No video

KADUGUDA AFUNGUKA NKWABI KUONDOKA SIMBA/NA YEYE KUACHA UWENYEKITI SIMBA.

  Рет қаралды 47,711

Kalunduka Online

Kalunduka Online

Күн бұрын

Mwanachama wa simba Muhina Seif Kaduguda amefunguka sababu ya aliyekuwa mwenyekiti wa Zamani wa Simba Nkwabi kuondoka simba na kuachiangazi.

Пікірлер: 30
@user-hj1yn2un4q
@user-hj1yn2un4q 2 ай бұрын
Mwenyez mungu awahukumu wanao jaribu kuiangamiza simba.
@wideswahilimoviesonline9222
@wideswahilimoviesonline9222 2 ай бұрын
Kwahyo mzee unataka kusema nini mbona kila nyakati unalalamika sana
@KulwaMasaka-br5wf
@KulwaMasaka-br5wf 2 ай бұрын
Kaduguda mbona mukitoka madarakani hua wapotoshaji sana eee
@victorgogadi55
@victorgogadi55 3 ай бұрын
Tangu Nkwabi aondoke Mbona mafanikio yamepatikana, tuelewe kuna wakati timu zinashuka na kupitia wakati mgumu, mfano Manchester United mpaka leo wanajitafuta, Liverpool ilichukua miaka mingapi kufikia level waliyo nayo leo??, Simba wasitafute mchawi wajipange watafanikiwa
@user-tg3st6li2q
@user-tg3st6li2q 3 ай бұрын
Hapo kunamapunga watakushambulia mzee kaduguda
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 3 ай бұрын
Mzee umeongea ukweli mtupu
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 3 ай бұрын
Kwa hekima na busara haikupaswa kipindi hiki mzee kaduguga aendelee kuongea kwenye vyombo vya habari kuhusu mambo kama haya wakati Simba inapitia kipindi kigumu,ilibidi mzee atumie busara zaidi na acheni ni hivi vyombo vya habari.huu si wakati wa kuendelea kuongea maneno kama haya wakati timu ipo kwenye wakati mgumu
@AyatollahMustafa
@AyatollahMustafa 3 ай бұрын
Huyu mzee ndo anawatuma mashabiki waushambulie uongozi maana namuona nyami Simba pamoja ña huyo kapelo anayejiita mchungaji hao wote hua wanaropoka sana mitandaoni
@mckobatz5861
@mckobatz5861 3 ай бұрын
Mtu kutoa maoni yake sio kuropoka ndugu tena tujue kwamba kama huyu mzee ni miongoni mwa wanaoijua kweli kweli timu so kabla ya kumshambulia tazama hoja yake. Kuikalia kimya timu inapokuwa haiendi vizuri sio kuionesha upendo bali ni kuidhulu
@gordanhaule3579
@gordanhaule3579 3 ай бұрын
Nyinyi wakina kaduguda na baadhi ya wenzako ndio mliyoifikisha simba kny uozo huu umeona wamekutupa wenzio ndio unaanza kuongea ukweli nyinyi ni wanafiki sn.
@IddyAdam-ww1mq
@IddyAdam-ww1mq 3 ай бұрын
Yaaaas uko saw sana
@godfrey3926
@godfrey3926 3 ай бұрын
Wewe ndio mmoja wa watu unayeharibu Simba, msomi..msomi nini..Nenda huko mamluki mkubwa wewe. Tunashindwa kukuheshimu kwasababu ya ujinga unaoongea. Unaonekana kabisa ina kinyongo cha madaraka. Hatuitaji watu kama wewe, nenda na sahau Simba
@KhalidAlliy
@KhalidAlliy 3 ай бұрын
Mbona kuanzia mwaka huo 2017 simba ilikua inafanya vizuri na ikachukua ligi kuu mara 4 mfululizo
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 3 ай бұрын
viongozi wetu wanazingua
@yuwenmwashitete2932
@yuwenmwashitete2932 3 ай бұрын
Baada yakufanyavibaya
@samwelsilas629
@samwelsilas629 3 ай бұрын
We mzee vip
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 3 ай бұрын
Mbona hujasema yote hayo ndani ya muda muafaka ikiwa wewe ni msomi sana kama ulivyojitambulisha! Huoni kuwa msomi wewe umechangia uozo unaouzungumza hivi sasa?
@user-ej4bd2jz3l
@user-ej4bd2jz3l 2 ай бұрын
Aliemletamanzoki nani kwenye uchaguz
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 3 ай бұрын
🤣🤣🤣very hopeless .. Maamuzi kwenye familia mpa mama awepo 🤣🤣🤣....wenye kujua watufafanulie jaman
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 3 ай бұрын
Nataka nn ww
@khadijayusuph5815
@khadijayusuph5815 2 ай бұрын
Mwizi anatete wezi wezie
@azizaj776
@azizaj776 2 ай бұрын
Kaduguda andoka Simba huna Jipya wewe ni Kaduguda unacho taka Simba ikufanyie Jambo wewe huna Chochote ila unahitaji Simba , Simba hahikuitaju wewe uzungumzacho Hakiaminiki hata chembele
@ibrahimyahyayussuf7947
@ibrahimyahyayussuf7947 3 ай бұрын
Wacha kutufatilia wana yanga acha uchawi huo
@user-oo8tn1vh1r
@user-oo8tn1vh1r 2 ай бұрын
Wee mzee punguza maneno nakushauri upumzike Na wajukuu tuachie Simba itasajiri vizuri yaliopita yamepita elimu ya chuo kikuu anawagombanisha wanachama Na viongozi
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 2 ай бұрын
Miaka mingi umekuwa ndani ya uongozi wa SIMBA ulifanya nini? je ulifanya nini kuifanya simba kuwa bingwa wa africa? au kwa sababu umewekwa pembeni na ulaji umekata mchumia tumbo wewe?
@SelemanAlfan-vs4tw
@SelemanAlfan-vs4tw 3 ай бұрын
Kwan wewe kuwepo
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 3 ай бұрын
😂😂😂
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 2 ай бұрын
Miaka mingi umekuwa ndani ya uongozi wa SIMBA ulifanya nini? je ulifanya nini kuifanya simba kuwa bingwa wa africa? au kwa sababu umewekwa pembeni na ulaji umekata mchumia tumbo wewe?
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 2 ай бұрын
Miaka mingi umekuwa ndani ya uongozi wa SIMBA ulifanya nini? je ulifanya nini kuifanya simba kuwa bingwa wa africa? au kwa sababu umewekwa pembeni na ulaji umekata mchumia tumbo wewe?
Salama Na KADUGUDA Ep 40 | SIMBA WA YUDA Part 2
20:32
YahStoneTown
Рет қаралды 9 М.
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,7 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 48 МЛН
#breaking "TAARIFA KWA UMMA" MBOWE ANATOA TAMKO LA CHADEMA MUDA HUU
11:12
Salama Na KADUGUDA Ep 40 | SIMBA WA YUDA Part 1
31:54
YahStoneTown
Рет қаралды 16 М.
GB64:SIMBA SIO TIMU YA KUCHEZA SHIRIKISHO MMETUDHALILSHA SAN
12:31
SIKILIZA MADINI YA MWINA KADUGUDA MECHI YA YANGA Vs SIMBA MUDA HUU
47:14
Daily News Digital
Рет қаралды 27 М.