Huyu mwanmke nampenda kwanza anavaa stara filam nyingi mashallah bora angeolewa kbla hajaondoa stara yake
@PatrickNaluo10 ай бұрын
manzee mwanaume ni pesa nasio ety nn🙌🙌🤣🤣🤣🤣☺☺☺
@venaciokariuki4552 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 humu Kenya hatuachi kucheka kaka Stive 😂😂😂
@hapJay-cz1dg Жыл бұрын
Ndaro and Steve nawakubali👍👍
@annamtika180 Жыл бұрын
Umetoboa maskio kabla yakutoboa kimziki.
@gerysongratian Жыл бұрын
Hajra ni wife material always ...HUYU DADA ANAJIELEWA SANAAA
@ngumbaohalimah65 Жыл бұрын
Umejuaje
@aishaomar2287 Жыл бұрын
Continue dance with angels charming😢😢 😢😢...kazi nzuri ndugu
@billyngatia9364 Жыл бұрын
Naomba Kujua Jina La Huyu Dada Wa Pili ako na Filamu Nyingi Sana Nzuri Am Addicted to watch All Her Actions 🎬 ❤
@happiefalleh9560 Жыл бұрын
Hajra kidoti
@Maryam-kl6gj Жыл бұрын
Higar nitakuosheakwaelfu mojaa😅😅😅
@aswaneliphas2271 Жыл бұрын
In Kenya mweusi is number one guys much love from Kenya❤like back😂
@KirivoloKakule-hu7ge Жыл бұрын
Steve wewe Kicha kweli 😂😂😂
@MondesWilson-jr7rr Жыл бұрын
Steve na ndoro mnatisha sana duuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@YussufKato7 ай бұрын
Steve siku ya pili jifany mwanmke km wao 😂😂😂😂
@SharifaDadi-o6u Жыл бұрын
Steve mweusi hongera sanaa❤
@salumhassan4309 Жыл бұрын
Hajra mashaallah mzuri sana mrembo
@ShamimMajid-n5u Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mwanakongo4749 Жыл бұрын
😂😂😂😂wewe Kuku kishingo😂😂
@alikhasam9530 Жыл бұрын
Nakukubali Hajra unajiamini uko mwanamke wa Mfano
@Seifbrown Жыл бұрын
Nakubali mweusi 😂
@jibaba5110 Жыл бұрын
Stevee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pita pita zako daaah
@daudimgalla9455 Жыл бұрын
Ila Steve Aliekutoa Fuse Alaaniwe vibaya unateswka mjini Buza
@AsheriEliab-vr9wj Жыл бұрын
Steve weweeeee stop that you'll kill me
@deniskiplimo8880 Жыл бұрын
Utani wako kali sana steve,,,unajua kuigiza
@salmawani2352 Жыл бұрын
😂😂😂😂stive anajipitisha aitwe
@irenejuma4800 Жыл бұрын
Ety tugawane 😂😂😂😂😂 kataas
@bakarizinga8556 Жыл бұрын
😅😅🤣🤣 Stive stive stive nimekuita mara ngapi🤣🤣🤣utatuuwa nakicheko mazee😅 wasema umekomboa masenary ili upate hela ndefu lkn wapiiii🤣😁😁😃😃😃
@erastopascal Жыл бұрын
Hajra Ni mrembo aki❤
@florienflo7998 Жыл бұрын
Hhhhh! Jama huyu Steve anaropokwa sana🤣🤣 wapo watu sawa na Steve huyu kbs
@focusernest5610 Жыл бұрын
Steve natamani jamaa akubabue kazi kuinglia mambo ya watu
@حسنا-ض3ز11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 waaaaaaah kazi nzuri
@victormbugobola802 Жыл бұрын
Labda sio pesa 😂😂😂😂 we dada acha ushamba unakataa pesa aaah umetudanganya dunia ya Leo imetawaliwa pesa
@animtres Жыл бұрын
Labda anazo hela hahitaji za mtu mwingine
@solomonmwakajoka-e7u Жыл бұрын
Ongela bhana Steven kwa kazi nzuli
@AlexiSimba-qy2zs6 ай бұрын
Mom is going out to get her 🎉😂❤😂😂😂😂
@RajabRwanosi-bt3ep Жыл бұрын
Nampenda Hajra Anamusimamo wake kwakweli
@roudhamahmoud763 Жыл бұрын
Hajra na huyu dada wa mwisho aloenda na Steve wapo poa
@animtres Жыл бұрын
Hamtawacha kila siku kutuambia yupi mzuri kwenye video za comedy? Nmaudhi bana. Kila mtu ana macho tu na kila mtu anajiamulia yupi mzuri kuliko mwingine
@emorutnicholas1893 Жыл бұрын
Inaitwa pesa na mapenzi Hasiye na lake halipo!! 😂😂😂😂😂😂😂😂
@charlesmbuge6114 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@florencekanze6 ай бұрын
Steve nakubali yakokali broo❤❤
@ShahabanMutua3 ай бұрын
Poa sanaaa❤❤
@Lizzyktd8 ай бұрын
Hongeren kwa kaz nzur 🎉🎉🎉❤❤❤
@mohammedgedow34567 ай бұрын
Huyo mwanadada mrembo kabisa,Naomba number yake❤,karibu Kenya mrembo
@bilid4128 Жыл бұрын
😂😂😂 dada wa watu kajipitisha weee ila hamna kitu 😅😅😅
@GloryMbilinyi-nf3yg Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@peterfestus9445 Жыл бұрын
ila huy hajra mgumu sana kmk😅😅😅
@amonygeofrey3201 Жыл бұрын
Kama. Umesikia Steve kazulumiwa haki yake😂gonga like❤😂muuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu😅
@PatrickNaluo10 ай бұрын
Manzeee apa kazulimiwaaa🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hajrabablysh8892 Жыл бұрын
duuuuuh Steve huo mkosi sio utani
@mudimoz9329 Жыл бұрын
Dada Tako Hunaa 😂😂😁😁😁😁😁
@AsheriEliab-vr9wj Жыл бұрын
Namkubali sana Steve wewe noma saaaaaanaa
@daddybenny Жыл бұрын
Loveness umenichekesha Kwel,upo serious mnoo
@JeremiahJohn-h2v4 ай бұрын
Buza maeneo ganii unaishiii steve
@charitychadrek Жыл бұрын
nakukubali sanaa steve naombeni like zangu jamani naona nimewahi 💞
@cosmascastory9193 Жыл бұрын
Unaomba likes zako kwa kazi gani uliyoifanya
@vaghoghontweki9827 Жыл бұрын
Acha ushamba...like upeleke wapi au upo tyr kuzilipia mana unataka vya bure navyo havipo sasa!!!
@ChrisMwamba-sb6zs Жыл бұрын
Vp
@AtumaIsaya6 ай бұрын
Unya mwez steve
@ShawnLexon Жыл бұрын
Duh!! Ila steve ww😂😂
@MondesWilson-jr7rr Жыл бұрын
Steve ndoro duuuuuuuu. 😂😂😂💤😂😂😂
@lenismokeira50562 ай бұрын
😂😂😂😂steve utaniuwa
@charleskiara69442 ай бұрын
😅😂😂😂😂😂😅😅😅😂😂😂 aaaaaah
@AlexMisiocha-wu5pu9 ай бұрын
Steve anataka kuitwa apewe pesa😂
@GoldenJR-b5x Жыл бұрын
Kazi nice naomben saport ingia akaunt yang nimepost audio
@UmuriShabani Жыл бұрын
Nawakubali sanaa
@teamnyahakira5687 Жыл бұрын
🤣🤣🤣😅😅😅😅😅Imewezaa Steve hii🤣🤣🤣😛😛😛😛
@patohraizer Жыл бұрын
Steve 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,,,one day
@StevenKasereka-ov8qh7 ай бұрын
Yaaani soo ongera na kazi
@lwimikomwambene Жыл бұрын
Steve anajichetua kinoma
@irakozemeddy-dv2xo Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Steve
@ThomasMatiko7 ай бұрын
mapenzi nipesa kakudanganya nani kuwa penzi siyo hela pole saaaaaana.
@KirwahSiasa8 ай бұрын
ebwna maisha nisafarrrrr ,tusipende vy bure😢😢😢😢😢😢
@samuji10hatangimana70 Жыл бұрын
Steve ameuwa kwasasa like it
@Daviss92222 Жыл бұрын
Kidawa nakubali
@jumamichael8832 Жыл бұрын
Naomba kuchapa moja nawe stivo
@Sayuni-f4z Жыл бұрын
chezea maokoto wewe😂😂😂
@CalvinJmarry9 ай бұрын
Ndaro big up sana
@MarcIlunga-k4q Жыл бұрын
Unakubalika Steven😂😂
@SharifaDadi-o6u Жыл бұрын
Wewe zaidi yazaidi Steve ❤
@dieudonnemugirangabo8174 Жыл бұрын
Pesa nikituu kizuli Sana 🙏 ukianapesa utahesimia kwakilajambo nakilamutuote✔️🙏🇧🇮🇧🇮
@AsheriEliab-vr9wj Жыл бұрын
Mapenz sio pesa ila pesa some times husababisha mapenz wengi hamtaelewa
@stanleychonya81999 ай бұрын
Tecnolojia ya sasa mapenz ni pesa sasa ww ishi na mwanamke usiwe na pesa kama ujazaa watoto wasio wako lazima utashapiwa tu
@alka-bksg8981 Жыл бұрын
Nakubali sana kazi zako Kaka Like basi ALKA-B ngo jinalangu
@IsackNdimiye-ck5mb8 ай бұрын
Dada mzur sana
@fatmaally7252 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Stevu uyo hana nyama
@evaristmbuya6220 Жыл бұрын
Hiki kijamaa kingine hakijui kuigiza taktaka hii
@Izohdemepp Жыл бұрын
Ciliasili😂😂
@J.JlogCruz Жыл бұрын
❤❤ saf snaaaa
@papysadiki5947 Жыл бұрын
Steve wewe.wewe Steve wewe at
@lightnessmasai85462 ай бұрын
😂time is what
@rahmah6635 Жыл бұрын
Ninakukubali steve
@ramadanwario9960 Жыл бұрын
You make my night
@ZuberiZuberi-wu9lm Жыл бұрын
Safi Sana steve
@NijimbereSeth Жыл бұрын
Huyo wako Steve hana makilio
@RusalinsMusimbi5 ай бұрын
Dora ukosawa❤
@ErickRamadhani2023 Жыл бұрын
Washabiki wa kundi Steve mwehusu tujuhane kwenye like...apo
@DanielKimatu-tx1wg9 ай бұрын
Bc tujuane
@FreddyFernandez-oj3ml9 ай бұрын
Yataptu miso misondo
@RichadSeleman4 ай бұрын
Ila sitivu basi utakumbukwa xana
@FarhirFadhirhossen Жыл бұрын
Nbnnnnnn no😅❤
@henrybravin Жыл бұрын
I like it steve
@kaljoh4150 Жыл бұрын
Kazi jema steve ogera alf naomba mawasiliano n uyu mdada akona jeans plz