KAJALA agoma kuongea na HARMONIZE kwa hasira ,nina mchukia sitaki kumsikia kabisa

  Рет қаралды 250,468

Bongo Touch

Bongo Touch

5 ай бұрын

Пікірлер: 74
@achiaamina3773
@achiaamina3773
Tatizo la nyinyi Wana habari niwa mbea wambea Sana ,,
@raiyasaid2866
@raiyasaid2866
Kwahyo hapo mlienda kumuangalia K tu khaaah 😂
@salumuomari
@salumuomari
Nimegundua kajala anampenda jesh
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421
Armo bado anampenda kajala, shida yake walipoachana aliongae mengi pamoja na kuwa na mwenye mahisp lakino bado anamlilia kajala, wow kajala ni kijala upo hapo
@zai3644
@zai3644
Nyie watu wa media ni wabaya sanaa
@pmfalila
@pmfalila
Hoshen lod, saplaizi, jifunzeni matamshi hii ni aibu kubwa sana
@Starbrunodg
@Starbrunodg
Sijuwi anajikutanani naiyopara😂
@mariamnjama3963
@mariamnjama3963
Hawa wote bado wanatakana 😅then kajala huwa simuongeaj Sana na n mshy ,hii haimansh kamchukia harmo au kumuogopa ,tunajua watu wa media huwa na upuuz tu
@mussangalawa2403
@mussangalawa2403
Daah anajikaza mama wa watu laken kiukwel moyo wake unamlipuka akimuona Rajabu dah
@Dianaf774
@Dianaf774
Nampenda sana kajala❤
@SilaMinanda
@SilaMinanda
Hahahaha! Jeshi ni mmoja
@amanduspanema3443
@amanduspanema3443
Bado anampenda mwambaaaaa!!!,
@christinagervas2134
@christinagervas2134
Ss hoshen lodi ndio nn jmn
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os
Hivi mnakazania Kajala na Harmonize hamjui kuwa walisha achana? Mnataka waseme nini sasa
@zamdabatezi3766
@zamdabatezi3766
Sasa hawa waandishi niwasenge sana mm ningepasua hiyo kmera amonaizi nahz mambo wap na wap
@vanessajames2192
@vanessajames2192
Wapumbavu sana hawa kazi yao ni uchonganishi
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184
Nyieee waandishi ni wanafkiii tena masnichiii .... wagombanishi looooh
@tigejuma9865
@tigejuma9865
Kajala ata muonekano wake umepotea kbsa... alivyokua na harmo... sura ilikua imejaa nuru....lakin xai ako kmya masikin anaugulia pole pole.....😢😢
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553
Kweli kazingumu 😂😂
@user-zg5vp9xq1y
@user-zg5vp9xq1y
Tunakubali bado anampenda
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 7 МЛН
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,6 М.
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Official Mrangi
Рет қаралды 28 М.