Huyo zamarad mketema. Siyo vizuri ampe mwenzake pesa zake pia nyumbani. Kuna nyumba za wapangaji ampatie pesa za wapangaji pia nae anahaki ya kupata hizo kodi za nyumba ok
@valentineevarist16 күн бұрын
sasa huyu jamaa anakuwa ndugu wa zamaradi kivip tena
@eliasmwaimu470514 күн бұрын
Vichwa vya habari viwe vinaendana na kilichopo ndani mbona mlisoma riwaya na tamthilia kwenye kiswahili mashuleni? au mnajizima data?
@umsulaiman746814 күн бұрын
Huyo ndugu anataka kumchafuwa dada yake hama jambo
@bahatishabani139210 күн бұрын
Kione kinajiharibia chanel kwa habari za uongo😢😢
@JamalAbas-fe5dj15 күн бұрын
Kumamazenu cyo kaka yake zamaradi
@eliasmwaimu470514 күн бұрын
Kichwa cha habr kaka wa zamarad ukiingia ndani unakutana na wahuni wanao tafuta views aisee na nyie mnatuchosha sio hzi skendo tu za mjini hat nyie ni mzigo online tvs