Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership / @simulizinasauti
Пікірлер: 215
@abubakarisaac4705 Жыл бұрын
Mzuri sana kabisa for the first time naskia sns for one full hr kabisa nimejifunza mingi sana kabisa ndo job yangu pia Dubai zote nazipitia kabisa
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Sky King Millard Ayo Uulizaji wenu upo kisomi sana Alafu kawaida tu Big up
@emmaemma6114 Жыл бұрын
Ukivijuwa havisumbuwe. Kama ulivyosema hata kwangu mimi sina zaidi ya hao wawili ambao umewataja
@salma9390 Жыл бұрын
👌👌👌
@ramsostopthisbullshitmanal4002 Жыл бұрын
Sky weka hata maji bro
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Sahihi na sauti yake mtangazaji imefanana na millard ayo kabisa.
Aliye sikia sauti ya mtangazaji ni kama ya millard ayo aweke like yake hapooo.
@selemanimkwichu782 Жыл бұрын
Mwanangu sana tumbi boy from kilwa
@mudimoz9329 Жыл бұрын
Wamatumbi Tupo Pamoja
@aishaafricanas7519 Жыл бұрын
Nimeyipenda san 🥰🥰🥰💖💖🇧🇮
@mr.yahzadochuno7914 Жыл бұрын
Wakati wa mungu ndio wakati sahihi
@eastafricabrokerkiller8028 Жыл бұрын
Kwakwell
@zillytash693 Жыл бұрын
Umeongea kitu kikubwa sana natamani sana uwe ndugu yangu kabisa yani mungu akubariki sana
@taharamohd4853 Жыл бұрын
Sky naona umecheka sana story za muddy mnyama 😂😂😂😂😂😂Yan Mimi uku nimecheka mpaka machoz😂😂😂😂😂😂😂😂
@sevystaronedancer1785 Жыл бұрын
Muddy mnyama ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
@lailalaila8206 Жыл бұрын
polen sana kwa changamoto mnazo pitiha ndio kaz
@ramaboy2390 Жыл бұрын
Bro congress you have a great wisdom God bless you Yani Mungu akifungulie
@alphadreammedia Жыл бұрын
Nimependa interview hii nimefurahi sana ahsante sky kaka
@baruthmussamuslim3434 Жыл бұрын
Mudy. Mnyama umetisha Sana bonge la bodyguard
@louranrubea8799 Жыл бұрын
Duh, sipendelei kabisa mambo ya bongo fleva lkn sijuinini kimeniambia niangalie hii . ki ukweli nimeinjoi bonge la interview sauti nzuri ya mtangazaji kama Miladi Hayo, setup, haina ya maswali, majibu ya Muddy, kujiamini kwa wote, utulivu, uhalisia, Hongera sana Muddy, Mtangazaji na crew yote kwangu mimi bonge la interview.
@josephsimba3007 Жыл бұрын
Mud unabusara sana🤝🤝🤝💪💪💪💪🙏🙏🙏🔥
@otallparecidoconstancio6369 Жыл бұрын
Wewe Noma
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
Factual
@sevystaronedancer1785 Жыл бұрын
Kazi ngumu kweli bodyguard
@elielekelele3582 Жыл бұрын
Kazi mbele brother 🐘🐘
@vicksanga9958 Жыл бұрын
Nimependa sana inteew hii
@chuchudorice8531 Жыл бұрын
Huyo mtangazaji ana sauti woow,#254 we are getting you well,sound and clear
@karimniyo1909 Жыл бұрын
My brother Frederic huwa hunichoshi kukuskiliza...
@alexouma6119 Жыл бұрын
Huyu Jamaal amefunguka kuliko wasanii wengi wale wa no comment
@kapesamjenga8971 Жыл бұрын
Muddy maweeeee
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
MTANGAZAJI JAMANI unasauti nzuri sana
@matayosilver8557 Жыл бұрын
Mud mnyama WW noma KBS bro i like our job
@daudiissa9256 Жыл бұрын
Intervew moto nimeludia x2 haichoshi💪
@lucasmulumu5325 Жыл бұрын
Grande entrevista! Nimeipenda sana🇲🇿
@rmoshamte8085 Жыл бұрын
Nakubali kilwa boy
@saidahj2543 Жыл бұрын
Best one sky
@nelsonmaganya5391 Жыл бұрын
Yani kweli kabsa kaka wasanii wa tz awako makin
@gipsonstivin864 Жыл бұрын
Daah kwelii
@barickprogrammer Жыл бұрын
Mudi maweeeeeeeeeee💪💪💪💪
@aslaboy4834 Жыл бұрын
Mud nakubali 💪💪💪💪
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Bonge la interview,,big up braza
@lazaromwambene4516 Жыл бұрын
Nakukubari sana uyooo br😮😮😮😮
@zaitunifamao7777 Жыл бұрын
Intresting interview
@Harryking001 Жыл бұрын
siku ikifika imefika ata ukue kwa tanker🤦
@willsalsina220 Жыл бұрын
Nakubali muddy 💪
@amrimwingwa994 Жыл бұрын
hiyo picha ya mbao hapo nyuma background unyama sanaaaa .Big up SnS ...i wish ingkua full wall.
@fedamaino3650 Жыл бұрын
The best interview
@magnetmambo Жыл бұрын
Nice move
@yabesibalaka6712 Жыл бұрын
Tupo pamojaa
@thierrybisimwa3312 Жыл бұрын
💥💥💥
@suntzu8959 Жыл бұрын
Those are not body guards professionally. They are just bouncers, people who have been to the gym, built some muscles and just picked up. A boxer also is not a body guard. Body guards are trained as such. A body guard observes all directions and trained to identify suspicious persons and trained to react. Hawa "mabody guard" wa wasanii wa bongo, kiuharisia sio body guards. Ona wale wa Maraisi wana yo behave, hawana musuli lakini wamesomea fani.
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Kumbe unaweza kuandika kiswahili 😎🔥🔥
@suntzu8959 Жыл бұрын
@@Waytozanzibar kwani Kuna ubaya gani? Zote ni lugha ambazo ni official Tanzania na Kenya.
@comics3437 Жыл бұрын
Kwa iyo umewakagua ukajua kwamba hawana utaalamu😂😂 basi nenda ukawavamie
@suntzu8959 Жыл бұрын
@@comics3437 unajua maana ya profession?
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
General Sun tzu on art of war, the think is we are progressing in certain type of way by copying these things , with time and space we one day gonna have those professional bodyguards.
@patrickmangale1594 Жыл бұрын
Muddy mnyama much love broo 🇰🇪
@ndayizeyeismailfranck517 Жыл бұрын
🙌🏽
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Napenda sna sna maojiano yako kaka Kila hatua dua sns
@maulidsoba6488 Жыл бұрын
Mnyama👊
@gengeburudani2569 Жыл бұрын
Mudi mnyama 💪
@kenyaharmonizebodyguard3139 Жыл бұрын
Kenya ilikua noma dah
@bullychandy6509 Жыл бұрын
Safi sanaaa
@mkadinali_ent. Жыл бұрын
when you were shooting this ,how safe was harmonize
@tedngowa2559 Жыл бұрын
Somebody else was in charge of harmonize's security....
@justinemasweta2877 Жыл бұрын
sky na millard napendezwa na the way mnahoji
@mosesmahinya9654 Жыл бұрын
Anthony mwang'onda mwalimu wako mud anaumwa sana kamuone
@alexmmasubi722 Жыл бұрын
Yes
@kapesamjenga8971 Жыл бұрын
Qumamaeee maweeeeee
@juleswilondh5967 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@themerlins5833 Жыл бұрын
Tafuta International Bodyguard Association kaka...course nyingine ipo Kenya 🇰🇪 mwezi wa August...wahi upate elimu ya juu kaka...
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Fredrick bundala Sky walker unajua kuhoji mtu Sana ,kpind kizuri sana
@ireneimbuhira7759 Жыл бұрын
Just love him for free ❤ 💕 💙
@aliyukagambo Жыл бұрын
Mimi nimeipenda sana interview hii Mimi mwenyewe naitwa chef Aliyu kagambo nipo mwanza nimepitia mengi lakini yote tisa tuombeane uzima
@spaceonedigital254 Жыл бұрын
Weeh sogea kulee🤣🤣
@CertifiedStoic Жыл бұрын
😂😂😂
@mhabimina4023 Жыл бұрын
🔥🔥👌
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mudi mnyama ni hatari sana cheza mbali na huyu jamaaa