No video

KABURI LA SOFIA (BONGO MOVIE)

  Рет қаралды 364,991

ALL MOVIES

ALL MOVIES

6 жыл бұрын

JE, ni kweli kaburi linaweza kutoa adhabu kwa aliyekosea? Jibu utalipata kwenye filamu hii ya Kaburi la Safia. Baadhi ya wanababa huwanyanyasa wake zao hasa pale anapokuwa na pesa nyingi,
anajihisi Kuwa lolote anaweza kulifanya kutokana na pesa zake bila kujali Mungu yupo. Lakini wamoja ni wamoja tu, hasa pale unapomsahau mungu. kaburi la safia filamu yenye kusisimua itakuliza kutoka kwenye umaskini hadi kwenye utajiri baba aingiwa na tama za mapenzi atosa familia uchawi vituko uzuni ‪@BongoBDMovies‬ ‪@bongofive‬ ‪@swahiliwood‬ ‪@JotiTV‬‪@Bongo-BD‬ ‪@SwahiliMedia‬ ‪@madebelidai10‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@middlesimba‬ ‪@SamMisagoTV‬ Bongo TV Filamu Kwa kiswahili ‪@filamuzetu2841‬ KwetuStudios ‪@ITVTanzaniaTz‬ ‪@TIMESFMTZ‬ ‪@TBC_Online‬ ‪@ikulutanzania255‬ ‪@simbasctanzania255‬ ‪@kenyacitizentv‬ ‪@ntvkenyaonline‬ ‪@EastAfricaTV‬ ‪@SinemaGo‬ ‪@zanzibarnikwetu1998‬ ‪@aromaofzanzibar‬ ‪@utamuwetu‬ ‪@AllTeluguMovies‬

Пікірлер: 412
@ringoclever7208
@ringoclever7208 4 ай бұрын
2024 Bado tunajikumbushia tupo live
@chabameinstrumentalbeat6510
@chabameinstrumentalbeat6510 2 ай бұрын
tuwekee na movie ya chiku na kapili ,,sijui hapa Kuna wahenga wanaikumbuka
@nicehonesty3936
@nicehonesty3936 4 жыл бұрын
Kama bado unaitizama 2020 like hapa weweee....piga kelele kwa sofy akeee
@mariamjoseph6421
@mariamjoseph6421 4 жыл бұрын
We we we weeeeeeeeee
@mariamjoseph6421
@mariamjoseph6421 4 жыл бұрын
We we we weeeeeeeeee
@gilbertgilman7857
@gilbertgilman7857 3 жыл бұрын
@@mariamjoseph6421 mh jaman
@gilbertgilman7857
@gilbertgilman7857 3 жыл бұрын
@@mariamjoseph6421 nataka picha ako
@ab3ab313
@ab3ab313 3 жыл бұрын
wakwanza mie kbs
@aishajuma220
@aishajuma220 5 жыл бұрын
Daaah kunawatu wahenga humu wanakumbuka adi mwaka wahii movie!!! Noma
@hashimujabali8501
@hashimujabali8501 5 жыл бұрын
Daaah jau mzeee huy
@noelimafwele602
@noelimafwele602 3 жыл бұрын
2003
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Enz hiz me nko l pili
@RahmaRamadan-ui3ir
@RahmaRamadan-ui3ir 3 ай бұрын
Mimi la kwanza 😂😂😂ila bd naikumbuka ​@@getrudamartin2409
@issakihange902
@issakihange902 3 жыл бұрын
Kama bdooooo unatima hiiii 2021gongaa likee hapoi
@abdulmpunjo1241
@abdulmpunjo1241 3 жыл бұрын
SAFARI YA CHIKU na KAPILI na jinamizi Kisa cha Kweli kilichotokea Rufiji miaka ya 90 ni nzuri Hizi movie
@iptysammasood6337
@iptysammasood6337 3 жыл бұрын
Jinamiz lap u Sana
@bongoyetu8938
@bongoyetu8938 6 жыл бұрын
Duuuhh miaka ileee sukari shilling 450@kg Kama unakumbuka fanya hivi 👍
@retinashayo187
@retinashayo187 6 жыл бұрын
hii ni fundisho tosha kwa wote ni mda Sana enzi za,TV za kisogo
@khadyjahnadibu2027
@khadyjahnadibu2027 4 жыл бұрын
Daaah!!! yan nakumbuka enz zileeeeeeeee..... n ki2 bomba xanaa
@erastokomba3615
@erastokomba3615 3 жыл бұрын
Qq 11118
@erastokomba3615
@erastokomba3615 3 жыл бұрын
Sana
@erastokomba3615
@erastokomba3615 3 жыл бұрын
Daaah kitambo
@dieudonnensengiyumva2511
@dieudonnensengiyumva2511 6 жыл бұрын
Mungu akubariki wewe ulie tuwekea hi movie.God bless you so much.
@jenifergreen4626
@jenifergreen4626 4 жыл бұрын
Tizo alikuwa good kwenye kuigiza
@azzahussein840
@azzahussein840 3 жыл бұрын
Nishida huyu mwalim Ali 😅nlisoma nae shule ya msingi mikumi
@alexiswamillazo6520
@alexiswamillazo6520 6 жыл бұрын
Itapendeza ukitupia na SAFARI chiku na kapili. Pia ROHO MBILI.. gd san
@erickhaule8680
@erickhaule8680 6 жыл бұрын
Alexis Wamillazo safari bonge la movie
@mandalingiabdala2678
@mandalingiabdala2678 6 жыл бұрын
Hata me naitamani sana safari
@ct-sz6fw
@ct-sz6fw 5 жыл бұрын
Umeijuaje safari naitaman kichichiz
@officialyoctanyavani776
@officialyoctanyavani776 5 жыл бұрын
safari ndo mpango mzima
@paulsantanatzee8301
@paulsantanatzee8301 5 жыл бұрын
Umejuaje broo safari naipenda sana
@zahranassor4208
@zahranassor4208 Жыл бұрын
Ni movie nzuri kabisa..inafunza kabisa..2022 hapa..kumbe movie za zamani ni kweli old is gold😍😍
@kingswebe3251
@kingswebe3251 6 жыл бұрын
safi sana tulikuwa tunakusanyika nyumba moja hivi enzi hizo halafu unaambiwa kaoge kwanza ndipo urudi. thanks sana bonge la movie
@doreenmazigo9895
@doreenmazigo9895 6 жыл бұрын
Obedi Swebe
@davismwakanosya7671
@davismwakanosya7671 6 жыл бұрын
Hahahahaha apo utakuta mnailudia ata Mara 7
@salomeshard7278
@salomeshard7278 6 жыл бұрын
Obedi Swebe
@marryjames6379
@marryjames6379 6 жыл бұрын
king Swebe 🤣🤣🤣🤣
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 жыл бұрын
king Swebe hahaha dah acha kabisa
@nicehonesty3936
@nicehonesty3936 4 жыл бұрын
Dahh dogo kanitoaga machoz tangu enz hizoo ad leo nampenda sana tizo jamni
@pascharedward5280
@pascharedward5280 3 жыл бұрын
Nzur sana za zaman
@maimunanewton410
@maimunanewton410 18 күн бұрын
Naangalia namkumbuka baba i was 6 old when he passed away 2006 alinunua hii movies enzi hizo ni tape kubwa ma bonge la tv..😢
@christinadaniel3728
@christinadaniel3728 8 ай бұрын
Jamani kila ninapo itazama hiii movie machozi lazima yanitoke😢 bat haikinai kutazamwa yaan ni nzuli sanaaa pongezi kwa director 🎉🎉🎉
@opiyoomollo5333
@opiyoomollo5333 4 жыл бұрын
Move zazaman zilikua safi sana
@jocalproduction8102
@jocalproduction8102 6 жыл бұрын
Ivi awa wa toto wapi waliko maman ngu alikuwaga napenda sana iyi filamu ivi niki mwambiya kama nime ipata kwenye KZbin dah itakuwa makelele ya raha naipenda sana iyi movie
@musasabu6969
@musasabu6969 3 жыл бұрын
Movie za zamani zlkuwa znafundsha
@mchiadarsizm1052
@mchiadarsizm1052 6 жыл бұрын
Ktambo sana dah!! Enzi izo dem unamtongoza kwa barua ___vzr kwa iweka bado Chiku na Kapili (Safari)
@khadijamessiah8620
@khadijamessiah8620 2 жыл бұрын
Ile movie kwa kweli iyekwe tu kipindi hicho Niko s .t.d 1
@mwalimhamad9622
@mwalimhamad9622 6 жыл бұрын
safi sana kaka yani kipindi icho tukishamaliza kuangalia filam kama izo kimbembe kipo kwenye kwenda chooni..choon tulikuwa tunaenda wawili wawili dah safi san kaka tuekee na nyengine tufaidike zaidi
@estercharles7597
@estercharles7597 5 жыл бұрын
Hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa hahahahahahahaaaa noma sana kweli kabisaa kaoge kwanza ndo urud
@naimakweyamba5340
@naimakweyamba5340 4 жыл бұрын
Tarehe ya 7/10/2010 leo natizama tena move ya kitambo sanaa Aisee.. 😃😃 mie bado sijaona upizani
@user-kw6or5hb2z
@user-kw6or5hb2z 4 жыл бұрын
😃😃 #Naima toka izi izo Leo tuna 2019 Mungu mwema Sanaa Leo tunaludia kutizama Move za 2007
@mwanahamza5198
@mwanahamza5198 4 жыл бұрын
Niko drs la 7 kjjn hko hata dar siijui
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 Жыл бұрын
Mm sijaiona
@khadijakivanga9518
@khadijakivanga9518 3 жыл бұрын
Watoto wanajua sanaaa😘😘
@nuruabdallah9031
@nuruabdallah9031 4 жыл бұрын
Duuuuu safii sanaaa baba ....move ya kitambo sanaaa......Weka zingine zazaman Dj
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 жыл бұрын
hongera kwa kutuwekea the old move ambyo naipenda xana
@hawadere1512
@hawadere1512 6 жыл бұрын
Jamani hii move ni zamani sana tunafanya kelele kwenye nyumba ya watu. Mpk tunafukuzwa anaeongea lkn hatukomi ucku tuwekewe tena kanda la tepu. Hahha
@rukiahhussein6541
@rukiahhussein6541 6 жыл бұрын
Napenda hii movie
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 6 жыл бұрын
Mzee liko ambuyusha mzee hana busara kabisa
@abdulkadir3057
@abdulkadir3057 3 жыл бұрын
Daaah atari san
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Dh..... mizee mingine bange sanaa hinasahau hilipotoka fyuuuuu
@Qeek_Smart
@Qeek_Smart 5 жыл бұрын
2019 hiv ile pesa iloibiwa ni kwel pesa jaman iwekwe kwa nje jaman kaah
@herberthmakonter5965
@herberthmakonter5965 4 жыл бұрын
pesa haikuwa nje bali dogo alikuwa akiiba na kutia kweny mfuko pacpo muhindi kujua
@emmanulpatrick4211
@emmanulpatrick4211 3 жыл бұрын
Kitambo sana kipindi nipo la 2 mwaka 2004
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
@@emmanulpatrick4211 mim hata shule nilikuw bad sijaanz
@emmanulpatrick4211
@emmanulpatrick4211 3 жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 pole sana muvi Kali sana inafundisha
@rachelmaula6871
@rachelmaula6871 4 жыл бұрын
Nilichojifunza safia anamuheshimu San mme wakee
@juliamhagama9035
@juliamhagama9035 3 жыл бұрын
Amelala nje apoludi anakalibishwa vizuli kweli anamuheshimu
@halima7255
@halima7255 3 жыл бұрын
Ongereni sana kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote nifundisho kuwa sana
@allmovies8606
@allmovies8606 3 жыл бұрын
Amen
@user-zk7tp9iw9f
@user-zk7tp9iw9f 8 ай бұрын
Ongera sana baba tizo filamu inaelimisha.
@manboyjunior8376
@manboyjunior8376 6 жыл бұрын
Mhhhh hiii movie ya enzi gani haaaa nzuri xn
@jumabakwel4508
@jumabakwel4508 5 жыл бұрын
Daaah kitaaambo kweli
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 жыл бұрын
Wangap wameona Kuna mtu pembeni kazipeperusha pesa juu ya kitanda
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Hahahahaha
@sadickrajabu4536
@sadickrajabu4536 6 жыл бұрын
Hii movie nlkuwa mdogo sana iko poa sana
@rosemarypaulo8414
@rosemarypaulo8414 6 жыл бұрын
wabongo bwana xa dam gan ya pink
@ummyalirashid1607
@ummyalirashid1607 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂yaaani
@gracesemiono8040
@gracesemiono8040 3 жыл бұрын
Tizo anaweza sana
@mbatomudi4664
@mbatomudi4664 6 жыл бұрын
Nimeikubali
@shaniabdul542
@shaniabdul542 6 жыл бұрын
Asantee kwa movie nzur
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
mambo n 🔥🔥🔥🔥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@graceuk8866
@graceuk8866 6 жыл бұрын
jaman kipind cha move hii niko la 2 duu hatareee
@layaa5871
@layaa5871 6 жыл бұрын
mxee liko wee kubafu Sana
@amanimatokeo6765
@amanimatokeo6765 6 жыл бұрын
Duu kitamb sanaaa hats bongo movies hazijabamb na bong freava
@amanimatokeo6765
@amanimatokeo6765 6 жыл бұрын
Filam ya mafunzo makubwa tuepuke tamaaaa ss wanaume kwa Mali dhid ya vishawish vya wanawake
@alexassey5523
@alexassey5523 4 жыл бұрын
2020 tujuane hap
@imanibaraka503
@imanibaraka503 6 жыл бұрын
noma xan
@thumaaesmail628
@thumaaesmail628 6 жыл бұрын
zamani sana hii muvi
@miryamaugustino7951
@miryamaugustino7951 5 жыл бұрын
Kitambo xana dah nakumbuka mengi mungu nimwema jaman
@miryamaugustino7951
@miryamaugustino7951 5 жыл бұрын
Duhhhhhh
@shiruclever1679
@shiruclever1679 6 жыл бұрын
Safi sana namkumbuka mwalim msila kasulu tulikua tunaiangalia kwake
@hawwasandale1935
@hawwasandale1935 3 жыл бұрын
Duuuh! Mmeturudisha utotoni kitambo sanaaa nimefurahi balaa
@salvadordomingez8628
@salvadordomingez8628 3 жыл бұрын
Malipo yote ni hapa chini ya jua🙏 asanteni sana washiriki filamu hii inaelimisha jamii kwa ujumla
@anithamwenda7725
@anithamwenda7725 4 жыл бұрын
Yan limelala njee AF asubuh karibu Mme wangu Fyuuu
@prezgal8869
@prezgal8869 5 ай бұрын
Huyo ndio wife material sasa😂😂😂😂mi siwezi
@sarhankomelo6507
@sarhankomelo6507 Жыл бұрын
Daaaa zaman sana movie hii ila aichoshi atakutazama
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 3 жыл бұрын
Hii move uwa sichoki kuiangaliaa kwelii ya kale ni dhahabu 👌👌👌
@amybrown469
@amybrown469 3 жыл бұрын
Jaman tunao angalia KABURI LA SOFIA 2021 tujuane
@fatmamwatamba5881
@fatmamwatamba5881 3 жыл бұрын
Daaah hii movie ni kali na haishi hamu😇😇 Haijawahi kutokeya movie kama hii bongo
@twalibndauka1451
@twalibndauka1451 3 жыл бұрын
Bonge la movie hongera Sana kwa stori nzuri.
@timotheopaulo3800
@timotheopaulo3800 5 жыл бұрын
Dah! Hama kweli mungu hamtupi mcha wake
@jumalucas9505
@jumalucas9505 5 жыл бұрын
maskini Banza stone ama kwela Dunia tunapita....
@iradukundaSimplic
@iradukundaSimplic 2 ай бұрын
Iyi cinéma inatiya huruma sana mungu atupi mujakazi wake
@okuchuigwee5814
@okuchuigwee5814 6 жыл бұрын
Huyo mzee buree kabisa
@ziadasaidi821
@ziadasaidi821 5 жыл бұрын
Saf
@hawamusumbawanghatognola4470
@hawamusumbawanghatognola4470 Жыл бұрын
We stori tamu sana 💯❤️‍🔥💞
@swaumuabdallah4547
@swaumuabdallah4547 4 жыл бұрын
Coco ya zaman jamn❤️🥰
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana, enzi nikiwa mdogo kuliko hata huyo dogo Tizo. Bila shaka Mwalimu Ally (Tizo) kawa mtu mzima sasa. Pongezi kwa Tuesday Kihangala, jamaa kumbe mkali tangu kitambo hicho. Pongezi pia kwa Mussa Banzi. Banza Stone dah! R.I.P pia amenogesha sana humu. Inaitwa Kabuli la Safia na sio Sofia, niliogopa sana kitambo kile sikulala kabisa ila hata leo nimeogopa pia japo si kiviile.
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Hivi Musa Banzi Ni Marehem?
@martinswai8031
@martinswai8031 2 жыл бұрын
@@patrobamalema8631 hapana. Marehemu ni Banza sio Banzi
@immmkiety9000
@immmkiety9000 2 жыл бұрын
Shukrani
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 жыл бұрын
Shukran sana Kwa movie nzuri yenye mafunzo, Yani Mwanamume umekuwa Malaya mpaka umeua mkeo.Halafu wa Toto haohao waliokupa utajiri umewafukuza.Tamaa yako ona sasa.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
kabsa 😀😀😀😀😀
@biommy6700
@biommy6700 6 жыл бұрын
Nice movie.....hongereni wote washiriki...inamafunzo kweli
@mwanaishamzee8572
@mwanaishamzee8572 6 жыл бұрын
nice_movie
@sydney.ikapaya9994
@sydney.ikapaya9994 3 жыл бұрын
Sinema nzuri mnoooo
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 жыл бұрын
Umaskini huu, baba mtu kashindwa kumgombeza mwanawe 😂😂😂
@ZaharaMahendeka-e6q
@ZaharaMahendeka-e6q 23 күн бұрын
Enzi izo tupo kwenye kibanda tunaangalia bila mia uingii
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 4 жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema dunia na kesho ahera inshaallah dunia hadaa yarabi tustiri
@merrynanyaro7145
@merrynanyaro7145 3 жыл бұрын
Bu
@maryimah5173
@maryimah5173 3 жыл бұрын
Hii muvi ilikua na mafudisho sana..tofauti na bongo muvi za sikuhizi..kiukweli imenikumbusha mbali sana kipindi nipo mdogo.
@lukasmapunda6838
@lukasmapunda6838 6 жыл бұрын
Tafuta na shanaiza Sakafu wa moyo wangu
@shalmm4602
@shalmm4602 6 жыл бұрын
Watoto wako machooo huhuhuh shda zote izi
@saudaomary9363
@saudaomary9363 4 жыл бұрын
Daaah,kitambo sana
@raphaelkadyanji481
@raphaelkadyanji481 3 жыл бұрын
Kumbe huu usemi wa Mungu anakuona n wa ktambo
@iamsaadi434
@iamsaadi434 4 жыл бұрын
2020 tjrs la ❤️🔥😂
@ambdil-kayoummohamed8420
@ambdil-kayoummohamed8420 3 жыл бұрын
Je suis revenu 2021
@bintihassan6534
@bintihassan6534 3 жыл бұрын
Mwisho wa ubaya aibu baba aliakimbea hku afunga macho🤣🤣🤣
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 3 жыл бұрын
Azam tv turushieni movie kama hizi sio kila siku manakazi ya kurudia movie tu za akina Tin white na Ringo
@sdfghsdfgj531
@sdfghsdfgj531 6 жыл бұрын
daah atal enzi zilee
@mauwapremice7080
@mauwapremice7080 3 жыл бұрын
Daah kitambo san kweli apo kwenye pesa sasa daah😅😅
@herberthmakonter5965
@herberthmakonter5965 4 жыл бұрын
nilkuwA darasa la 1 kpndi hcho 2006 hyo mum alikuwa anaipenda sana hiii movie RIP My mum
@wechenjeke9776
@wechenjeke9776 3 жыл бұрын
Hugs dear🤗🤗🤗🤗
@ibrahibakar1167
@ibrahibakar1167 3 жыл бұрын
Kitambo icho nilikuwa napenda kuangalia bongo movie sio sasa.
@ruttycharles720
@ruttycharles720 3 жыл бұрын
Daah nimeamin wanaume wanabadilik
@user-nc2ve9np5h
@user-nc2ve9np5h Ай бұрын
Duh zaman sana uwo muda tuliuza mayai kwa bei ya 50 ili tukaangalie video
@khadijakivanga9518
@khadijakivanga9518 3 жыл бұрын
Mda Sana nakumbuka mbal
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Жыл бұрын
Dah! Tuesday Kihangala,,Mussa Banzi na Sultan Tamba walikuwa watunzi bora Sana wa filamu za mapenzi,uchawi n.k,,Nipo live 2023 hapa.
@imanibaraka503
@imanibaraka503 6 жыл бұрын
noma sana
@prezgal8869
@prezgal8869 5 ай бұрын
I miss those moments😊😊😊😊 2024✌️✌️✌️
@salumudaimu9865
@salumudaimu9865 6 жыл бұрын
Dogo wa kiumee huyu uigizaji ni kipaji sana.
@kudraomar7053
@kudraomar7053 3 жыл бұрын
Tupieni kitu cha husia.jamaa alikua anaimba kupiga debe kwangu ilikuapoa
@hassansaid2113
@hassansaid2113 6 жыл бұрын
Kaka hongera sana kw kututunzia kumbukumbu,kuna move ya bongo inaitwa shahidi ipo ila ni ya kitambo staring mbwana.
@officialyoctanyavani776
@officialyoctanyavani776 5 жыл бұрын
shahidi na safari
@najimrajabu3839
@najimrajabu3839 3 жыл бұрын
@@officialyoctanyavani776 tuwekee ushaidi
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 жыл бұрын
Tunaomba na safari kapili na chiku tujikumbushe
@davidphares5316
@davidphares5316 6 жыл бұрын
duh asante sana hii movie nakumbuka tokea sijazaliwa
@jinajuma6685
@jinajuma6685 5 жыл бұрын
Hujazaliwa ss unaikumbuka je
@estercharles7597
@estercharles7597 5 жыл бұрын
@@jinajuma6685 hapo shashaaa si ndo nashangaaaa!!!
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
@@estercharles7597 hahaha my
@nasraally1708
@nasraally1708 3 жыл бұрын
Nice movie kitambo san
@mchiadarsizm1052
@mchiadarsizm1052 6 жыл бұрын
Hv Tizo sasa hv hatakuwa huyo dogo
@mejumaabaraza8020
@mejumaabaraza8020 6 жыл бұрын
Duuuh 2002 nilikuwa class 1 mpaka xx naitw mama kweli miaka yaenda
@dullatawakal1492
@dullatawakal1492 5 жыл бұрын
Doooh ni muda sana
@seifmbundi1339
@seifmbundi1339 5 жыл бұрын
Mambo natafuta movie yatafu ile yakipofu my dear
@mchingamaally1606
@mchingamaally1606 4 жыл бұрын
Classmate 😂😂
@melaniagasper6820
@melaniagasper6820 3 жыл бұрын
Tulioangalia 2021 tujuajee
@manboyjunior8376
@manboyjunior8376 6 жыл бұрын
Mmmmh Dogo sugu sn nhaaa
@chedichedi2992
@chedichedi2992 6 жыл бұрын
Hassan hassan Asante sana kk kwa huiweka hii movie KZbin yaani long time sana
@samiaarimkone
@samiaarimkone 5 жыл бұрын
Baba.umejisaau😢😢😢😭😭😭
@salmamganga6584
@salmamganga6584 3 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@lukasmapunda6838
@lukasmapunda6838 6 жыл бұрын
Daaaa wekaka noma sana
@mwetafils8875
@mwetafils8875 4 жыл бұрын
Ya kale dhahabu
ROHO MBILI  2003  ##BONGO MOVIE
1:01:37
ALL MOVIES
Рет қаралды 212 М.
KUWADI  ( KING MAJUTO COMEDY  )
1:14:56
ALL MOVIES
Рет қаралды 125 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 51 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 29 МЛН
PAKA MTU Full Movie
1:24:29
JULIUS MIX
Рет қаралды 146 М.
Pemba ni asili yetu kiswabi umeuwa kaka
1:36
Chuchu Man
Рет қаралды 48 М.
MWIZI WA KUKU PART 1A (MZEE MAJUTO) Official Bongo Movie
34:01
Zuuh Ally
Рет қаралды 352 М.
Neria (Swahili Version)
1:37:38
Swahiliwood
Рет қаралды 417 М.
The Lost Twins Part 1A - Steven Kanumba & Suzan Lewis (Official Bongo Movie)
41:58
Maskini Jeuri - Part 1 | Official Bongo Movies|
53:23
Kiwango Media Films
Рет қаралды 424 М.
VITUKO VYA MJINI #KINGWENDU
27:20
ALL MOVIES
Рет қаралды 349 М.
URITHI WABIBI FULL MOVIE
1:17:38
Steve Mweusi
Рет қаралды 606 М.
MZEE WA BUSARA 2003  Part 1 ##maisha ya hofu na mashaka
44:44
ALL MOVIES
Рет қаралды 161 М.
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 51 МЛН