Soma Sana, maarifa yanayoelezea historia ya ulimwengu pamoja na ushahidi wake yapo Kila mahali... Fahamu pia historia inayolezea kutengenezwa kwa Biblia, kitabu ulichotumia Kama reference, itakusaidia.
@yunusidriss3528
@yunusidriss3528 2 жыл бұрын
Mungu hafanyiwi utafit wala hchunguzwi ukisema alikuawapi itakua unakufuru hilo neno wapi pia kaliumba yeye
@mansoorkazibaba522
@mansoorkazibaba522 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@mohammadalfani5243
@mohammadalfani5243 2 жыл бұрын
Someni vitabu vya mungu hasa someni Quran...mungu aliumba mbingu n nchi tena Mbingu saba n ardhi saba...kisha baada ya mbingu saba ndo kuna Arshi yake pale alipo Mungu yuko juu baada ya mbingu
@husseinmohamed6298
@husseinmohamed6298 2 жыл бұрын
We unataka kusema kwamba Mungu yupo katika kiumbe chake! Kwa maana hiyo anategemea kiumbe chake! Wacha kufru hizo. inatosha kujua na kukubali uwepo wa Mungu basi. tusimhushishe na sehemu Wala wakati kwasababu yeye ndiye aliyefanya sehemu na wakati, yeye ndiye mwanzilishi, kabla ya kuwepo wakati, kabla ya kuwepo sehemu yeye alikuwepo na yupo daima baada ya kuumba Kila kitu na Wala haathiriki Wala hategemei kiumbe chochote katika viumbe vyake
@africrowd4559
@africrowd4559 Жыл бұрын
Ndo mojà Kati ya maajabu yake kwa maana kajiweka kipekee kiasi mpaka ukifikilia uwezi pata majibu kwa mfano kifo ni kitu ambacho hakijulikani kinaendaje nin kinatokea baada ya kifo kwahyo atukuzwe Mungu mmoja asie na mshilika
@gastokonzo9798
@gastokonzo9798 2 жыл бұрын
MUNGU ni mkuu Sana wala akili zetu aziwezi kumpima.
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
ALIYE UMBA DUNIA NI MUNGU YESU
@macamezungu7031
@macamezungu7031 2 жыл бұрын
Sasa twende kazi 🙏
@dennisisrael2187
@dennisisrael2187 3 жыл бұрын
Kuepuka upepo wa Mungu n kuepuka ukweli ambao tutakutana mwshoni tu
@akhamedimaster6400
@akhamedimaster6400 2 жыл бұрын
Shabiki namba 4 wa just shed nakufutilia kwa umakini mkubwa uko vizur mkuu piga kazi kaka uko vizur
@jumannempweza568
@jumannempweza568 3 жыл бұрын
Very True
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 44 МЛН
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Russo
Рет қаралды 23 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 44 МЛН
UKWELI WA MUNGU NI NANI NA USHAHIDI USIOPINGIKA KUA ALIKUUMBA
11:21
Bloomberg Surveillance TV: September 16, 2024 | Bloomberg Surveillance
30:28
War and peace-building on a heating planet | Zero: The Climate Race
32:14